William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
- Zitto, Januari, Nape ni just a symbolism tu on behalf ya Vijana wengine wote maana huwezi wataja wote kwa majina ni wengi sana,Why zito with j.makamba, and not with mnyika, T. Lissu, mdee or lema. Zito hueleweki umezidi kuambatana na hao magamba ndio maana napata wasiwasi kwanini hushirikiani na watu ambao unaoendananao kiitikadi na mara kwa mara kwenye misimamo yako upo na j.makamba?
Kwani kuna ubaya kwa Zitto kugombea urais? ni haki yake kikatiba, na chadema ni chama cha kidemocrasia ilani ya chama chetu haimzuii Zitto kufanya hivyo.
Zitto is quality guy, na anafaa sana kuwa rais wa nchi hii, kundi la akina slaa wanamuogopa sana huyu jamaa. Ki ukweli hata CCM wanajua CDM wakimueka huyu jamaa kugombea urais ndo mwisho wao. Slaa hauziki kabisa na eyari ameshajeruhiwa sana kwenye uchaguzi wa 2010 na hakubaliki na makundi yote ya jamii.
BIG UP ZITTO
FJM
And who is constantly talking about mining companies to migrate to the new law?
Do you read my work?
Who is asking the government to ensure linkages of the sector?
We have a new law which is far better than the previous. I am very proud to be part of the team, to be the main agitator for the reforms in the sector.
Today no foreigner is allowed to own a licence for gemstone. TanzaniteOne wanahaha sasa kupata leseni.
Kuna aya ya Quran inasema, wana macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii nk.
Kinachokusumbua wewe ni udini tu. Jaribu kuangalia habari imetoka wapi sio kukurupuka. Labda anaongelea urais 2025 Dr Slaa akishamaliza vipindi vyake, which kila mwana CDM atamuunga mkono. Lakini kwa sasa Zitto HAJAKWIVA kuwa rais na hata katiba haimruhusu
Why zito with j.makamba, and not with mnyika, T. Lissu, mdee or lema. Zito hueleweki umezidi kuambatana na hao magamba ndio maana napata wasiwasi kwanini hushirikiani na watu ambao unaoendananao kiitikadi na mara kwa mara kwenye misimamo yako upo na j.makamba?
Mshauri mkuu wa chadema ndugu, Kitila Mkumbo alitembelea Uingereza katika miji ya London na Readings kuanzia tarehe 5 Machi na 6 Machi 2012 na kuondoka tarehe 10 Machi, 2012.
Miongoni mwa mambo aliyotueleza ni kuwepo kwa mpasuko wa nani anasitahiri kubeba/kupeperusha bendera ya chadema katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kati ya Freeman Mbowe na Dk. Slaa. Mkumbo anasema kuna kambi mbili zinazopingana ndani ya chadema kuhusu suala hilo.
Wanaomuunga mkono Dk. Slaa wanasema kwamba ni mtu anayejua kujenga hoja, ana mvuto, wananchi wanamwamini kuliko Mbowe lakini pia kwamba Dk. Slaa alishinda uchaguzi mkuu wa 2010 kabla ya kuchakachuliwa. Kwa sababu hiyo akipewa nafasi tena 2015 na chadema ikisimamia vyema uchaguzi huo Dk. Slaa anaweza kuwa Rais ajaye.
Kambi ya mbowe inasema kwamba alitumia asilimia 72 ya pesa yake katika kufanikisha kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, wapo wanaodai chama kirudi mikononi mwa Mbowe kwa sababu hivi sasa ameimarika zaidi kwa ajili ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu ujao. My take: Kuendeleza huo mpasuko kutaisaidia ushindi wa CCM katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Wadau nimeleta kwenu tusaidiane namna ya kutafuta ufumbuzi wa mpasuko wa kambi mbili hizi ili chadema kiendelee kuwa chama kikuu cha upinzani na pengine kushika dola mwaka 2015. Source: Nilikuwa Uingereza miongoni mwa wafuasi wa chadema tuliohudhuria kikao cha kamanda wetu Kitila.
Ndugu zangu. Naomba msome makala nzima kabla ya kuchangia. Msichangie kwa kusoma kichwa cha habari tu. Hii ni makala nimeandika kama majibu kwa makala ya mwanazuoni mmoja kuhusu umri wa Urais.
Nimesema wazi, kuutaka Urais na kuupata ni mambo mawili tofauti. Kwanza lazima chama changu kiniteue. Kama chama kikiona bado lazima nikubaliane na chama. Kama chama kikiona kuna mwanachama mwingine ana uwezo zaidi yangu lazima nimwunge mkono huyo. Hata kama chama kikiniteua lakini wananchi lazima wakubali. Kwa hiyo unaweza kuutaka Urais lakini usiupate!
Pili nimejibu hoja za ubaguzi, hatari na matabaka za mwanazuoni huyo. Ni vizuri MoD akachukua makala hiyo na kuiweka juu kabisa ili watu wachangie jambo walilolisoma.
Miye nitaweka makala hiyo kwenye blog yangu zittokabwe.com
Zito haaminiki tena, is too doblestandard
Zitto Kabwe anaogopa kivuli chake.Nimesoma andiko lake amejaribu kijielezea watu wamjue yeye ni nani.Mwanaharakati wa kweli hatakiwi kujisifia kwa machache mazuri aliyofanya tena ukizingatia anachokipigania bado hajafanikiwa kwa kiwango hicho.
Prof. Baregu,Ananalie Nkya,K. Bisimba,Dr. Slaa,T. Lissu ...nk Hawajatoa mandiko/machapisho ya kujisifia kueleza waliyofa
nya ili wajulikane.Wamejulikana kwa kazi zao .
My take;
Zitto fanya kazi acha kukurupukia social media kujinadi.
FJM
And who is constantly talking about mining companies to migrate to the new law?
Do you read my work?
Who is asking the government to ensure linkages of the sector?
We have a new law which is far better than the previous. I am very proud to be part of the team, to be the main agitator for the reforms in the sector.
Today no foreigner is allowed to own a licence for gemstone. TanzaniteOne wanahaha sasa kupata leseni.
Kuna aya ya Quran inasema, wana macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii nk.
Mkuu JF siku hizi wachambuaji wa hoja kabla ya kuchangia wamepungua sana kwenye jukwaa la siasa. Pole sana ila ndo Tanzania yetu hii. pole pole tutafika
nakuomba ujitahidi chama kishinde huko Kirumba na uwaunge mkono makamanda wenzio wa arumeru Mashariki ili muongeze mbunge mwingine.