Aaah come on Nguruvi3.
Please stop that you are smarter than that.
Huo sasa unaotaka kuucheza ni mchezo wa kitoto kabisa.
Na ina CHUSHA kusoma fananisho zako za kihoja na mantiki.
Kiukweli mimi nataka wewe nguruvi3 na Mchambuzi pamoja na wengine mnaoshikia bango hoja hii mniambie beyond a reasonable doubt na kwa ushahid uliojitosheleza na viambatanisho kwamba kwa sababu hizi hizi na hizi na kwa uthihitisho huu na huu zito kabwe ni traitor na ni mchafu hana intergrity ya kusimama kama mwenyekiti wa PAC kupigia kelele suala hili la escrow.
Hapo nitakuelewa.lakn hizi spinnings unazotaka kuzileta hivi sasa na hizi compare and contrast zako hivi sasa mimi naona unazid kwenda songombingo.
Hebu kwa faida ya jukwaa hili tuthibitishie kwa ushahid uso na shaka wa kumtia kabwe zitto hatian kuwa yeye mwenyewe ni fisadi au anashirikiana na mafisadi kubomoa taifa hili huku at the same time akijaribu kucheza na emotions zetu.
Na ukishindwa kufanya hivyo jipime wewe mwenyewe kisha ujitathmin kwamba je unadeserve kujiita great thinker?
All what i can see is contradictions..
Seriously you are contradicting yourself.
Infact hoja kuu hapa ni Escrow...tunafocus kwenye escrow...japo kabwe zitto ameileta hii ishu kama kucounterattack wale wanamuondoa kwenye track ya kulifocus hili la escrow kwa gia ya kupunch hizo shutuma lkn i am sure tunakubaliana kuwa hoja hapa ni escrow au siyo?
Unaona unavyojicontradict?mara unasema kwamba zitto kwenye uzi huu hajazungumzia escrow..at the same time unasema umeona kama kaitaja escrow kama mara tano hivi kwenye uzi huu huu?unaona unavyojichapa makofi mwenyewe??
Wewe ukitaka aizungumziaje ili uliridhike kuwa kaizungumzia?kwani ni geni hili la escrow mbele yako?hutosheki na jins lilivyozungumziwa na hadi hapo lilipofikshwa?
Hutosheki na hizi juhudi zinazofanywa katika kulipigia kelele suala hili ndan na nje ya bunge?
Unaonaje kama muda huu tungetumia kwa pamoja kumkata mwizi wetu kwanza kisha mambo mengine tutakuja kuyadiscuss baadae?
Yaani mnachokifanya nyinyi ni kwamba...
I will give you an example...
Yaani kuna watu watu wanapita nyumbani kwako kisha wanashuhudia kwa macho yao wezi wanavunja nyumba yako kisha wewe unapotaarifiwa badala ya kuungana nao kwenda kuangalia usalama wa nyumba yako na mali zako unasua sua na kuangalia nyuma huku unasema kwamba daaah...ila katika nyinyi mnaonipa hii taarifa hii ya wizi wa nyumba yangu baadhi nina was was na nyinyi.
Hiyo ya nini??we si uende ukapate uhakika na kuokoa mali zako kwanza?
Unadhani wale wezi watakuwa wanakusubir hadi wewe umalize kujifikiria?
Kusema kweli huwezi kuamini jinsi chuki na roho mbaya zinavyoweza kuwafanya watu vipofu, jamaa wananikumbusha enzi za Abubakari Kombo wa ile timu ya zamani ya Sigara na baadae Simba aliyekamia kula Sahani moja dhidi ya Edibily Lunyamila wa Yanga!, Kila akikutana naye jamaa anakaa man to man, kiatu mtindo mmoja. Lakini Guess what, Jamaa alicheza viatu sana, Lakini lunyamila akigeuka tayari keshampiga mtu tobo, anateleza wingi ya kushoto anaweka majaro Kizota au Muhammed Hussein mmaching anatupia kiulaini!!, wakati huo Abubakari kombo anaishia kupewa Red card tu!!.
Huu ni mfano wa Zitto!, kuna watu wameamua kumkaba man to man, kwenye mitandao na popote pale!, Ni watu wazima na akili zao, na wanajua wananchokifanya lakini wameamua Kuharibu tu, kutokana na chuki zao zisizopimika dhidi ya mheshimiwa Zitto. Wao wako tayari TAIFA ZIMA LIKOSE, ILIMRADI ZITTO APOTEZE
Watu wa aina hii mimi nawaita makuwadi wa mafisadi, Mafisadi wa kisiasa, ndio ni mafisadi,kwa sababu If they walk like a duck, Swim like a duck and Quack like a duck then they must be ducks (Mafisadi kwa muktadha huu).
Eti wanataka Mtuhumiwa alete proof ya majibu yake, lakini wanajua kabisa the burden of the proof lies squarely on the accuser, WANAWAACHA WANAOTUHUMU WANA GO AWAY NA TUHUMA, THEN WANAKOMAA NA MTUHUMIWA ALETE USHAHIDI WA UTETEZI WAKE!!!, THIS IS JUST AN UNFAIRNESS OF THE HIGHEST ORDER!!.
Nadhani sisi wananchi tuliochukizwa kwa dhati na madudu haya ya Escrow, tuendelee kupambana kwa nguvu, kwa kuwaunga mkono makamanda wetu wa Upambanaji waliosimama kuhesabiwa, walio msitari wa mbele katika hili, MAKAMANDA HAWA NI MFANO WA "MAWE YALE WAASHI WALIOKATAA, SASA YAMEKUWA MAWE MAKUU YA PEMBENI", nayo ni mheshimiwa Kafulila na Mheshimiwa Zitto!.
Wale waliomua kula karamu na kugongeana Glasi za kifisadi, na ulevi wao kuwafanya wawarushie chupa kamanda wetu, hao sisi tunawaacha na hangover zao sisi tunasonga mbele, hawa watahukumiwa katika mahakama za kihistoria.
Jamaa hawathubutu kuona japo kale kaujasiri ambako kamanda wetu amejitolea, ndugu zanguni kama mnamchukia sana mheshimiwa Zitto, heshimuni basi hata sacrifice yake katika mapambano haya. WENGI TULIOWATEGEMEA WAPAMBANE KWA PAMOJA NASI KATIKA VITA HII WAMEKAA KIMYA, HAWADHUBUTU, NA YULE ANAYEHATARISHA MAISHA YAKE MBELE YA MTANDAO HATARI WA MAFISADI, NAYE BADO MNAMRUSHIA MAWE!!!, NYINYI MNAMUUNGA NANI MKONO?.
Ninyi mnachotaka tuondoke katika kumbana Zitto na maswaliyake twende mnakotaka.Wasipoelewa na hili, basi nitaamini jamaa ni wabishi tu ilimradi kubisha!
Aaah come on Nguruvi3.
Kiukweli mimi nataka wewe nguruvi3 na Mchambuzi mnaoshikia bango hoja hiimniambie beyond a reasonable doubt na kwa ushahid uliojitosheleza naviambatanisho kwamba kwa sababu hizi hizi na hizi na kwa uthihitisho huu na huuzito kabwe ni
Nitazipitia hoja zako moja baada ya nyingine ili tueleweke na kuzuia spinning za kutuondoa katika mada.traitor na ni mchafu hana intergrity ya kusimamakama mwenyekiti wa PAC kupigia kelele suala hili la escrow.
Hebu kwa faida ya jukwaa hili tuthibitishie kwa ushahid uso na shaka wa kumtiakabwe zitto hatian kuwa yeye mwenyewe ni fisadi au anashirikiana na mafisadikubomoa taifa hili huku at the same time akijaribu kucheza na emotions zetu.
Na ukishindwa kufanya hivyo jipime wewe mwenyewe kisha ujitathmin kwamba jeunadeserve kujiita great thinker?
Seriously you are contradicting yourself.
Infact hoja kuu hapa ni Escrow...tunafocus kwenye escrow...japo kabwezitto ameileta hii ishu kama kucounterattack wale wanamuondoa kwenye track yakulifocus hili la escrow kwa gia ya kupunch hizo shutuma lkn i am suretunakubaliana kuwa hoja hapa ni escrow au siyo?
Unaona unavyojicontradict?mara unasema kwamba zitto kwenye uzi huuhajazungumzia escrow..at the same time unasema umeona kama kaitaja escrow kama mara tano hivi kwenye uzihuu huu?unaona unavyojichapa makofi mwenyewe??
Wewe ukitaka aizungumziaje ili uliridhike kuwa kaizungumzia?
Unaonaje kama muda huu tungetumia kwa pamoja kumkata mwizi wetu kwanza kishamambo mengine tutakuja kuyadiscuss baadae?
Nguruvi3,
Ndugu zetu Gamba la Nyoka, THE BIG SHOW etc, wamelemewa na hoja kiasi cha kutoelewa Kwamba tupo nao bega kwa bega kupingana na ufisadi. Wanakataa Ukweli Kwamba hoja yetu ya msingi ni Kwamba zitto Hana integrity ya kupambana na ufisadi. "Zitto wa Buzwagi sio zitto wa escrow", that's the bottom line. Ni heri akina Waberoya walichagua matusi na mipasho, na baadae kuamua kukwepa Kujibu hoja zetu directly; Katika hili, zitto alikurupuka, jipangeni upya.
Katika mjadala huu wale wenye chuki binafsi dhidi ya mheshimiwa Zitto wamebanwa kisawasawa na kushindwa kutetea hoja zao zenye kumshambulia mtu badala ya hoja.
Mchambuzi na rafiki yake wanapingana wenyewe kwa wenyewe katika hoja zao, mfano mchambuzi anaquestion integrity ya Zitto wakati mwenzie anasema la hasha hatuhoja mambo machafu ya Zitto bali tunahoji majibu aliyoyatoa dhidi ya tuhuma zake.
Mchambuzi aliyehoji Integrity ya Mheshimiwa Zitto ameshindwa kujibu swali la kutuonyesha mbadala ya mwenye integrity bora zaidi ya Zitto anayefaa kuongoza vita hii, ambaye mass inapaswa kuwa pamoja naye.
WADAU KATIKA MADA HII, WAMETAMBUA KUWA KUNA WATU WAMEMKAMIA ZITTO KWA KILA KITU ATACHOFANYA, WAMEMSHINDWA KWA HOJA WAMEBAKI KUMLETEA VIOJA!!
Mheshimiwa Zitto ni mti uzaao matunda, na nitashangaa kama hautatupiwa mawe, hawa wakina mchambuzi ni matone tu katika yale mawimbi makali ya mafisadi ambayo mheshimiwa Zitto anapambana nayo.
Wananchi hawako tayari kusikiliza sarakasi za kisiasa za hawa akina mchambuzi, WAO BADALA YA KUSIMAMA NA MTU ANAYEJITETEA KWA KUSHAMBULIWA NA MTANDAO WA MAFISADI WAO WAMEKAA KUTUPA MAWE DHIDI YA ANAYEJITETEA!.
Katika mada hii wana JF wamejionea vyema wale wanojiita ma"great thinkers", na naunga mkono wale wote waliowataka hawa watu kujievaluate ugreat thinker wao, WAJIPIME WAO WENYEWE KISHA WAONE KAMA WANAFAA KUENDELEA KUBAKI KATIKA LILE JUKWAA ZITO LA GREAT THINKERS.
KATIKA WAKATI HUU MGUMU AMBAO TAIFA LINAPAMBANA NA UFISADI WA ESCROW HALAFU MTU ANAFANYA MAMBO YA KUWASHAMBULIA MAKAMANDA WANAOPAMBANA NA MAFISADI HAO, BASI MTU HUYO ANAMSAIDIA ADUI!!. NA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI MBALI MBALI, MTU ANAYEMSAIDIA ADUI WAKATI WA VITA ANAKUWA "AN ENEMY OF THE STATE".
katika mada hii Mchambuzi na mwenzie wanaleta distractions katika mapambano dhidi ya ufisadi wa escrow, na hivyo kwa namna moja au nyingine wanawasaidia mafisadi wa escrow.
KIUFUPI MCHAMBUZI NA RAFIKI YAKE HAWANA HOJA, WANALETA VIOJA!!!
Well. mumeshindwa ku prove chuki ipo wapi. Kama mlidhani tupo hapa kumshangilia Zitto na kutofanya hivyo ni chuki basi hiyo chuki na iwe. Hatuwezi kuacha critical thinking kwasababu tu Zitto kasema. NadaGamba la Nyoka;11154956]Katika mjadala huu wale wenye chuki binafsi dhidi ya mheshimiwa Zitto wamebanwa kisawasawa na kushindwa kutetea hoja zao zenye kumshambulia mtu badala ya hoja.
Jibu lipo hapaMchambuzi na rafiki yake wanapingana wenyewe kwa wenyewe katika hoja zao, mfano mchambuzi anaquestion integrity ya Zitto wakati mwenzie anasema la hasha hatuhoja mambo machafu ya Zitto bali tunahoji majibu aliyoyatoa dhidi ya tuhuma zake.
Nadhani umeona jinsi tunavyounganisha kauli na kuzitetea. Spinning haijafanikiwa, jaribu tenaNguruvi3:Tano, Tuhuma zaZitto zinahusu kukimbia sehemu muhimu ya tuhuma na kuleta flimsy hoja.Hilo linaleta wasi wasi na ndio maana hoja ya integrity ya Zitto inapoingia.Mchambuzi kalifafanua vizuri sana.Integrity inahusiana na historia yake yakujibu nusu nusu na baadaye tunatambua alikuwa ana jingine pengine
Kama ni integrity ya Zitto, hatuhitaji kujua integrity ya mtu mwingine ili ya Zitto iwe chafu au safi. Integrity ya Zitto ni ya Zitto na hadi sasa ni mbaya. Kinachoendelea hapa ni kutaka kumsafisha, hilo limeshindikana. Ukweli ni kuwa hana public trust na integrity yake ipo all time low. Leo Zitto ayaongea nini watu wamwamini bila doubt.The bottom line, heshima yake ni yake haina mbadala au hailinganishwi na ya mtu mwingine.Mchambuzi aliyehoji Integrity ya Mheshimiwa Zitto ameshindwa kujibu swali la kutuonyesha mbadala ya mwenye integrity bora zaidi ya Zitto anayefaa kuongoza vita hii, ambaye mass inapaswa kuwa pamoja naye.
Wadau wameelewa tatizo la utetezo wa Zitto lipo wapi. Leo wanajiuliza, hivi alimtafutia nyumba CEO wa Shell au hapana. Maana jibu la swali hilo ni kuwa Ongangi ana mke na mtoto. Na maswali mengi na hoja hakuzijibu, mlichofanya ni kutaka ashangiliwe ili kutimiza lengo la kurudisha heshima yake ambayo hata ninyi mnafanya kazi ya kuiinua.WADAU KATIKA MADA HII, WAMETAMBUA KUWA KUNA WATU WAMEMKAMIA ZITTO KWA KILA KITU ATACHOFANYA, WAMEMSHINDWA KWA HOJA WAMEBAKI KUMLETEA VIOJA!!
Integrity yake na motive behind vitahojiwa bila kuangalia jina au wasifu. Zitto wa enzi hizo si huyu wa leo. Akileta flimsy hoja tutazifanyia kazi. Hatutapunzika tukishuhudia wananchi wakibabishwa. We will stand with publicMheshimiwa Zitto ni mti uzaao matunda, na nitashangaa kama hautatupiwa mawe, hawa wakina mchambuzi ni matone tu katika yale mawimbi makali ya mafisadi ambayo mheshimiwa Zitto anapambana nayo.
Hatupiwi mawe, hoja zake zinajadiliwa. Utetezi wake ni hafifu usiokidhi haja. Utetezi wake haulingani na nafasi yake. Ni msomi na exposure yake haimpi nafasi ya kusamehewa kwa makosa yake ya uandishi na utetezi. Hawezi kuulizwa 1+1 ni ngapi, akatoa jibu ni madascar tukakaa kimya, nada!Wananchi hawako tayari kusikiliza sarakasi za kisiasa za hawa akina mchambuzi, WAO BADALA YA KUSIMAMA NA MTU ANAYEJITETEA KWA KUSHAMBULIWA NA MTANDAO WA MAFISADI WAO WAMEKAA KUTUPA MAWE DHIDI YA ANAYEJITETEA!.
Well said, hakuna anayejiita hivyo na hilo la great thinker sijui umelipata wapi. Hata hivyo kama umma unakubali sisi hatuna tatizo. Hatuhitaji evaluation ili kumsifia mtu aliyedhihirisha ni mchanga wa kisiasa aliyevia na asiyekua.Katika mada hii wana JF wamejionea vyema wale wanojiita ma"great thinkers", na naunga mkono wale wote waliowataka hawa watu kujievaluate ugreat thinker wao, WAJIPIME WAO WENYEWE KISHA WAONE KAMA WANAFAA KUENDELEA KUBAKI KATIKA LILE JUKWAA ZITO LA GREAT THINKERS.
Ni kamanda Zitto aliyetuongoza kuhusu ukaguzi wa pesa za vyama. Waraka wa Kitila ukatuonyesha alikuwa anatumia nafasi hiyo kujijenga na si masilahi ya umma. Hatuhitaji kamanda mwenye sura za wasi wasi. Zitto hana sifa ya kuongoza mapambano mazito kama haya. Juhudi za kujisafisha zitachukua muda mrefu, hata hivyo bado ana nafasi ya kurudi kisiasa kama ataacha utoto na kukumbatia utu uzima. Immaturity inamuumiza sana.KATIKA WAKATI HUU MGUMU AMBAO TAIFA LINAPAMBANA NA UFISADI WA ESCROW HALAFU MTU ANAFANYA MAMBO YA KUWASHAMBULIA MAKAMANDA WANAOPAMBANA NA MAFISADI HAO, BASI MTU HUYO ANAMSAIDIA ADUI!!. NA KWA MUJIBU WA SHERIA ZA NCHI MBALI MBALI, MTU ANAYEMSAIDIA ADUI WAKATI WA VITA ANAKUWA "AN ENEMY OF THE STATE".
Aliyeleta distraction ni Zitto kwa kuleta hoja nyanya, dhaifu na zisizo na mashiko. Hatuhitaji Zitto ili tufanikiwe. Tunahitaji watu wenye dhamira ya kweli, wasafi wa roho na akili. Watu wanaotetea umma na si nafasi zao za kisiasa.katika mada hii Mchambuzi na mwenzie wanaleta distractions katika mapambano dhidi ya ufisadi wa escrow, na hivyo kwa namna moja au nyingine wanawasaidia mafisadi wa escrow.
KIUFUPI MCHAMBUZI NA RAFIKI YAKE HAWANA HOJA, WANALETA VIOJA!!!
Zitto hana sifa ya kuongoza mapambano mazito kama haya.
Mwenye sifa ya uadilifu, uaminifu, political maturity. Mtu anayeweka masilahi ya umma mbele na si yake binafsi. Mtu mwenye heshima katika jamii anyeaminika kwa kauli na matendo.Kaka mkubwa, bila kupepesa macho tuambie ni nani mwenye sifa ya kuongoza mapambano haya...
Mwenye sifa ya uadilifu, uaminifu, political maturity. Mtu anayeweka masilahi ya umma mbele na si yake binafsi. Mtu mwenye heshima katika jamii anyeaminika kwa kauli na matendo.
Mchambuzi.Nguruvi3,
Ndugu zetu Gamba la Nyoka, THE BIG SHOW etc, wamelemewa na hoja kiasi cha kutoelewa Kwamba tupo nao bega kwa bega kupingana na ufisadi. Wanakataa Ukweli Kwamba hoja yetu ya msingi ni Kwamba zitto Hana integrity ya kupambana na ufisadi. "Zitto wa Buzwagi sio zitto wa escrow", that's the bottom line. Ni heri akina Waberoya walichagua matusi na mipasho, na baadae kuamua kukwepa Kujibu hoja zetu directly; Katika hili, zitto alikurupuka, jipangeni upya.
Mchambuzi, najua hauwezi kukubali utakuja na hoja ya kutetea hii mipasho yako na matusi.Cha ajabu ni Kwamba, akitokea mchangiaji akasema hata maneno "go zitto", bila ufafanuzi, akina Gamba la Nyoka, Waberoya, Ritz, na wenzao wanachangia kwa Hali na Mali, lakini linapokuja suala la wachache kuomba ufafanuzi wa majibu yaliyowasilishwa na zitto mwenyewe, kwa tuhuma alizowasilisha zitto mwenyewe, ni matusi, vijembe, na mipasho ya kila aina. Wananchi wanawasoma, ni Bahati yenu utambulisho wenu humu ni wa kimsukule, Vinginevyo Mtakuja kumbuka hoja Zetu siku sio Mbali;
Mwenye sifa ya uadilifu, uaminifu, political maturity. Mtu anayeweka masilahi ya umma mbele na si yake binafsi. Mtu mwenye heshima katika jamii anyeaminika kwa kauli na matendo.
Mbowe, Dr.Slaa, Lema.Mtaje kwa MAJINA kabisa