Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Mchambuzi.

Mnaonaje haya ya ugomvi wa Zitto na Mbowe, Lema, kuhusu waraka msiufungulie uzi mwingine tuje kuchangia hamuoni kama mtauchafua huu wa Zitto.
Well saidi, kilichotokea ni kuwa NINYI mnasema, Zitto ameongea kama mwenyekiti wa PAC na hivyo inaondoa doubt yoyote. Tunajibu kwa kusema kofia ya PAC isitumike kujadili mada hii kwasababu zifuatazo.

Zitto aliwahi kutumia kofia hiyo tukamuunga mkono kama mnavyofanya sasa.
Mwisho wa siku Waraka wa Kitila ukaonyesha kuwa ile ilikuwa ni ugomvi wao ndani ya chama.

Wakati umma unajua yalikuwa masilahi mapana, kumbe kulikuwa na personal interest.
Hivyo wallioibua hoja hii ni wale waliotumia kofia ya PAC ili kumkinga Zitto. Nasi kama kawaida tunavuta kumbu kumbu na kuonyesha gross misuse ya kofia hiyo.

Kw aufupi tunawaambia watu, acheni kutumia kofia ya PAC, matamuumiza mwenzenu zaidi.
 
Ninyi mlisema kuwa Zitto ni mwenyekiti wa PAC na ana haki ya kuongea. Kumbuka ni ninyi wenyewe mumeleta suala la kofia ya PAC.

Sisi tunasema, nbi vema, lakini kumbu kumbu zinaonyesha kuwa alishawahi kutumia kofia hiyo kwa masilahi binafsi.
Swali mlilouliza ni masilahi yapi? Kauliza Galaxy
Jibu, alitumia PAC kushinikiza ukaguzi wa vyama vya siasa. Tukamuunga mkono na rekodi ipi JF.
Waraka wa Kitila ukaonyesha kuwa hakukuwa na masilhi ya umma bali ugomvi ndani ya chama chao.

Suala la ukaguzi wa vyama vya siasa ni kwa maslahi ya UMMA au BINAFSI...

Naanza kuona kwann hata hili mko tayari pesa yetu isirudi lakini si ZITTO kupata credit, hatari sana
 
Halaa! Kumbe ili ndiyo limekufanya upambane na Zitto kwa nguvu zako zote.
Hakuna mapambano na Zitto. Tunajibu hoja za kofia ya PAC. Hili limeonekana kumkinga kuwa ana haki ya kuzungumza kama mwenyekiti wa PAC. Na ni kweli ana haki hiyo kabisa. Tatizo ni kuwa alishawahi kutumia kofia hiyo kwa shughuli zake za kisisasa, ndio maana tuna doubt kama kweli kofia ya PAC itamsaidia kujibu hoja tunazouliza zaidi ya kumu expose. Sisi tuna fact, ninyi hamna kumbu kumbu.

Warusi wanasema hivi

IGNORE THE HSITORY, YOU LOSE AN EYE
FORGET THE HISTORY, YOU LOSE TWO EYES
 
Suala la ukaguzi wa vyama vya siasa ni kwa maslahi ya UMMA au BINAFSI...

Naanza kuona kwann hata hili mko tayari pesa yetu isirudi lakini si ZITTO kupata credit, hatari sana
Its all spinning kututoa katika hoja. Hakuna majibu ya hoja.

Nadhani uwaulize waliosema Zitto anatumia kofia ya PAC walilenga nini, halafu usome tunaposema PAC aliwahi kuifanyia misuse big time tuna maana gani.

Msituondoe kwenye hoja, na huko mnakoelekea kwakweli sidhani kama kutamsaidia kujibu hoja. Ni kubaya na tuna fact za kutosha. Hebu turudi kwenye mada
 
Kumbe moja ya mambo yanayofanya Zitto achukiwe ni kitendo chake cha kutaka vyama vya siasa vikaguliwe...? Nilikuwa sijui hili kumbe haitakiwi kuoversee shughuli za kichama
Spinning
Hakuna chuki na Zitto. Hakuna aliyeweka mada, ni yeye mwenyewe kaja na tuhuma na majibu nusu glass.

Tunahoji hoja zake
Mfano, alisema ametuhumiwa kumtafutia CEO wa Shell nyumba.
Zitto akajibu, Ongangi ana watoto, amesoma hapa Tanzania na mke.

Hoja imejibiwa?
 
Hoja iliyopo ni kupitia tuhuma na majibu.
Niweke sawa, tuhuma halafu majibu. Haina maana kuna uhakika wa upande wowote. Ni kuangalia kwa jicho mujarabu.

Mfano
Tuhuma #2 :

Zitto amemsaidia Ongangi kupata uraia wa Tanzania na kwa sasa ni raia wa pasipoti.
Zitto na Ongangi walimtafutia CEO wa Shell aitwae Axel Knospe nyumba na gari ya kukodi.

Majibu:

Raphael ni mtu binafsi ambaye anafanya shughuli zake hapa nchini, amesoma hapa nchini na ameoa na ana mtoto. Tuhuma hizi hazina msingi wowote ule maana ni uwongo. Wanaotoa tuhuma hizi waonyeshe hiyo pasipoti ya Bwana Ongangi kuthibitisha madai yao
tupitie hii kidogo.
1. Tuhuma ya mstari wa kwanza ni usaidizi wa Ongagi kutoka kwa Zitto kupata passport.
Zitto anasema, huyu amesoma Tanzania, ana mke na mtoto. Hapa inaonyesha anamfahamu rafiki yake vema hata kuchukua jukumu la kuwa msemaji wa familia. Hakuna tatizo. Huko nyuma ameshindwa kutueleza kama Ongangi ni mshiriki wa Gombe. Just kusema yes or no hakuweza.
Pili, kitendo cha kusema kasoma hapa,hizo si tuhuma. Anachojaribu kueleza ni kuwa huyu ni Mtanzania.
Ongangi ameoa na mke, pia anajaribu kueleza jambo kuhusu uraia wa Ongangi bila kutueleza kaoa Kenya kwao au Tanzania. Hata hivyo tunampa benefit of doubt.

2. Zitto anasema tuhuma hizi hazina msingi wowote ni uwongo. Well, hatujui kama ni kweli au uwongo. Alichopaswa kutueleza ni kuwa kama ni uwongo, ambao amasema, ukweli ni upi?

3. Zitto anasema wanaotoa tuhuma waonyeshe Passport
Hapa kuna kituko, passport ya Ongangi anayo yeye na mtu mwingine anayeweza kujua ipo wapi ni Zitto anayejua mkewe na mtoto na amesoma wapi. Zitto alipaswa kusema, wanaotoa shutuma watoe ushahidi na si waonyeshe passport.
Hivi nani anaweza kumiliki passport ya mtu mwingine ili wakati ushahidi ukitolewa aitoe.

Haya ndio tunayopaswa kuyaangalia. Sasa kama kuna chuki, hebu onyesheni wapi chuki imetendeka.
Ukisema kuna chuki, lazima u prove chuki. Mimi na prove kuwa majibu yake hayajakidhi kiu ya alichotaka kurueleza.
 
Well saidi, kilichotokea ni kuwa NINYI mnasema, Zitto ameongea kama mwenyekiti wa PAC na hivyo inaondoa doubt yoyote. Tunajibu kwa kusema kofia ya PAC isitumike kujadili mada hii kwasababu zifuatazo.

Zitto aliwahi kutumia kofia hiyo tukamuunga mkono kama mnavyofanya sasa.
Mwisho wa siku Waraka wa Kitila ukaonyesha kuwa ile ilikuwa ni ugomvi wao ndani ya chama.

Wakati umma unajua yalikuwa masilahi mapana, kumbe kulikuwa na personal interest.
Hivyo wallioibua hoja hii ni wale waliotumia kofia ya PAC ili kumkinga Zitto. Nasi kama kawaida tunavuta kumbu kumbu na kuonyesha gross misuse ya kofia hiyo.

Kw aufupi tunawaambia watu, acheni kutumia kofia ya PAC, matamuumiza mwenzenu zaidi.
Nyie mtakuwa na wivu na Zitto ndani ya chama chenu kutokana kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa PAC, ndiyo maana mkaandaa waraka na kusambaza mitandaoni kumchafua Zitto, kama mlivyoangizwa na Mbowe na Lema, endelea kupambana kamanda.
 
Nyie mtakuwa na wivu na Zitto ndani ya chama chenu kutokana kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa PAC, ndiyo maana mkaanda waraka na kusambaza mitandaoni kama mlivyoangizwa na Mbowe na Lema, endelea kupambana kamanda.

Si umeshauri suala hili lisijadiliwe ndani ya Uzi huu? Binafsi niliheshimu Hilo, lakini sasa sijui unasimamia wapi; nipe mwongozo ili nielewe Kama tuna haja ya kuingia Huko au ni nje ya mada;
 
Hapa naona watu tutaishia kurushiana maneno tu na kuchafua hali ya hewa, Zitto anapaswa kurudi hapa kwenye thread yake na kutoa sintofahamu hii ambayo naona taratibu ishaanza ku-take a different turn. Zitto, natambua umuhimu wako huko bungeni, na nafahamu kuwa kuwa upo hoi muda huu, alkini pia nafahamu kuwa you're reading every post kwenye hii thread; man, be a sincere man, come out and try to clean your plate before the cockroaches cover it! At the end we'll only be able to see the roaches! Come out man, the longer you wait ...!
 
Wananchi tunachotaka ni pesa yetu IRUDI, Kujua marafiki wa Zitto tuwaachie jukwaa la MMU
 
Nyie mtakuwa na wivu na Zitto ndani ya chama chenu kutokana kachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa PAC, ndiyo maana mkaanda waraka na kusambaza mitandaoni kama mlivyoangizwa na Mbowe na Lema, endelea kupambana kamanda.
Mkuu si umesema huu uzi ni wa Zitto na mada iliyopo ijadiliwe, sasa haya mengine yanatoka wapi?

Pili, una proof yoyote kuhusu unachosema? Una haki kabisa ya kusema lolote, tena nadhani umesitiri sana. Kasome huko nyuma uone matusi ya maana. Hiyo kamwe haituondoi katika hoja.

Tunaheshimu maoni yako ya kubaki kwenye uzi. Lau unasema twende kwingine, hewala maana muhimu ni hoja.
 
Si umeshauri suala hili lisijadiliwe ndani ya Uzi huu? Binafsi niliheshimu Hilo, lakini sasa sijui unasimamia wapi; nipe mwongozo ili nielewe Kama tuna haja ya kuingia Huko au ni nje ya mada;
Nani kayaleta humu mambo ya waraka au nyie ndiyo mna ruksa ya kuandika chochote na kupangia watu kipi cha kuandika, Nyie mbona mnajadiliana kuhusu waraka wa Chadema.
 
Mkuu si umesema huu uzi ni wa Zitto na mada iliyopo ijadiliwe, sasa haya mengine yanatoka wapi?

Pili, una proof yoyote kuhusu unachosema? Una haki kabisa ya kusema lolote, tena nadhani umesitiri sana. Kasome huko nyuma uone matusi ya maana. Hiyo kamwe haituondoi katika hoja.

Tunaheshimu maoni yako ya kubaki kwenye uzi. Lau unasema twende kwingine, hewala maana muhimu ni hoja.
Mkuu JF ni jukwaa huru kila mtu yupo huru kuchangia chochote bila kuvunja sheria na kanuni za JF wewe twende popote unapotaka mimi napenda sana hii mijadala najifunza mengi.

Twede kazi kamanda hakuna kulala tumeanza na mungu kamanda, yaani mimi kuandika kiduchu unahoji yametoka wapi tena, jifunze kuvisoma vitu usivyovipenda najua mpo kazini Mbowe anawasoma kwa karibu mno, wewe ni nani humu JF mpaka uwaulize members wenzako wa proof na wanacho kiandika wewe mbona watu hawajakuuliza hivyo.

Mie nipo toka post ya mwanzo humu sijaona matusi, uzuri Mods wapo kama kuna tusi wanatusaidia.
 
AFRIKA KABLA YA KUIGA DOMOCRASIA YA VYAMA VINGI ILIHITAJI KUPITIA KWENYE UDIKTETA WA MAENDELEO.
TUNAHITAJI UDICTETA WA KUJENGA MISINGI YA DEMOCRASIA YA KWELI KWA NGUVU, KUWEKA HISIA ZA UZALENDO WA KWELI ,KULETA MAENDELEO BILA YA KUKWAMISHWA NA BUNGE 'LA UPINZANI' AMABALO MARA NYINGI WAO NI KUPINGA KILA KITU,
NI MAPEMA MNO KUWA NA DEMOCRASIA YA KWELI YA VYAMA VINGI NA KATIBA INAYOTOA HAKI NYINGI KWA RAIA MPAKA WANAKUA WAVIVU KILA KITU SERIKALI IWAFANYIE,

HUKO ULAYA NA MAREKANI WAMEPITIA KATIKA KARNE ZA KIDIKTETA NA VITA KABLA YA KUANZA NA CONSTITUTION DEMOCRACY.
UFARANSA
UINGEREZA
ITALY
RUSSIA
MAREKANI NA NYENGINEZO ZIMEJENGA NCHI ZAO KUPITIA TAWALA ZA NGUVU UKOLONI NA UTUMWA , RAIA WALIPEWA HAKI SAWA PALE NCHI ZILIPOJIJENGA NA RAIA WAMESHAKUWA TAYARI WAZALENDO HASWA NA WANAZIPENDA NCHI ZAO.

NCHI NYENGINE NI HAPA KWETU AFRIKA HUKO SOUTH AFRIKA ...HII NI NCHI ILOTAWALIWA KWA NGUVU UBAGUZI NA HAKIKA MKONO WA CHUMA KUWAWEKA WATU SAWA.JAPO UBAGUZI ULIZIDI MIPAKA YA UTU LAKINI NCHI HII INGEKUBALI KUWA 'HURU MIAKA YA MWANZO YA 60 KAMA NCHI NYENGINE ZA AFRIKA BASI NAYO INGEKUA HAINA TOFAUTI NA NCHI ZETU.

MFANO MWENGINE NI TANZANIA YA MWALIMU, HAKIKA ALIKUA NA VISION YAKE KUIJENGA NCHI HII, NA ALIFANIKIWA KWA BAADHI YA MAMBO NA UKWELI UTABAKI ALITUMIA AMRI KUAMUA MAMBO MENGI YA MANUAFAA BILA YA KUFATA TARATIBU ZA DOMOKRASI.
ALIPOAMUA KUJENGA TAZARA HAKUNA TENDA , ALIWAOMBA MABEPARI WAKAKATAA ,AKAGEUKA CHINA. HAKUNA ALIEPINGA WALA KUHOJI, LEO TAZARA IPO
ALIJENGA KWA ARI KUBWA ATC BAADA YA EAA KUVUNJWA ..HAKUNA ALIELETA KELELE AMRI TU ILITOSHA KULIANZISHA ATC...ALIAMRISHA TUNGA SHARIA YA KULIANZISHA NA IKATUNGWA ...ATC ILIJITAHIDI SANA WAKATI ULE.....YALIOFANYIKA BAADAE NDIO MAMBO YA HIYI DOMOKRASIA YETU YA BUNGE LA KUPINGANA.
ALIJENGA MTERA, PANGANI,KIDATU UNIVERSTY YA DAR BILA YA TENDA WALA TARATIBU ZA FEDHA WALA KAMATI ZA BUNGE AMRI YAKE ILITOSHA..KULIAMRISHA BUNGE..
NA HATA ZANZIBAR KARUME SENIOR ALIIJENGA NYUMBA ZA WANANCHI VISIWANI KOTE KWA MRI TU. PIA HOTEL YA BWAWANI KARUME ALIWATUMA WATAALAM WASHAAURI JUU YA KUJENGWA HOTEL YA KISASA PALE ENEO LA FUNGUNI MALINDI...WALIKWENDA NA KURUDI NA USHAURI NA DOMOKRASI YAO KUWA PALE HAPAFAI PANA MAJI ALICHOFANYA KARUME ALIKWENDA NA KAMBA NA KUMSHIKISHA WAZIRI WA UJENZI NA KUPIMA NA KUMWAMBIA HOTEL ITAJENGWA KUANZIA HAPA MPAKA HAPO ULIPO SHIKA KAMBA..HII ILIKUA AMRI SIO KAMATI ZA MABARAZA LA DOMOKRASIA..LEO HOTEL IPO NA NI MIAKA 40 SASA NA ILIKUA MOJA YA HOTEL MAARUFU SANA NA INAYOPENDEZA ZANZIBAR, KUJA DOMOCRASI HOTEL IMEULIWA NA VIKAO VYA KUAMUA KUIFANYIA MATENGENEZO.

HUKO UGANDA MUSEVENI ANFANYA MAMBO KWA AMRI..LAITI INGEKUA KUNA DOMOCRASI KAMA YETU HATUA WALOFIKIA BAADA YA VITA ISINGEFIKIWA NA PIA SUALA LA MAFUTA LINGEBAKI MALUMBANO YA DOMOCRASI.

MTU MWENGINE NI KAGAME YEYE ANA VISION NA ILI ITIMIE MKONO WA CHUMA UNAHITAJIKA..HAKUBALI DOMOCRASI KUHARIBU VISION YA KUIJENGA RWANDA KAMA KWENYE VIDEO HII HAPA CHINI

Last edited by a moderator:
Mkuu JF ni jukwaa huru kila mtu yupo huru kuchangia chochote bila kuvunja sheria na kanuni za JF wewe twende popote unapotaka mimi napenda sana hii mijadala najifunza mengi.

Twede kazi kamanda hakuna kulala tumeanza na mungu kamanda, yaani mimi kuandika kiduchu unahoji yametoka wapi tena, jifunze kuvisoma vitu usivyovipenda najua mpo kazini Mbowe anawasoma kwa karibu mno, wewe ni nani humu JF mpaka uwaulize members wenzako wa proof na wanacho kiandika wewe mbona watu hawajakuuliza hivyo.

Mie nipo toka post ya mwanzo humu sijaona matusi, uzuri Mods wapo kama kuna tusi wanatusaidia.
Nimekuuliza tu kuwa unaweza kuwaonyesha unachosema au ni hisia zako. I mean, ukisema mtu ni mchawi ni vema uthibitishe vinginevyo inapoteza maana. Nashangaa kwanini mnashambulia wachangiaji ''hamshambulii'' mada kwa maono yenu.

Ungependa nikuwekee matusi uone?
 
Mie nipo toka post ya mwanzo humu sijaona matusi, uzuri Mods wapo kama kuna tusi wanatusaidia.
Mkuu ni kama haya niliyoambiwa
wewe mpumbavu anzisha uzi wa hayo maswala yako

nyie ndio vitoto vya mafisadi leo mmekatamatika mchana kweupe
samahani, sijawahi kukuamini kuwa ni sehemu ya GT ninachojua ni kuwa unaandika articles ndefu za kueleza matukio na ''nothing food for thought in it''

strictly speaking wewe una IQ ndogo
For God's sake, kwa maada hii kaa kimya basi, ushasema na umati huu unaona kabisa uko wrong

ukiambiwa zipu hujafunga , umesahau unafunga, tena wengine wanafunga kwa kugeuka na kupiga jicho asije akawa shemeji au mama mkwe kaona! kwako wote wanakuangalia...wakiwemo hao niliowataja, katika hili kuna vizazi vyako vijavyo, hata wale waliokuwa na wasiwasi na IQ yako wanapata confirmation kuwa iko chini
by the way unaenda msikitini au kanisani? anza leo na soma

1 corint 13!

au Surat Ar-Rum 30:21
Punguza chuki utaona na kuwaza vizuri

did I call you stupid? Yes for now, no if you will stop these nonsense

Turudi kwenye mada mkuu. Tujadili mada ya Zitto kama alivyowasilisha.
Tuepuka jazaba, viroja na matusi. Na pia tuache chuki na wivu au kupiga vigelegele bila sababu za maana. Nderemo na vifijo visituongoze katika mada, tuongzwe na weledi.
 
Well saidi, kilichotokea ni kuwa NINYI mnasema, Zitto ameongea kama mwenyekiti wa PAC na hivyo inaondoa doubt yoyote. Tunajibu kwa kusema kofia ya PAC isitumike kujadili mada hii kwasababu zifuatazo.

Zitto aliwahi kutumia kofia hiyo tukamuunga mkono kama mnavyofanya sasa.
Mwisho wa siku Waraka wa Kitila ukaonyesha kuwa ile ilikuwa ni ugomvi wao ndani ya chama.

Wakati umma unajua yalikuwa masilahi mapana, kumbe kulikuwa na personal interest.
Hivyo wallioibua hoja hii ni wale waliotumia kofia ya PAC ili kumkinga Zitto. Nasi kama kawaida tunavuta kumbu kumbu na kuonyesha gross misuse ya kofia hiyo.

Kw aufupi tunawaambia watu, acheni kutumia kofia ya PAC, matamuumiza mwenzenu zaidi.

Mkuu Nguruvi3,
Ni wachache sana wanaotazama mambo na kuyaona kwa mwanga ang'avu kama ulivyoona wewe. Mie nimechunguza kila mara anaposhikia jambo bango kwa nadra sana utakuta nyuma yake hakuna manufaa binafsi yanatafutwa. Kwa hili la sasa Zitto anatafuta high jump ya kumvusha katika mpango wake wa kuaga CDM. Nahisi Zitto amekuwa over-stressed na CDM kupita katika chaguzi za ndani salama bila madhara wala mpasuko. Mpango wa Zitto ilikuwa kuondoka CDM mwezi wa Tisa baada ya kuwavuluga CDM kwenye uchaguzi wao wa ndani kwa kuwatumia mawakala. Kwa bahati mbaya sana mpango haukuwa na matokeo mazuri. Baada ya hapo amekuwa kama kuku anayeruka baada ya kuchinjwa shingo. Akiona CDs zake za PAC hazi-heat anadandia za wengine ambazo zinabamba e.g ya Kafulila. Yote haya anatafuta nguvu ya kumsindikiza huko aendako. Ningemuona Zitto Mzalendo wa kweli kama angeondoka bila kusubiri hicho kiinua mgongo. Lakini maadamu anaona vema kuvumilia yote ili kukamilisha muda na vigezo vya kuwa pensionable wa Bunge hili basi sina jina au njia nyngine yoyote ya kumtofautisha na mchumia tumbo.

Turudi hapa tarehe 28 Novemba, 2014
 
wewe mpumbavu .....kwa nini mnakuwa wajinga kiasi hiki? hata wewe??..... acha kujivua akili Nguruvi.....samahani, sijawahi kukuamini kuwa ni sehemu ya GT.....did I call you stupid?..

Dah! Is this Waberoya I know for some good years? Kwa haya maandishi mbona anarusha mishale akiwa ameelekeza kifuani kwake? Lengo ni kumuua anayemuona kama adui au kujiua akidhani anamkomoa adui? Invisible mumeanza lini kuruhusu matusi kama haya?
 
Zitto analindwa, tulimuunga Mkono akatuangusha, sio Mara moja, sasa Tunasema basi; lakini Pamoja na usaliti wake kwetu watafuta mabadiliko na wapinga ufisadi, tusipo piga vigele gele na utapeli wake wa kisiasa, tusipo amrisha wake zetu kucheza Ngoma za "mwee tunogile", tunaonekana Kwamba ni wasaliti na Watu tuliokosa uzalendo; Ipo siku mtatuelewa, na siku hiyo haipo Mbali;
 
Mkuu ni kama haya niliyoambiwa

Turudi kwenye mada mkuu. Tujadili mada ya Zitto kama alivyowasilisha.
Tuepuka jazaba, viroja na matusi. Na pia tuache chuki na wivu au kupiga vigelegele bila sababu za maana. Nderemo na vifijo visituongoze katika mada, tuongzwe na weledi.

Cha ajabu ni Kwamba, akitokea mchangiaji akasema hata maneno "go zitto", bila ufafanuzi, akina Gamba la Nyoka, Waberoya, Ritz, na wenzao wanachangia kwa Hali na Mali, lakini linapokuja suala la wachache kuomba ufafanuzi wa majibu yaliyowasilishwa na zitto mwenyewe, kwa tuhuma alizowasilisha zitto mwenyewe, ni matusi, vijembe, na mipasho ya kila aina. Wananchi wanawasoma, ni Bahati yenu utambulisho wenu humu ni wa kimsukule, Vinginevyo Mtakuja kumbuka hoja Zetu siku sio Mbali;
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom