Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Mkuu ni kama haya niliyoambiwa

Turudi kwenye mada mkuu. Tujadili mada ya Zitto kama alivyowasilisha.
Tuepuka jazaba, viroja na matusi. Na pia tuache chuki na wivu au kupiga vigelegele bila sababu za maana. Nderemo na vifijo visituongoze katika mada, tuongzwe na weledi.

Mkuu Nguruvi3, bila unafiki Wala nini, hata Watu wa zitto wana niambia Kwamba zitto ame derail, wana Hali Ngumu sana ya kujaribu kurudisha mambo sawa; nawaeleza Kwamba zitto is done; he gave us so much hope, but there's no more hope that we can see in the horizon; wafuasi wake mkitaka Semeni ni Wivu, lakini kwa wachache makini wataona jinsi gani zitto was an inspiration to many of us, na ushahidi wa Hilo upo humu Tena kwa maandishi; it's just so sad; his exit strategy won't work, it's a failure at launch!
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida. Rushwa, cover ups, mudslinging, rebuttals, comedy of errors, tragic of the commons, overblown egos, serendipity, high wire acts, burlesque, showmanship, paper chasing, pillage and plunder, tearing asunder

I am inclined to encourage Zitto, and ask him to airtight his game on the loopholes they are using.
 
Sawa! Atabaki vilevile msaliti, malaya wa kiasasa, mbunge kwa tiketi ya mahakama, jizi na fisadi...

ZZK ni laana katika nchi..

Chuki za ndani kabisa hizi, Ila ni bora mnapozitoa kuliko kubaki nazo kwenye vifua vyenu
 
Nguruvi3 na Mchambuzi shukrani za pekee ziende kwenu. Nimefatilia mjadala huu tokea day one hadi leo hii.
Kwakweli mmeonyesha weledi wenu wa kusimamia kile mnachokiamini na mnakijengea nguvu ya hoja na siyo vioja.

Mmetukanwa sana,mmekejeliwa sana na mmetishwa sana…lakini mwisho wa siku wasomaji wenye akili watajuwa au wameshajuwa mchele ni upi na pumba ni zipi. Kwa pamoja mmeshinda!…hayo mengine kutoka kwa hao wengine ni mbwembwe na blah blah tu.

Nilikuwepo.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida. Rushwa, cover ups, mudslinging, rebuttals, comedy of errors, tragic of the commons, overblown egos, serendipity, high wire acts, burlesque, showmanship, paper chasing, pillage and plunder, tearing asunder

I am inclined to encourage Zitto, and ask him to airtight his game on the loopholes they are using.

Glad that you have seen it!.

Had these people used the same energy they do to attack Mr Zitto, to seriously and furiously require their representatives to work diligently on this Escrow issue, I would have paid much respect to them and perhaps be convinced that they really mean business.

But what i see here is the rejecting of the message because they don't like the messenger!.

Again What I see, is their arguments based on Fear and baseless grievances!

Mr Zitto did his part on the Swiss Money, he fought the battle, he was a soldier who was betrayed by power mongers in his party. ANY PATRIOTIC MAN CAN NOT LAUGH AT THE SOLDIER WHO GO FRONT TO FIGHT FOR HIS COUNTRY AND BE KILLED OR WOUNDED IN THE WAR!!. MR ZITTO WENT ON THE FRONT LINE, HE WAS BETRAYED BY THOSE WHO WETRE SUPPOSED TO JOIN HANDS TO FIGHT NOT TO ABANDON HIM, THEY SHOULD HAVE GIVEN HIM THE COVER!, NOT BECAUSE HE WILL RECEIVE THE MEDAL, BUT BECAUSE THE WAR ITSELF WAS SO IMPORTANT TO THE NATION.

That is why I see Mchambuzi and his friend are on the side of the enemy.

I don't understand those who say that Mr Zitto was left alone because he just owned the agenda by himself. This is a very stupid argument, because if there was any genuine Motive to fight for the Swiss money, THE PARTY WOULD HAVE INTERVENED AND DIRECTED MR ZITTO TO WORK WITHIN THE PARTY DIRECTIVES ON THE ISSUE!!!, BUT THEY DID'NT DO THAT, IT SEEMS TO THEM IT WASN'T MUCH AN ISSUE!!!!. at this particular juncture what would Mr Zitto do?, certainly even if I was him feeling that I need to raise my voice i would have done the same!!!!

To the honest People instead of Asking him, where is Our Money, you should be bussy to join with him hand to hand to fight with him, because him as a politician needs the mass behind him to pressurize the government to bring back our money, and also make sure that those responsible are brought to book.

INSTEAD OF JOINING THE FIGHT, MCHAMBUZI SEATS DOWN WITH POPCORN, WATCHING THE FIGHT BETWEEN ZITTO AND THE GOVERNMENT, BUT WHEN MR ZITTO SEAMS TO BE OVERWHELMED BY THE SHEER POWER OF THE GOVERNMENT AND THE FISADIS, MCHAMBUZI STARTS TO ACT LIKE THE FOOTBALL COMMENTATOR, HAULING EVERY KIND OF MEAN WORDS TO MR ZITTO!!!.

IN THIS FIGHT MR ZITTO IS LIKE DAVID FIGHTING THE HUGE GOLIATH, WE NEED TO GIVE HIM OUR SUPPORT NOT TO DISCOURAGE HIM , WITH BASELESS GRIEVANCES, MISUNDERSTANDINGS AND NON ISSUE CHERRY PICKED SEMANTICS!.

We don't help the country by fighting our own soldiers in this huge and complicated war!.

Mchambuzi and his friend it seems that, they are out of touch and they "Just dont get it"
 
gamba la kinyoka maneno ni makali sana na emotional kiukweli yamenigusa sana.
 
Last edited by a moderator:
gamba la kinyoka maneno ni makali sana na emotional kiukweli yamenigusa sana.
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya uongo na propaganda ni muda...Mungu ni mwema SIKU ZOTE; na ukweli utajulikana muda utakapofika. And before then "I'm neutral now"

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Huyu jamaa alishasema hajawahi kushindwa ktk vita yoyote sasa nisubiri wat will happen between him and Muhongo

Mengine nawaachia ninyi
 
Glad that you have seen it!.

Had these people used the same energy they do to attack Mr Zitto, to seriouslyand furiously require their representatives to work diligently on this Escrowissue, I would have paid much respect to them and perhaps be convinced thatthey really mean business.

But what i see here is the rejecting of the message because they don't like themessenger!.

Again What I see, is their arguments based on Fear and baseless grievances!

Mr Zitto did his part on the Swiss Money, he fought the battle, he was asoldier who was betrayed by power mongers in his party. ANY PATRIOTIC MAN CANNOT LAUGH AT THE SOLDIER WHO GO FRONT TO FIGHT FOR HIS COUNTRY AND BE KILLED ORWOUNDED IN THE WAR!!. MR ZITTO WENT ON THE FRONT LINE, HE WAS BETRAYED BY THOSEWHO WETRE SUPPOSED TO JOIN HANDS TO FIGHT NOT TO ABANDON HIM, THEY SHOULD HAVEGIVEN HIM THE COVER!, NOT BECAUSE HE WILL RECEIVE THE MEDAL, BUT BECAUSE THEWAR ITSELF WAS SO IMPORTANT TO THE NATION.

That is why I see Mchambuzi and his friend are on the side of the enemy.

I don't understand those who say that Mr Zitto was left alone because he justowned the agenda by himself. This is a very stupid argument, because if therewas any genuine Motive to fight for the Swiss money, THE PARTY WOULD HAVEINTERVENED AND DIRECTED MR ZITTO TO WORK WITHIN THE PARTY DIRECTIVES ON THEISSUE!!!, BUT THEY DID'NT DO THAT, IT SEEMS TO THEM IT WASN'T MUCH ANISSUE!!!!. at this particular juncture what would Mr Zitto do?, certainly evenif I was him feeling that I need to raise my voice i would have done thesame!!!!

To the honest People instead of Asking him, where is Our Money, you should bebussy to join with him hand to hand to fight with him, because him as apolitician needs the mass behind him to pressurize the government to bring backour money, and also make sure that those responsible are brought to book.

INSTEAD OF JOINING THE FIGHT, MCHAMBUZI SEATS DOWN WITH POPCORN, WATCHING THEFIGHT BETWEEN ZITTO AND THE GOVERNMENT, BUT WHEN MR ZITTO SEAMS TO BEOVERWHELMED BY THE SHEER POWER OF THE GOVERNMENT AND THE FISADIS, MCHAMBUZISTARTS TO ACT LIKE THE FOOTBALL COMMENTATOR, HAULING EVERY KIND OF MEAN WORDSTO MR ZITTO!!!.

IN THIS FIGHT MR ZITTO IS LIKE DAVID FIGHTING THE HUGE GOLIATH, WE NEED TO GIVEHIM OUR SUPPORT NOT TO DISCOURAGE HIM , WITH BASELESS GRIEVANCES,MISUNDERSTANDINGS AND NON ISSUE CHERRY PICKED SEMANTICS!.

We don't help the country by fighting our own soldiers in this huge andcomplicated war!.

Mchambuzi and his friend it seems that, they are out of touch and they"Just dont get it"
Mkuu , when you say Mchambuzi and Nguruvi are on enemy side, you're trying to make us public enemy number 1.
Well, that notion will not derail those who stand for national interest.


Kuna mambo matatu mnayachanganya kwa pamoja ili kutoa uhalali usio na uhalali kwa mada na mleta mada.

1.Katika ufisadi na hili la Escrow , wengine tumelijadili sana kiasi kwamba tulionekana wapuuzi tusio na kazi.

Mlikuwa kimyamkitetea misimamo ya vyama vyenu. Na wala si hili, ni kuanzia Richmond, IPTLn.k. Rekodi za jf zinasimama kututetea

2.Kuna mafisadi: Hili tumelisema bila kumung'unyamaneno, mafisadi wapo na wametenda yanayosemwa. Rekodi zipo

3.Kuna suala la tuhuma: Hatujasema hatasehemu moja kuwa tuhuma ni za kweli. Tunachosema majibu yaliyotolewa na Zitto,katika mada ya Zitto aliyoleta Zitto yanaacha maswali mengi kuliko majibu. Hiindio core sissue inayojadiliwa.


Haya mambo 3yasichanganywe ili kutengeneza mzaingira ya kuonekana tunapinga ufisadi..
Huo niupotoshaji. Mawili hayana mjadala. Hili la 3 lina mjadala kwasababu aliyefunguapandora box ni Zitto. Siyo Mchambuzi au Nguruvi, na hivyo enemy wa Zitto is Zitto himself.


Unatakiwaumuulize Zitto,kwanini amekurupuka kuleta utetezi flimsy kama huo.

Ni njia hizondizo alizotumia tukamuunga mkono kuhusu Uswiss. Hakurudi kutuambia wapitumekwama, akakaa kimya na kutuacha tukionekana mavuvuzela.

Ni njia hizoalizotumia kuhusu ukaguzi wa hesabu za vyama tukamuunga mkono sana, just torealize alikuwa na political motivation behind, not public interest.

Gamba la Nyoka,unaposema unaona hoja zetu on the ground of fear and baseless grievanceunajiunga na akina Waberoya na waporomosha matusi wengin.
Uonyesha wapi kuna fear! Grievance auchiochote. Mimi sitegemei kukutana na Zitto eneo lolote, hivyo nimuogope kwanini.

Hasira zenu ni paleZitto anapokosolewa au kuhojiwa. Zitto ameweka mada, chuki zinatoka wapi?Kujadili mada ndio msingi wa chuki? Je, mlitaka tushangilie hata pale tunapoonakuna walakini? Mbona hamuonyeshi chuki ilipo? Mbona hamjibu hoja za Zitto kwamstari kama tnavyofanya?

Maelezo yakoyote ni personal attack, character assassination na mbinu za ku potray watukama public enemy. Maelezo hayajajibu hoja za Zitto, ni maelezo ya kufichamapungufu yatokanayo na hoja flimpsy.

Zittohajajadili ufisadi, amejadili tuhuma zinazokwenda kwakwe. Hiyo ndiyo hoja.

Na hapo ndipowatu wamekwepa na hawataki kusikia pakjadiliwa ili kulinda public image yaZitto ambayo ameharibu mwenyewe na anazidi kuiharibu.

Kama mlidhani hilolitasaidia kuinua pubic image, sisi tunasimama na umma na si fame ya mtu.
Mapambano ya rushwa yanahitaji uaduilifu na uaminifu. Swali ni, je, zitto anasifa hizo ?


Warusi wanasema, ''Ignore the history, you lose an aye. Forget the history you losetwo eyes''

 

Ahsante
Kosa letu ni kusomana kufanya tafakuri. Tulitakiwa tuseme ‘go masiah go''
Tunachukiingawa hazionyeshwi. Tuna wivu n.k.
Tusichoambiwani kuhusu mada ya Zitto.

Hatujasema,narudia hatujasema madai au tuhuma zinazotolewa ni kweli au si kweli.Tunachosema ni kuwa maelezo ya mheshimiwa Zitto yana upungufu.

Nimejaribukusoma sana maelezo yake, sijaelewa.
Mfano,ameulizwa kama alimtafutia CEO wa Shell nyumba akisaidiana na Ongangi.
Jibu alilotoani kuwa, Ongangi amesoma Tanzania, ameoa na mtoto.
Hapa swali najibu vinaungana vipi?

Kwa wendawazimukama sisi tutahoji, kwa wanaotumia vichwa hakuna kuhoji, ni vigele gele kwendakwa mbele. Ati? Hatutakiwi kuhoji ili tusiharibu CREDIT kwa zitto.


Hili la rushwana credit wapi na wapi. Nilidhani ni letu sote, kumbe kuna score board!

 
GalaxyS3,
Hii ni kwa mujibu wa bandiko lako #832 .

*Ni kipi kinachomzuia kutaja majina ambayo alikiri anayo?
*Kwanini alikuwa mara kwa mara akisema kwamba atayataja katika kikao fulani na kisha kuyeyuka na ahadi yake? Wananchi wakisema huu ni utapeli wa kisiasa, jibu hapa ni nini?

Hatua muhimu ambayo wananchi walisubiri kwa hamu ilikuwa ni kutajwa tu kwa majina hayo ili wao waamue nini cha kufanya, ama kwa sanduku la kura au nguvu ya umma. Ni wao ndio waamuzi. Role ya viongozi wapambanaji wa ufisadi ni kuhakikisha kwamba wanawapa wananchi taarifa iliyokamilika, basi, na zitto hakufanya hivyo licha ya kukiri kwamba anayo taarifa iliyokamilika.


Kwanza sina ninachokubaliana na serikali. Hoja ya msingi hapa ni kwamba zitto aliwaacha wananchi solemba, je swali letu ni kwanini alifanya hivyo? Kwanini tumuamini kwamba hawezi kufanya hivyo katika sakata hili la escrow? Mengine nimejadili hapo juu.


Ni wapi nimesema hivyo?


Ni nyinyi ndio mmehusisha role za zitto katika escrow na utafutaji wa "credit". Ni zitto ndiye aliyekuja na kichwa cha mada kwamba "nashambuliwa"; Akajitetea kwetu kama wananchi, na sisi tukahoji masuala kadhaa aliyojibu na kwa vile majibu yake hayajaturidhirisha, tumekuwa tunaomba ufafanuzi. Yeye hajarudi kutoa ufafanuzi, na wengine wanaomtetea humu wameshindwa kuleta hoja zenye ufananuzi zaidi ya shutuma, matusi, vijembe na mipasho.

Naomba nikuulize: Kwa maoni yako, Je dhumuni la zitto kuja na uzi huu ni nini?


Huu ndio msingi wa hoja yetu. Asante kwa matumizi ya sentensi "cheated by zitto", kwani kama mwananchi, ndio I feel cheated na suala zima la fedha za uswisi, na sijui kwanini mnakataa kwamba kama mwananchi, sina haki to question his integrity katika sakata la escrow. Iwapo issue ya mabilioni ya uswisi haikufanikiwa, kwanini mnadhani hii ya escrow atafanikiwa?

Ni muhimu niseme hapa kwamba tofauti yangu na wewe ni kwamba, nimeshang'atwa na nyika, hivyo kila jani linalonigusa kuhusiana na zitto na vita dhidi ya ufisadi, lazima nishtuke. Kwa lugha nyingine nyepesi zaidi ni kwamba - Mimi nachofanya ni kuangalia ‘track record' ya zitto, wakati wewe unataka hilo lisipewe umuhimu, na badala yake kuhimiza watu kuwekeza zaidi on ‘hopes and expectations'.



Awali niliuliza, je, nikisema kwamba suala la integrity ni kipimo muhimu cha kubaini sifa za kiongozi yoyote anayepambana na ufisadi, nitakuwa sahihi? Sijapata majibu hadi sasa. Naomba unipe mtazamo wako juu ya hili, kwani majibu yako yatatupa framework nzuri for analysis and way forward katika suala zima la zitto, integrity na vita dhidi ya ufisadi.



Ina maana haujasoma hoja zangu za awali? Mbona zipo wazi humu na zinajibu swali lako?

Haujajibu bado, ulichofanya ni kuchagua mambo ya kujibu, huku ukijikitza zaifi katika kutoa maoni kuliko majibu. Nadhani unajua kuna tofauti kubwa baina ya "kujibu" na "kutoa maoni".

Hapa nia ni kupindisha tu hoja. Nimelieleza hili kwa kirefu katika sehemu mbali mbali. Naomba nianze na bandiko #768 nililoelekeza kwa THE BIG SHOW (hajanijibu bado), na nilisesema hivi kwa THE BIG SHOW, na naomba unijibu kwa hoja:

[‘Nadhani ni wewe na wenzake ndio mnaojitoa ufahamu kwa jambo lililo wazi kabisa. Lakini iwapo tatizo ni kwamba hauelewi hoja ya msingi yaNguruvi3 hapo juu ni nini, basi naomba twende taratibu:


1. Huu ni uzi ulioletwa na Zitto mwenyewe, na sio washabiki au wabaya wake. Je tupo sahihi?
2. Kwa uwazi kabisa, anacholenga zitto ni kujisafisha dhidi ya tuhuma kadhaa ambazo ameziorodhesha yeye mwenyewe na sio mashabiki au wabaya wake. Je tupo sahihi?
3. Mlengwa wa uzi huu ni umma wa watanzania, hivyo mwananchi yoyote ana haki ya kuhoji yaliyomo, hasa ikizingatiwa kwamba mbunge wa jimbo ni mbunge wa wananchi wote kwa mujibu wa katiba ya JMT (1977). Je tupo sahihi?
4. Mbali ya ukweli kwamba Zitto ni mbunge wetu wote kama wananchi bila ya kujalisha jimbo, dini, kabila, mkoa, jinsia n.k, zitto pia amepewa dhamana ya kuongoza kamati nyeti sana ya bunge la JMT, kamati ya PAC ambayo moja kwa moja inahusiana na kodi zetu kama wananchi. Kwahiyo, matendo yake na kauli zake zote, wananchi tuna haki ya kuzidadisi. Na katika suala husika la ufisadi, wananchi tuna haki ya kudadisi moral soundness or integrity ya kiongozi yoyote anayejitokeza katika vita hivi. Lakini kwa zitto, umuhimu huu ni mkubwa zaidi hasa given his track record (mabilioni ya uswisi, tuhuma nyingi dhidi yake kutopatiwa majibu ya kuridhisha, na nyingine kutopatiwa majibu kabisa). Je tupo sahihi?
5. Hivyo basi, sisi kama wananchi, tulitarajia kwamba, zitto angekuja na maelezo yanayojitosheleza, na sio majibu yanayoacha maswali zadi. Kweli au siyo kweli?

PENGINE, Ukimya wa zitto katika uzi huu unaweza kuwa unatokana na yeye mwenyewe kubaini kwamba majibu yake kwa tuhuma alizowasilisha "yeye mwenyewe", yana mapungufu, au pengine kwa mtazamo wake, maelezo yake yanajitosheleza, na ameamua kuachia wafuasi wake wamalizie kazi iliyobakia humu. Hapa naomba nisisitize matumizi ya neno "PENGINE", kwani katika hili, zitto ametuacha kwenye giza nene.
Ukimya wa Zitto juu ya suala husika umepelekea wafuasi wake kuchukua uamuzi wa kuja kutoa ufafanuzi juu ya maswali yanayoulizwa na wananchi mbalimbali, maswali ambayo yamezalishwa na majibu yake mwenyewe zitto kwenye bandiko #1 . Sisi tunao hoji hatuna tatizo juu ya hatua hii ya wafuasi wake kutoa ufafanuzi, kwani wana haki ya kujadili kwa "mtindo wa kumjibia maswali" kama sisi tulivyokuwa na haki ya kujadili kwa "mtindo wa kuuliza maswali na kuomba ufafanuzi."

Tatizo lililopo ni kwamba badala ya kujibu hoja, watetezi wa zitto WANAKIMBIA kujibu maswali ya msingi, na badala yake WANAKIMBILIA matusi, vijembe, shutuma, mipasho dhidi ya wananchi wanaouliza maswali ambayo ni zao la majibu yake zitto mwenyewe ambayo hayajitoshelezi.

Anachojadili nguruvi3 ni kwamba tuhuma alizowasilisha zitto na majibu aliyotoa zitto, hayaendani. Kwa maana nyingine, mwasilishaji wa tuhuma husika (Zitto), na mtoa majibu/maelezo dhidi ya tuhuma hizo, ni huyo huyo (zitto), lakini pande hizi mbili za maelezo/ufafanuzi/majibu, haziendani. Huo ndio msingi wa hoja ya Nguruvi3.

Kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe Zitto, moja ya tuhuma ni kama ifuatavyo:


· Ana rafiki mkenya aitwaye Raphael Onyagi.
· Kwa pamoja (Zitto na Onyagi), wameanzisha kampuni ya GOMBE ADVISORS CO LTD yenye usajili namba 87387, usajili uliofanyika tarehe 24 November, 2011.
· Kampuni ya GOMBE ilianzishwa kwa ajili ya kufanya biashara na makampuni ya mafuta na gesi yanayofanya kazi hapa nchini.

Hizi ni tuhuma ambazo zitto mwenyewe ndiye amezianisha katika uzi huu (kwenye bandiko #1 ). Haya hayajawasilishwa na wafuasi au wabaya wa zitto, bali zitto mwenyewe. Na kwa jinsi alivyotiririka na maelezo, ni rahisi kubaini kwamba alicholenga zitto ni kutoa maelezo/majibu kwa umma kwa nia ya kujisafisha na tuhuma hizi ambazo anadai zinaelekezwa kwake. Hali hii ikapelekea umma (kwani mbunge wa jimbo ni mbunge wa umma), kwa haki iliyo wazi kabisa, kuanza kuchambua hoja za zitto ili kubaini ukweli upo wapi.

Je zitto anasemaje juu ya tuhuma hizi? Kwa mujibu wa ufafanuzi wake mwenyewe Zitto:

1. Gombe advisors ni kampuni binafsi isiyofanya faida (yani company by guarantee).
2. Gombe advisors haina kazi na kampuni yoyote ya mafuta na gesi na wala yenyewe haijishughulishi na biashara hiyo.
3. Gombe advisors haijafanya kazi yoyote ile na kampuni nyingine zaidi ya kusaidia wasanii wa kundi la kigoma all stars.


Anachouliza nguruvi3 ni je, kuna uhusiana gani baina ya maneno yenye rangi nyekundu na yale yenye rangi ya kijani hapo juu? Kwa mtu makini na anayeweka ushabiki pembeni, ataona wazi kwamba maelezo ya zitto hayajitoshelezi. Labda tuwaulize:

*Je, zitto amejibu tuhuma aliyowasilisha mwenyewe kwa maneno yake kwamba ana rafiki aitwaye Raphael Onyangi? Jibu ni hapana.
*Je, zitto amejibu tuhuma aliyowasilisha mwenyewe kwa maneno yake kwamba anamiliki kwa pamoja kampuni ya 'Gombe' na mtu aitwaye Raphael Onyagi? Jibu ni hapana.

Alichoweza kutolea ufafanuzi zitto ni haya matatu:

· Gombe haifanyi kazi yoyote na makampuni ya mafuta na gesi nchini.
· Gombe haijishughulishi na sekta ya mafuta na gesi.
· Gombe haijawahi kufanya kazi na kampuni nyingine yoyote nchini zaidi ya kusaidia wasanii wa kundila "Kigoma All Stars".


Vinginevyo, tuhuma za msingi hazijatolewa majibu (rejea shemeu highlighted blue hapo juu), na ndio maana nguruvi3 akasema kwamba anachofanya zitto ni kuchagua mambo ya kujibu, na kuacha mengine, pengine kwa makusudi, au pengine kwa kutokusudia. Lakini tuseme kwamba zitto bado ana nafasi ya kuja kuweka mambo sawa, hasa kwa vile wafuasi wake hamjafanikiwa kumsaidia katika hilo.

Lakini yapo masuala mengine mawili muhimu:

Moja, kuwa a company by guarantee haina maana kwamba kampuni ya aina hiyo haiwezi kuwa na uhusiano na kampuni au makampuni yaliyopo sekta binafsi. Hili ni angalizo tu.

Pili, katika hitimisho lake kwenye majibu ya tuhuma #1 , zitto anasema hivi:

"Upotoshaji unalenga kupindisha mjadala."

Majibu ya zitto yanaacha maswali zaidi. Je, Zitto haoni kwamba kuendelea kukaa kimya maana yake ni kwamba upotoshaji utazidi kwa kasi? Kwani watetezi wake ndio wanaongoza katika kupotosha wananchi, hasa kuwaondoa wananchi katika hoja ya msingi.

Kama alivyojadili nguruvi3, hakuna mtu mwenye hati miliki ya kupambana na ufisadi, badala yake jukumu hilo ni la kila mwananchi, ikiwa ni pamoja na zitto mwenyewe. Lakini pia wananchi wana HAKI ya kuhoji wapambanaji wa ufisadi ambao wamewapa dhamana ya uongozi katika nafasi mbali mbali. Katika moja ya hoja zangu, nilieleza kwa kirefu kwanini mimi kama mwananchi sioni kama zitto ana integrity ya kupambana dhidi ya ufisadi, huku nikifafanua kwanini nasema hivyo. Lakini badala ya watetezi wa zitto kunijibu kwa hoja, wamekimbia hoja zangu na kuhamia kwenye matusi, vijembe, mipasho, na shutuma kwamba sina uzalendo.

Kwanini sina uzalendo? Eti kwa kwa sababu kama mwananchi, ninahoji moral soundness/integrity ya zitto kupambana na ufisadi! Thats how low akinaWaberoya, Gamba la Nyoka, THE BIG SHOW na wenzenu mmefikia katika mjadala huu."]



And I am expecting your consistency on that front.


Mkuu Mchambuzi.

Nimerudi kujibu hoja yako ambayo unasema sijaijibu,actually niliijibu ila shida iliyoyopo ni kwamba umetoa homework kisha unajiandalia majibu ambayo ungependa wewe ujibiwe hivyo kisha uridhike.na inapotokea mtu kukujibu tofauti unayakataa na unasema hayo siyo majibu bali ni maoni...bahati mbaya sana mimi nitatoa majibu ambayo najua fika si lazima yakufurahishe wewe.

1.Mimi sio mtetezi wala sio mfuasi wa zitto kabwe by any means whatsoever...maana nimeliona hilo unalikokoteza sana kwenye bandiko zako.

2.Unapozungumzia pesa za uswiss kama justification ya kumdiscredit zitto kabwe ya kwamba hana moral authority au intergrity ya kuvalia njuga hoja ya escrow unaleta mkanganyiko wa hoja sana na ukakasi.

Issue ya Uswiss ni ya kifisadi vile vile kama ilivyo issue hii ya escrow.
What i know ni kwamba once issue ya uswiss ilipotokea watu km zitto na wengineo walisimama kama whistleblowers na kuibana serikali kwa kila namna ili ikiwezekana hatua ichukuliwe fedha zirudishwe na waliochukua wachukuliwe hatua...kama hiyo haitoshi zitto alifikia kusema anayo majina na kuipressurise serikali kwamba kama hawatafanya ufuatiliaji kwa wakati atataja...mbaya zaid serikali haikufunguka vilivyo kwenye suala lile na hadi hivi leo zitto hajataja yale...sasa usiniulize mimi kwa nin zitto hajataja hayo majina.

Kama anahofia uhai na usalamaka wake...au kama kuna tishio la maisha kapewa dhidi ya hilo na yeye kuishi anapenda mimi siwez kulizungumzia.

Blame nitaitupa moja kwa moja kwa serikali kwa kushindwa kuisimamia vilivyo hoja hiyo ya uswiss pamoja na kwamba whistle blowers wamefanya kazi yao...na kwa hilo nawapongeza sana.

Infact nawashangaa sana watu mnaokuja kusimama kidete kusema kwamba zitto asijitokeze kulizungumzia hili suala kwani hamtamuamin kwa kuwa kafeli ktk lile la uswiss....kafeli vipi?unless otherwise mngekuja na hoja kwamba nayeye kapata kimgao flani ktk lile sakata thats why kaamua kupiga kimya.

Lakin hilo la kusema sababu hajataja majina basi apuuzwe ktk hili la escrow haina mantiki...mbina CHADEMA HADI LEO wameyakalia majina ya wale walipuaji wa bomu lililoua watanzania wenzetu na ilihali wanasema wanayo wamegoma kupeleka polisi na wamegoma hata kutuonesha sisi wananchi na hadi leo hawaitwi matapeli wa kisiasa wanaocheza na emotions zetu??

Rais kikwete tokea mda mrefu anasema anayo lists ya wauza unga na anawafaham hadi leo hajawataja...je unamzungumziaje huyo rais wako??acheni masihara kwenye mambo ya msinngi kama haya.

Kiukweli suala hili la escrow na mengineyo yanayohusiana na haya once yanapotokea kikubwa ni kuangalia uhalisia wake na kuunganisha nguvu ili haki ipatikane.

Lakini hili la kuanza kurushiana vijembe na kuwabeza watu waliojitolea na kurisk maisha yao kupambana na mambo nyeti kama haya na yanayolitafuna taifa letu halina tija hata kidogo.

Lazima tujifunze kuyaangalia yapi yana umuhimu na kuyapa kipaombele kwa maslahi ya taifa.

Na sio kila siku kutanguliza hulka za kukinzana kwa kuangalia tofauti za maslahi na mitizamo.

Haina maana hata kidogo.
 

Ahsante
Kosa letu ni kusomana kufanya tafakuri. Tulitakiwa tuseme ‘go masiah go''
Tunachukiingawa hazionyeshwi. Tuna wivu n.k.
Tusichoambiwani kuhusu mada ya Zitto.

Hatujasema,narudia hatujasema madai au tuhuma zinazotolewa ni kweli au si kweli.Tunachosema ni kuwa maelezo ya mheshimiwa Zitto yana upungufu.

Nimejaribukusoma sana maelezo yake, sijaelewa.
Mfano,ameulizwa kama alimtafutia CEO wa Shell nyumba akisaidiana na Ongangi.
Jibu alilotoani kuwa, Ongangi amesoma Tanzania, ameoa na mtoto.
Hapa swali najibu vinaungana vipi?

Kwa wendawazimukama sisi tutahoji, kwa wanaotumia vichwa hakuna kuhoji, ni vigele gele kwendakwa mbele. Ati? Hatutakiwi kuhoji ili tusiharibu CREDIT kwa zitto.


Hili la rushwana credit wapi na wapi. Nilidhani ni letu sote, kumbe kuna score board!


Nguruvi3.

Let say kwamba ni kweli alimtaftia nyumba ceo wa sheli kwa kushirikiana na ongangi..so what?

Inatushughulisha nini sisi katika kudadisi na kusimamia kidete hii ishu ya escrow
Kumbuka hizi ni shutuma zinazoletwa sasa kwa kuwa watu wanaona wameshikiwa bango kwenye hii hoja ya escrow.

Hazina mashiko.
 
Nguruvi3.

Let say kwamba ni kweli alimtaftia nyumba ceo wa sheli kwa kushirikiana na ongangi..so what?

Inatushughulisha nini sisi katika kudadisi na kusimamia kidete hii ishu ya escrow
Kumbuka hizi ni shutuma zinazoletwa sasa kwa kuwa watu wanaona wameshikiwa bango kwenye hii hoja ya escrow.

Hazina mashiko.
Mkuu


  1. Ukisema wewe ni rahisi, lakini kwa Zitto inaumuhimu wake
  2. Ukichukua mstari mmoja ni sahihi, sisi tunamlolongo wa maswali
  3. Zitto hajaongelea Escrow, ameongelea tuhuma zinazomkabili.Kataja Escrow mara 5 kama sijakosea kwa reference tu na wala si kilichotokea
  4. Kuna tatizo gani Zitto kuweka rekodi hiyo kama ulivyofanya?Anakwepa nini?
  5. Kwa kujibu kimtaaani, nafasi yake katika jamiiinakuwaje?Katasika au kajichafua?

Nikukumbushekuwa mama Anna Tibaijuka kapata 1.2 Milioni kutoka kwa Rugamalira ambaye nindugu yake.
Leo tunajua kumbe wengi waliwekewa katika account.

MamaTbaijuka anabanwa kuwa sehemu ya mgao kama wale walioingiziwa kinyemela

Kwa viletuhuma hizi zinahusu Escrow, hatujui kama ni Raugamalira mmoja tualiyemwingizia Anna Tibaijuka kwenye account kwa njia ya msaada wa shule au wapo akina ''Rugamalira'' wangapi na kwa sura zipi.

MamaTibaijuka ni mdau wa shule ambayo haina uhusiano na uchimbaji wa gesi na mafuta.
Mama Anna anamjua Rugamalira kama nduguye mwenye mke na mtoto au watoto.
Anajua Ruga anashughuli zake nchini na amesomea Bukoba,atakayebisha atoe passport ya Rugamarila kuthibitisha.


Kuna uhusiano kati ya Shule, Mama Tibaijuka, Rugamalira, PAP, Escrow na kisha ufisadi.
Tunaweza kusema jambo kwa mama Anna kwa kuunga vitu hivyo.


Kesho mamaAnna anaweza kusimama na kuongoza vita dhidi ya ufisadi wa Escrow.
Itabidi tuuunge mkono kwasababu tunataka pesa zirudi.

Hayo mengine, itakuwa ''grievance, baseless allegation, fear, chuki, wivu, tutakuwa tumejjitoafahamu, tutakuwa stupid n.k. kama tutahoji au kuhitaji ufafanuzi''

Hoja kubwa tunataka mama Anna Tibaijuka aongoze mapambano ya rushwa pesa zirudi.
Kujadili uhusiano wake na shule au Rugamalira, PAP n.k. hakutarudisha pesa zetu.

Labda mtuambie nani mwadilifu mbadala wa kutuongoza kama hatuamtaki mama AnnaTibaijuka!
 
Mkuu


  1. Ukisema wewe ni rahisi, lakini kwa Zitto inaumuhimu wake
  2. Ukichukua mstari mmoja ni sahihi, sisi tunamlolongo wa maswali
  3. Zitto hajaongelea Escrow, ameongelea tuhuma zinazomkabili.Kataja Escrow mara 5 kama sijakosea kwa reference tu na wala si kilichotokea
  4. Kuna tatizo gani Zitto kuweka rekodi hiyo kama ulivyofanya?Anakwepa nini?
  5. Kwa kujibu kimtaaani, nafasi yake katika jamiiinakuwaje?Katasika au kajichafua?

Nikukumbushekuwa mama Anna Tibaijuka kapata 1.2 Milioni kutoka kwa Rugamalira ambaye nindugu yake.
Leo tunajua kumbe wengi waliwekewa katika account.

MamaTbaijuka anabanwa kuwa sehemu ya mgao kama wale walioingiziwa kinyemela

Kwa viletuhuma hizi zinahusu Escrow, hatujui kama ni Raugamalira mmoja tualiyemwingizia Anna Tibaijuka kwenye account kwa njia ya msaada wa shule au wapo akina ''Rugamalira'' wangapi na kwa sura zipi.

MamaTibaijuka ni mdau wa shule ambayo haina uhusiano na uchimbaji wa gesi na mafuta.
Mama Anna anamjua Rugamalira kama nduguye mwenye mke na mtoto au watoto.
Anajua Ruga anashughuli zake nchini na amesomea Bukoba,atakayebisha atoe passport ya Rugamarila kuthibitisha.


Kuna uhusiano kati ya Shule, Mama Tibaijuka, Rugamalira, PAP, Escrow na kisha ufisadi.
Tunaweza kusema jambo kwa mama Anna kwa kuunga vitu hivyo.


Kesho mamaAnna anaweza kusimama na kuongoza vita dhidi ya ufisadi wa Escrow.
Itabidi tuuunge mkono kwasababu tunataka pesa zirudi.

Hayo mengine, itakuwa ''grievance, baseless allegation, fear, chuki, wivu, tutakuwa tumejjitoafahamu, tutakuwa stupid n.k. kama tutahoji au kuhitaji ufafanuzi''

Hoja kubwa tunataka mama Anna Tibaijuka aongoze mapambano ya rushwa pesa zirudi.
Kujadili uhusiano wake na shule au Rugamalira, PAP n.k. hakutarudisha pesa zetu.

Labda mtuambie nani mwadilifu mbadala wa kutuongoza kama hatuamtaki mama AnnaTibaijuka!

Aaah come on Nguruvi3.

Please stop that you are smarter than that.

Huo sasa unaotaka kuucheza ni mchezo wa kitoto kabisa.

Na ina CHUSHA kusoma fananisho zako za kihoja na mantiki.

Kiukweli mimi nataka wewe nguruvi3 na Mchambuzi pamoja na wengine mnaoshikia bango hoja hii mniambie beyond a reasonable doubt na kwa ushahid uliojitosheleza na viambatanisho kwamba kwa sababu hizi hizi na hizi na kwa uthihitisho huu na huu zito kabwe ni traitor na ni mchafu hana intergrity ya kusimama kama mwenyekiti wa PAC kupigia kelele suala hili la escrow.

Hapo nitakuelewa.lakn hizi spinnings unazotaka kuzileta hivi sasa na hizi compare and contrast zako hivi sasa mimi naona unazid kwenda songombingo.

Hebu kwa faida ya jukwaa hili tuthibitishie kwa ushahid uso na shaka wa kumtia kabwe zitto hatian kuwa yeye mwenyewe ni fisadi au anashirikiana na mafisadi kubomoa taifa hili huku at the same time akijaribu kucheza na emotions zetu.

Na ukishindwa kufanya hivyo jipime wewe mwenyewe kisha ujitathmin kwamba je unadeserve kujiita great thinker?

All what i can see is contradictions..

Seriously you are contradicting yourself.

Infact hoja kuu hapa ni Escrow...tunafocus kwenye escrow...japo kabwe zitto ameileta hii ishu kama kucounterattack wale wanamuondoa kwenye track ya kulifocus hili la escrow kwa gia ya kupunch hizo shutuma lkn i am sure tunakubaliana kuwa hoja hapa ni escrow au siyo?

Unaona unavyojicontradict?mara unasema kwamba zitto kwenye uzi huu hajazungumzia escrow..at the same time unasema umeona kama kaitaja escrow kama mara tano hivi kwenye uzi huu huu?unaona unavyojichapa makofi mwenyewe??

Wewe ukitaka aizungumziaje ili uliridhike kuwa kaizungumzia?kwani ni geni hili la escrow mbele yako?hutosheki na jins lilivyozungumziwa na hadi hapo lilipofikshwa?

Hutosheki na hizi juhudi zinazofanywa katika kulipigia kelele suala hili ndan na nje ya bunge?

Unaonaje kama muda huu tungetumia kwa pamoja kumkata mwizi wetu kwanza kisha mambo mengine tutakuja kuyadiscuss baadae?

Yaani mnachokifanya nyinyi ni kwamba...

I will give you an example...

Yaani kuna watu watu wanapita nyumbani kwako kisha wanashuhudia kwa macho yao wezi wanavunja nyumba yako kisha wewe unapotaarifiwa badala ya kuungana nao kwenda kuangalia usalama wa nyumba yako na mali zako unasua sua na kuangalia nyuma huku unasema kwamba daaah...ila katika nyinyi mnaonipa hii taarifa hii ya wizi wa nyumba yangu baadhi nina was was na nyinyi.

Hiyo ya nini??we si uende ukapate uhakika na kuokoa mali zako kwanza?

Unadhani wale wezi watakuwa wanakusubir hadi wewe umalize kujifikiria?
 
Siku kadhaa zilizopita kumekuwepo na makala ambayo imeandikwa na Mhe.Zitto Ruyagwa Zuberi Kabwe na kuratibu usambazaji wake katika vyombo mbalimbali vya habari pamoja na mitandao ya Kijamii, yenye kichwa cha habari “Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki".


Katika Makala hiyo yenye urefu wa wastani Mhe Zitto amejaribu kubainishaTuhuma Saba (7) ambazo katika maneno ya utangulizi ya makala hiyo anadai zimetengenezwa na Waziri mmoja kwa lengo la kuhamisha mjadala wa Escrow na kuufanya wa masuala binafsi. Lakini msingi watuhuma zenyewe ingawa zinaelekezwa kutoka kwa Waziri mmoja zinaonekana kuwa na vyanzo vingi na pia kugusa watu wengi.


Katika waraka huu, sitazungumza sana juu ya Makala hiyo ya Zitto bali nitaelekeza hoja yangu katika tuhuma namba saba #7 ambayo inamtaja Mhe. Zitto na Mhe Kafulila kuwa wanatumiwa na Mbunge Mkono. Tuhuma ambayo Mhe Zitto ameikanusha kwa kutumia maneno mepesi, ninamnukuu


“..haya ni maneno ya hasira ya watu wanaokaribia kukamatwa kwa kushiriki wiziwa fedha katika Benki kuu ya Tanzania..”


Lakini kauli hiyo ya Mhe Zitto ya kukanusha tuhuma hiyo inakinzana na vielelezo mbalimbali ambavyo vimekuwa vikitajwa tangu awali na wale ambao wanamtazama Zitto kuwa miongoni mwa walafi wanaotumiwa na mafisadi na makuadi wa Soko huria ambao daima wametanguliza maslahi yao mbele nakuacha maslahi mapana ya Taifa.


Katika fikra yake nyengine Mhe Zitto anakiri kuwa Watanzania sio mabwege, Naam na ndio maana tunahoji uhalali na usafi wa Zitto katika hili.,zipo nyaraka zinazothibitisha kuwa gari aina ya Nissan Patrol yenye namba T182 BRF ambayo amepewa na kuitumia Mhe Zitto ilikuwa ni mali ya Mwanasheria maarufu nchini na mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini Mhe Nimrod Mkono ambaye amehusishwa na Ufisadi mkubwa wa bilioni 8.1 za Benki Kuu (BOT) na baadae TANESCO. Umefika wakati sasa wa watanzania kuujua Ukweli na sura halisi ya watu ambao wanajipambanua katika macho ya watu kuwa niwapinga rushwa na wafia Taifa hali ya kuwa ni wala rushwa na wanaotumika na watu wenye kufisadi nchi.


Watanzania tumechoshwa na rushwa, yeyote atakayesimama akiwa na doa la rushwa si katika wazalendo wa nchi hii na watanzania hatuko tayari kuwa pamoja nae. Watanzania tumechoshwa na sarakasi za wala rushwa, tuijengeTanzania Mhe na sarakasi zako zifike mwisho.


Hili si gubu la mamemume.
 

Attachments

Back
Top Bottom