mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
ilikuaje mpaka akasema yote hayo...nilifikiri leo ilikua ni kutoa hoja kuhusu bajeti ya sayansi na techonology haya ya urais yametoka wapi?
ZITTO kisha jua weak points za mabosi wake na watamkoma. MBOWE na SLAA hawamuezi ZITTO na SHIBUDA sana sana watajikanyaga na mwishoe watanyamaza.unajua huyu jamaa ni mpuuzi sana, nimemsikiliza kwa makini baada ya kuchangia na akaishiwa maneno akaanza ohhh, haya yanayosemwa mitaani yatapita , alafu akafumba tena maneno...uwezo , nguvu , yakuwa amiri jeshi mkuu, upo.
Mimi nataka nimwambie wazi ...huyu bwana mdogo, na ninajua ataisoma hii, naungana na mdau mmoja hapa, Siku CHADEMA wakikuchagua kugombea URAISI wa Tanzania, narudisha kadi ya chadema na nitaipigia CCM hata wakisimamisha Jiwe.....
Mkuu, unao uhakika kuwa Harusi ya Dr. Slaa na Josephine ilifanyika?
wewe una matatizo sana maana kama hayo matatizo ya ufisadi, ukabila na mengine yapo CDM mbona Zitto amekaa kimya? au anataka kusubiri ayatumie kama agenda ya kutafuta nafasi ya kugombea urais?? amechelewa sana aende NCCR akagombee kwa tiketi ya chama hicho, CDM hakutakiwi unafiki!!ZITTO kisha jua weak points za mabosi wake na watamkoma. MBOWE na SLAA hawamuezi ZITTO na SHIBUDA sana sana watajikanyaga na mwishoe watanyamaza. Matumizi mabaya ya fedha za chama, Ukabila na udikteta ndani ya CDM ni mambo ambayo ni bomu ambalo wakiwachezea akina ZITTO watalipuliwa tu.
Hongera sana ZITTO vijana, wasanii, wasomi wote wanajua angalau wewe ndo mwenye dira ya kweli ndani ya CDM.
unajua huyu jamaa ni mpuuzi sana, nimemsikiliza kwa makini baada ya kuchangia na akaishiwa maneno akaanza ohhh, haya yanayosemwa mitaani yatapita , alafu akafumba tena maneno...uwezo , nguvu , yakuwa amiri jeshi mkuu, upo.
Mimi nataka nimwambie wazi ...huyu bwana mdogo, na ninajua ataisoma hii, naungana na mdau mmoja hapa, Siku CHADEMA wakikuchagua kugombea URAISI wa Tanzania, narudisha kadi ya chadema na nitaipigia CCM hata wakisimamisha Jiwe.
Hivi zito Ikulu unataka nini? Si wewe uliyewahi kusema uliingia kwenye siasa kwa bahati mbaya wala hukupenda kuwa mwanasiasa na huipendi siasa,na unafikiria kutoka?sasa kulikoni ikulu?
Ikulu si pango la vibaka, kila siku unageuka na maneno mnafiki kuliko hata KIKWETE, tukikupa nchi si ndio tumekwisha kama kikwete tu kaaribu kiasi hiki, wewe je?
Na hivi si zito huyu aliyekuwa anatapa tapa jimbo la kugombea uchaguzi uliopita, mara kinondoni, mara sijui wapi...Huu ndio uwezo wa kuwa Amiri jeshi mkuu wa Tanzania? SHAME ON U LITTLE BOY, A PROSPECTED RAIS WA KIGOMA..GO IN HELL BEFORE DAYS SENDS U
pili Hivi zito atakuwa na miaka ya kutosha kugombea urais mwaka 2015 (Sina uhakika wadau ni saidieni hili?
MAKAMANDA wote ni mduda wakusimama na kumwambia ZITO ukiutaka urais kupitia CHADEMA imekula kwako, anyway najua utahama tu kwani unatumiwa.
Toa huu uchafu hapa sebuleni. Hujui choo kiko wapi?
naunga hoja 99%unajua huyu jamaa ni mpuuzi sana, nimemsikiliza kwa makini baada ya kuchangia na akaishiwa maneno akaanza ohhh, haya yanayosemwa mitaani yatapita, alafu akafumba tena maneno...uwezo, nguvu, yakuwa amiri jeshi mkuu, upo.
Mimi nataka nimwambie wazi ...huyu bwana mdogo, na ninajua ataisoma hii, naungana na mdau mmoja hapa,alisema, Siku CHADEMA wakikuchagua kugombea URAISI wa Tanzania, narudisha kadi ya chadema na nitaipigia CCM kura hata wakisimamisha Jiwe.
Hivi zito Ikulu unataka nini? Si wewe uliyewahi kusema uliingia kwenye siasa kwa bahati mbaya wala hukupenda kuwa mwanasiasa na huipendi siasa, na unafikiria kutoka? sasa kulikoni ikulu?
Ikulu si pango la vibaka, kila siku unageuka na maneno mnafiki kuliko hata KIKWETE, tukikupa nchi si ndio tumekwisha, kama kikwete tu kaaribu kiasi hiki wewe je?
Na hivi si zito huyu aliyekuwa anatapa tapa jimbo la kugombea uchaguzi uliopita, mara kinondoni, mara sijui wapi...Huu ndio uwezo wa kuwa Amiri jeshi mkuu wa Tanzania? SHAME ON U LITTLE BOY, A PROSPECTED RAIS WA KIGOMA..GO IN HELL BEFORE DAYS SENDS U.
pili Hivi zito atakuwa na miaka ya kutosha kugombea urais mwaka 2015 (Sina uhakika wadau ni saidieni hili?
MAKAMANDA wote ni muda wakusimama na kumwambia ZITO ukiutaka urais kupitia CHADEMA imekula kwako, anyway najua utahama tu kwani unatumiwa na hao makada.
jazia nyama uzi wako unaeleaelea tu.!
wakuziba hapa JF wakati fulani nishawahi kuhoji upeo wako wa kufikiri, mabandiko ya namna hii yanakudhalilisha kama hujui.Akichangia wizara ya mawasiliano na uchukuzi leo bungeni, mh zitto kabwe ametetea wasanii kuhusu fedha kidogo wanazolipwa kutokana na nyimbo zao kutumika kama ringtones. amesema wasanii wanalipwa chini ya 10% ya mapato ya ringtones. kampuni za simu zinachukua 90%! ameomba serikali iliangalie suala hili kwa ukaribu mkubwa.
Amesema kuwa amesikia maneno mengi baada ya kuwaunganisha wasanii wenye asili ya kigoma. ameendelea kuwa nia yake ni ya kuundeleza mkoa wa kigoma na kutetea maslahi ya wasanii kwa ujumla. "nashangaa watu wanalihusisha na urais!" "Mungu akitaka mtu awe rais hakuna anaeweza kuzuia." kwa taarifa yenu "uadilifu wa kuwa amiri jeshi mkuu wa taifa letu ninao". hata yakisemwa maneno mengi lkn Mungu akitaka hakuna wa kunizuia.
MY TAKE:
niliwahi kuandika hapa jf makala kuhusu hali ngumu ya kinyng'anyiro cha urais chdm. Lissu anautaka, Zitto anautaka, mbowe anautaka na slaa anautaka. slaa ameoa ili 2015 aondoe maneno kuwa hana mke halali. nasikia mbow yuko singapore na japan. inasemekana hakuhudhuria harusi ya slaa japo hili sina ushahidi nalo. wadau mnaweza kunipasha ukweli wa hili.
chdm wasipoangalia, urais utakimega chama vipandevipande. zitto anaungwa mkno na wabunge vijana na anaendelea na uhamasishaji. mtei aliwahi kumuambia kuwa "chama kina wenyewe" hapo chacha!!!!!! kazi ipo wakatabahu: wakuziba
Iko kampeni ya kushusha miaka katika mchakato wa katiba ili aweze kugombea...wapo vijana wengi tu wanapigania hii ishu irekebishwe kwenye katiba. Wana"refer" umri wa Nyerere alipochukua nchi akiwa 39
Huyo aje CCM tutampa kura. Lakini kule kwa magwanda? magwanda wenyewe ndio wanampinga.
haujaelewa nin ndugu, mbona habar ipo wazi, hata mtoto wa chekechekea anaelewa
ZITTO kisha jua weak points za mabosi wake na watamkoma. MBOWE na SLAA hawamuezi ZITTO na SHIBUDA sana sana watajikanyaga na mwishoe watanyamaza. Matumizi mabaya ya fedha za chama, Ukabila na udikteta ndani ya CDM ni mambo ambayo ni bomu ambalo wakiwachezea akina ZITTO watalipuliwa tu.
Hongera sana ZITTO vijana, wasanii, wasomi wote wanajua angalau wewe ndo mwenye dira ya kweli ndani ya CDM.
ulikuwa unasubiri ukafinye pilau huku ukidodosa umbea wa kutuletea hapa?? imekula kwako ndugu yangu, chukua jembe ukalime!!