Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

kwa kuazima neno lako la sisi, hata "sisi" tunataka pesa yetu irudi. Lakini je:

1. Za uswisi zimerudi? majibu ya kuridhisha hakuna.
2. Je, kiongozi anayepigania pesa yetu irudi (KWA NIABA YETU SISI), je ana integrity? Majibu ya kuridhisha hakuna.

Hapo ndio usisi na unyinyi unapokolea, lakini kwa lugha sahihi zaidi, upande wetu wa hoja na upande wenu wa hoja. Ni upande wenu wa hoja ndio upo nyuma kihoja.

Kwani kilichofanyika wakati wa Mabillions ya Uswis si ndio hiki tunachokifanya leo...?

Zitto akiwa katikati ya mapambano tukaanzisha tuhuma, tukashirikiana na kugongeana cheers na mafisadi, ikaanza kulazimu aache kwanza mapambano ajikite kujinasua na mishale tunayompiga, akaanza kuupigania na uanachama wake...! Kwa mafanikio makubwa tukawa tumemuondolea target...

Kwahiyo tushapata lesson, hatuwezi kurudia makosa tuliyoyafanya, kwann tuhuma zianze leo baada ya hii issue, kwann wasingeuliza urafiki wa zitto na huyo mkenya kipindi cha nyuma... kwann iwe sasa...?

Narudia tena hatuwezi kurudia makosa tuliuoyafanya kipindi cha mabilion ya uswisi, NEVER
 
Mkuu Mchambuzi.

Nimekusoma kiduchu naona kama kuna mpambano hapa kati ya wanaomkubali Zitto kwenye ili suala na wale wanaompiga Zitto kutokana na sababu zao.

Umetumia maneno "Sisi hatumshindanishi" "Hatupo hapa kujadili mbadala wa Zitto" huo ni upande wenu.

Unatumia neno "Integrity" hii ni sifa ya msingi anayotakiwa kuwa nayo kiongozi, kwa faida ya JF unaweza kututajia walao kiongozi mmoja wa upinzani au CCM mwenye "Integrity" hatushindanishi mtu hapa tunaitaji kiongozi mwenye sifa tuwe nyuma yake.

Mkuu wangu ili la wananchi kuachwa solembe na wanasiasa wala siyo geni karibia wanasiasa wote wameishatuacha solemba.

Mkuu Ritz, nikuombe tu akishakujibu kuwa Kiongozi yupi(mi nasema kupitia upinzani) mwenye hiyo integrity unistue mi niko kando hapa nikisubiri nitajiwe walau kiongozi mmoja tu mwenye integrity kwa mujibu wa GT Mchambuzi
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Granta, ngoja tuvute subira mkuu wetu Mchambuzi ni msikivu atatutajia walau mmoja au wawili.
 
Ritz,

Hivi ni Zitto au ni kiongozi gani aliwahi kusema kwamba "usiamini mwanasiasa yoyote"? Honestly sikumbuki vizuri kama ilikuwa ni zitto au kiongozi mwingine.

All that said and done, kwa hoja yako, basi tujiandae kuwekeza kwa zitto ilihali tukijua kwamba upo uwezekano wa kutuacha solemba kama kwenye sakata la akaunti za uswisi. Iwapo nipo sahihi, kuna tatizo gani kwa mimi ku raise hoja nilizo raise?
 
Nirudie kwa mara ya nne:

"Hatumshindanishi zitto na mtu Bali tunamshindisha na Dhana ya integrity kwani tunaamini Kwamba hii ni Sifa ya msingi anayotakiwa kuwa nayo kiongozi yoyote anayeingia vitani kupambana na ufisadi.

Hatupo Hapa kujadili mbadala wa zitto, tupo Hapa kuchambua viongozi wote ambao wanajitokeza kutetea maslahi yetu wananchi ili tusije kuachwa solemba kama suala la fedha za uswisi n.k. Kwahiyo basi, kila kiongozi atakayejitokeza Katika hili, tutamchambua kwa hoja kwa nia ya kubaini iwapo anatufaa au hatufai kutetea maslahi yetu. Na nadhani mnatambua Kwamba tuna Haki ya kufanya hivyo."

cc Granta

Teh teh teh, kama uGT ndio huu MwenyeziMungu aniepushe nao
 
Last edited by a moderator:
Ritz,

Hivi ni Zitto au ni kiongozi gani aliwahi kusema kwamba "usiamini mwanasiasa yoyote"? Honestly sikumbuki vizuri kama ilikuwa ni zitto au kiongozi mwingine.

All that said and done, kwa hoja yako, basi tujiandae kuwekeza kwa zitto ilihali tukijua kwamba upo uwezekano wa kutuacha solemba kama kwenye sakata la akaunti za uswisi. Iwapo nipo sahihi, kuna tatizo gani kwa mimi ku raise hoja nilizo raise?

THE ONLY THING TO FEAR IN THIS WAR IS FEAR ITSELF!
na hii ni proof kwamba hoja zenu zimabase katika emotions na sio rationality. hoja zimejengwa kutokana na "uoga kwa mtu", na si "umuhimu wa kile anachokipigania", thats why uoga huu unakufanya kumshambulia mtu badala ya kuungana naye kushambulia ufisadi wa escrow!
 
Yale Yale kipindi cha mabilion ya uswis, KATIKATI ya mapambano tunaanza kumzodoa na kumtuhumu, I reminded you earlier Hatuwezi kurudia makosa tuliyofanya wakati wa pesa za uswisi...

Nifanye kosa mara moja tu basi, mara hii aimalizie vita then hizo tuhuma mnazofikiri ni za maana sana zitafuatia baadae,

Hata hivyo sioni tatizo ZZK kuwa na rafiki mkenya, sioni tatizo kuunda joint venture na mkenya kama kuanzisha CO. , issue ya kutafutiwa Nyumba ni mambo binafsi na sitegemei mtu na pesa zake atafutiwe nyumba(otherwise uprove kuwa zitto ni dalali wa nyumba na viwanja)

Hoja ya msingi na yenye mantiki ni kuhusu kampuni yao hiyo(kama ipo kati yake na mkenya) ashaijibu kuwa haihusiani na kampuni za utafutaji mafuta- mantiki ya wanaoutuhumu ikijikita kuonesha Zitto ana conflict of interest...

Zitto go go go chuki zao ziumbe manukato kwenye sura yako, uyabadilishe maneno yao ya sumu yawe nguzo ktk kuliendea jambo hili kwa manufaa ya Taifa zima...

Daima maslahi ya taifa kwanza vyama baadae
 
Last edited by a moderator:
kwa kuazima neno lako la sisi, hata "sisi" tunataka pesa yetu irudi. Lakini je:

1. Za uswisi zimerudi? majibu ya kuridhisha hakuna.
2. Je kwanini tumuamini zitto kwamba anachopigania ni maslahi ya taifa na sio maslahi yake binafsi? mmedhihirisha kwamba anachotafuta zitto ni credit.
3. Je, kiongozi anayepigania pesa yetu irudi (KWA NIABA YETU SISI), je ana integrity? Majibu ya kuridhisha hakuna.
4. Je, nini majibu/ufafanuzi kwa maswali yetu mengi tu juu ya hoja za zitto kwenye bandiko lake namba moja? majibu ya kurudhisha hakuna.

Hapo ndio usisi na unyinyi unapokolea, lakini kwa lugha sahihi zaidi, upande wetu wa hoja na upande wenu wa hoja. Ni upande wenu wa hoja ndio upo nyuma kihoja. Tunaendelea kusubiri, na pengine hata mleta mada (zitto) atakuja kutoa ufafanuzi ili tuliweke hili sawa kwani ni dhahiri sasa kwamba mmeshindwa kumsaidia katika hili.

1. Za Uswisi hazijarudi. Granted that Zitto alisema kuwa ana majina ya walioficha pesa illegally Uswisi na mpaka leo haja disclose hiyo list, so whats the argument here? Are you arguing that hakuna watu walioficha pesa Uswisi au are simply saying Zitto has failed to come up with the list? Ni masilahi gani binafsi aliyopata Zitto kwa issue hii? (Lets talk facts here please).
Swali: pamoja na kuwa Zitto alikuwa mstari wa mbele kwenye hili swali, when it comes to the really issue, unakubaliana na serikali kuwa imeshindwa kwenye uchunguzi wake kwa sababu Zitto hajawapa majina walioficha pesa Uswisi? Who do you really need to hold accountable here, your government or Zitto?

2. Zitto comes out fighting through PAC on this Escrow issue, we unasema we should stop him and ask his motives first. Let say i agree with you kuwa anapigania maslahi yake binafsi, ni maslahi yapi hayo? Kama Zitto atapata maslahi yake (credit) na taifa likapata pesa zake, what is your problem with that?
Swali: Ikitokea kuwa issue ya Escrow imekuwa resolved in favor ya taifa kwa ujumla baada ya PAC kuipa pressure kubwa serikali, will it be bad kwako ikiwa Zitto atatake credit kuwa yeye kama mwenyekiti wa PAC ameplay a very significant role? Will you feel that you have been cheated by Zitto?

3. He is the chairman of PAC, is he suppose to do nothing kwa sababu kuna watu wanasema hana intergrity? Ni majibu gani ya kuridhisha anatakiwa ayatoe kabla ya kuendelea ku exercise nguvu aliyonayo kisheria kama mwenyekiti wa PAC?

4. Maswali uliyoniuliza mimi nadhani umeona kuwa nimekujibu kama ambavyo nakujibu na haya mengine. Tuendeleee

Labda nikuulize ndugu yangu, ukisema majibu ya kuridhisha, unamaanisha kuridhisha swali liliulizwa au kukuridhisha wewe binafsi kutoka na uelewa wako na assumption zako? Kama unakuwa na pre-determined answers to all the questions you are asking, i can assure you 100% haitatokea Zitto akajibu exactly ambacho umekuimagine akilini mwako sentence by sentence, neno kwa neno.

NO SISI, NO NYINYI..JUST QUESTIONS, ANSWERS, LOGIC AND COMMON SENSE. DISCUSSION NOT COMPETITION.
 
Nikiwa nakusoma nikawa nataka kukupa like kwa kila paragraph, bahati mbaya nikitoa like kwenye paragraph ya kwanza nikitaka kutoa like nyingine kwenye paragraph ya pili sioni tena option ya ku-like..

Asante sana na ubarikiwe
 
THE ONLY THING TO FEAR IN THIS WAR IS FEAR ITSELF!
na hii ni proof kwamba hoja zenu zimabase katika emotions na sio rationality. hoja zimejengwa kutokana na "uoga kwa mtu", na si "umuhimu wa kile anachokipigania", thats why uoga huu unakufanya kumshambulia mtu badala ya kuungana naye kushambulia ufisadi wa escrow!

You don't have the moral authority to discuss issues za objectivity and rationality. Tukianza kuchambua ni nani mwenye hoja rational and irrational, ni nani anayetazama suala husika objectively and subjectively, hakika tutafika mbali sana, kwa kuanzia na hoja zako zote humu ndani.

Nitoke kidogo nje ya mada. Tukitazama hata Signature yako humu Jamiiforums, you don't walk the talk when it comes to Objectivity and rationality. Unasema hivi:

"Chadema kama mnapokea misaada kutoka nje bila kufanya tathmini, angalieni mkishika dola msije mkaiuza Tanzania na watu wake kwa vijimisaada vichache- Hao wanaowapa misaada hawana permanent Friends/Enemies, bali wana permanent Interests."

Nikuulize, hivi kweli do you have the moral authority kujadili suala la objectivity and rationality? Objective signatures ni kama ya zitto hapo juu kwa mfano ambayo amemnukuu mwalimu nyerere katika kitabu cha tujisahihishe ukurasa wan ne:

Nikirudi kwenye signature yako juu ya Chadema na Misaada, mimi ni mwana CCM lakini sio wa kulishwa maneno au kusokomezwa matambara mdomoni. Tukipima hoja yako juu ya umuhimu wa kuwa rational and objective, sijui kama unajua kwamba:
Kutwa, CCM ipo nje kutembeza bakuli, Kutwa , serikali ipo nje kutembeza bakuli, na ndio maana kwa miaka mingi sasa Tanzania ni tano bora katika orodha ya nchi zinazopokea misaada kutoka nje, misaada ambayo haina manufaa yoyote kwa wananchi. Kwa mfano, Rejea hotuba ya waziri membe majuzi akitetea mahusiano ya Tanzania na China kwa nia ya kufunika tuhuma za pembe za ndovu, hoja hii inasukumwa na faida za misaada; Rejea hotuba ya kufunga mwezi (October 2014) ya JK ambayo imesheheni hoja juu ya umuhimu wa misaada ya China kwa Tanzania.

Turudi kwenye hoja ya msingi; Je unajua ni mangapi ambayo nimekuuliza humu kuhusiana na mada ya Zitto na bado ninasubiri? Iwapo ulipitwa, tafadhali nijulishe ili nirudie tena.
 
Last edited by a moderator:
GalaxyS3,
Hii ni kwa mujibu wa bandiko lako #832 .
1. Za Uswisi hazijarudi. Granted that Zitto alisema kuwa ana majina ya walioficha pesa illegally Uswisi na mpaka leo haja disclose hiyo list, so whats the argument here? Are you arguing that hakuna watu walioficha pesa Uswisi au are simply saying Zitto has failed to come up with the list? Ni masilahi gani binafsi aliyopata Zitto kwa issue hii? (Lets talk facts here please).
*Ni kipi kinachomzuia kutaja majina ambayo alikiri anayo?
*Kwanini alikuwa mara kwa mara akisema kwamba atayataja katika kikao fulani na kisha kuyeyuka na ahadi yake? Wananchi wakisema huu ni utapeli wa kisiasa, jibu hapa ni nini?

Hatua muhimu ambayo wananchi walisubiri kwa hamu ilikuwa ni kutajwa tu kwa majina hayo ili wao waamue nini cha kufanya, ama kwa sanduku la kura au nguvu ya umma. Ni wao ndio waamuzi. Role ya viongozi wapambanaji wa ufisadi ni kuhakikisha kwamba wanawapa wananchi taarifa iliyokamilika, basi, na zitto hakufanya hivyo licha ya kukiri kwamba anayo taarifa iliyokamilika.

Swali: pamoja na kuwa Zitto alikuwa mstari wa mbele kwenye hili swali, when it comes to the really issue, unakubaliana na serikali kuwa imeshindwa kwenye uchunguzi wake kwa sababu Zitto hajawapa majina walioficha pesa Uswisi? Who do you really need to hold accountable here, your government or Zitto?
Kwanza sina ninachokubaliana na serikali. Hoja ya msingi hapa ni kwamba zitto aliwaacha wananchi solemba, je swali letu ni kwanini alifanya hivyo? Kwanini tumuamini kwamba hawezi kufanya hivyo katika sakata hili la escrow? Mengine nimejadili hapo juu.

2. Zitto comes out fighting through PAC on this Escrow issue, we unasema we should stop him and ask his motives first.
Ni wapi nimesema hivyo?
Let say i agree with you kuwa anapigania maslahi yake binafsi, ni maslahi yapi hayo? Kama Zitto atapata maslahi yake (credit) na taifa likapata pesa zake, what is your problem with that?

Ni nyinyi ndio mmehusisha role za zitto katika escrow na utafutaji wa "credit". Ni zitto ndiye aliyekuja na kichwa cha mada kwamba "nashambuliwa"; Akajitetea kwetu kama wananchi, na sisi tukahoji masuala kadhaa aliyojibu na kwa vile majibu yake hayajaturidhirisha, tumekuwa tunaomba ufafanuzi. Yeye hajarudi kutoa ufafanuzi, na wengine wanaomtetea humu wameshindwa kuleta hoja zenye ufananuzi zaidi ya shutuma, matusi, vijembe na mipasho.

Naomba nikuulize: Kwa maoni yako, Je dhumuni la zitto kuja na uzi huu ni nini?

Swali: Ikitokea kuwa issue ya Escrow imekuwa resolved in favor ya taifa kwa ujumla baada ya PAC kuipa pressure kubwa serikali, will it be bad kwako ikiwa Zitto atatake credit kuwa yeye kama mwenyekiti wa PAC ameplay a very significant role? Will you feel that you have been cheated by Zitto?
Huu ndio msingi wa hoja yetu. Asante kwa matumizi ya sentensi "cheated by zitto", kwani kama mwananchi, ndio I feel cheated na suala zima la fedha za uswisi, na sijui kwanini mnakataa kwamba kama mwananchi, sina haki to question his integrity katika sakata la escrow. Iwapo issue ya mabilioni ya uswisi haikufanikiwa, kwanini mnadhani hii ya escrow atafanikiwa?

Ni muhimu niseme hapa kwamba tofauti yangu na wewe ni kwamba, nimeshang'atwa na nyika, hivyo kila jani linalonigusa kuhusiana na zitto na vita dhidi ya ufisadi, lazima nishtuke. Kwa lugha nyingine nyepesi zaidi ni kwamba - Mimi nachofanya ni kuangalia ‘track record' ya zitto, wakati wewe unataka hilo lisipewe umuhimu, na badala yake kuhimiza watu kuwekeza zaidi on ‘hopes and expectations'.

3. He is the chairman of PAC, is he suppose to do nothing kwa sababu kuna watu wanasema hana intergrity?

Awali niliuliza, je, nikisema kwamba suala la integrity ni kipimo muhimu cha kubaini sifa za kiongozi yoyote anayepambana na ufisadi, nitakuwa sahihi? Sijapata majibu hadi sasa. Naomba unipe mtazamo wako juu ya hili, kwani majibu yako yatatupa framework nzuri for analysis and way forward katika suala zima la zitto, integrity na vita dhidi ya ufisadi.

Ni majibu gani ya kuridhisha anatakiwa ayatoe kabla ya kuendelea ku exercise nguvu aliyonayo kisheria kama mwenyekiti wa PAC?

Ina maana haujasoma hoja zangu za awali? Mbona zipo wazi humu na zinajibu swali lako?
4. Maswali uliyoniuliza mimi nadhani umeona kuwa nimekujibu kama ambavyo nakujibu na haya mengine. Tuendeleee
Haujajibu bado, ulichofanya ni kuchagua mambo ya kujibu, huku ukijikitza zaifi katika kutoa maoni kuliko majibu. Nadhani unajua kuna tofauti kubwa baina ya "kujibu" na "kutoa maoni".
Labda nikuulize ndugu yangu, ukisema majibu ya kuridhisha, unamaanisha kuridhisha swali liliulizwa au kukuridhisha wewe binafsi kutoka na uelewa wako na assumption zako? Kama unakuwa na pre-determined answers to all the questions you are asking, i can assure you 100% haitatokea Zitto akajibu exactly ambacho umekuimagine akilini mwako sentence by sentence, neno kwa neno.
Hapa nia ni kupindisha tu hoja. Nimelieleza hili kwa kirefu katika sehemu mbali mbali. Naomba nianze na bandiko #768 nililoelekeza kwa THE BIG SHOW (hajanijibu bado), na nilisesema hivi kwa THE BIG SHOW, na naomba unijibu kwa hoja:

[‘Nadhani ni wewe na wenzake ndio mnaojitoa ufahamu kwa jambo lililo wazi kabisa. Lakini iwapo tatizo ni kwamba hauelewi hoja ya msingi yaNguruvi3 hapo juu ni nini, basi naomba twende taratibu:

1. Huu ni uzi ulioletwa na Zitto mwenyewe, na sio washabiki au wabaya wake. Je tupo sahihi?
2. Kwa uwazi kabisa, anacholenga zitto ni kujisafisha dhidi ya tuhuma kadhaa ambazo ameziorodhesha yeye mwenyewe na sio mashabiki au wabaya wake. Je tupo sahihi?
3. Mlengwa wa uzi huu ni umma wa watanzania, hivyo mwananchi yoyote ana haki ya kuhoji yaliyomo, hasa ikizingatiwa kwamba mbunge wa jimbo ni mbunge wa wananchi wote kwa mujibu wa katiba ya JMT (1977). Je tupo sahihi?
4. Mbali ya ukweli kwamba Zitto ni mbunge wetu wote kama wananchi bila ya kujalisha jimbo, dini, kabila, mkoa, jinsia n.k, zitto pia amepewa dhamana ya kuongoza kamati nyeti sana ya bunge la JMT, kamati ya PAC ambayo moja kwa moja inahusiana na kodi zetu kama wananchi. Kwahiyo, matendo yake na kauli zake zote, wananchi tuna haki ya kuzidadisi. Na katika suala husika la ufisadi, wananchi tuna haki ya kudadisi moral soundness or integrity ya kiongozi yoyote anayejitokeza katika vita hivi. Lakini kwa zitto, umuhimu huu ni mkubwa zaidi hasa given his track record (mabilioni ya uswisi, tuhuma nyingi dhidi yake kutopatiwa majibu ya kuridhisha, na nyingine kutopatiwa majibu kabisa). Je tupo sahihi?
5. Hivyo basi, sisi kama wananchi, tulitarajia kwamba, zitto angekuja na maelezo yanayojitosheleza, na sio majibu yanayoacha maswali zadi. Kweli au siyo kweli?

PENGINE, Ukimya wa zitto katika uzi huu unaweza kuwa unatokana na yeye mwenyewe kubaini kwamba majibu yake kwa tuhuma alizowasilisha "yeye mwenyewe", yana mapungufu, au pengine kwa mtazamo wake, maelezo yake yanajitosheleza, na ameamua kuachia wafuasi wake wamalizie kazi iliyobakia humu. Hapa naomba nisisitize matumizi ya neno "PENGINE", kwani katika hili, zitto ametuacha kwenye giza nene.
Ukimya wa Zitto juu ya suala husika umepelekea wafuasi wake kuchukua uamuzi wa kuja kutoa ufafanuzi juu ya maswali yanayoulizwa na wananchi mbalimbali, maswali ambayo yamezalishwa na majibu yake mwenyewe zitto kwenye bandiko #1 . Sisi tunao hoji hatuna tatizo juu ya hatua hii ya wafuasi wake kutoa ufafanuzi, kwani wana haki ya kujadili kwa "mtindo wa kumjibia maswali" kama sisi tulivyokuwa na haki ya kujadili kwa "mtindo wa kuuliza maswali na kuomba ufafanuzi."

Tatizo lililopo ni kwamba badala ya kujibu hoja, watetezi wa zitto WANAKIMBIA kujibu maswali ya msingi, na badala yake WANAKIMBILIA matusi, vijembe, shutuma, mipasho dhidi ya wananchi wanaouliza maswali ambayo ni zao la majibu yake zitto mwenyewe ambayo hayajitoshelezi.

Anachojadili nguruvi3 ni kwamba tuhuma alizowasilisha zitto na majibu aliyotoa zitto, hayaendani. Kwa maana nyingine, mwasilishaji wa tuhuma husika (Zitto), na mtoa majibu/maelezo dhidi ya tuhuma hizo, ni huyo huyo (zitto), lakini pande hizi mbili za maelezo/ufafanuzi/majibu, haziendani. Huo ndio msingi wa hoja ya Nguruvi3.

Kwa mujibu wa maneno yake mwenyewe Zitto, moja ya tuhuma ni kama ifuatavyo:

· Ana rafiki mkenya aitwaye Raphael Onyagi.
· Kwa pamoja (Zitto na Onyagi), wameanzisha kampuni ya GOMBE ADVISORS CO LTD yenye usajili namba 87387, usajili uliofanyika tarehe 24 November, 2011.
· Kampuni ya GOMBE ilianzishwa kwa ajili ya kufanya biashara na makampuni ya mafuta na gesi yanayofanya kazi hapa nchini.

Hizi ni tuhuma ambazo zitto mwenyewe ndiye amezianisha katika uzi huu (kwenye bandiko #1 ). Haya hayajawasilishwa na wafuasi au wabaya wa zitto, bali zitto mwenyewe. Na kwa jinsi alivyotiririka na maelezo, ni rahisi kubaini kwamba alicholenga zitto ni kutoa maelezo/majibu kwa umma kwa nia ya kujisafisha na tuhuma hizi ambazo anadai zinaelekezwa kwake. Hali hii ikapelekea umma (kwani mbunge wa jimbo ni mbunge wa umma), kwa haki iliyo wazi kabisa, kuanza kuchambua hoja za zitto ili kubaini ukweli upo wapi.

Je zitto anasemaje juu ya tuhuma hizi? Kwa mujibu wa ufafanuzi wake mwenyewe Zitto:

1. Gombe advisors ni kampuni binafsi isiyofanya faida (yani company by guarantee).
2. Gombe advisors haina kazi na kampuni yoyote ya mafuta na gesi na wala yenyewe haijishughulishi na biashara hiyo.
3. Gombe advisors haijafanya kazi yoyote ile na kampuni nyingine zaidi ya kusaidia wasanii wa kundi la kigoma all stars.

Anachouliza nguruvi3 ni je, kuna uhusiana gani baina ya maneno yenye rangi nyekundu na yale yenye rangi ya kijani hapo juu? Kwa mtu makini na anayeweka ushabiki pembeni, ataona wazi kwamba maelezo ya zitto hayajitoshelezi. Labda tuwaulize:

*Je, zitto amejibu tuhuma aliyowasilisha mwenyewe kwa maneno yake kwamba ana rafiki aitwaye Raphael Onyangi? Jibu ni hapana.
*Je, zitto amejibu tuhuma aliyowasilisha mwenyewe kwa maneno yake kwamba anamiliki kwa pamoja kampuni ya 'Gombe' na mtu aitwaye Raphael Onyagi? Jibu ni hapana.

Alichoweza kutolea ufafanuzi zitto ni haya matatu:

· Gombe haifanyi kazi yoyote na makampuni ya mafuta na gesi nchini.
· Gombe haijishughulishi na sekta ya mafuta na gesi.
· Gombe haijawahi kufanya kazi na kampuni nyingine yoyote nchini zaidi ya kusaidia wasanii wa kundila "Kigoma All Stars".

Vinginevyo, tuhuma za msingi hazijatolewa majibu (rejea shemeu highlighted blue hapo juu), na ndio maana nguruvi3 akasema kwamba anachofanya zitto ni kuchagua mambo ya kujibu, na kuacha mengine, pengine kwa makusudi, au pengine kwa kutokusudia. Lakini tuseme kwamba zitto bado ana nafasi ya kuja kuweka mambo sawa, hasa kwa vile wafuasi wake hamjafanikiwa kumsaidia katika hilo.

Lakini yapo masuala mengine mawili muhimu:

Moja, kuwa a company by guarantee haina maana kwamba kampuni ya aina hiyo haiwezi kuwa na uhusiano na kampuni au makampuni yaliyopo sekta binafsi. Hili ni angalizo tu.

Pili, katika hitimisho lake kwenye majibu ya tuhuma #1 , zitto anasema hivi:

"Upotoshaji unalenga kupindisha mjadala."

Majibu ya zitto yanaacha maswali zaidi. Je, Zitto haoni kwamba kuendelea kukaa kimya maana yake ni kwamba upotoshaji utazidi kwa kasi? Kwani watetezi wake ndio wanaongoza katika kupotosha wananchi, hasa kuwaondoa wananchi katika hoja ya msingi.

Kama alivyojadili nguruvi3, hakuna mtu mwenye hati miliki ya kupambana na ufisadi, badala yake jukumu hilo ni la kila mwananchi, ikiwa ni pamoja na zitto mwenyewe. Lakini pia wananchi wana HAKI ya kuhoji wapambanaji wa ufisadi ambao wamewapa dhamana ya uongozi katika nafasi mbali mbali. Katika moja ya hoja zangu, nilieleza kwa kirefu kwanini mimi kama mwananchi sioni kama zitto ana integrity ya kupambana dhidi ya ufisadi, huku nikifafanua kwanini nasema hivyo. Lakini badala ya watetezi wa zitto kunijibu kwa hoja, wamekimbia hoja zangu na kuhamia kwenye matusi, vijembe, mipasho, na shutuma kwamba sina uzalendo.

Kwanini sina uzalendo? Eti kwa kwa sababu kama mwananchi, ninahoji moral soundness/integrity ya zitto kupambana na ufisadi! Thats how low akinaWaberoya, Gamba la Nyoka, THE BIG SHOW na wenzenu mmefikia katika mjadala huu."]

NO SISI, NO NYINYI..JUST QUESTIONS, ANSWERS, LOGIC AND COMMON SENSE. DISCUSSION NOT COMPETITION.
And I am expecting your consistency on that front.
 
Time will tell, wapo watakao angamia miongoni mwenu. Wananchi pekee ndio tutanusurika
 
GalaxyS3,
Hii ni kwa mujibu wa bandiko lako #832 .
*Ni kipi kinachomzuia kutaja majina ambayo alikiri anayo?
*Kwanini alikuwa mara kwa mara akisema kwamba atayataja katika kikao fulani na kisha kuyeyuka na ahadi yake? Wananchi wakisema huu ni utapeli wa kisiasa, jibu hapa ni nini?
Hatua muhimu ambayo wananchi walisubiri kwa hamu ilikuwa ni kutajwa tu kwa majina hayo ili wao waamue nini cha kufanya, ama kwa sanduku la kura au nguvu ya umma. Ni wao ndio waamuzi. Role ya viongozi wapambanaji wa ufisadi ni kuhakikisha kwamba wanawapa wananchi taarifa iliyokamilika, basi, na zitto hakufanya hivyo licha ya kukiri kwamba anayo taarifa iliyokamilika.

Ni Zitto peke yake ndio anajua ni nini kilimzuia kutaja yale majina, kama ambavyo ni yeye anajua ni kwa njia gani aliyapata hayo majina. Sisemi kuwa nakubaliana nae kwa uamuzi wake ila i can say i understand why he would now give out that list. These are powerful people, and if all you have is a name and nothing else, they are gona bury you. Let me give you an example: Bomu la arusha; viongozi wa CDM walikusema wanaoushahidi wa video unaonesha muhusika wa ile issue. Wameuonesha mpaka leo? Tume ya uchunguzi imeundwa wakaambiwa wapeleke ushahidi walipeleka? And on this too i dont agree with them but i understand why they can have such a stand. "Kesi ya nyani una mpa ngedera" . Nadhani umenielewa. Kusema eti wataje tu then waachie wananchi waamue kwa ballot box it's simply being naive on some very serious facts. Kwa tume ipi ya uchaguzi??!!

I am gona go ahead and give you my opionion on the matter as well: Zitto (may be he has the list or not) took a gamble to pressure government into taking the issue more serious. Took a risk and went on record to claim he has the list of poeple the logic being if he can, why cant the government. Government called his bluff and dared him to produce the list and the whole thing blew up on his face. You can go ahead and question his intergraty, but i applaude him for atleast trying to do something in this toptobottom corrupt country.

Ni nyinyi ndio mmehusisha role za zitto katika escrow na utafutaji wa "credit". Ni zitto ndiye aliyekuja na kichwa cha mada kwamba "nashambuliwa"; Akajitetea kwetu kama wananchi, na sisi tukahoji masuala kadhaa aliyojibu na kwa vile majibu yake hayajaturidhirisha, tumekuwa tunaomba ufafanuzi. Yeye hajarudi kutoa ufafanuzi, na wengine wanaomtetea humu wameshindwa kuleta hoja zenye ufananuzi zaidi ya shutuma, matusi, vijembe na mipasho.

AGAIN WITH THE NYINYI, SISI mentality!

Naomba nikuulize: Kwa maoni yako, Je dhumuni la zitto kuja na uzi huu ni nini?
umeniuliza hili swali kwenye bandiko #776 na nikakujibu kwenye bandiko #778

Huu ndio msingi wa hoja yetu. Asante kwa matumizi ya sentensi "cheated by zitto", kwani kama mwananchi, ndio I feel cheated na suala zima la fedha za uswisi, na sijui kwanini mnakataa kwamba kama mwananchi, sina haki to question his integrity katika sakata la escrow. Iwapo issue ya mabilioni ya uswisi haikufanikiwa, kwanini mnadhani hii ya escrow atafanikiwa?

Well, am sorry you feel cheated by Zitto katika issue ya pesa za Uswisi am sure you have read my stance on the matter on my post above. Una kila haki ya question his intergrity ila nnachosema mimi nikuwa kama lengo la maswali yako ni utaifa then you are asking the wrong questions. Ukiweka hoja ya intergrity katika tanzania ya leo, hakuna mwanasiasa anaesimama hata mmoja(utawala na upinzani). And NO, siwezi kufollow logic yako (unaona nimesema yako sio yenu) kuwa eti kwa sababu hakufanikiwa kwenye issue ya Uswis then hatafanikiwa kwenye Escrow. Ni sawa useme sababu Dr. Slaa hakushinda uchaguzi 2010, hawezi kushinda uchaguzi 2015 .That logic is FUNDAMENTALY FLAWED!

Hoja zako zingine kuhusu tuhuma ya kwanza kwenye post ya Zitto nilishazijibu kwenye post yangu #774 na follow up question yake nikajibu kwenye post yangu #778
 
Ni Zitto peke yake ndio anajua ni nini kilimzuia kutaja yale majina, kama ambavyo ni yeye anajua ni kwa njia gani aliyapata hayo majina. Sisemi kuwa nakubaliana nae kwa uamuzi wake ila i can say i understand why he would now give out that list. These are powerful people, and if all you have is a name and nothing else, they are gona bury you. Let me give you an example: Bomu la arusha; viongozi wa CDM walikusema wanaoushahidi wa video unaonesha muhusika wa ile issue. Wameuonesha mpaka leo? Tume ya uchunguzi imeundwa wakaambiwa wapeleke ushahidi walipeleka? And on this too i dont agree with them but i understand why they can have such a stand. "Kesi ya nyani una mpa ngedera" . Nadhani umenielewa. Kusema eti wataje tu then waachie wananchi waamue kwa ballot box it's simply being naive on some very serious facts. Kwa tume ipi ya uchaguzi??!!
Kimsingi umekubali kwamba zitto did not deliver, he failed on that front, tena huku akiwa ameshasema kwamba majina anayo na atayataja. Kwanini alidanganya wananchi? kwanini tumuamini this time around? hilo ndio tunauliza, na bado hatuna majibu, tunamsubiri zitto, huku wewe ukija tu na maoni, badal ya majibu. isitoshe, ni vyema umeweka wazi kwamba mwenye majibu ni zitto. Vinginevyo Kumbuka nilikueleza awali kwamba kuna tofauti kubwa sana baina ya majibu na maoni. Na kwa vile hauna majibu bali maoni, ndio maana umeshindwa kutetea huu utapeli wa kisiasa kwa wananchi, na badala yake unaishia kujadili masuala ambayo hayapo relevant na hoja iliyopo mbele yetu. Unathubutu vipi kuhusisha mjadala wa mabomu ya arusha na utapeli wa kisiasa ambao zitto kashindwa kujitetea mbele yetu wananchi?

I am gona go ahead and give you my opionion on the matter as well: Zitto (may be he has the list or not) took a gamble to pressure government into taking the issue more serious. Took a risk and went on record to claim he has the list of poeple the logic being if he can, why cant the government. Government called his bluff and dared him to produce the list and the whole thing blew up on his face. You can go ahead and question his intergraty, but i applaude him for atleast trying to do something in this toptobottom corrupt country.
Nimekueleza kwamba kuna tofauti kubwa baina na majibu na maoni. This is an opinion, of which you are entitled to. Otherwise the facts on the said matter zipo wazi kabisa kwamba zitto alitutapeli katika sakata la fedha za uswisi, so katika hili, wewe bakia na opinion, tunasubiri majibu ili tuyashindanishe na facts.

AGAIN WITH THE NYINYI, SISI mentality!
as long as kutumia neno hili kunanisaidia nijiweke upande mwingine wa hoja dhidi ya hoja zenu, nitaendelea kutumia neno hili. Lakini nitakubali iwapo utapendekeza neno gani nitumie badala ya neno ili, ilimradi lisipoteze maana husika.

umeniuliza hili swali kwenye bandiko #776 na nikakujibu kwenye bandiko #778
haukujibu, you just shared your views. Bado tunasibiri majibu, pengine kutoka kwa zitto kwani hata wewe umekiri huko juu kwamba mwenye majibu ni zitto.

Well, am sorry you feel cheated by Zitto katika issue ya pesa za Uswisi am sure you have read my stance on the matter on my post above. Una kila haki ya question his intergrity ila nnachosema mimi nikuwa kama lengo la maswali yako ni utaifa then you are asking the wrong questions. Ukiweka hoja ya intergrity katika tanzania ya leo, hakuna mwanasiasa anaesimama hata mmoja(utawala na upinzani). And NO, siwezi kufollow logic yako (unaona nimesema yako sio yenu) kuwa eti kwa sababu hakufanikiwa kwenye issue ya Uswis then hatafanikiwa kwenye Escrow. Ni sawa useme sababu Dr. Slaa hakushinda uchaguzi 2010, hawezi kushinda uchaguzi 2015 .That logic is FUNDAMENTALY FLAWED!

Kwanza nikushukuru kwa kuelewa kwanini naumia after being cheated, lakini vile vile kuheshimu haki yangu to question about the said matter. Baada ya kusema hayo, niseme tu pia kwamba hauwezi kunijengea logic kwa variables zako halafu ukanisokomezea mimi kwamba ni yangu na kuja na verdict kwamba its fundamentally flawed. Pengine nikuulize, "what's my logic?"

Hoja zako zingine kuhusu tuhuma ya kwanza kwenye post ya Zitto nilishazijibu kwenye post yangu #774 na follow up question yake nikajibu kwenye post yangu #778
haujajibu bali umetoa maoni. lakini ni vizuri umekiri kwamba mwenye kujua kwa undani juu ya masuala haya ni zitto mwenyewe. kwa maana hii, kuendelea kumsaidia zitto majibu ni kuzidi kupindisha mambo na kuondoa watu katika lengo husika, unless unachofanya kina baraka ya mhusika mkuu wa uzi huu yani zitto.
 
Kusema kweli huwezi kuamini jinsi chuki na roho mbaya zinavyoweza kuwafanya watu vipofu, jamaa wananikumbusha enzi za Abubakari Kombo wa ile timu ya zamani ya Sigara na baadae Simba aliyekamia kula Sahani moja dhidi ya Edibily Lunyamila wa Yanga!, Kila akikutana naye jamaa anakaa man to man, kiatu mtindo mmoja. Lakini Guess what, Jamaa alicheza viatu sana, Lakini lunyamila akigeuka tayari keshampiga mtu tobo, anateleza wingi ya kushoto anaweka majaro Kizota au Muhammed Hussein mmaching anatupia kiulaini!!, wakati huo Abubakari kombo anaishia kupewa Red card tu!!.

Huu ni mfano wa Zitto!, kuna watu wameamua kumkaba man to man, kwenye mitandao na popote pale!, Ni watu wazima na akili zao, na wanajua wananchokifanya lakini wameamua Kuharibu tu, kutokana na chuki zao zisizopimika dhidi ya mheshimiwa Zitto. Wao wako tayari TAIFA ZIMA LIKOSE, ILIMRADI ZITTO APOTEZE

Watu wa aina hii mimi nawaita makuwadi wa mafisadi, Mafisadi wa kisiasa, ndio ni mafisadi,kwa sababu If they walk like a duck, Swim like a duck and Quack like a duck then they must be ducks (Mafisadi kwa muktadha huu).

Eti wanataka Mtuhumiwa alete proof ya majibu yake, lakini wanajua kabisa the burden of the proof lies squarely on the accuser, WANAWAACHA WANAOTUHUMU WANA GO AWAY NA TUHUMA, THEN WANAKOMAA NA MTUHUMIWA ALETE USHAHIDI WA UTETEZI WAKE!!!, THIS IS JUST AN UNFAIRNESS OF THE HIGHEST ORDER!!.

Nadhani sisi wananchi tuliochukizwa kwa dhati na madudu haya ya Escrow, tuendelee kupambana kwa nguvu, kwa kuwaunga mkono makamanda wetu wa Upambanaji waliosimama kuhesabiwa, walio msitari wa mbele katika hili, MAKAMANDA HAWA NI MFANO WA "MAWE YALE WAASHI WALIOKATAA, SASA YAMEKUWA MAWE MAKUU YA PEMBENI", nayo ni mheshimiwa Kafulila na Mheshimiwa Zitto!.

Wale waliomua kula karamu na kugongeana Glasi za kifisadi, na ulevi wao kuwafanya wawarushie chupa kamanda wetu, hao sisi tunawaacha na hangover zao sisi tunasonga mbele, hawa watahukumiwa katika mahakama za kihistoria.

Jamaa hawathubutu kuona japo kale kaujasiri ambako kamanda wetu amejitolea, ndugu zanguni kama mnamchukia sana mheshimiwa Zitto, heshimuni basi hata sacrifice yake katika mapambano haya. WENGI TULIOWATEGEMEA WAPAMBANE KWA PAMOJA NASI KATIKA VITA HII WAMEKAA KIMYA, HAWADHUBUTU, NA YULE ANAYEHATARISHA MAISHA YAKE MBELE YA MTANDAO HATARI WA MAFISADI, NAYE BADO MNAMRUSHIA MAWE!!!, NYINYI MNAMUUNGA NANI MKONO?.

Mkuu hao jamaa wameisha jipambanua na kujianika! tupa kule, kama wanataka ushindi wapeni tu

sio watu hao
 
Ni Zitto peke yake ndio anajua ni nini kilimzuia kutaja yale majina, kama ambavyo ni yeye anajua ni kwa njia gani aliyapata hayo majina. Sisemi kuwa nakubaliana nae kwa uamuzi wake ila i can say i understand why he would now give out that list. These are powerful people, and if all you have is a name and nothing else, they are gona bury you. Let me give you an example: Bomu la arusha; viongozi wa CDM walikusema wanaoushahidi wa video unaonesha muhusika wa ile issue. Wameuonesha mpaka leo? Tume ya uchunguzi imeundwa wakaambiwa wapeleke ushahidi walipeleka? And on this too i dont agree with them but i understand why they can have such a stand. "Kesi ya nyani una mpa ngedera" . Nadhani umenielewa. Kusema eti wataje tu then waachie wananchi waamue kwa ballot box it's simply being naive on some very serious facts. Kwa tume ipi ya uchaguzi??!!

I am gona go ahead and give you my opionion on the matter as well: Zitto (may be he has the list or not) took a gamble to pressure government into taking the issue more serious. Took a risk and went on record to claim he has the list of poeple the logic being if he can, why cant the government. Government called his bluff and dared him to produce the list and the whole thing blew up on his face. You can go ahead and question his intergraty, but i applaude him for atleast trying to do something in this toptobottom corrupt country.

AGAIN WITH THE NYINYI, SISI mentality!

umeniuliza hili swali kwenye bandiko #776 na nikakujibu kwenye bandiko #778

Well, am sorry you feel cheated by Zitto katika issue ya pesa za Uswisi am sure you have read my stance on the matter on my post above. Una kila haki ya question his intergrity ila nnachosema mimi nikuwa kama lengo la maswali yako ni utaifa then you are asking the wrong questions. Ukiweka hoja ya intergrity katika tanzania ya leo, hakuna mwanasiasa anaesimama hata mmoja(utawala na upinzani). And NO, siwezi kufollow logic yako (unaona nimesema yako sio yenu) kuwa eti kwa sababu hakufanikiwa kwenye issue ya Uswis then hatafanikiwa kwenye Escrow. Ni sawa useme sababu Dr. Slaa hakushinda uchaguzi 2010, hawezi kushinda uchaguzi 2015 .That logic is FUNDAMENTALY FLAWED!

Hoja zako zingine kuhusu tuhuma ya kwanza kwenye post ya Zitto nilishazijibu kwenye post yangu #774 na follow up question yake nikajibu kwenye post yangu #778
Daa!!! Kumbe kiongozi wa kambi ya upinzani Freeman Mbowe naye aliwaacha solemba Watanzania aliposema kuwa anao ushahidi wa mabomu ya Arusha waliopigwa wafuasi wa Chadema, sasa hii integrity sijui anayo nani.

Dr.Slaa naye juzi alituambia kuwa anayo ushahidi mabomba ya gesi yanatoka Mtwara mpaka Ulaya yanapita chini ya maji, achilia mbali yale makontena ya kura aliyosema kuwa aliyakamata kule Tunduma.

Hapo hapo akasema anayo ushahidi Usalama wa Taifa walimuibia kura zake za Urais, Watanzania wameachwa sana solemba.

Hatushindanishi wanasiasa tunatafuta kiongozi mwenye integrity tumpe hii mikoba.
 
Back
Top Bottom