kiongozi jasiri hawezi kulia ila atawaeleza wananchi mwelekeo wa nchi na nini kifanyike,sasa tuanze kupoteza muda tena kumbembeleza anyamaze wakati nchi ina changamoto nyingi za maendeleo.zitto tulia acha mbwembwe
Mapokezi yalikuwaje mkuu
Walipanda ndege Moja na Maalim, Lipumba, Ustaadh Mtatiro na Alhaji Jussa . Wakati Mbowe anaenda Vatcan, akina Lipumba walikuwa wanaenda Makka Saudi Arabia kumsalimu Allah na kumpiga mawe jirani wa Allah
He! he! he! Hakiyanani!!Walipanda ndege Moja na Maalim, Lipumba, Ustaadh Mtatiro na Alhaji Jussa . Wakati Mbowe anaenda Vatcan, akina Lipumba walikuwa wanaenda Makka Saudi Arabia kumsalimu Allah na kumpiga mawe jirani wa Allah
Habari yenyewe inahang mbaya.
Haijakamilika kwa lolote.
point of correction mkuu! watanzania wenye mapenzi na nchi hii wanakupenda sana zito ila wakati mwingine maneno na matendo yako yanawachanganya kiasi cha kuanza kupima imani yao kwako.ni maoni na maombi yangu kwako upime tena maneno na matendo yako kabla hujayatekeleza na hakika utakula mema ya nchi hii kama usipozimia moyo kwani the best is yet to come,KILA LA KHERI KAMANDA TUKO PAMOJA MPAKA KIELEWEKE.zito nafsi yako itafakari imani walionayo watanzania kwako.je? Unawatendea yaliyo ya haki kutoka moyoni mwako?
Kamkumbuka Amina Chifupa huyo....