Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

naona juhuni zako zitaisha pale utakapotoka kwenye nafasi uliyopo ya PAC. We need strong instititions na sio strong individuals.[/QUOTE]

[/COLOR]Hapo kwenye red Pax, umehitimisha vizuri sana! YES, we need a strong katiba to have those strong institutions. Thanks Mkuu!
Nkubaliana kabisa. Ndio maana tunasema huu si wakati wa kuwa na majenerali mmoja mmoja tena wasioaminika. Wenzetu badala ya kusimama na kusema hii ni issue yetu, nadhani umewasoma wakisema '' TUNAONA WIVU ZITTO AKIPATA CREDIT''

Katika mentality ya credit kwa mtu na si nchi au system, inasikitisha.

Nguvu za Zitto kwa mujibu wa manazi na mashabiki wake zimelenga kupata CREDIT, imagine!
Hawa ni watu wenye elimu zao, badala ya kutetea mfumo utakaondoa udhalimu wapo bize wakitetea credit.

Nadhani The Big Show, Gamba la Nyoka na Ritz,someni maoni ya PAX na Nyumbu halafu mjiulize hii mbinu yenu ya kupiga vita rushwa kwa CREDIT kwa Zitto inafanya kazi? Ni durable? Real!
 
Tatizo la kina Nguruvi3 na Mchambuzi wanamkategoraizi Zitto kama perfect man(Malaika), au wanajaribu kumfananisha na Malaika inapelekea hata tukiwauliza ni nani basi ashike nafasi ya Zitto(walau wataje jina la mmoja wanayefikiri anafaa kuongoza mapambano wanabakia kimya coz hata wao wenyewe hawaoni kama kuna mwingine anafaa)...

Wengine tunasema hivi; hakuna mwanasiasa wa kumwamini 100% na wala hakuna aliyekamilika 100%...Hivyo tunachofanya ni kupick The best one kutoka kundi kubwa(at least mwenye upungufu Mdogo)

Zitto go go go
Msome Pax na Nyumbu wamejibu swali lako. Hatuhitaji watu wa kutuongoza kupambana na rushwa. Tunahitaji mfumo utakaozuia rushwa.

Sasa kama watu wenyewe ni akina Chenge na Zitto, huoni ni tatizo.
Hatuhitaji mtu wa kutuongoza, tunahitaji strong institution.

Ukishachagua mtu, ndiyo haya tunayosoma hapa wasomi wakisema '' Kuna tatizo gani zitto akipata credit?'' what?
Mfumo bora ndio utatupa viongozi waadilifu wenye heshima na wanaofanya kazi kwa ajili ya umma siyo CREDIT
 
Mwanzo ulipoulizwa ni mtu gani unadhani anafaa kutuongoza katika mapambano haya dhidi ya ufisadi ukajibu hivi: Nanukuu

mwenye sifa ya uadilifu, uaminifu, political maturity. Mtu anayeweka masilahi ya umma mbele na si yake binafsi. Mtu mwenye heshima katika jamii anyeaminika kwa kauli na matendo.

baadae unageuka, unasema la hasha, hatuhitaji mtu wa kutuongoza kupambana na rushwa, bali tunahitaji mfumo utakaozuia rushwa!!!!, as if mfumo hauendeswhi na watu, teh teh teh!!

Kwa kauli yako mwenyewe unasema hivi: Nakunukuu tena!!
msome pax na nyumbu wamejibu swali lako. Hatuhitaji watu wa kutuongoza kupambana na rushwa. Tunahitaji mfumo utakaozuia rushwa.

Sasa kama watu wenyewe ni akina chenge na zitto, huoni ni tatizo.
Hatuhitaji mtu wa kutuongoza, tunahitaji strong institution.

Ukishachagua mtu, ndiyo haya tunayosoma hapa wasomi wakisema '' kuna tatizo gani zitto akipata credit?'' what?
Mfumo bora ndio utatupa viongozi waadilifu wenye heshima na wanaofanya kazi kwa ajili ya umma siyo credit

kauli ya kwanza na ya pili ni zinapingana zenyewe kwa zenyewe, na huu ni ushahidi wa wazi kwamba hujui unasimamia wapi!, huna msimamo wao, na pengine hujui unachokipigania!.

Muungwana akivuliwa nguo huchutama
 
Mwanzo ulipoulizwa ni mtu gani unadhani anafaa kutuongoza katika mapambano haya dhidi ya ufisadi ukajibu hivi: Nanukuu

baadae unageuka, unasema la hasha, hatuhitaji mtu wa kutuongoza kupambana na rushwa, bali tunahitaji mfumo utakaozuia rushwa!!!!, as if mfumo hauendeswhi na watu, teh teh teh!!

Kwa kauli yako mwenyewe unasema hivi: Nakunukuu tena!!

kauli ya kwanza na ya pili ni zinapingana zenyewe kwa zenyewe, na huu ni ushahidi wa wazi kwamba hujui unasimamia wapi!, huna msimamo wao, na pengine hujui unachokipigania!.

Muungwana akivuliwa nguo huchutama

Mkuu bado unajibizana na hao wabishi? Dah pole sana... hao wamelemaa vichwani hata uongee vipi hamtokaa mkubaliane... unafiki ni sawa na ulemavu tu.
 
Msome Pax na Nyumbu wamejibu swali lako. Hatuhitaji watu wa kutuongoza kupambana na rushwa. Tunahitaji mfumo utakaozuia rushwa.

Sasa kama watu wenyewe ni akina Chenge na Zitto, huoni ni tatizo.
Hatuhitaji mtu wa kutuongoza, tunahitaji strong institution.

Ukishachagua mtu, ndiyo haya tunayosoma hapa wasomi wakisema '' Kuna tatizo gani zitto akipata credit?'' what?
Mfumo bora ndio utatupa viongozi waadilifu wenye heshima na wanaofanya kazi kwa ajili ya umma siyo CREDIT

Nguruvi3 Umesema vyema hoja si kuongoza tu bali Anayeongoza Dhamira yake ni kwa ajili ya umma ama maslah binafsi tukirejea Swala kutafuta CREDIT ambalo limesemwa huko nyuma.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bado unajibizana na hao wabishi? Dah pole sana... hao wamelemaa vichwani hata uongee vipi hamtokaa mkubaliane... unafiki ni sawa na ulemavu tu.
Angalao hoja yako ya unafki ingekuwa na mashiko kama ungejibu hoja za wadau akina Nguruvi3 na Mchambuzi zilizojikita katika majibu ya Zitto Juu ya tuhuma zilizoelekezwa kwake.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la kina Nguruvi3 na Mchambuzi wanamkategoraizi Zitto kama perfect man(Malaika), au wanajaribu kumfananisha na Malaika inapelekea hata tukiwauliza ni nani basi ashike nafasi ya Zitto(walau wataje jina la mmoja wanayefikiri anafaa kuongoza mapambano wanabakia kimya coz hata wao wenyewe hawaoni kama kuna mwingine anafaa)...

Wengine tunasema hivi; hakuna mwanasiasa wa kumwamini 100% na wala hakuna aliyekamilika 100%...Hivyo tunachofanya ni kupick The best one kutoka kundi kubwa(at least mwenye upungufu Mdogo)

Zitto go go go
Hamna aliye mkamilifu ila utambue hoja zao hazijajikita katika umalaika wa Zitto bali katika majibu yake ambyo ndio yanaendeleza mjadala huu.

Ingekuwa ni vyema kama hoja zao zingepata majibu.
 
Last edited by a moderator:
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.

Kitu kibaya kuliko vyote duniani ni kutojifahamu mwenyewe na ukaishia kuona hata watu hawatakufahamu.

Sio muumini wa siasa sana japo nafuatilia lakini hii comment yako imeonesha namna gani vichaa tupo nao barabarani badaly ya wewe milembe.
 
Mwanzo ulipoulizwa ni mtu gani unadhani anafaa kutuongoza katika mapambano haya dhidi ya ufisadi ukajibu hivi: Nanukuu
baadae unageuka, unasema la hasha, hatuhitaji mtu wa kutuongoza kupambana na rushwa, bali tunahitaji mfumo utakaozuia rushwa!!!!, as if mfumo hauendeswhi na watu, teh teh teh!!

Kwa kauli yako mwenyewe unasema hivi: Nakunukuu tena!!

kauli ya kwanza na ya pili ni zinapingana zenyewe kwa zenyewe, na huu ni ushahidi wa wazi kwamba hujui unasimamia wapi!, huna msimamo wao, na pengine hujui unachokipigania!.

Muungwana akivuliwa nguo huchutama
Tuhuma za Zitto hamjibu, mpo bize kuchambua mistari na herufi za Nguruvi kana kwamba ndiye mwenye mada.

Hata hivyo ninakujibu kuwa hatuhitaji mtu mmoja atuongoze katika mapambano. Hili ni suala letu. Wapo watu waadilifu, waaminifu na wenye heshima wanaoweza kutuongoza. Hata hivyo ili tufanikiwe lazima tuwe na strong institution zitakazosimamia kazi ya kuzuia na kukomesha rushwa.

Haiwezekani deal apige waziri halafu taarifa ya pccb apewe rais yule yule anayeshirikiana na waziri katika mambo nje ya utaratibu.

Leo tunaona baraza la mawaziri limeidhinisha miradi ya IPTL, halafu taarifa za CAG na PCCB lazima zipitiwe na wale wale wanaotuhumiwa kuidhinisha IPTL. Ndio haya ya katibu mkuu kiongozi kusema bunge halina kazi ya kujadili hilo ni suala la DPP.

Sasa ninyi mnataka tusema Zitto etc, napenda muelewe nchi hii ina watu wasio na chembe ya shaka wanaoweza kutuongoza.
Kinachotakiwa ni nguvu ya insitution ambazo ni huru

Watu hao Si mmoja au wawili ni maelfu. Tatizo hamuwezi kuona kwasababu akili na fikra zenu zipo kwa Zitto.
Ndio maana mkiambiwa hajajibu maswali hamuamini hata kama mnauona ukweli.

Hoja ni tuhuma za Zitto, kwa mfano je ni kweli au si kweli alivuta milioni 6?
Je, Ongangi ni mshiriki wa Gombe?
Je, Zitto na Ongangi walimtafutia nyumba yule mzungu wa Shell?
 
Hao wala hawana hoja zozote hapa zaidi ya vihoja kwahiyo hata cha kujibizana nao sikioni...
Zitto alipata msaada wa milioni 6?
Mhuri wa Mkandege umetumika kama kughushi au umetumiwa na Mkandege katika kile kikaratasi?
Ongangi ni mshiriki wa Gombe
Zitto ametafutia nyumba yule mzungu wa Shell
 
Zitto alipata msaada wa milioni 6?
Mhuri wa Mkandege umetumika kama kughushi au umetumiwa na Mkandege katika kile kikaratasi?
Ongangi ni mshiriki wa Gombe
Zitto ametafutia nyumba yule mzungu wa Shell

Upuuzi mtupu... nenda kule kwenye uzi ukawasafishe vingozi wako kuna tuhuma za mbowe na slaa. Kuna mdada kawashushia tuhuma nzito kwenye vyombo vya habari kuwa Sabodo aliwapa hela za kujenga chuo cha chama lakini mpaka leo kimya na hakuna maelezo.
 
Hayo yanahusiana vipi na uzi wa Zitto? Je yanajibu hoja iliyotolewa kuwa mheshimiwa kavuta milioni 6? Je, yanajibu hoja kuwa mheshimiwa alimatafutia nyumba yule mzungu wa Shell? Je, yanajibu hoja kuwa Ongangi ni mshiriki wa Gombe?
 
Mkuu bado unajibizana na hao wabishi? Dah pole sana... hao wamelemaa vichwani hata uongee vipi hamtokaa mkubaliane... unafiki ni sawa na ulemavu tu.
Mkuu uaminifukazi.

Msome kiduchu hapa chini Nguruvi3 anavyorusha makombora kwa Zitto anafanya mjadala na mtu mwingine lakini sunna kumshambulia Zitto, huyu jamaa anamchukia Zitto kuzidi hata CCM.
Waberoya
Sitakujibu kwa matusi kwasababu sijawahi kushinda shindano au mtihani wa aina hiyo.
Ninafahamu unakerka Zitto anapoguswa. Nilidhani ungeona positive side umshauri mbinu mpya za kisiasa.
Kwa kiwango cha sasa bado ana safari ndefu na kwangu, Kitila na Zitto wameonyesha immaturity kisiasa, sad!

Nimesema , kwa kiwango cha elimu zao, mambo wanayofanya ni aibu. Nilisema huko nyuma na nitaendelea kwasababu sifungwi na mtazamo au mawazo ya mtu, hawa watu wameshindwa kutumia usomi na uzoefu wao kuleta mbadiliko chanya, wanaingia katika siasa za mitaani, too low for erudite, disappointing the least to say.

Sikuwahi kusema lolote kuhusu ACT na wala sikuwa na nia ya kusema lolote. Kilichonitia kichefu chefu ni Kitila kuanza kuandika na kusema maneno akitaka kuufanya umma wote ni mazezeta. He can do it to you, not me! ney.

Zitto ameongeza makundi machafu na kufikia mahali pa kuingiza ushirikina.
Pamoja na public trust aliyopewa, ameshindwa kusimama na kusema kilicho sahihi, huku akijificha nyuma ya vijana akiongoza hujuma dhidi ya wenzake anaokula nao.

Ukiangalia mtiririko wa matukio yake kisiasa, mtu unabaki kujiuliza, kuna nini tena unahitaji kubaini kutoka kwa ZZK?Well, akina Wabe walioapa kusimama naye watasimama nayE, ni haki yao ya kibinadamu na kidemokrasia.

Siwezi kuzuia kuanzishwa vyama, na sina sababu au nia ya kufanya hivyo. Ninasababu za kuuleza umma ninachokiona kwa mtazamo wangu na si lazima kifanane na mtazamo wa Waberoya. Ni makosa kunizuia, kashifu au kunitusi kwa kutumia haki yangu ya kutoa maoni.

Kwani, ungekaa pembeni kama ulivyokuwa siku zote nini kingeharibika kwako?
Nafahamu unaguswa swahiba wako kuelezwa ukweli, hatuwezi kukusaidia! tutamuweke mbele na wazi, tutaeleza mazuri yak na mizigo aliyobeba. ZZK ni public figure na hana immunity ya mtu au watu. We will take him on perfect and square, without fear or favor. For the time being Zitto is a failure role model and national disgrace.

Huna sababu za kujua nakula nini, nalala wapi nina mia ngapi na natumia muda wangu vipi.
Hizo milioni 10 au 100 unazijua wewe. Ninachokusudia na ambacho hakuna wa kunizuia ni kueleza maoni yangu kwa ukweli uwazi na uhuru. Nitaeleza bila unafiki ili kjitofuatisha na watu kama Zitto.

Mwigamba, 'aliyeuza silaha' na mshiriki M3 baada ya MM Zitto na Kitila katika Waraka, kasema nia ya ACT ni kuua upinzani. Waberoya kasema hata vyama vilivyopo vimetokana na migogoro.
Wote wanakusudia turudi nyuma katika siasa za nchi badala ya kwenda mbele.

Kitila kaandika makala akilaani CCM na CDM. Ni yule yule 'brain behind CDM' akiutaarifu umma kuwa CCM ni tatizo.
Leo anageuga na kusema CDM aliyoasisi ni tatizo.
Tunaambiwa mtu anayeyumbisha umma kiasi hiki tunahitaji ushahidi wa kumwelezea.Well, kuna mambo mawili, ima ni njaa au anatumika au vyote pamoja. No more no less!

Zitto alipoambiwa msaliti watu walitaka ushahidi. Hakukuwa na ushahidi hadi pale mwenyezi mungu alipoamua kuutoa.
Tumesoma text zake, habari zake zikawekwa hadharani zikiwemo za ushirikina. Eti tunatakiwa tutoe ushahidi zaidi!!!

Waraka upo wazi, na hata leo umetoka mwingine photocopy ya ule wa Kitila.
Tunaambiwa tulete ushahidi.
Hivi kama si Mwigamba kuuza silaha tungejuaje Zitto na Kitila! Mungu ni mwema jamani.

Waberoya, nimesimama na kumwambia Mbowe kile nilichokusudia na rekodi zipo.
Nimemwambia Mwigulu, Nape, Slaa na swahiba yangu Maalim Seif. Rekodi zipo wazi.

Mgogoro unaouona leo nimeuzungumzia 2010/2011 hadi leo. Rekodi zipo hapa JF.
Kinachonisukuma si kutafuta ngazi ya kisiasa kwasababu huko si mahali pangu na sitakwenda.
Kinachonisaidi ni kuwa mtu huru kuutumikia umma hata kwa malipo ya matusi.

Ninafahamu kuwa pale nilipojaaliwa kupaona, wapo wengi hawakubahatika kuona.
Nina dhima ya kiroho kutoa nilicho nacho hata kwa ujira wa matusi ikiwa kufanya hivyo ni kwa faida ya umma

Kinachonisadia na kunipa nguvu ni kuwa huru, nikiishi kwa nguvu zangu, bila kumtegemea mtu anigawie allowance, au kumlamba mtu miguu nipate ulwa! Siishi kwa kazi za kutumwa hata kuikalifisha nafsi yangu kwa kukataa ukweli na kushangilia ujahilia.Udhalili huo hauna nafasi kwangu!

Nikushukuru kwa mchango wako, na hakika nakuombea kwa mwenyezi akuongoe, akuepushe na jazba, akupe hekma, akujaliie riziki zako kwa njia nyepesi, akuondolee mabalaa.
Mungu akupe nguvu za kuisiaidia jamii kwa busara, na akufunilie kile usichokiona ili utakapojaaliwa uwe mfano mwema kwa wanao na vijana, hapa jamvini na huko mitaani, Amina!!
Msome tena hapa chini kiduchu kisha turudi kwenye mada yetu ya PAC.
7. ''Tunayemataka (Zitto) ni kiongozi anayeweza kuongoza taasisi bila kujenga makundi akijali zaidi kaziya taasisi kuliko maslahi binafsi''

Zitto amehusishwa na makundi mara nyingi. Alikuwa kiongozi wa kundi Kafulila. Ametajwa katika masalia(M7) na sasa ametajwa katika waraka kukiwa na ushahidi wa kimazingira kuwa alishaanza kazi aliyopewa kwa kufuata ushauri kama waraka unavyosema.Kusema kuwa si mtu wa makundi ni upotoshaji.

8.''
Katika kuonyesha mzalendo Zitto ni kiongozi ....amekuwa ndiyemwakilishi pekee aliyeongoza katika kuibua kashfa nyingi na nzito za ubadhirifundani ya serikali hata kufikia mawaziri kadhaa kufukuzwa kazi''

Tuna ushahidi kuwa Zitto aliuza uzalendo kwa Barrick ili wamjengee shule.
Baada ya kupokea milioni 10 suala la Barrick likawa limefikia kikomo.
Kuonyesha uzalendo kwa kuibua kashfa na kuficha unyonge kwa makampuni yanayoumiza wananchi wa chini ni upotoshaji.
Nadhani sasa umefahamu kiundani kwa nini povu linamtoka kweli kweli anapoona jina la Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Hayo yanahusiana vipi na uzi wa Zitto? Je yanajibu hoja iliyotolewa kuwa mheshimiwa kavuta milioni 6? Je, yanajibu hoja kuwa mheshimiwa alimatafutia nyumba yule mzungu wa Shell? Je, yanajibu hoja kuwa Ongangi ni mshiriki wa Gombe?
Mbona haukuhoji haya hapa chini aliyoandika swaiba yako Mag3 yanahusina vipi na uzi wa Zitto.
Mkuu Nguruvi3, hiyo combination ya Ritz, THE BIG SHOW and company ni ushirika si mchezo! Anayetetewa? Zitto of course! Adui anayeviunganisha hivyo viumbe viwili na washirika wao (the silent partners) ni Chadema bila idol wao. Nakumbuka walivyowahi kudai kuwa Chadema haikuwa na uwezo wala ujasiri wa kumchukulia hatua...still Chadema went ahead and called their bluff! Toka wakati huo linapokuja swali la Zitto ushirika huo huchanua kama ua asubuhi jua linapochomoza na kunyauka joto linapozidi. Amini usamini kwa swali la escrow hawa jamaa hawako pamoja ila as long as their common enemy remains Chadema without their idol, they are forced to hang about together. Kwa sasa wengine wao wako njia panda na ndoto zao za alnacha kwa ACT-Tanzania zimebuma, wanahitaji kuombewa.
Tukajaliwa tarudi baadeni napata kahawa na kashata hapa ukumbini.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu uaminifukazi.

Msome kiduchu hapa chini Nguruvi3 anavyorusha makombora kwa Zitto anafanya mjadala na mtu mwingine lakini sunna kumshambulia Zitto, huyu jamaa anamchukia Zitto kuzidi hata CCM.

Msome tena hapa chini kiduchu kisha turudi kwenye mada yetu ya PAC.

Nadhani sasa umefahamu kiundani kwa nini povu linamtoka kweli kweli anapoona jina la Zitto.
Mkuu Ritz, hujawatendea haki wasomaji, naona ungewepa hii link

https://www.jamiiforums.com/great-t...a-cha-act-mpini-wa-ccm-kumaliza-upinzani.html
https://www.jamiiforums.com/great-t...pecial-mgogoro-kambi-ya-upinzani-chadema.html

Baada ya hayo, turudi kwenye hoja.

Hivi ni kweli au si kweli kuwa mheshimiwa Zitto alivuta milioni 6?
Hivi Mhuri wa Mknadege ullitumika kama ''kufoji'' au Mkandege alitumika kumhujumu Zitto?
Hivi, Gombe ina ushiriki wa Ongangi?
Hivi, Zitto alifanya jitihada za kumatafutia nyumba yule mzungu wa Shell

Haya yamo katika uzi huu wa Zitto. Hebu tujadiliane maana kuna tatizo linatutatiza wengine

Nimesoma majibu nikachanganyikiwa kidogo
Zitto ametuhumiwa kumtafutia mzungu wa Shell nyumba
Jibu la Zitto: Ongangi amesoma Tanzania, ana mke na mtoto.

Mkuu hapa pamekaaje.
 
Nakujua wewe uwezo wako mdogo, we ni mlamba viatu at least uniletee unaowalamba viatu nijadiliane nao
At least ungeweza angalao kujibu hoja zilizopo ningeweweza kujadiliana na wewe ila kwa kuwa huna uwezo huo nakupuuza tu.
 
Mbona haukuhoji haya hapa chini aliyoandika swaiba yako Mag3 yanahusina vipi na uzi wa Zitto.

Tukajaliwa tarudi baadeni napata kahawa na kashata hapa ukumbini.

Mkuu Ritz kwa punch hizi lazima Nguruvi3 arushe taulo teh teh teh.

Mimi baaada ya kugundua jins mihemko yake ilivyo mikali anapoliskia jina la kabwe zitto nimeamua kumpuuza kwan siwez ambulia chochote kwenye kampen hii anayoifanya.

He is trying to play character assassination and enjoying watching his political ponography..teh teh teh.

Anaziiibua shutuma zisizo na ushahid anazileta ukumbuni barzan kisha anahoji kweli au si kweli huku akisubir majibu.

Tukimkumbusha kuhus escrow anaruka futi mia na kusema hiyo siyo ya msingi.

La msingi ni zitto na shutuma zake...tunamuulza ni zip??badala ya kuweka ushahid anasema kwamba record zipo humu jf.

Then anajiita great thinker...

Afanaleeeki...

Teh teh teh...

Sheikh Karibu hapa barza la kahawa la msisiriii...

Nakusoma kwa utuvu mnooo.

Pia nimekusoma comment yako kuhus mzee mag3 shukran sana.

Huyo mzee siku hizi mimi nampuuza kama ninavyompuuza mzee mwanakijiji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom