Mhandisi 2009
Member
- Feb 5, 2011
- 22
- 4
Kwani taarifa ya kamati kuu ya CDM haijatoka jana? Huyu Masalia anaruhusa ya kuendesha chama ndani ya chama?
Acha ukeleketwa na chuki binafsi, soma tathmin kilichoandikwa jenga hoja. Sio kila kitu lazima tulete mambo ya siasa uchwara. Kama ni masalia haya tunashukuru kwa taarifa, but great thinker sio kwa mtindo huo. Jamaa naye ni mwananchi ana uhuru wa kutoa maoni yake sio lazima chama. Maana hata naibu wazir amemtuhumu zitto sio chadema. Kama vip unakaa kimya sio lazima useme