Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Daa!!! Kumbe kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman Mbowe naye aliwaacha solemba Watanzania aliposema kuwa anao ushahidi wa mabomu ya Arusha waliopigwa wafuasi wa Chadema, sasa hii integrity sijui anayo nani.

Dr.Slaa naye juzi alituambia kuwa anayo ushahidi mabomba ya gesi yanatoka Mtwara mpaka Ulaya yanapita chini ya maji, achilia mbali yale makontena ya kura aliyosema kuwa aliyakamata kule Tunduma.

Hapo hapo akasema anayo ushahidi Usalama wa Taifa walimuibia kura zake za Urais, Watanzania wameachwa sana solemba.

Hatushindanishi wanasiasa tunatafuta kiongozi tumpe hii mikoba.

Safi sana Ritz, hizo ni hoja za kujadili kwani kwa maana hiyo, wapo ambao wanajisikia kuwa betrayed na viongozi; tengeneza hoja vizuri na uanzishe Uzi, nitakuwa mmoja wa wachangiaji Katika Kuhoji Hilo;
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Ritz, hizo ni hoja za kujadili kwani kwa maana hiyo, wapo ambao wanajisikia kuwa betrayed na viongozi; tengeneza hoja vizuri na uanzishe Uzi, nitakuwa mmoja wa wachangiaji Katika Kuhoji Hilo;
Mkuu wangu Mchambuzi mie nadhani hakuna haja ya uzi mwingine tujadili tu humu humu kama muda utakuruhusu kutokana na wasomaji wengi wanatusoma wapate vitu vipya na sisi wengine tujifunze kupitia huu uzi ni muhimu kweli kweli kuwa na viongozi wenye Integrity.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu Mchambuzi mie nadhani hakuna haja ya uzi mwingine tujadili tu humu humu kama muda utakuruhusu kutokana na wasomaji wengi wanatusoma wapate vitu.

Kufanya hivyo kutatuondoa kwenye hoja ya msingi; huu ni Uzi binafsi wa zitto, ameuleta kwa ajili ya kufafanua tuhuma ambazo Anasema zinaelekezwa kwake; baadhi yetu tumefarijika na hatua yake hii lakini yapo masuala ambayo majibu yake yanazaa utata zaidi, na tumeomba arudi Hapa kuweka mambo sawa, lakini so far hajaja ingawa tunaambiwa Kwamba Anasoma hoja kila anapo pata nafasi. Iwapo hadi sasa majibu kwa hoja za msingi bado hazipo, kwanini tuchanganye uzi huu na suala la mabomu ya Arusha? Hiyo itatusaidia vipi Kupata majibu kwa maswali yetu?

Mimi naamini Kwamba kufanya hivyo ni kutuondoa kwenye hoja ya msingi, na matokeo yake, badala ya kujadili hoja za zitto kwa Mujibu wa zitto mwenyewe, tutaanza mjadala wa kumshindanisha zitto na Watu Wengine, suala ambalo right from the outset Nimesema zaidi ya Mara moja Kwamba hiyo sio hoja yangu;

Kama mnahoji integrity ya mbowe, slaa, lissu, Lema etc, ni Jambo Jema Kabisa, litengenezeeni Uzi, tutakuja kutoa mchango wetu;
 
Last edited by a moderator:
Zitto usirudi nyuma, NGUVU YA UMMA inakuja nyuma yako, Tanzania haitakombolewa kwa demokrasia, bila nguvu ya umma tutabaki kukosoana kupitia JF na hakuna litakalobadilika, mafisadi hawatishwi na JF
 
Mkuu hao jamaa wameisha jipambanua na kujianika! tupa kule, kama wanataka ushindi wapeni tusio watu hao
Wewe n i mwajiriwa wa Zitto, sijui katika capacity gani, hivyo huna moral authority ya kujadii chochote.
Subiri mzee ukamfungilie geti

Tumeuliza maswali hamna majibu,mnajaribu kupindisha mjadala. Tutakwenda huko huko mnakopinda.

Lrngo ni kuzuia upotoshaji wa umma, au kutumia matatizo ya taifa kwa masilhai binafsai.

Suala la Uswiss mumekubali kuwa alituacha njia panda.

Nakuja na hoja ya ukaguzi wa vyama. Kwamba zitto alitumia PAC kushinikiza ukaguzi wa hesabu za vyama. Tulimuunga mkono, mwisho wa siku kumbe alikuwa na masilahi binafsi ndani ya chama chake akitumia PAC.
 
Nimemuomba na mkuu Mchambuzi kuhusu hili swala la NYIE na SISI..this is a discussion not a competition mkuu. There will be no winner announced at the end. Tuache haya mambo ya kugeneralize na ku assume, hayana msingi.
Mbona wenzake wanaposema sisi na nyinyi huoni tatizo? Ni wazi kuwa sisi tumeonekana wabaya baada ya kuhoji kwa mantiki kuhusu majibu ya Zitto aliyotoa na kuweka mwenyewe. Hapo ndipo usisi na unyinyi unapoanza. Hatukuanza usisi, na muda wote wakati tunatukanwa na kundi la ninyi akina Zitto ulikuwa kimya.

Hatukujibu matusi kwasababu tuna hoja, ulikaa kimya.
Hili suala ni zito mkuu, ni suala ambalo ukilitazama haraka haraka unaweza kudhani linasimamiwa kwa masilahi ya taifa.

Si umeona hapa watu wanasema eti tunazuia Zitto asipate credit. Ninyi mnaotaka credit kwa zitto na sisi tunaotaka uadilifu hapo ndipo tunaachana. Ninyi mnatengeneza credit kwa mtu binafasi, Sisi tunataka masilahi ya umma yasichezewe kisiasa. Ninyi watu wa Zitto mnafumbia macho uhuni, Sisi tunasema uhuni unatosha, taifa lina watu wengi makini na waadilifu.
 
Kufanya hivyo kutatuondoa kwenye hoja ya msingi; huu ni Uzi binafsi wa zitto, ameuleta kwa ajili ya kufafanua tuhuma ambazo Anasema zinaelekezwa kwake; baadhi yetu tumefarijika na hatua yake hii lakini yapo masuala ambayo majibu yake yanazaa utata zaidi, na tumeomba arudi Hapa kuweka mambo sawa, lakini so far hajaja ingawa tunaambiwa Kwamba Anasoma hoja kila anapo pata nafasi. Iwapo hadi sasa majibu kwa hoja za msingi bado hazipo, kwanini tuchanganye uzi huu na suala la mabomu ya Arusha? Hiyo itatusaidia vipi Kupata majibu kwa maswali yetu?

Mimi naamini Kwamba kufanya hivyo ni kutuondoa kwenye hoja ya msingi, na matokeo yake, badala ya kujadili hoja za zitto kwa Mujibu wa zitto mwenyewe, tutaanza mjadala wa kumshindanisha zitto na Watu Wengine, suala ambalo right from the outset Nimesema zaidi ya Mara moja Kwamba hiyo sio hoja yangu;

Kama mnahoji integrity ya mbowe, slaa, lissu, Lema etc, ni Jambo Jema Kabisa, litengenezeeni Uzi, tutakuja kutoa mchango wetu;
N hicho ndicho wao wanataka. Wanajua uzi wa zito ni mzito kuutolea majibu. Wanajua majibu hayajitoshelezi na yanaacha maswali, njia ya mkato ni matusi ambayo tumeyavumilia na sasa wanataka tuhame kutoka uzi wa Zitto ulio na tuhuma na majibu yake tujadili mambo mengine. Hapana turudi kwenye uzi wake.
 
Nirudie kwa mara ya nne:

"Hatumshindanishi zitto na mtu Bali tunamshindisha na Dhana ya integrity kwani tunaamini Kwamba hii ni Sifa ya msingi anayotakiwa kuwa nayo kiongozi yoyote anayeingia vitani kupambana na ufisadi.

Hatupo Hapa kujadili mbadala wa zitto, tupo Hapa kuchambua viongozi wote ambao wanajitokeza kutetea maslahi yetu wananchi ili tusije kuachwa solemba kama suala la fedha za uswisi n.k. Kwahiyo basi, kila kiongozi atakayejitokeza Katika hili, tutamchambua kwa hoja kwa nia ya kubaini iwapo anatufaa au hatufai kutetea maslahi yetu. Na nadhani mnatambua Kwamba tuna Haki ya kufanya hivyo."

cc Granta

Na pia tusije achwa solemba kama suala la ukaguzi wa fedha za vyama ambalo Zitto alitumia kofia ya PAC kushinikiza. Rekodi zipo, tulimuunga mkono. Mungu akatufungua macho kupitia waraka wa Kitilaulioonyesha kuwa ile haikuwa kwa masilahi ya umma bali mpango na mchezo wa kisiasa wa kupanda ngazi kwa kutumia umma. Akatuacha watupu na aibu. This time, hapana tunaangalia maneno yake mwenye kwa uyakinifu.
 
Kuna tatizo hili la NYIE na SISI katika uchangiaji wa mdada humu ndani. A kind of mob pyschology that is ruining the quality of discussions and all sense of reason and logic katika arguments. That aside, the last engament na mkuu Mchambuzi umeniuliza maswali mawili nikayajibu ila badala tuendelee umeingia katika generalizations and mere assumptions. Hebu turudi kwenye hoja, may be kuna watu wamekufa useme uliyoyasema hapo juu ila please i beg you brother do not go into that NYIE na SISI mentality. This is not a competition, its a discussion!
Mkuu ukifuatilia mjadala huu utabaini kuwa Nguruvi na Mchambuzi wamewekwa kwenya kundi la WAO kuanzia mwanzo. SISI kuanzia mwanzo tumejadili hoja za Zitto, mbona wakati tunaitwa wao hukusimama kukemea mentality hiyo? Jibu ni kuwa wakati huo ulikuwa na faraja tukifanyiwa character assasination bila kujua mentality unayokemea inajengeka.

Nakubaliana nawe kuwa hili si shindano, hivyo basi turudi kwenye mjadala kama mada inavyosema bila matusi, kejeli au dharau. N ahili lianze na wewe unayesema tuna hofu gani Zitto akipata credit. Tuna hofu, akina nani?
 
Zitto alikuwa mwenyekiti wa PAC na alitumia nafasi hiyo kushinikiza ukaguzi ndani ya vyama vya siasa. Thanks to Waraka ulio reveal misuse ya title yake for political gain na si masiliahi ya umma.

Kuwa vyama vya Siasa kukaguliwa ni kwa ajili ya political gain...?
 
1. Za Uswisi hazijarudi. Granted that Zitto alisema kuwa ana majina ya walioficha pesa illegally Uswisi na mpaka leo haja disclose hiyo list, so whats the argument here? Are you arguing that hakuna watu walioficha pesa Uswisi au are simply saying Zitto has failed to come up with the list? Ni masilahi gani binafsi aliyopata Zitto kwa issue hii? (Lets talk facts here please).

Swali: pamoja na kuwa Zitto alikuwa mstari wa mbele kwenye hili swali, when it comes to the really issue, unakubaliana na serikali kuwa imeshindwa kwenye uchunguzi wake kwa sababu Zitto hajawapa majina walioficha pesa Uswisi? Who do you really need to hold accountable here, your government or Zitto?

2. Zitto comes out fighting through PAC on this Escrow issue, we unasema we should stop him and ask his motives first. Let say i agree with you kuwa anapigania maslahi yake binafsi, ni maslahi yapi hayo? Kama Zitto atapata maslahi yake (credit) na taifa likapata pesa zake, what is your problem with that?
Swali: Ikitokea kuwa issue ya Escrow imekuwa resolved in favor ya taifa kwa ujumla baada ya PAC kuipa pressure kubwa serikali, will it be bad kwako ikiwa Zitto atatake credit kuwa yeye kama mwenyekiti wa PAC ameplay a very significant role? Will you feel that you have been cheated by Zitto?

3. He is the chairman of PAC, is he suppose to do nothing kwa sababu kuna watu wanasema hana intergrity? Ni majibu gani ya kuridhisha anatakiwa ayatoe kabla ya kuendelea ku exercise nguvu aliyonayo kisheria kama mwenyekiti wa PAC?

4. Maswali uliyoniuliza mimi nadhani umeona kuwa nimekujibu kama ambavyo nakujibu na haya mengine. Tuendeleee

Labda nikuulize ndugu yangu, ukisema majibu ya kuridhisha, unamaanisha kuridhisha swali liliulizwa au kukuridhisha wewe binafsi kutoka na uelewa wako na assumption zako? Kama unakuwa na pre-determined answers to all the questions you are asking, i can assure you 100% haitatokea Zitto akajibu exactly ambacho umekuimagine akilini mwako sentence by sentence, neno kwa neno.

NO SISI, NO NYINYI..JUST QUESTIONS, ANSWERS, LOGIC AND COMMON SENSE. DISCUSSION NOT COMPETITION.
Mkuu, serikali ni mshiriki mkubwa wa wizi wa pesa za Uswiss kwa kushindwa kutoa ukweli.
Suala la Escrow tumelijadili katika uzi fulani na tumesema wazi wizi upo, wezi wapo.

Zitto aliposimamia suala la Uswiss tulikuwa nyuma yake. Baada ya kushindwa kutoa majina, hakurudi kutueleza kwanini.

Tulichobaini ile ilikuwa mbinu ya kurudi kisiasa baada ya yale madudu ya Waraka
Hivyo, alikuwa na masilahi yake binafsi, vinginevyo angetufahamisha kwanini majina hayakutoka au kutupa feedback. Katuacha tukaonekana wapambe tu.

Unapouliza kama kuna masilahi binafasi, hili nalo tunajibu kuwa ni ngumu kuelewa kama ni yale ya siku za nyuma au la. Ni kwasababu hizo ndio maana tunafanya critic ya hoja zake zinazoelea ili tusije jikuta pale tulipoangukia pua tukiwa nyuma yake.

Unakumbuka suala la PAC na ukaguzi wa pesa za umma. Zitto alisimama ili fedha za walipa kodi zitumike vema katika vyama vya siasa.

Ni Zitto huyo huyo kupitia waraka wake mwenyewe alituonyesha kuwa, motive behind hoja ya ukaguzi ilikuwa kupambana na wenzake ndani ya chama chao na wala haikuwa masilahi ya taifa.

Alichokifanya ni exploitation ya umma kwa kutumia kofia ya PAC for his personal political gain, Immoral and pathetic the least to say.

Hoja ya 2
Hakuna mahali Sisi tumesema Zitto azuiliwe kupigania masilahi ya umma kwa kutumia Escrow. Hakuna, na kama ipo sehemu iweke wazi.

Hapa unajaribu kumwekea Mchambuzi maneno ili awe public enemy na hivyo iwe rahisi kuleta dhana ya WAO, ingawa unaipinga.

Ni busara uonyeshe mahali aliposema au umuombe radhi kama sehemu ya uungwana, hulazimiki hata hivyo.

Tunachoangalia ni majibu yake yenye utata, hasa tukizingatia historia yake mbovu katika integrity na public trust. Nina ushahidi wala siyo character assassination!

Hatuwezi kumeza hoja zisizojitosheleza kwasababu tu kasema Zitto.
Tunafanyia critic hoja zake, jambo ambalo nyie hamlitaki.

Mnataka twende Escrow bila kujadili alichokileta mwenyewe.
Hiyo short cut inaeleza mengi kuliko majbu

Suala la Zitto kupata crefdit hatukuwahi kuziungumzia.
Walioleta ni ninyi wenyewe baada ya kukosa majibu ya hoja.

Hatupo hapa ili taifa lipate pesa zake tu bila kuwa na mfumo utakaozuia matatizo hayo. Pesa za Marubeni bilioni 70 zimerudi. Je hiyo ni njia bora iliyotumika?

Walioshiriki wizi wa EPA unawajua, na wangapi walikuwa na motive tofauti?
Je walioiba na kushiriki wameadhibiwa?

Haya yote ynatokea kwasababu ya kutokuwa na vision. Kurudi pesa na kuwawajibisha wliohusika lazima viende samabamba.

Hatuwezi kuwawajibisha waliohusika bila kujua walioshiriki kwa namna moja au nyingine. Njia ya kuwajua ni kuwa na critical thinking, kupima hoja na kutafuta ukweli. Hicho hamtaki, mnataka kutoa benefit of doubt kwa vile ni mashabiki na wanazi wa mtui fulani. Sisi hatupo huko, tupo na taifa na si mtu

Hoja ya 3. Kuwa ni mwenyekiti wa PAC hakuna maana Zitto is pristine.
In fact ameshatumia sana kofia ya PAC for personal issue. Hii si hoja

Hoja 4.
Unapoulizwa umemtafutia CEO wa nyumba, halafu ukasema Ongangi ana watoto na mke, amesoma Tanzania n.k. sijui unawezaje kufikiria kuwa hilo ni jibu achilia mbali kuwa hakukuwa na jibu.

Tunataka ajibu tuhuma bila kuchagua ili tuelewe anazungumzia nini.
Alichofanya ni kutueleza Gombe ina kazi gani na si kuhusu uhusiano wake na Ongangi katika Gombe.

Mkuu, ukisoma between the lines, mheshimiwa alikurupuka.
Hakukaa chini na kufikiri kuwa alichokua anaandika kinamfanya awe vulnerable na ni kibaya sana katika rekodi yake.
 
Last edited by a moderator:
Well ni kwa manufaa ya umma. Kilichotokea ni kuwa waraka wa Kitila na Zitto ulionyesha wazi kuwa suala hilo lilikuwa kukabiliana na dhambi ndani ya chama chao cha zamani na wala si masilhi mapana ya umma, Political gain at the best

Kumbe moja ya mambo yanayofanya Zitto achukiwe ni kitendo chake cha kutaka vyama vya siasa vikaguliwe...? Nilikuwa sijui hili kumbe haitakiwi kuoversee shughuli za kichama
 
Zitto alikuwa mwenyekiti wa PAC na alitumia nafasi hiyo kushinikiza ukaguzi ndani ya vyama vya siasa. Thanks to Waraka ulio reveal misuse ya title yake for political gain na si masiliahi ya umma.
Halaa! Kumbe ili ndiyo limekufanya upambane na Zitto kwa nguvu zako zote.
 
Well ni kwa manufaa ya umma. Kilichotokea ni kuwa waraka wa Kitila na Zitto ulionyesha wazi kuwa suala hilo lilikuwa kukabiliana na dhambi ndani ya chama chao cha zamani na wala si masilhi mapana ya umma, Political gain at the best

This is getting really interesting, yale Yale ya integrity; sijui Watu wa zitto watalijadili vipi hili humu; tusubiri;
 
This is getting really interesting, yale Yale ya integrity; sijui Watu wa zitto watalijadili vipi hili humu; tusubiri;

Mchambuzi.

Mnaonaje haya ya ugomvi wa Zitto na Mbowe, Lema, kuhusu waraka msiufungulie uzi mwingine tuje kuchangia hamuoni kama mtauchafua huu wa Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe moja ya mambo yanayofanya Zitto achukiwe ni kitendo chake cha kutaka vyama vya siasa vikaguliwe...? Nilikuwa sijui hili kumbe haitakiwi kuoversee shughuli za kichama
Ninyi mlisema kuwa Zitto ni mwenyekiti wa PAC na ana haki ya kuongea. Kumbuka ni ninyi wenyewe mumeleta suala la kofia ya PAC.

Sisi tunasema, nbi vema, lakini kumbu kumbu zinaonyesha kuwa alishawahi kutumia kofia hiyo kwa masilahi binafsi.
Swali mlilouliza ni masilahi yapi? Kauliza Galaxy
Jibu, alitumia PAC kushinikiza ukaguzi wa vyama vya siasa. Tukamuunga mkono na rekodi ipi JF.
Waraka wa Kitila ukaonyesha kuwa hakukuwa na masilhi ya umma bali ugomvi ndani ya chama chao.
 
Back
Top Bottom