Zitto: Ndio ninautaka urais

Status
Not open for further replies.
Wenye akili mgando ndio wenye mawazo hayo,watu makini uangalia yule atakaeleta chachu ya maendeleo katika nchi,suala la uzee au ukijana si tija!angalia zambia au Germany,marais wao wana umri gani?ukirudi Kenya je?mfano wako wa Senegal ni mfano mfu kabisa,Wa Senegal wanachompinga Wade ni kukiuka kwake katiba na si kwa ajili ya uzee wake!changamsha ubongo!

Mkuu wala tusiende Mbali hapa jirani Zambia Michael Satta ana miaka mingapi?
 
Mkuu wala tusiende Mbali hapa jirani Zambia Michael Satta ana miaka mingapi?

Acheni mambo yakusema 'kama nchi fulani......' sie watanzania tunasema Rais ajaye lazima awe kijana, nyie mkimlete mzee wenu Slaa jueni mmeumia
 
Hayo ni maneno yenu siku zote na tumeisha wazoea, Slaa hakuchaguliwa na alishindwa kihalali !

CDM siku zote wanafanya kile wana CCM wasichokipenda.Mnampinga Dr Slaa kwa sababu mnajua mziki wake.Hata mtambike uchi Dr Slaa atagombea tena urais 2015.Na nakuapia ataapishwa kuingia Ikulu huku wewe unabaki kupiga porojo JF
 
Acha fikira za hovyo hovyo! Jadili kilicho kwenye mada usimjadili mleta mada, na kama ukigundua kuwa mleta mada ni m-chadema utafanya nini?! Bofya hapa upate uhakika Mohamedi Mtoi | Facebook

Kuna haka katabia mtu ukileta mada humu jf kuna baadhi ya members wanataka ziwe za mapambio ya chama tu hawajui kuna habari nyingine au mawazo yanaweza kujenga na sio kubomoa kama wanavyodhani.

Ushauri wangu endelea kusimamia unachokiamini achana na waoga ambao hata kutumia majina yao wanaogopa!
 
Acheni mambo yakusema 'kama nchi fulani......' sie watanzania tunasema Rais ajaye lazima awe kijana, nyie mkimlete mzee wenu Slaa jueni mmeumia

Empty narrow minded.Mimi nilidhani una hoja za kumpinga Slaa.Kumbe umebaki kupiga porojo eti ni wakati wa vijana.Shame!!.Kwa taarifa yako mimi nina miaka 30 lakini no one can be trusted to be good President in 2015 than Slaa.Catch this!!
 
Ndugu zangu. Naomba msome makala nzima kabla ya kuchangia. Msichangie kwa kusoma kichwa cha habari tu. Hii ni makala nimeandika kama majibu kwa makala ya mwanazuoni mmoja kuhusu umri wa Urais.
Miye nitaweka makala hiyo kwenye blog yangu zittokabwe.com

@Zitto, ningeshauri uweke hiyo makala hapa JF ili watu waisome kwa urahisi maana wapo watu wanatumia simu. Hivyo mambo ya link inakuwa tabu kidogo. Weka article yote hapa habari iishe.
 
CDM siku zote wanafanya kile wana CCM wasichokipenda.Mnampinga Dr Slaa kwa sababu mnajua mziki wake.Hata mtambike uchi Dr Slaa atagombea tena urais 2015.Na nakuapia ataapishwa kuingia Ikulu huku wewe unabaki kupiga porojo JF

Kama ataapishwa na ww na utamuingiza ikulu ya nyumbani kwenu hapo poa, ila ile ya magogoni asahau ! kushika madaraka ya urais usidhani ni kile kikaratasi upigacho na kukitumbukiza kwenye sanduku, ni zaidi ya hapo. Kamwe hawezi kuwa rais , ila kuwa rais wa familia yenu hapo sawa.
 
Dhana kama hizi mkuu ni dhana potofu usitake tuamini kwamba bila ya slaa au mbowe hakuna cdm! usitake kutulisha upuuzi huo watu wenye mentality kama zako ndio watu ambao hukata tamaa mapema. Mimi nilidhani unaziamini sera za chama chako na kuwa kiongozi yeyote akipewa ridhaa basi ataweza kuiwakilisha vyema cdm kumbe kuna wengine wakipewa ridhaa hawawezi ila Slaa peke yake! je Slaa akiamua hataki kugombea una maana 2015 cdm haitasimamisha mgombea?

Ninaanza kupata wasiwasi kuwa cdm kuna watu wanavutika na mtu na sio sera za chama haya wazee lakini tutafika tu.
 
Nakupa 5 Angel Msoffe,hata mimi hawezi pata kura yangu!puppet mwenye uchu na madaraka,si ajabu wana c.c.m wengi kumpigia chapuo kwa kua wanajua atadhoofisha upinzani/chadema

Zitto aliponzwa na urafiki wake binafsi na JK ambao haukuanza leo wala jana.(Mimi sina tatizo na urafiki wao na napenda waendelee kuwa na mahusiano mazuri) tatizo lilikuja pale ambapo Zitto alilemewa na 'mahaba' ya urafiki wake na Kikwete kiasi cha kujikuta anapata ile kitu tunaita Agency problem ambayo imemletea agency cost, cost ambayo ni kutoaminika kwenye chama na hata nje ya chama. Na ndio maana hata akifanya jambo kwa nia njema na kihalali(kama alivyogombea uenyekiti) watu wanamshukia kwa nguvu nyingi.

Lakini siku za hivi karibuni hasa baada ya kifo cha Kamanda Regia Zitto ameonyesha maturity ya ajabu, ameonyesha kuweza kuimudu hii post ya juu nchini. Hata pale ofisini watu wameanza kumkubali na ile hofu yao dhidi yake ni kama inapotea polepole.

Kitu pekee ambacho ni ngao ya Zitto kupata uongozo wajuu ni kuendelea kuwa fair kwa makundi yote. Hapa nazungumzia udini. Zitto pamoja na kuiheshimu sana imani yake lakini SIO MDINI KABISA! Huwezi kuwafananisha na wale wenzitu wa buguruni. Zitto anaheshimu imani ya wengine na ana marafiki wa dini zote na anasaidia wote bila udini, anachukia udini na hapendi kuwa mdini. Kudos Zitto
 
Zitto anafaa na ana uwezo mkubwa sana, ila swala kubwa ni alama za nyakati ndizo huamua. Yeye azisome tu na wakati muafaka ukifika ataupata tu huo Uraisi. Singependa sana kumkatisha tamaa. Ana nafasi kubwa ya kuupata, ila asikurupuke.
 
Mkuu wala tusiende Mbali hapa jirani Zambia Michael Satta ana miaka mingapi?

Sahihi kabisa mkuu,huyu Satta nafikiri ana 75 anakimbilia 76 kama nitakua sahihi,ila ufanisi wake umeanza kuonekana,mimi uwa namdharau sana mtu anaeshindwa kuchemsha fikra zake hata kidogo na anakuja jukwaani na hoja za vijiweni na kuharibu ualisia na dhana nzima ya J.F
 
Kama ataapishwa na ww na utamuingiza ikulu ya nyumbani kwenu hapo poa, ila ile ya magogoni asahau ! kushika madaraka ya urais usidhani ni kile kikaratasi upigacho na kukitumbukiza kwenye sanduku, ni zaidi ya hapo. Kamwe hawezi kuwa rais , ila kuwa rais wa familia yenu hapo sawa.

You are not my level.Your IQ capacity is almost negative.I wil not answer your cheap empty headed.Go to sleep.Bye!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom