Kwahiyo ni mwanajeshi sio? Kama wanavyodai kua pakitokea vita naye anakwenda front line sio?Huyu alikwenda JKT baada ya kumaliza mafunzo ya ualimu kwa shule za msingi. Ni huko JKT kipaji chake cha kuimba kilipogundulika akachukuliwa kwende Monduli kwenye chuo cha maofisa wa jeshi.
Mkipigwa sumu huko msije mkaanza kulialia na kutafuta huruma humu JF, Heri yako Nassary umefata ushaur na kutoakuamua kuto kwenda huko machinjoni, Zitto uwe makin huko JKT kwani binadamu hatuna utu kabisa kwan haya maCCM yanaweza yakakupiga hata risasi ya kifua kwny mafunzo na kusingizia bahati mbaya.
Tangu alipotoka Monduli, aliongoza kikundi cha sanaa jeshini hadi TOT ilipoanzishwa. Ikitokea vita anaweza kwenda kwa shughuli za utumbuizaji kwa wapiganaji.Kwahiyo ni mwanajeshi sio? Kama wanavyodai kua pakitokea vita naye anakwenda front line sio?
Asante sana kwa taarifa!Tangu alipotoka Monduli, aliongoza kikundi cha sanaa jeshini hadi TOT ilipoanzishwa. Ikitokea vita anaweza kwenda kwa shughuli za utumbuizaji kwa wapiganaji.
ilikua ni hiari, kwa wale ambao hawakupata fursa ya kuhudhuria, walipewa nafasi ya kujiandikisha ili waweze kuhudhuria mafunzo hayo
Jamaa kashawaua Wafanyakazi wa Migodini wanaotegemea kujipanga kimaisha kwa kutegenea fao la kujitoa kwa kuishauri Serikali IZUIE KABISA FAO LA KUJITOA kavuta chake halafu sasa kwa raha mstarehe kaenda kujificha JKT eti anakwenda kutafuta uzalendo.
Mwenyezi Mungu wa Mbinguni amlipe malipo yake sawa na unafiki wake.
Naamini kwa ajili Mungu ni mtenda haki ataanza kukulipa wewe unayeshuhudia uongo
Kachafua hali ya hewa na issue ya fao lakujitoa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, so aende asiende wengine tumeisha mchukia!
Nakutakia kila la kheri, kwa kipindi utakachokuwa jkt. Tunakuombea ukajengewe uzalendo zaidi, utoke ukiwa mwana-ccm, mzalendo, aliyeiva sawasawa.
(ccm itatawala milele)
Wewe endelea tu na ushabiki usiokuwa na maana kwa huyo Zitto wako, umaarufu wote aliokuwa nao kipindi akiwa mzalendo umeporomoka sana tofauti na wakati ule wa issue za Buzwagi.
Mara tu alipokubali kuwa mtumwa wa Rushwa sasa hivi kwisha kazi na kama unadhani ana umaarufu wowote labda ni humu humu kwenye mitandao na kwa watu wasiokuwa na uelewa wowote, inamaa kauli hoja alizozitoa Zitto huko Arusha week 3 zilizopita hadi akiwa anashangiliwa na Waziri Kabaka na swaiba wake Ramadhani Dau na kipindi kupewa air time na TBC hukuziona? Au unaendekeza tu ushabiki kwa Zitto?
Tafakari sana!!!!!
pamoja na hayo unayoyasema,zitto kasaidia sana raia wa tz kufahamu madudu ya serikali ya jk. na kama kashuka hata jk kashuka sana leo hii ukilinganisha na alivyoingia madarakani. huu ni upepo tu utapita na liwalo na liwe.
Wewe endelea tu na ushabiki usiokuwa na maana kwa huyo Zitto wako, umaarufu wote aliokuwa nao kipindi akiwa mzalendo umeporomoka sana tofauti na wakati ule wa issue za Buzwagi.
Mara tu alipokubali kuwa mtumwa wa Rushwa sasa hivi kwisha kazi na kama unadhani ana umaarufu wowote labda ni humu humu kwenye mitandao na kwa watu wasiokuwa na uelewa wowote, inamaa kauli hoja alizozitoa Zitto huko Arusha week 3 zilizopita hadi akiwa anashangiliwa na Waziri Kabaka na swaiba wake Ramadhani Dau na kipindi kupewa air time na TBC hukuziona? Au unaendekeza tu ushabiki kwa Zitto?
Tafakari sana!!!!!
good news
nimesikitika sana kusikia nasari amekimbia camp
the boy needed to stick to his words
Utakuwa umechanganya habari.