Wenye akili mgando ndio wenye mawazo hayo,watu makini uangalia yule atakaeleta chachu ya maendeleo katika nchi,suala la uzee au ukijana si tija!angalia zambia au Germany,marais wao wana umri gani?ukirudi Kenya je?mfano wako wa Senegal ni mfano mfu kabisa,Wa Senegal wanachompinga Wade ni kukiuka kwake katiba na si kwa ajili ya uzee wake!changamsha ubongo!
Mkuu wala tusiende Mbali hapa jirani Zambia Michael Satta ana miaka mingapi?