Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Ahsante kwa maelezo yako, kosa moja unalolifanya ni kujaribu kuzitenganisha hizi tuhuma na sakata la Escrow simply because Zitto hakuongelea specifics za sakata la Escrow uzi wake. Hizi tuhuma hazikuja from thin air, zimekuwa brough up for a reason. Zitto is dirty to eyes of many people, if you want to stop him, throw more dirty on him (it does not matter if it sticks or not). Change his focus from following up on Escrow and let him worry about public opinion on his image as a politician. Its damage control 101.

Labda nikuulize, do you really think kama Zitto angekuja na akapost hayo majibu uliyo weka hapo juu word by word all would have been well? I think ungekuwa wa kwanza kusema Zitto badala ya kujibu tuhuma anajificha kwnye hii sentensi "Kwa kutambua kuwa ipo taarifa ya CAG na PCCB inayochunguza suala hili, si vema kujibu tuhuma hadi taarifa hizo zitapokuwa wazi." Tuhuma anazopewa hazichunguzwi na CAG wala PCCB kinacho mfanya asubiri uchunguzi ni nini?

Unadhani kweli wewe ungekubalia na hayo maelezo??
Teh teh teh, nimecheka sana navyopitia hizi posts humu ukumbini haswa hii post.

Ahsanta...
 
Unacheka cheka nini sasa?
Wahi wakutibu ni ugongwa wa chekelea.

Wewe na Lemutz mnaumwa sana

Msalimie mke wa Mangula
 
1. Zitto hajadili escrow kwenye bandiko lake.
2. Kwa mtazamo wangu lengo la uzi wa Zitto ni kuaddress tuhuma zilizo ibuliwa juu yake kutokana na KULIFUATILIA SUALA LA Escrow. Anachojaribu kufanya ni kuonesha ni kuwa hizi tuhuma have simply been brought up to discredit his stand on this particular issue. (Key: THIS PARTICULAR ISSUE).

Ninachojaribu kukwambia mimi ni kuwa; am not saying that Zitto is 100% honest to God, down to earth good guy, sina enough reliable information about him (forget the papers and the hearsays) to hold him in that regard or vise-versa BUT lengo analo jaribu kulifikia kwa bandiko lake hili lina make a lot of sense. HE IS TELLING PEOPLE 'HEY, DON'T BE DISTRACTED, THE REALLY ISSUE HERE IS ESCROW! EYES ON THE BALL PLEASE'

Now we can go on, and spend the next two, three hours or even days discussing Zitto and the little specifics details, go line after line, sentensi baaada ya sentensi, check spelling mistakes etc etc kwenye uzi wake ila ukiniuliza mimi ntakwambia we are missing the whole point of his entire post.

Mkuu Shukran sana.

Cc Nguruvi3

Pasi na kumsahau mchambuzi.

Need i say more?
 
Ahsante kwa maelezo yako, kosa moja unalolifanya ni kujaribu kuzitenganisha hizi tuhuma na sakata la Escrow simply because Zitto hakuongelea specifics za sakata la Escrow uzi wake. Hizi tuhuma hazikuja from thin air, zimekuwa brough up for a reason. Zitto is dirty to eyes of many people, if you want to stop him, throw more dirty on him (it does not matter if it sticks or not). Change his focus from following up on Escrow and let him worry about public opinion on his image as a politician. Its damage control 101.

Labda nikuulize, do you really think kama Zitto angekuja na akapost hayo majibu uliyo weka hapo juu word by word all would have been well? I think ungekuwa wa kwanza kusema Zitto badala ya kujibu tuhuma anajificha kwnye hii sentensi "Kwa kutambua kuwa ipo taarifa ya CAG na PCCB inayochunguza suala hili, si vema kujibu tuhuma hadi taarifa hizo zitapokuwa wazi." Tuhuma anazopewa hazichunguzwi na CAG wala PCCB kinacho mfanya asubiri uchunguzi ni nini?

Unadhani kweli wewe ungekubalia na hayo maelezo??

Nilimuasa nguruvi3 kuwa character assassination kwa personal life la zitto haiwez kututoa sisi kwenye kulikodolea macho hili sakata la escrow.

Stil haelewi.

I think kuna kosa kubwa sana ambalo zito kawakosea hawa jamaa.

Sio bure.
 
Tunajua wazi tuhuma zilianzaje na kwanini zipo.
Hata hivyo aliyeandika na kuzijibu ni Zitto zikiacha maswali mengi kuliko majibu.

Kama ni uharibifu wa focus, aliyeanzisha ni Zitto siyo mimi.
Na wala hakuna nyuzi nilliyowahi kuanzisha ili kuondoa focus yake.

Tatizo ni kuwa mnataka kushangilia ili apate credit kama mmoja wenu alivyosema.

Wengine tunasema hapana! lazima kila kitu kiangaliwe kwa macho mawili hasa kwa kuzingatia uaminifu mdogo aliojijengea Zitto kisiasa, Uswiss ikiwa ni mojawapo. Maelezo yake hayakidhi wala kujibu tuhuma. Hatuwezi kudandia treni ya kushangilia tusiyojua inakwenda wapi. Tulifanya hivyo siku za nyuma tukaachwa njia panda. Hizi ni tuhuma tu, wala hakuwa na sababu ya kujibu anapotaka. Alitakiwa ajibu akizungumza na umma na si kakundi ka washabiki ambao hawawezi kutuambia, suala la Uswiss alimaliza vipi.

Tumeeleza ufisadi upo, mafisadi wapo na ndio maana wapo bize taarifa zifiche.
Hata hivyo, hilo haliondoi ukweli kuwa lazima tuhuma kama alizopewa ziwekwe sawa.

Nototorius katoa kauli moja kuwa malaika wanaoweza kushughulikia suala hili ni wengi, hivyo yujiridhidhishe isijekuwa kuna malaika under cover akiwa na sifa nyingine.

Haya mapambano yanahitaji nidhamu na majemadari wanaosimamia masilahi ya umma. Kama wapo tutawaunga mkono baada ya kuridhika kuwa wana sifa za kutuongoza kwenda vitani.

Kuhusu maelezo niliyotoa, nilichosema ni kuwa kuna kitu kina PR. Hisia zenu kuwa tungekuja kusema amejificha katika maneno siwei kuzizuia. Ninachofanya ni kumuelekeza kuwa mambo kama haya hayahitaji papara. Yanahitaji akili itulie.

Laiti akafanya nilivyosema au vema zaidi, na naamini angeweza, leo asingejikuta anashindwa kujibu tuhuma zilizobeba siasa zaidi ya mapambano ya rushwa. The fact that hata ninyi hamuwezi kujibu truhuma achillia mbali kukimbilia matusi, inaeleza jinsi alivyoingia mahali ambapo laiti mngeweza mngalimzuia mapema. Self destruction!

Ni ushauri wangu, na naona ni bora kuliko vipande alivyorushwa ambavyo kama ikitokea tofauti au kuibuliwa kwa vile alivyoficha, itamuumiza zaidi. Nasema ni suala la muda na mambo yawe kama anavyosema. Kinyume chake itakuwa mbaya! trust me!

Hakuna majibu hata ninyi mnaona ugumu ulivyo.

Nimalizie kwa kusema
1. Kuna ufisadi
2. Kuna mafisadi
3. Kuna tuhuma za Zitto alizoibua na kujibu Zitto.

Ni vitu vinavyokwenda pamoja kwa nyakati tofauti in a way. Vinavweza tengwa lakini down the road vinaungani vyenyewe.
Ndivyo hata zitto alivyoshindwa kuvitenga. Kafanya connection ya Ongangi, shell, Gombe unknowlingly.
 
Nilimuasa nguruvi3 kuwa character assassination kwa personal life la zitto haiwez kututoa sisi kwenye kulikodolea macho hili sakata la escrow.

Stil haelewi.

I think kuna kosa kubwa sana ambalo zito kawakosea hawa jamaa.

Sio bure.
Nashukuru kama uliniasa. Nilkuomba uonyeshe character assassination, hujaweza.
Nabaki kuwa clean unless uonyeshe wapi nimefanya character assassination

Zitto hatujakutana, hatufahamiani na hivyo hajanikosea. Mada yake ndio inajadiliwa na aliyeanzisha ni yeye mwenyewe, kaweka tuhuma na kujibu mwenyewe. Mlitaka watu waje wamebeba njuga na manyanga wakishangilia bila chembe ya fikra. Well, wapo walioweka akili rehani, not me! never
 
Ahsante kwa maelezo yako, kosa moja unalolifanya ni kujaribu kuzitenganisha hizi tuhuma na sakata la Escrow simply because Zitto hakuongelea specifics za sakata la Escrow uzi wake. Hizi tuhuma hazikuja from thin air, zimekuwa brough up for a reason. Zitto is dirty to eyes of many people, if you want to stop him, throw more dirty on him (it does not matter if it sticks or not). Change his focus from following up on Escrow and let him worry about public opinion on his image as a politician. Its damage control 101.

Labda nikuulize, do you really think kama Zitto angekuja na akapost hayo majibu uliyo weka hapo juu word by word all would have been well? I think ungekuwa wa kwanza kusema Zitto badala ya kujibu tuhuma anajificha kwnye hii sentensi "Kwa kutambua kuwa ipo taarifa ya CAG na PCCB inayochunguza suala hili, si vema kujibu tuhuma hadi taarifa hizo zitapokuwa wazi." Tuhuma anazopewa hazichunguzwi na CAG wala PCCB kinacho mfanya asubiri uchunguzi ni nini?

Unadhani kweli wewe ungekubalia na hayo maelezo??

Stay blessed brother
 
Nashukuru kama uliniasa. Nilkuomba uonyeshe character assassination, hujaweza.
Nabaki kuwa clean unless uonyeshe wapi nimefanya character assassination

Zitto hatujakutana, hatufahamiani na hivyo hajanikosea. Mada yake ndio inajadiliwa na aliyeanzisha ni yeye mwenyewe, kaweka tuhuma na kujibu mwenyewe. Mlitaka watu waje wamebeba njuga na manyanga wakishangilia bila chembe ya fikra. Well, wapo walioweka akili rehani, not me! never

Mkuu Nguruvi3.

Kama umemsoma Mkuu galaxys3 pale juu nadhani kafunguka vyema sana.

Tell me..are you trying to play political ponography?especially kwa mambo ya msingi yanayolitikisa taifa letu hivi sasa kama hili la escrow?

Ofcourse tumeshuhudia episodes nyingi sana za ufisadi ndan ya nchi hii na geuka geuka za wanasiasa ktk masakata kama haya.

Either nikubaliane na hoja yako unayojaribu kumdiscredit kabwe kuwa sio right personal and trustworth wa kulishikia bango hili sakata la escrow...well nakuuliza swali sasa...

Kabwe zitto kama mwenyekiti wa PAC ambacho ni cheo anachokisimamia onbehalf of our parliament linapokuja suala la ufisadi kama la escrow na mwinginewe ukitaka afanyaje?

Akae kimya?hata kwenye lile la uswiss kilichofanyika ni kulipigia kelele and ofcourse ndiyo ni miongoni mwa kazi za wanasiasa tuliowakabidh pia i mean wawe whistleblowers...katika masuala mbali mbali.

Kama hawawez kufanya chochote pasi atleast wapige kelele ili sisi tusiojua chochote huku nje tujue nin kinaendelea...je hilo nalo ni dogo??

Somebody has to be the dumbest of the dumbs kuamin kwamba kila kitu atafanyiwa ili kumaliza ufisadi ndani ya taifa hili moja kwa moja bila kuunganisha nguvu ya umma.

Kinachofanywa hivi sasa ni kuutarifu umma uovu gani serikali unaufanya na kuipressurize serikali ichukue hatua.

Na pale itaposhindwa basi atleast nguvu ya umma ichukue nafasi.

Its very fascinating and unfortunate that nguvu ya umma yenyewe ni watu kama nyinyi kina nguruvi3 na mchambuzi.

Taifa hili sijui ni nan kaliroga.
 
Tuhuma #2 : Zitto amemsaidia Ongangi kupata uraiawa Tanzania na kwa sasa ni raia wa pasipoti. Zitto na Ongangi walimtafutia CEOwa Shell aitwae Axel Knospe nyumba na gari ya kukodi.

Majibu:Raphael ni mtu binafsi ambaye anafanya shughuli zake hapa nchini,amesoma hapa nchini na ameoa na ana mtoto. Tuhuma hizi hazina msingi wowote ulemaana ni uwongo. Wanaotoa tuhuma hizi waonyeshe hiyo pasipoti ya Bwana Ongangikuthibitisha madai yao.
Zitto Kabwe
Tafadhali rejea bandiko 768 la Mchambuzi kwaufahamu zaidi.

Swali aliloleta Zitto kama tuhuma linahusu kumtafutia bosi wa Shell,Knospe nyumba na gari akishirikiana na Ongangi.

Hapa tunaona Ongangi akitajwa tena katika ushirika nje ya urafiki wa kawaida.
Huko nyuma ametajwa kama mshiriki wa Gombejambo ambalo Zitto hajakanusha au kukubali.

Majibu ya Zitto, kama ilivyokuwa kwakampuni ya Gombe, halikutoa majibu .
Hoja ya kumtafutia nyumba Knospe haikujibiwakama alivyokwepa hoja ya ushirika wake na Gombe.

Zitto, je ni kweliulishirikiana na Ongangi kumtafutia nyumba bosi wa shell? Ndio au hapana?

Jibu la tuhuma kuhusu nyumba,ni kituko.Hakuna mahali katika tuhuma Zitto ameulizwa kuhusu familia ya Ongangi. Hivyokututajia amesoma wapi, ana watoto na mke kwa kifupi ni anachronism. Ni njia yakukwepa tuhuma.

Ni kwanini Zitto amekuwa msemaji wa familiaya Ongangi huku akishindwa kueleza mahusiano yake na Ongangi katika Gombe nautafutaji wa nyumba ya bosi wa Shell kwa maneno mawili, yes or no

Lakini kuonyesha Zitto alikuwa frantic ,akilenga ku delude the public, ni pale anapotaka watoa tuhuma waonyeshe passport ya Ongangi. Hivi passport ya Ongangi inawezaje kuwa mikononi mwa wabaya wa Ongangi na Zitto? Come on !

Jibu la passport amelitoa akiwa disoriented, na hapo ndipo panafikirisha.
Hata ninyi watetezi wake mkisoma tuhuma jibu nina uhakika mnaona aibu nyuma ya keboard zenu.

Haya watetezi karibuni, tutaendele na critic ya mstari, neno hadi nukta.

Unacheka cheka nini sasa?
Wahi wakutibu ni ugongwa wa chekelea.

Wewe na Lemutz mnaumwa sana

Msalimie mke wa Mangula
Nyie Pro-Chadema wakati mwingine mnakuwa kama wehu sasa ulichoandika ni nini zaidi ya kujidhalilisha.
 
Mkuu Nguruvi3.

Kama umemsoma Mkuu galaxys3 pale juu nadhani kafunguka vyema sana.

Tell me..are you trying to play political ponography?especially kwa mambo ya msingi yanayolitikisa taifa letu hivi sasa kama hili la escrow?

Ofcourse tumeshuhudia episodes nyingi sana za ufisadi ndan ya nchi hii na geuka geuka za wanasiasa ktk masakata kama haya.

Either nikubaliane na hoja yako unayojaribu kumdiscredit kabwe kuwa sio right personal and trustworth wa kulishikia bango hili sakata la escrow...well nakuuliza swali sasa...

Kabwe zitto kama mwenyekiti wa PAC ambacho ni cheo anachokisimamia onbehalf of our parliament linapokuja suala la ufisadi kama la escrow na mwinginewe ukitaka afanyaje?

Akae kimya?hata kwenye lile la uswiss kilichofanyika ni kulipigia kelele and ofcourse ndiyo ni miongoni mwa kazi za wanasiasa tuliowakabidh pia i mean wawe whistleblowers...katika masuala mbali mbali.

Kama hawawez kufanya chochote pasi atleast wapige kelele ili sisi tusiojua chochote huku nje tujue nin kinaendelea...je hilo nalo ni dogo??

Somebody has to be the dumbest of the dumbs kuamin kwamba kila kitu atafanyiwa ili kumaliza ufisadi ndani ya taifa hili moja kwa moja bila kuunganisha nguvu ya umma.

Kinachofanywa hivi sasa ni kuutarifu umma uovu gani serikali unaufanya na kuipressurize serikali ichukue hatua.

Na pale itaposhindwa basi atleast nguvu ya umma ichukue nafasi.

Its very fascinating and unfortunate that nguvu ya umma yenyewe ni watu kama nyinyi kina nguruvi3 na mchambuzi.

Taifa hili sijui ni nan kaliroga.

hata mimi nilisahau kuwa ZZK ni mwenyekiti wa PAC!!!!
 
Wakati mwingine mwanasheria anaweza kujua huyu mteja wangu anamakosa lakini atatumia kila mbinu ili amsaidie kushinda kesi yake. Okay #Nguruvi3 na #Mchambuzi haya basi tufanye #Zitto hana majibu muyatakayo kwasasa na watanzania tulio wengi tunahitaji nguvu kubwa mumsaidie mwenyekiti wa PAC na kamati yake kuhakikisha ufisadi wa Escrow waliohusika wanawajibika. Tukiendelea hivi tulivyo sasa escrow itapotelea hewani na mwisho wa siku tunarudi tena kwa Zitto na kuanza kuhoji kama tulivyofanya huko nyuma kwa fedha za Uswisi.
 
Daah! binafsi nimeoanisha hoja ya Nguruvi3 na udadavuzi wa MCHAMBUZI hakika kuna haja za zzk kufafanua hili jambo tena,sitaki amin hoja zimeletwa kwa upinzani. To be frank he and his team are doing a good job on ESCROW issue lakini atatue huu utata basi hata baadaye kama sasa yupo engaged.
 
Kama unakumbuka..!

Wakati wa mabilions ya Uswisi tulifanya ujinga kama huu, badala ya kumuunga mkono tukaanza kumsema Zitto anatumika na maCCM, na kuwa amechukua Bil. 3 kuiua CDM, mara ukaibuliwa waraka ikabidi aache kupambania uanchama wake...

Tunarudia Yale Yale tuliyokosea kwenye issue ya mabillions ya uswisi mwisho wa siku akikata tamaa tuanze tena kumsema kuwa akianzisha hamalizii wakati kumbe sisi ndio tunamfanyia ujinga...!

Kwa sasa tunachotaka tu ni PESA YETU IRUDI, aina yoyote ya tuhuma kwa Zitto ni kujaribu kumvunja nguvu kitu ambacho hatutakikubali-watu hawajiulizi tu kwann tuhuma hizi zinakuja wakati huu...?
 
Wanaukumbi,

Zitto Kabwe, kama Mwenyekiti wa PAC na Kamati yake wamefanya yao kuhusu wizi wa Escrow na IPTL.

Ili ni jukumu letu sote sisi watanzania kupambana na ufisadi, tunasema Zitto hafai kupambana na hizi issue kisa alishindwa ile issue Uswisi ingawa hakuna mwanasiasa yeyote aliyetutajia hayo majina na lawama zote zimekwenda kwa Zitto.

Sasa basi tupeni mikakati ipi watanzania wafanye vipi au wanasiasa gani ambao wanafaa watusaidie kwenye hii issue, au ndiyo tutaishia kuandika humu JF huku tumejificha na ID's zetu Zitto tumtoe ana tuhuma nyingi kashindwa kuzijibu, kina nani wawe viongozi wetu amba wapo safi hawana tuhuma zozote tutajieni.

Cc: Waberoya JokaKuu Nguruvi3 Mag3 Mchambuzi Mipangomingi
 
Last edited by a moderator:
Wanaukumbi,

Zitto Kabwe, kama Mwenyekiti wa PAC na Kamati yake wamefanya yao kuhusu wizi wa Escrow na IPTL.

Ili ni jukumu letu sote sisi watanzania kupambana na ufisadi, tunasema Zitto hafai kupambana na hizi issue kisa alishindwa ile issue Uswisi ingawa hakuna mwanasiasa yeyote aliyetutajia hayo majina na lawama zote zimekwenda kwa Zitto.

Sasa basi tupeni mikakati ipi watanzania wafanye vipi au wanasiasa gani ambao wanafaa watusaidie kwenye hii issue, au ndiyo tutaishia kuandika humu JF huku tumejificha na ID's zetu Zitto tumtoe ana tuhuma nyingi kashindwa kuzijibu.

Cc: Waberoya JokaKuu Nguruvi3 Mag3 Mchambuzi Mipangomingi

Hao misukule wa vyama shida yao sio escow wala hawana haja na mikakati ya kufanya ili pesa irudi bali shida yao ni Zitto. Wamekula kiapo altare kufa na Zitto katika chochote kile atakachofanya. Ogopa sana mtu anayekuchukia hivyo. Ukikaa angel mbaya anaweza kukutoa roho.

Si kuwa wanamchukia Zitto kwa sababu lipo la maana alilowakosea bali ni wivu wa kisiasa. Wakati wingine wivu ukizidi sana, hugeuka kuwa chuki.

Wanapandikiza mbegu ya Chuki kwa matukio ya rejareja kana kwamba wao ndo hawakoseagi.
Wamehangaika sana kuwatengeneza watu kama Mnyika,Lissu na Lema ili wawe kama Zitto lakini wanaona mchizi yupo level nyingine kwanini wasiumie? Kwanini wasimsuse kwa lolote atakalolifanya? Ndio maana nasema kwa sasa walipofikia haitokaa itokee wakae nae ndani ya chama kwa amani na upendo. Kifupi ndo maisha ya Zito na Chadema yashafika ukingoni.

Amini usiamini hawa watu wanamchukia Zitto kuliko hata wanavyoichukia Ccm. Na imewaondolea weledi wao.
 
Last edited by a moderator:
Kusema kweli huwezi kuamini jinsi chuki na roho mbaya zinavyoweza kuwafanya watu vipofu, jamaa wananikumbusha enzi za Abubakari Kombo wa ile timu ya zamani ya Sigara na baadae Simba aliyekamia kula Sahani moja dhidi ya Edibily Lunyamila wa Yanga!, Kila akikutana naye jamaa anakaa man to man, kiatu mtindo mmoja. Lakini Guess what, Jamaa alicheza viatu sana, Lakini lunyamila akigeuka tayari keshampiga mtu tobo, anateleza wingi ya kushoto anaweka majaro Kizota au Muhammed Hussein mmaching anatupia kiulaini!!, wakati huo Abubakari kombo anaishia kupewa Red card tu!!.

Huu ni mfano wa Zitto!, kuna watu wameamua kumkaba man to man, kwenye mitandao na popote pale!, Ni watu wazima na akili zao, na wanajua wananchokifanya lakini wameamua Kuharibu tu, kutokana na chuki zao zisizopimika dhidi ya mheshimiwa Zitto. Wao wako tayari TAIFA ZIMA LIKOSE, ILIMRADI ZITTO APOTEZE

Watu wa aina hii mimi nawaita makuwadi wa mafisadi, Mafisadi wa kisiasa, ndio ni mafisadi,kwa sababu If they walk like a duck, Swim like a duck and Quack like a duck then they must be ducks (Mafisadi kwa muktadha huu).

Eti wanataka Mtuhumiwa alete proof ya majibu yake, lakini wanajua kabisa the burden of the proof lies squarely on the accuser, WANAWAACHA WANAOTUHUMU WANA GO AWAY NA TUHUMA, THEN WANAKOMAA NA MTUHUMIWA ALETE USHAHIDI WA UTETEZI WAKE!!!, THIS IS JUST AN UNFAIRNESS OF THE HIGHEST ORDER!!.

Nadhani sisi wananchi tuliochukizwa kwa dhati na madudu haya ya Escrow, tuendelee kupambana kwa nguvu, kwa kuwaunga mkono makamanda wetu wa Upambanaji waliosimama kuhesabiwa, walio msitari wa mbele katika hili, MAKAMANDA HAWA NI MFANO WA "MAWE YALE WAASHI WALIOKATAA, SASA YAMEKUWA MAWE MAKUU YA PEMBENI", nayo ni mheshimiwa Kafulila na Mheshimiwa Zitto!.

Wale waliomua kula karamu na kugongeana Glasi za kifisadi, na ulevi wao kuwafanya wawarushie chupa kamanda wetu, hao sisi tunawaacha na hangover zao sisi tunasonga mbele, hawa watahukumiwa katika mahakama za kihistoria.

Jamaa hawathubutu kuona japo kale kaujasiri ambako kamanda wetu amejitolea, ndugu zanguni kama mnamchukia sana mheshimiwa Zitto, heshimuni basi hata sacrifice yake katika mapambano haya. WENGI TULIOWATEGEMEA WAPAMBANE KWA PAMOJA NASI KATIKA VITA HII WAMEKAA KIMYA, HAWADHUBUTU, NA YULE ANAYEHATARISHA MAISHA YAKE MBELE YA MTANDAO HATARI WA MAFISADI, NAYE BADO MNAMRUSHIA MAWE!!!, NYINYI MNAMUUNGA NANI MKONO?.
 
hii ndio nimeipenda kumbe unajua futiboli
 
gamba @La NYOKA,

Umesema mengi kujaribu kuaminisha hoja za wadau kuhusiana Na Majibu ya Zitto ambyo ndio yanaongoza mjadala kuwa ni chuki tu kitu ambacho hakina ukweli hata chembe.

Kimsingi tunaohoji tunasimama katika mantiki ya Majibu ya Zitto ambyo ni kuhusiana na tuhuma alizopewa,Majibu yake yameacha baadhi ya tuhuma zikiwa hazina Majibu,Rejea Maswali ambyo yameulizwa na Nguruvi3 na Mchambuzi,Maswali yao yapo wazi na yamejikita kwenye Mjadala ambao umewekwa na Zitto mwenyewe.

Kusema/kuwaita ni makuwadi wa mafisadi huku maswali yao yakiwa hayana majibu ni matokeo yakutokuwa na majibu,Katika hali ya kawaida na kwa fkra huru ambzo hazina ukomo Majibu ya Zitto hapa yanaongeza/kuzidisha sintofahamu kuhusiana na tuhuma dhidi yake.

Hamna Mtanzania anayeunga Mkono ukwapuaji wa Bilioni 200 katika akaunti ya ESCROW Bali wapo wamoja ila haitoshi tu kuimba na kushangilia kila lisemwalo bila kwende mbele zaidi kwa wanaosema kuhusiana na dhamira zao kama kweli ni kwa ajili ya umma ama vinginevyo kuna mdau hapa amesema yakuwa Zitto anaonewa kwa kuwa tu anapata Credit maneno hayo yanaakisi kwa kiasi flani baadhi ya hisia za wadau.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom