Zitto ndani ya Mwanza

huu umbea na ujinga msiwe mnakuja kutuletea hapa!!!!sasa unataka tujadili nini hapa.....acheni pumba pelekeni huko fb
 
kiongozi jasiri hawezi kulia ila atawaeleza wananchi mwelekeo wa nchi na nini kifanyike,sasa tuanze kupoteza muda tena kumbembeleza anyamaze wakati nchi ina changamoto nyingi za maendeleo.zitto tulia acha mbwembwe

we si tunajua ukikabiliwa na emotions kama hizo unatoka majasho? Machozi yanapunguza stress. Ni ishara ya huzuni ama furaha iliyopitiliza. Upo hapo?
 
Hizi Ni hoja Zakishabiki ambazo Hazitujengi kabisa na wakati mwingine zina tudhalilisha ...Tueleze hoja ya msingi Ameenda kufanya nini pengine watu tunge jua kuwa hisia za watu zi melenga matumainiyapi?..
 
kwa kweli kaka humu JF,mna watu wanaozungumza na kufikiri kwa kutumia tumbo,mtu anaweza kutoa wazo la maana kwa ajili ya mstakabari wa nchi yetu na Taifa,lakini baada ya hapo comment zitakazotolewa ni pumba tupu!!ni bora watu hao warudishwe fb haraka, kwani huko ndipo penye umbea na udaku.
 
Nilipishana na msafara wa pikipiki kama 300 hivi mida ya sa7 unusu zinatokea Mza airport huku zikiwa na bendera za CDM...

Kwa uwingi ule hata ningekuwa mimi Ulukolokwitanga ningelia tu kwa furaha. Inaonekana upepo wa kupendwa na wananchi umehama toka CCM kwenda CDM kwa kasi ya hali ya juu.
 
Walipanda ndege Moja na Maalim, Lipumba, Ustaadh Mtatiro na Alhaji Jussa . Wakati Mbowe anaenda Vatcan, akina Lipumba walikuwa wanaenda Makka Saudi Arabia kumsalimu Allah na kumpiga mawe jirani wa Allah

nimecheka sana mkuu. duh! we noumer sana.
Im out
 
Juzi nimeangalia move ya Jet Li inaitwa Ocean Heaven nikalia machozi, so kila mwanadamu anaguswa kwa namna yoyote juu ya jambo lolote, kinachomtoa machozi anakijua yeye mwenyewe ila kwa mahala na swala husika Mh.Zito anapotray namna alivyoguswa na matokeo ya kazi ngumu anayoipambania kama mbunge makini kijana mwenye bonafide na taifa lake.
Mh.Zito is among the freedom fighters wanaofanikisha harakati za kumuondosha mkoloni mweusi.
Viva CDM.
 
Walipanda ndege Moja na Maalim, Lipumba, Ustaadh Mtatiro na Alhaji Jussa . Wakati Mbowe anaenda Vatcan, akina Lipumba walikuwa wanaenda Makka Saudi Arabia kumsalimu Allah na kumpiga mawe jirani wa Allah
He! he! he! Hakiyanani!!
 
3.JPG
 
Tuko viwanja vya Magomeni Kirumba na Zito ananguruma,umati ni mkubwa sana
 
zito nafsi yako itafakari imani walionayo watanzania kwako.je? Unawatendea yaliyo ya haki kutoka moyoni mwako?
point of correction mkuu! watanzania wenye mapenzi na nchi hii wanakupenda sana zito ila wakati mwingine maneno na matendo yako yanawachanganya kiasi cha kuanza kupima imani yao kwako.ni maoni na maombi yangu kwako upime tena maneno na matendo yako kabla hujayatekeleza na hakika utakula mema ya nchi hii kama usipozimia moyo kwani the best is yet to come,KILA LA KHERI KAMANDA TUKO PAMOJA MPAKA KIELEWEKE.
 
Mimi siamini machozi au kulia kama njia ya ku-express furaha,na mara nyingi mtu anapopatwa na jambo linalofurahisha na akatoa machozi kuna inawezekana,labda hilo jambo zuri amelipata baada ya kupitia mateso na taabu nyingi..mfano mtu anaweza lia wakati anahitimu masomo yake kwasababu ya kukumbuka taabu ya kukosa ada,kufiwa nk...otherwise siamini furaha kuonyeshwa kupitia kulia...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom