You talk too much kama kasuku, be short and precise unafikiri kuongea sana ndio utafuta uchafu wako.
Kazi ni kulia lia tu na kujitetea muda mwingi unautumia kujibu maovu yako wala hujengi point yeyote ya kuimarisha chama.
Thibitisha huo uchafu najua huwezi! Unakerwa hutaki niandike ili mpate nafasi ya kupotosha na kufurahisha watu. Hapo uliponi-quote nilikuwa najibu watu.wewe hutaki sasa tukusaidieje?
Never.......now i know him enough, nilidhani mlikuwa mnamuonea kumbe this is virus inside CHADEMA.
Nikikuita majina mabaya itakuaje? Halafu unajiita mstaarabu na kujifanya unanishauri? loh....kama hukubaliani na hoja za mtu hakuna haja ya kuwa too emotional .
Kwa wiki kama mbili hivi kumekuwa na mabandiko humu JF yanayoashiria kana kwamba huko CDM kuna Gogoro. Haya mabandiko yamekuwa yakipingwa na wengine kuja na tafiti kuyapinga. Nakumbuka alianza Tuntemeke wakafuatia akina PAA na TII kisha akaja Mwanahalis. Niliona kama watu wa CDM wa ndani kabisa wakiwa wanapingana. Mfano Dr. Mkumbuko alipingana na Rev. K ambaye alisema ana habari za ndani. Katika moja ya post zake, Tuntemeke alisema kwamba wananyimwa kuila keki ambayo wameipika! Sikumuelewa. Kisha ukaja uzi ambayo ulisema kwamba wakati Dr. Mkumbo yuko London alisema ya kwamba ndani ya CDM kuna makundi ya Urais ambayo yanangozwa na Zitto, Mbowe na Dr. Slaa. Aliyeleta uzi akashambuliwa kwa kila aina ya matusi na kejeri. Dr. Mkumbo hakukanusha hili. Amekuja Zitto anasema wazi wazi kwamba anautaka Urais na ameenda mbali zaidi na kuonyesha jinsi alivyojitolea kukijenga chama wakati huo wengine wakiwa wanapumzika na wengine wakiogopa kuingia chamani (amepika keki kwa nini asiile?). Baada ya Zitto kujitokeza na makundi ndani ya washabiki/wana CDM yamejitokeza hadharani ili kutimiza lile neno lililonenwa na mtu mmoja akisema alimsikia Dr. Mkumbo akisema kuna makundi ya Urais huko CDM.
Kwa hakika ni dhahiri shahiri sasa kwamba kuna Gogoro huko CDM na bundi ametua mtaa wa Togo. Gogoro linatakiwa lishughulikiwe. Naanza kuhisi watu/wanachama wakitolewa kafara ili kulinda himaya. Tusubiri tu tumelizane na Meru.
Hakuna mgogoro chadema,hili ni zoezi la demokrasia tu.Mkuu usiniangushe kwa kutafsiri huu kama mgogoro.Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mkubwa mno.Zoezi la kidemokrasia na jukwaa la kujadili mstakabali wa nchi kupitia siasa,uchumii na kijamii ndiyo suluhisho kwetu kama Taifa.Ni mgongano wa mawazo tu,hapa zipo fursa za ukombozi,zipo fursa za uponyaji.Ipo njia ya kulitofautisha Taifa letu na Banana Republic
Kimbunga, From where the nation stands now, do you see hope; do you see things getting better?We must see hope even when it is opaque, otherwise we are all doomed. If we stop searching for hope and for any improvement, then we have stopped thinking and it means we have stopped breathing – we are all dead.
So, we must challenge all our intellectual capacities to bring about that hope and discuss or chart a new course for the country because right now, we are drifting. Now's the time that we should harp on industrial and economic policies. We should be building on a stable democracy. This is the time we are using to confront myriad of problems that are domestically and externally dangerous for the country such as religious division- promoting division and intolerance among the tribes. We are still solving that problem but we have not seen the cause of our problems and we are addressing ordinary symptoms; we are not seeing that it is poverty, neglect and lack of good economic policies and programmes that is leaving people more destitute.
There is the creation of violent reaction; we are not seeing electricity or power generation and supply to various homes and villages and for industrial use in our industrialisation but that is the most critical discovery of humanity in the last 1000 years. We have been searching for alternative in the last one century; we have not developed one and we have not even achieved any goal.
So, if we have not done that, we must give hope to our new generation; we can't give up on them. Do away with these tyrants by strongly opposing electoral malpractices in this country, by getting leaders to do away with deceptions; by mouthing and making noise about good governance without putting it to practice.
Call on the judiciary to wake up and do what is right and adhere to liberty, freedom, democracy and justice for all. That is where all our efforts must lie, otherwise we will neglect those areas at our own peril.
Let us provide alternative platform by mobilizing like-minded people to have some form of coalition.