Zitto ndani ya Mwanza

UMATI ULIKUWA MKUBWA SANA PALE MAGOMENI-Kirumba, UTAFIKIRI UCHAGUZI WA RAIS
 
Zittto kiukweli kajitoa muhanga kufanya kazi ambayo watanzania wengi wamekuwa wakaiogopa hadi taifa likafilisika na mashirika yakafa....tunakushukuru sana kaka Zitto...

Angalizo ni moja tu....kama mmoja wetu alivyosema hapo awali...umanisha fikra na nia na pia vitenganishe kidogo na chachu (hamu).....

eg. consider you are very young...you can serve better first as prime minister.....then later vice president...and lastly as the president while you are at your mid fifty's.......there is no good in rush....also ni vema uondoe visiki kabla ya kuingia afisi kuu.....

ni vema ukakumbuka "nguvu ya mamba kumaji" uko hivyo na unakubalika hivyo ukishikamana na wenzio chamani....tofauti ya hapo ni shida...

pia ukumbuke kuwa gari bila tairi au exhaust bado sio gari

all the best zitto
 
Back
Top Bottom