Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.

Hata marehemu huwa anajadiliwa ili kujua ugonjwa uliomuua unaweza kuwa ugonjwa wa kuambukiza ili jamii iweze kujiepusha.
ni kweli mkuu, je ghafla akifa, una maana wanao mfwata fwata siasa kwao ndio basi?!.
hamuoni ipo haja ya kuacha kumjadili mtu huyu! au?[/QUOTE]Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!

hatumtaki hata kumsikia,kama angekuwa anaunga mkono angeanzia bungen,leo hii kaona atashuka kisiasa anaanza kufagilia ukawa
hamuoni ipo haja ya kuacha kumjadili mtu huyu! au?[/QUOTE]Hivyo anaunga mkono ushirikiano wa UKAWA!
Wewe pia upumzike kumtetea...mafisi nyieSasa vijana pumzikeni kumjadili Zitto, mnapata hata muda wa kula kweli?
Mkuu nimemsikiliza kwa makini radio dewstche welle ya ujerumani,ila napenda kusema Bila UKAWA kushirikiana na Zitto kazi bure,Zitto ni master plan in Tanzania political arena.
Zito ni kirusi hatari kuliko kirusi cha UKIMWI