Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Mkuu Nguruvi3.

Hivi Zitto Zuberi Kabwe, alikukosea nini naona mabandiko yako mengi kweli kweli unapambana nae tofauti na wanasiasa wengine, mfano angalia ili kisha tutarudi kwenye mada yetu.
Nami ''mtoto'' ambaye naweza kuwa stupid nichangie hoja zako muungwana tafadhali.

Kwanza, umemaliza vizuri sana kwa kusema tunarudi nyuma kupambana na CCM kutokana na utitiri wa vyama.
Nimelisema sana hili katika bandiko tulilo nalo, na naomba credit kwa wewe kulitumia leo.

Kama umenisoma nimeeleza mara nyingi, sina tatizo na ujio wa chama chochote au mwanachama kuhama chama kimoja kwenda kingine.Hiyo ni sehemu ya demokrasia na haki za msingi za kila mtanzania.

Nina tatizo na aina ya wanasiasa uchwara wanaotumia uelewa finyu wa jamii kuwapoteza kwasababu tu ya matumbo, na si kile wanachokihubiri.

Ninachokikataa ni wasomi kutumia kalamu na elimu zao kuupotosha umma wakitubabaisha wana mbadala.

Kusuluhisha migogoro ni jambo jema na ni sehemu ya ukomavu wa vyama.
Hata hivyo kuna kiwango ambacho kuvumilika inakuwa ni tatizo kubwa kuliko kuwaondoa.

Migogoro huwa ni sehemu ukomavu, lakini pia kumbuka chama kikongwe kama CCM kimemfukuza Mansour Himid kwasababu zao. Kwenye fizikia wanasema, vitu vina yield point, beyond that kunatokea jambo jingine.

Naelewa wewe ni swahiba wa Zitto, niwie radhi nitakapokugusa.
Zitto na Kitila ni mfano mzuri wa wanasiasa wanaotia shaka na hofu ,kimantiki, weledi na moral authority.
In fact kwangu mimi ni political opportunists tu.

Unafahamu ZZK alikuwa ni tatizo CDM,amevumiliwa sana akikingiwa kifua na Mbowe.
Baraza kuu liliwahi kutoa maazimio kumhusu,akavumiliwa.

Zitto ni chanzo cha migogoro akiongoza vijana wa Bavicha waliomtaja kwa kila aina ya ushiriki na ushahidi.
Alikuwa nyuma ya Juliana akitetewa na Kitila magazetini wakizorotesha CDM ili hali ni viongozi waandamizi.
Ni mshiriki wa Masalia and thanks to Ben Saanane who came to the rescue at the right time.

Mpango wa Juliana uliposhindikana, ukaundwa mpango wa Waraka.
Ikafika mahali ZZK akiwa katibu mkuu anacheza upande wa pili kutuhuma chama chake yeye akiwa kiongozi.
Mpango wa Waraka ambao ukiusoma ni mpango wa hovyo uliposhindwa ndipo ACT ikaanza kuundwa.

Katika kubabaisha watu ZZK akakimbilia mahakamani. Tunajua alitaka kuwa ndani ya BMLK, wala si kutaka kutetea haki.

Katika kumhamisha, Kitila kaanza kutudanganya anamshwishi ajiunge na ACT.
Tunafahamu hawa ni washirika katika shughuli zao, lengo la Kitila lilikuwa kuwaanda washabiki wasioelewa kumfuata Zitto.
Hilo nalo si tatizo, tatizo ni kutufanya sote ni vilaza kama kundi wanalolenga. Hapo tunasema, ney! stop

Tatizo linalojitokeza ni mkakati wa ACT kupambana na wapinzani badala ya CCM.
Hapa ndipo hoja ilipo, hivi hawa wasomi wanatumia nyenzo gani wakati wa kufikiri?

Tumeona kifo cha NCCR, halafu CUF na jinsi upinzani ulivyozorota na nyangumi CCM akitamba kwa ufisadi.
Hawa wasomi akili zao si kuondoa CCM ni kupambana na upinzani, REAL!

Ikifika hapo swahiba wako Zitto ni tatizo kubwa la siasa za nchi.Mshirika wake Kitila anaamini nchi hii lazima iongozwe na Zitto.

Na yote hayo yalizaa vurugu wakati wa chaguzi huku Zitto akileta sintofahamu, Kitila akiwachochea akina Juliana katika jitihada za kukimaliza chama chao wenyewe, na wao wakiwa viongozi.

Zitto katibu mkuu anatangaza kuwania urais wakati mgombea wa chama chake yupo katika kampeni.
Kwa uvivu na uzembe wa CDM walimvumilia kama unavyomvumilia, kwasababu ni mtu muhimu sana kwenye siasa za nchi hii. Real!

Tunazidi kupata ushahidi wa ushirikiano wa Kigoma, CDM,Ludovic, Mwigamba, Zitto, Kitila, Msaki,Lwakatare, CCM,Polisi kila uchao.Ipo siku tutasikia mengine achilia mbali yale ya masalia, text, waraka n.k.

Katika unafiki wa namna hiyo , ni akina Waberoya wanaoweza kuamini hawa watu wanastahili kupewa benefit of doubt katika nyanja za siasa.Pitia mabadiko ya ACT , hakuna sera ni mipasho tu halafu tunaaminisha ni mbadala wa CCM.

Narudia tena 'mtoto' sikuwahi kuandika chochote kuhusu ACT hadi ilipopata usajili na zaidi ya hapo.
Nimeanza kuandika baada ya akina Kitila na Zitto kuanza kutufanya umma wa Watanzania ni mazezeta.
Tunachojaribu kuwaambia hapa ni kuachana na siasa za majitaka za kitoto na watangulize usomi katika kufanya mambo.

Haya wanayofanya yanatokea kwa PPPT, jahazi au TLP na wala hayatushughulishi.
Kinachotushughulisha kwa hawa wasomi ni kuwa, wao ndio walioandika sera wanazosema ni mbaya leo hii.

Hawa ndio walipiga vita udikteta, wakitaka demokrasia itamalaki.Leo wanakuja na majitaka yale yale waliyokataa huko walikotoka.

Sisi tunasimama na kusema, umma lazima uwaelewa. Hatuwezi kuishi na wanafiki wa CCM miaka nenda rudi na tukae kimya wengine wakizaliwa na tukiwaona.

Lengo la ACT ni kuja kuua upinzani. Hatujali upinzani ni wa chama gani, tunacholaani ni ACT ya Zitto na Kitila kutaka kuturudisha kwa akina Mabere na Mrema. Ni kulaani kurudi kwa CUF ya Seif na Hamad Rashid. CUF ya Seif na Mapalala.

Tunalaani mbinu za kutibu matumbo kama anavyofanya Mrema.
Kukaa kimya ni kufumbia macho gonjwa baya la udanganyifu na siasa uchwara.Tunataka tutoke tulipo na si kuamini majina au watu.

Sina tatizo na ACT hata kidogo kwasababu hata sera zao sijaziona.
Nina tatizo na wanafiki wa ACT wanaotaka kutumia ignorance ya jamii kufanya political exploitation.

Ney, tutasimama, narudia tutasimama kuueleza umma kuhusu wanafiki, wazandiki na wasaliti wanaotibu njaa zao kwa kuwatumia wasiobahatika kuwa na uelewa kama ngazi za kujenga matumbo yao.

Na hapa simungunyi maneno, Kitila na Zitto ni national disaster in political sphere.

Waberoya, Nguruvi3 haangalii makunyanzi. Nimeshamwambia(Nipo katika rekodi) Mbowe mara nyingi, Dr Slaa tena mara ya mwisho ni mwezi uliopita, Mwigulu, Nape, Seif, Lema, Jusa, JK,Mrema na wengine.

Ninasema ninachotaka kukuambia na si kile unachotaka kusikia.
Daaa!!! hapa umemtaja Zitto kwenye post moja tu mara 15 mpaka ukachoka kuandika Zitto, ukaandika ZZK

Teh teh teh

Cc: Waberoya.
 
Hivi kumbe simba trust ipo?? na inakula 50%?????? sasa mbona wale jamaa walikanusha? hii nchi hatari sana
 
Mkuu Nguruvi3.

Hivi Zitto Zuberi Kabwe, alikukosea nini naona mabandiko yako mengi kweli kweli unapambana nae tofauti na wanasiasa wengine, mfano angalia ili kisha tutarudi kwenye mada yetu.

Daaa!!! hapa umemtaja Zitto kwenye post moja tu mara 15 mpaka ukachoka kuandika Zitto, ukaandika ZZK

Teh teh teh

Cc: Waberoya.
Hizi zote ni spinning. Hilo bandiko lipo duru za Siasa. Tumekuwa na mjadala kuhusu hilo na Waberoya ndiye wa mwisho kushiriki. Hili bnandiko si la uzi huu na unachokifanya ni kujaribu kutafuta namna ya kuingiza hoja zako ili ionekane ninamshambulia Zitto.

Napenda niweke rekodi sawa bandiko aliloweka Ritz 922 halikuandikwa katika uzi huu, ni bandiko lilopo katika uzi huu .......
https://www.jamiiforums.com/great-t...a-cha-act-mpini-wa-ccm-kumaliza-upinzani.html

Hivyo jitihada za kuonyesha kuwa kuna ''chuki na Zitto'' zinafanywa ili kutuondoa katika mjadala huu ambao, washabiki, manazi na wapenzi wa Zitto wameshindwa kuleta utetezi wa maana.

Uzi unaojadiliwa hapa ni wa Zitto. Kama kuna mtu au watu wanataka mjadala kuhusu Zitto na mengineyo, ni vema wakaenda kwenda uzi husika.

Hili, halitajanyamazisha au kutufanya tuonekane wabaya kwa kupinda mjadala ili kufunika udhaifu mkubwa wa mada ya Zitto.
 
Zitto ni national disaster in political sphere by Nguruvi3
Katika uzi huu https://www.jamiiforums.com/great-t...a-cha-act-mpini-wa-ccm-kumaliza-upinzani.html

Uzi uliopo mbele yetu ni wa Zitto na tuhuma. Hapo ndipo tunapaswa kuelekeza nguvu na akili zetu.

Hizi jitihada za kuchukua maneno ya uzi mwingine, ni jitihada za kufunika udhaifu wa HOJA YA ZITTO.
HOJA INAYOJADILIWA HAPA NI UDHAIFU WA TUHUMA NA MAJIBU YA ZITTO kwa mitazamo tofauti.

The more mnavyofanya spinning ndivyo mnatusaidia kujenga hoja.

Kama kuna mtu ana mjadala nje ya huu, twende kwenye uzi husika.

Na hapa naweka baadhi ili tukutane huko https://www.jamiiforums.com/great-t...a-cha-act-mpini-wa-ccm-kumaliza-upinzani.html.

Huu uzi si wangu ni wazito.
 
Hizi zote ni spinning. Hilo bandiko lipo duru za Siasa. Tumekuwa na mjadala kuhusu hilo na Waberoya ndiye wa mwisho kushiriki. Hili bnandiko si la uzi huu na unachokifanya ni kujaribu kutafuta namna ya kuingiza hoja zako ili ionekane ninamshambulia Zitto.

Napenda niweke rekodi sawa bandiko aliloweka Ritz 922 halikuandikwa katika uzi huu, ni bandiko lilopo katika uzi huu .......

Hivyo jitihada za kuonyesha kuwa kuna ''chuki na Zitto'' zinafanywa ili kutuondoa katika mjadala huu ambao, washabiki, manazi na wapenzi wa Zitto wameshindwa kuleta utetezi wa maana.

Uzi unaojadiliwa hapa ni wa Zitto. Kama kuna mtu au watu wanataka mjadala kuhusu Zitto na mengineyo, ni vema wakaenda kwenda uzi husika.

Hili, halitajanyamazisha au kutufanya tuonekane wabaya kwa kupinda mjadala ili kufunika udhaifu mkubwa wa mada ya Zitto.
Wala hakuna wakukutoa kwenye mjadala nilikuwa naweka sawa kumbukumbu kwa wanaukumbi wajue wewe na Zitto mpo vipi wakati tukiendelea na mjadala huu dhaifu wa hoja za Zitto takuwa naweka kiduchu hoja zako nzito dhidi ya Zitto, tuendelee na mjadala hakuna spinning hapo sijaongeza neno wala kupunguza neno.
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3,
Ndugu zetu Gamba la Nyoka, THE BIG SHOW etc, wamelemewa na hoja kiasi cha kutoelewa Kwamba tupo nao bega kwa bega kupingana na ufisadi. Wanakataa Ukweli Kwamba hoja yetu ya msingi ni Kwamba zitto Hana integrity ya kupambana na ufisadi. "Zitto wa Buzwagi sio zitto wa escrow", that's the bottom line. Ni heri akina Waberoya walichagua matusi na mipasho, na baadae kuamua kukwepa Kujibu hoja zetu directly; Katika hili, zitto alikurupuka, jipangeni upya.

What kind of intergrity are you talking about?

Lithibitishie jukwaa hili.
 
Last edited by a moderator:
Wala hakuna wakukutoa kwenye mjadala nilikuwa naweka sawa kumbukumbu kwa wanaukumbi wajue wewe na Zitto mpo vipi wakati tukiendelea na mjadala huu dhaifu wa hoja za Zitto takuwa naweka kiduchu hoja zako nzito dhidi ya Zitto, tuendelee na mjadala.
Nami mimeweka kumbu kumbu sawa sawa. Lau ungeweka kumbu kumbu ingebidi unukuu uzi, hukufanya hivyo ili ionekane katika uzi huu nimeandika hayo.

Hizi spinning hazisaidii kujibu truhuma za Zitto. Zitto ameanzisha uzi na kuweka tuhuma. Majibu yake ndio yenye shaka na wasi wasi. Hakuna aliyesema ni kweli au si kweli, bali tunataka atoke clean kwa maelezo muafaka.

Haiwezekani Zitto atuhumiwe kumtafutia nyumba CEO wa Shell akishirikiana na Ongangi, halafu atupe majibu kuwa Ongangi ameoa na mtoto! come on

Zitto katuhumiwa kuanzisha Gombe company na Ongangi, jibu analotupa si la tuhuma bali kazi za Gombe.

Haya ndiyo mnatakiwa myasimamie ili kumuosha mheshimiwa. Spinning zinatia shaka zaidi ya kuondoa hofu.

Uzi unaojadiliwa ni wa Zitto! period.
Kauleta mwenyewe bila chuki, unajadiliwa bila chuki.

Lau kama mnataka kuendeleza mjadala kwa njia nyingine, hiyo si good idea maana hili hamjaweza kujibu, mengine yatampa tabu Zitto na wala si ninyi.
 
Zitto ni National Disaster in Political Sphere by Nguruvi3.
 
Last edited by a moderator:
What kind of intergrity are you talking about?

Lithibitishie jukwaa hili.
Kwanza naomba turudi kwenye mada ya Zitto kuhusu tuhuma zinazomkabili na majibu yake. Hilo la integrity lina majibu ya kutosha. Nimeeleza huko nyuma na Mchambuzi amefafanua sana.

Mnachotaka ni kutuondoa katika tuhuma zinazomkabili Zitto ambazo ameshindwa kuzieleza kwa ufasaha ili twende kwenye mambo ya kusahausilisha umma kuwa Zitto anapaswa kutueleza kwa undani kuhusu tuhuma.

Mfano, huko nyuma ametuhumiwa (rekodi ipo JF) kuwa alichukua milioni 6. Tuhuma zilizopo hapo juu zitto anasema kuna Viviana na wakili Mkandege wanaohusika na leseni iliyomhusisha na milioni 6.

1. Zitto, ni kweli ulichukua milioni 6 au hapana
2. Zitto, ushiriki wa wakili Mknadege upoje. Je, alitumika kutoa mhuri au kuna kughushi mhuri wake?

Hizi ndizo tuhuma mnazotakiwa mzijibu.
Hamtaki, mumeingia katika matusi , tumewavumilia, sasa spinning zinafanya kazi. Je, hilo linajibu hoja?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3, hiyo combination ya Ritz, THE BIG SHOW and company ni ushirika si mchezo! Anayetetewa? Zitto of course! Adui anayeviunganisha hivyo viumbe viwili na washirika wao (the silent partners) ni Chadema bila idol wao. Nakumbuka walivyowahi kudai kuwa Chadema haikuwa na uwezo wala ujasiri wa kumchukulia hatua...still Chadema went ahead and called their bluff! Toka wakati huo linapokuja swali la Zitto ushirika huo huchanua kama ua asubuhi jua linapochomoza na kunyauka joto linapozidi. Amini usamini kwa swali la escrow hawa jamaa hawako pamoja ila as long as their common enemy remains Chadema without their idol, they are forced to hang about together. Kwa sasa wengine wao wako njia panda na ndoto zao za alnacha kwa ACT-Tanzania zimebuma, wanahitaji kuombewa.
 
Kumbe moja ya mambo yanayofanya Zitto achukiwe ni kitendo chake cha kutaka vyama vya siasa vikaguliwe...? Nilikuwa sijui hili kumbe haitakiwi kuoversee shughuli za kichama

Waliosema hivo ni kukisaliti chama aliases awatonye kuhusu hilo swala ili waanze kutengeneza risti za kugushi ku balance mahesabu
 
Mkuu Nguruvi3, hiyo combination ya Ritz, THE BIG SHOW and company ni ushirika si mchezo! Anayetetewa? Zitto of course! Adui anayeviunganisha hivyo viumbe viwili na washirika wao (the silent partners) ni Chadema bila idol wao. Nakumbuka walivyowahi kudai kuwa Chadema haikuwa na uwezo wala ujasiri wa kumchukulia hatua...still Chadema went ahead and called their bluff! Toka wakati huo linapokuja swali la Zitto ushirika huo huchanua kama ua asubuhi jua linapochomoza na kunyauka joto linapozidi. Amini usamini kwa swali la escrow hawa jamaa hawako pamoja ila as long as their common enemy remains Chadema without their idol, they are forced to hang about together. Kwa sasa wengine wao wako njia panda na ndoto zao za alnacha kwa ACT-Tanzania zimebuma, wanahitaji kuombewa.

Unfortunate,the idol is now idle. He is the author of his own political demise.
Hawa wafuasiwake walitakiwa wanganishe nguvu kujaza ombwe la majibu ya mheshimiwa.

Kwavilehawana common interest kama ulivyosema, sasa wamebaki kumwaga mitusi, kufanyaspinning na kujadili nyuzi za Nguruvi na wala si hoja ya idol.

Jitihada nikutuondoa katika mjadala. Tunasimama kusema, Zitto ana la kueleza na sikututupia vipande tumeze bila kutafuna! Ati?

Mh.Zitto Kabwe,
Kwanza ni jambo la kutia moyo kuwa angalau mnafuatilia na kuonyesha nia ya kuiwajibisha serikali. Hili ni jambo la kupongezwa kwa kweli maana khali ni mbaya, sisi wananchi tumekuwa frustrated maana kila sehemu inatia kinyaa.

Hebu tazama issue ya Tembo, inaumiza hata kuisoma. Ndani ya miaka 3 Selous Tembo wamepungua kutoka 75,000 mpk 13,000. Halafu watu wanakwenda kwenye vyombo vya habari kupiga porojo za kipuuzi. Hizo takwimu unazotoa zinazidi kupandisha hasira, natamani wananchi wangekuwa wanajua mambo haya kwa uwazi, naamini uvumilivu wao ungeshafikia kikomo.

Back to the topic, kwa bunge letu lilivyo nahisi justice haitapatikana mle, tazama tulikuwa na nafasi ya kuweka maadili na miiko katika katiba mpya lakini angalia katiba pendekezwa inasema nini! Hao ambao unawatarajia wakakomae bungeni ndio hao hao waliondoa vipengele muhimu katika katiba pendekezwa. Watapiga kelele kwa sababu wamekosa mgawo wao na sio kwa sababu ni wazalendo.

Issue ya EPA bado tunaikumbuka, lengo halikuwa watu kuwajibika tu, ila sheria zifanye kazi ili kila mtu atakayejaribu kuiba mali za umma ajifunze hatima yake itakuwa nini. Issue zilizimwa kienyeji enyeji, kimya! Hivi wanachi tulifaidi nini baada ya yale yote! Basically, nothing. Sasa wewe na wenzio kukomaa hatima itakuwa watu kujiuzulu and thats it.

Lazima tufike sehemu tuangalie namna ya kukomesha huu ujinga, na nafasi iliyokuwepo ni katiba, ambayo imechezewa it is toothless kama ikipitishwa ilivyo.

Tutumie nguvu kuelimisha wananchi kuikataa hiyo rasimu ili tuanze upya tuweke vipengele vya mikataba yote kupitishwa na bunge. Thats the only solution otherwise naona juhuni zako zitaisha pale utakapotoka kwenye nafasi uliyopo ya PAC. We need strong instititions na sio strong individuals.[/QUOTE]

Hapo kwenye red Pax, umehitimisha vizuri sana! YES, we need a strong katiba to have those strong institutions. Thanks Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la kina Nguruvi3 na Mchambuzi wanamkategoraizi Zitto kama perfect man(Malaika), au wanajaribu kumfananisha na Malaika inapelekea hata tukiwauliza ni nani basi ashike nafasi ya Zitto(walau wataje jina la mmoja wanayefikiri anafaa kuongoza mapambano wanabakia kimya coz hata wao wenyewe hawaoni kama kuna mwingine anafaa)...

Wengine tunasema hivi; hakuna mwanasiasa wa kumwamini 100% na wala hakuna aliyekamilika 100%...Hivyo tunachofanya ni kupick The best one kutoka kundi kubwa(at least mwenye upungufu Mdogo)

Zitto go go go
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom