Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Kwakweli kuna tatizo la kuelewa. Hakuna anayepinga jitihada zake na wengine. Kuna watu wanaotaka ufafanuzi wa hoja zake ili wasibaki na maswali na wakati wanabeba matawi ya majani kushangilia wasiwe na kingine zaidi ya vigelegele.

Ndio maana tunauliza tu ili tupate ushauri wenu, je ni kweli Ongangi alishiriki kuanzisha Gombe kama tuhuma izilivyosema na kama Zitto alivyoskwepa kulizungumzia. Jibu ni rahisi, ndio au hapana kutoka kwa Zitto.

Kuna kikaratasi Zitto anasema ni cha kughushi. Swali, huko nyuma kuna tuhuma kutoka katika kikaratasi hicho kuwa alichukua pesa za matibabu ya marehemu mzazi wake. Je, ni kweli au si kweli?

Kuna hili la Habinder kuangusha serikali ya CCM kama KANU. Kuna tatizo gani na hofu gani CCM ikiangauka?
Kwanini Zitto anapambana na watu au mfumo? na kama kuna njia za kuangusha mfumo, kwanini awe na hofu?

Sijui kwanini watu wanaeleza kuhusu chuki wakati maelezo yote yanatoka katika bandiko la Zitto.

Sijui kuna chuki gani maana Waberoya kaanza hata kabla sijachangia, sasa mimi ninaye jadili hoja na yeye anayenijadili nani wa kulaumiwa? Hebu tuache kujadili watu na famili zao, tusaidieni majibu.
Hawa ndiyo wazalendo wetu JF, mkuu rudi kwenye uwanja wako wa jukwaa la Great Thinkers ukaandike mabandiko yako, hapa naona unajivua nguo!
 
Hongera kijana shupavu, ninaona kwa mbali unazikanyaga hatua za Muheshiwa Sokoine, ongeza bidii kwa msaada wa Mungu utalitoa Taifa hili kwny rushwa na dhuluma kubwa iliyoifunika. Tupo nyuma yk japokua kwa maombi mbele za Mungu. Big up brother Z.
 
Nna maneno machache sana...1. Umaarufu wa ZK umepungua..so anatafuta kiki 2. Mtanzania ni mtu wa ajabu..iba hela za serikali hana taimu..labda ukitaka ashtuke muibie mkewe
 
Hawa ndiyo wazalendo wetu JF.
Uzalendo hauna maana ufungie akili na kushangilia tu. In fact mzalendo anahoji zaidi ya kukubali.

Hivi kwanini tuwe wazalendo tunaposema Chenge fisadi na uzalendo utoweke tukihoji tu!

Swali, je Ongangi ameshiriki kuanzisha Gombe kama tuhuma zinavyosema?
Je, ni kweli au si kweli kuwa ZZK alichukua pesa.

Hatuna uhakika, na wala hatuhukumu, lakini tuna haki ya kuuliza. Majibu yake bi rahisi tu, kwanini hatupewi?
 
Chadema wamejaribu kumtengeneza Mnyika ili awe kama Zitto lakini imeshindikana
 
Tatizo nilionalo ni hoja hii kutumiwa na watu wenye akili ndogo kumsafisha mtu aliyepoteza uaminifu katika jamii! Watu kama hawa huweza kuharibu mada kwani badala ya kujikita kupigania maslahi ya umma wao huyatumia matatizo kisiasa hasa kujisafisha.hivi kwa nini asifiwe na kupambwa zitto kana kwamba ilikuwa hoja yake na wakati kaidandia juu kwa juu ikiwa imeibuliwa na kafulila? Leo anasifiwa mtu asiye na rekodi ya uaminifu badala ya kafulila? Zile tuhuma na kashifa zote zilizoingiliwa na huyu jamaa ziliisha katika mazingira yepi? Kuna hata moja iliyoleta tija kwa huu umma wa watz? Nadhani jibu mnalo!
 
Jamani, kwanini watu hawasomi hoja?
Msing'ang'anie njuga kwanza. Someni hoja.

Hakuna hoja iliyotolewa nje ya maelezo ya Zitto, tatizo lipo wapi?
Kwa mfano, kuhoji kuwa Gombe ina ushiriki wa Ongangi, ni kweli au si kweli hapo kuna tatizo gani?

Kinachojadiliwa ni hoja ili wengine wenye vichwa vigumu tuweze kuwa nanyi katika shamra shamara.

wewe mpumbavu anzisha uzi wa hayo maswala yako

nyie ndio vitoto vya mafisadi leo mmekatamatika mchana kweupe

we are on escrow, kama unataka kuhoji usafi wa zitto au uchafu wake anzisha uzi mpya

kwa nini mnakuwa wajinga kiasi hiki? hata wewe?? dhahiri una chuki na zitto kwa sababu kwa akili zako fupi ulijua kabisa hutakuja kumsikia zitto kwenye siasa za Tanzania,haukujua katokea wapi na ana caliber zipi

hayo mawali yako YANARUDISHA FEDHA ZA ESCROW?? acha kujivua akili Nguruvi

hizo tuhuma zenu kila siku zipo tu, na kwa bahati mbaya kibinadamu upendo au chuki ni built in-Mungu kaweka ndani, !!!

ungekuwa na uwezo ungemuumbia kila mtu amchukie zitto kwa kadiri unavyofanya, cha ajabu unaona kabisa watanzania wanaangalia hoja na hata wale ambao haukuwadhania wako pamoja na zitto

narudia, hayo maswali yako matano yanarudisha vipi fedha za Escrow??

assume kuwa zitto ni fisadi namba moja nchi hii...leo hii anawasema wezi wenzake, why dont you rejoice kuwa MWANA MPOTEVU KARUDI KUNDINI?? so unataka aendelee kuwa mchafu??

upande nitakao kaa aidha zitto awe msafi au mchafu katika Escrow anabaki kuwa hero,

samahani, sijawahi kukuamini kuwa ni sehemu ya GT ninachojua ni kuwa unaandika articles ndefu za kueleza matukio na ''nothing food for thought in it''

sijui una simamia nini, una mentality gani, filosofi yako ni nini? haueleweki,

kuna wenzako wanakuita GT na ndio maana mchambuzi umemkamata, ila kwa watu kama mimi Waberoya, utasubiri sana ni ku approve kwenye brain yangu

strictly speaking wewe una IQ ndogo, na nina kupima tu kwa hoja zako ambazo huwa hazina mvuto wala wa kuzisoma zaidi ya mchambuzi

For God's sake, kwa maada hii kaa kimya basi, ushasema na umati huu unaona kabisa uko wrong

ukiambiwa zipu hujafunga , umesahau unafunga, tena wengine wanafunga kwa kugeuka na kupiga jicho asije akawa shemeji au mama mkwe kaona! kwako wote wanakuangalia...wakiwemo hao niliowataja, katika hili kuna vizazi vyako vijavyo, hata wale waliokuwa na wasiwasi na IQ yako wanapata confirmation kuwa iko chini

kwa nini? penye chuki akili za kawaida uondoka!

by the way unaenda msikitini au kanisani? anza leo na soma

1 corint 13!

au Surat Ar-Rum 30:21[h=1][/h]
Punguza chuki utaona na kuwaza vizuri

Kwa hili endelea kuwa upande huo wa mafisadi wa Escrow, kesho njoo na habari kuwa CCM wabaya!!!!

uko radhi 200bn zipotee ila zitto asisieme kitu kabisa

badilika, nimekujibu kwa kukuheshimu siaendeleza hii maada, ila unaruhusiwa kujibu

ila kwa mtu mzima, unapokosea kaa kimya na tutajua umeelewa

did I call you stupid? Yes for now, no if you will stop these nonsense
 
Zitto kusema CCM wataanguka kama KANU kazungumza Fact, na yeye ni mtu wa Fact, kwa sababu ni ukweli mtupu kuwa Wananchi siku moja wataiadhibu CCM kwa madudu haya. Labda wewe je unapinga kuwa IPTL inaweza kuiangusha Serikali ya CCM?. Na ameisema kauli hii kwa Uthabiti wenye kuonyesha ndoto yake ya CCM kuangushwa siku moja. Sijui wewe Ndugu unaogopa kutamka wazi kuwa CCM itaondoka madarakani siku moja, au unadhani madudu ya aina hii siku zote yataendelea tuuu!. Mimi naungana na Zitto kwa kusema bila hofu, Yele yaliyoinagusha KANU huenda yakaiangusha CCM kama haitakuwa makini.
Mi nilidhani kama KANU waliondoka kwa Harbinder , wazlendo wangeshangilia kama CCM itaodnoka kwa njia hiyo. Hapa nina maana Zitto hapambani na wafanyakazi fulani, anapambana na mfumo. Sasa kama mfumo huo una mteremko wa kuondoka kwanini awe na hofu?

Halafu kuna hoja alizotoa
1. Je, Ongangi alishiriki kuanzisha Gombe? Achilia mambo mengine ya familia, kasoma wapi ana wajukuu wangapi, gesi na mafuta n.k. Kinachotakiwa kujulikana ni kama ni mshiriki wa Gombe, baasi mjadala unaishi hapo

2. Je, kile kimemo ambacho sina uhakika nacho, ni kweli ZZK alichukua mshiko au ni uzushi tu?

3. Je, ZZK anaweza kuthibitisha kuwa wakili amekana mhuri huo.

Mbona mambo rahisi mnayarefu bila sababu?
 
Chadema wamejaribu kumtengeneza Mnyika ili awe kama Zitto lakini imeshindikana

Jadili hoja,habari ya Mnyika na CDM imekujaje hapa? Si uanzishe sredi yake tujadili kama unataka hilo
 
Hapana Masonjo, hoja ninazo tatizo hamtaki kuzijibu.

Kwa mfano, je Ongangi ni mshiriki wa kuanzisha Gombe kama tuhuma zilivyosema?
Je, kile ki memo kilichosema zitto alichukua pesa, ni kweli au si kweli?

Tusaidie mkuu, hapa wengine hatujaelewa. Ukitusaidia hilo utakuwa umejenga zaidi ya kushambulia personality.

Tuhuma sio Ongangi kuwa mshirika kwa Gombe bali ni kuwa Gombe inahusika na biashara ya mafuta na gesi, na ndio maana maejibu hapo kuwa hiyo kampuni haihusiki.Sasa kama kuna hoja zaidi kuonyesha amesema uongo kuhusu Gombe kufanya biashara ya mafuta na gesi nadhani hapo ndipo hoja unazopaswa kuleta.

Ila najua kwa uelewa wako mkubwa umelielewa hilo vizuri sana lakini umeamua kwa makusudi kujaribu kupindisha mjadala kwa sababu kwako Zitto hawezi fanya zuri lolote na ukaliona.Jirekebishe hapo mkuu.
 
Ni jambo la kijinga kabisa baadhi ya mafisadi wanaojiita Upinzani kuungana na mafisadi kutunga tuhuma

Juzi nilisema tuhuma zinazohatarisha hadi diplomasia yetu na Kenya na Uingereza ni za kijinga sana sana

Tumeanzisha Kampeni na tumeionya IMF ikae mbali iachane na kuulea ufisadi wa Serikali ya Tanzania

"IPTL-Bring Back Our Money"

Yupo katibu Mkuu wa wizara moja kazi yake ni kufanya spinning na kutumia magazeti ya serikali kupotosha kuhusu ufisadi wa ESCROW

Nawapongeza wabunge wote vijana kwa kazi nzuri wiki iliyopita

Kila mtu amtumie mbunge wake ujumbe atoe sapoti bungeni kuhusu kashfa hii.

Nimeziona nyaraka zote ,ni aibu sana sana

Thanks Ben, Tanzania needs people like you
 
Ifike wakati vijana muwe na uwezo wa kuvumuliana na kusikiliza hata msio wapenda!

Wewe chuki zako kwa zitto zinasaidia vipi nchi kujikwamua au kupambana na huu ufisadi? Kwanini tusi muunge mkono na tukasubiri muda huongee?

Kwa mtindo huu CCM wataendelea kutawala milele yani mko tayari kuoba hizo pesa zinapotea kuliko Zitto kuonekana ametoa mchango wowote kufanikisha kukamatwa kwa mafisadi!

Yani kwenu nyie wapinzani ni bora ufisadi uendelee kuliko Zitto kuonekana ameshiriki kuukomesha!
Zitto anatofauti gani na marahamia, mafisadi, majangili, ya CCM...??

Zitto ni laana katika nchi..
 
wewe mpumbavu anzisha uzi wa hayo maswala yako

nyie ndio vitoto vya mafisadi leo mmekatamatika mchana kweupe

we are on escrow, kama unataka kuhoji usafi wa zitto au uchafu wake anzisha uzi mpya

kwa nini mnakuwa wajinga kiasi hiki? hata wewe?? dhahiri una chuki na zitto kwa sababu kwa akili zako fupi ulijua kabisa hutakuja kumsikia zitto kwenye siasa za Tanzania,haukujua katokea wapi na ana caliber zipi

hayo mawali yako YANARUDISHA FEDHA ZA ESCROW?? acha kujivua akili Nguruvi

hizo tuhuma zenu kila siku zipo tu, na kwa bahati mbaya kibinadamu upendo au chuki ni built in-Mungu kaweka ndani, !!!

ungekuwa na uwezo ungemuumbia kila mtu amchukie zitto kwa kadiri unavyofanya, cha ajabu unaona kabisa watanzania wanaangalia hoja na hata wale ambao haukuwadhania wako pamoja na zitto

narudia, hayo maswali yako matano yanarudisha vipi fedha za Escrow??

assume kuwa zitto ni fisadi namba moja nchi hii...leo hii anawasema wezi wenzake, why dont you rejoice kuwa MWANA MPOTEVU KARUDI KUNDINI?? so unataka aendelee kuwa mchafu??

upande nitakao kaa aidha zitto awe msafi au mchafu katika Escrow anabaki kuwa hero,

samahani, sijawahi kukuamini kuwa ni sehemu ya GT ninachojua ni kuwa unaandika articles ndefu za kueleza matukio na ''nothing food for thought in it''

sijui una simamia nini, una mentality gani, filosofi yako ni nini? haueleweki,

kuna wenzako wanakuita GT na ndio maana mchambuzi umemkamata, ila kwa watu kama mimi Waberoya, utasubiri sana ni ku approve kwenye brain yangu

strictly speaking wewe una IQ ndogo, na nina kupima tu kwa hoja zako ambazo huwa hazina mvuto wala wa kuzisoma zaidi ya mchambuzi

For God's sake, kwa maada hii kaa kimya basi, ushasema na umati huu unaona kabisa uko wrong

ukiambiwa zipu hujafunga , umesahau unafunga, tena wengine wanafunga kwa kugeuka na kupiga jicho asije akawa shemeji au mama mkwe kaona! kwako wote wanakuangalia...wakiwemo hao niliowataja, katika hili kuna vizazi vyako vijavyo, hata wale waliokuwa na wasiwasi na IQ yako wanapata confirmation kuwa iko chini

kwa nini? penye chuki akili za kawaida uondoka!

by the way unaenda msikitini au kanisani? anza leo na soma

1 corint 13!

au Surat Ar-Rum 30:21[h=1][/h]
Punguza chuki utaona na kuwaza vizuri

Kwa hili endelea kuwa upande huo wa mafisadi wa Escrow, kesho njoo na habari kuwa CCM wabaya!!!!

uko radhi 200bn zipotee ila zitto asisieme kitu kabisa

badilika, nimekujibu kwa kukuheshimu siaendeleza hii maada, ila unaruhusiwa kujibu

ila kwa mtu mzima, unapokosea kaa kimya na tutajua umeelewa

did I call you stupid? Yes for now, no if you will stop these nonsense
Naona majibu yamesimama wima kweli kweli.
 
Nna maneno machache sana...1. Umaarufu wa ZK umepungua..so anatafuta kiki 2. Mtanzania ni mtu wa ajabu..iba hela za serikali hana taimu..labda ukitaka ashtuke muibie mkewe
Hili nalo neno
 
MKUU umenena,hata kama Zitto ni mchafu hawezi kufanana na Dr Slaa au Mbowe,hawana hata chembe ya uzalendo kwa watanzania,sijawaona hata kina Lema wakipiga kelele juu fedha za escrow,

Mkuu, Lema hawezi kupiga kelele kuhusu huu ufisadi kwa sababu akifanya hivyo atamuunga mkono Zitto na Kafulila, kitu ambacho ni bora bil. 200 zipotee lakini si kusimama na Zitto...!
 
Huyu mwizi na tapeli siyo mtu wa kusamehewa hata chembe anahongwa na waingereza kuvuruga nchi yake halafu useme tumsamehe kwa kipi,msaliti na mnafiki kamwe hasamehewi kamwe akafie mbali kabisa.

Mkuu bk7, Kwann tusimpeleke mahakamani kama hayo uyanenayo ni kweli
 
wewe mpumbavu anzisha uzi wa hayo maswala yako

nyie ndio vitoto vya mafisadi leo mmekatamatika mchana kweupe

we are on escrow, kama unataka kuhoji usafi wa zitto au uchafu wake anzisha uzi mpya

kwa nini mnakuwa wajinga kiasi hiki? hata wewe?? dhahiri una chuki na zitto kwa sababu kwa akili zako fupi ulijua kabisa hutakuja kumsikia zitto kwenye siasa za Tanzania,haukujua katokea wapi na ana caliber zipi

hayo mawali yako YANARUDISHA FEDHA ZA ESCROW?? acha kujivua akili Nguruvi

hizo tuhuma zenu kila siku zipo tu, na kwa bahati mbaya kibinadamu upendo au chuki ni built in-Mungu kaweka ndani, !!!

ungekuwa na uwezo ungemuumbia kila mtu amchukie zitto kwa kadiri unavyofanya, cha ajabu unaona kabisa watanzania wanaangalia hoja na hata wale ambao haukuwadhania wako pamoja na zitto

narudia, hayo maswali yako matano yanarudisha vipi fedha za Escrow??

assume kuwa zitto ni fisadi namba moja nchi hii...leo hii anawasema wezi wenzake, why dont you rejoice kuwa MWANA MPOTEVU KARUDI KUNDINI?? so unataka aendelee kuwa mchafu??

upande nitakao kaa aidha zitto awe msafi au mchafu katika Escrow anabaki kuwa hero,

samahani, sijawahi kukuamini kuwa ni sehemu ya GT ninachojua ni kuwa unaandika articles ndefu za kueleza matukio na ''nothing food for thought in it''

sijui una simamia nini, una mentality gani, filosofi yako ni nini? haueleweki,

kuna wenzako wanakuita GT na ndio maana mchambuzi umemkamata, ila kwa watu kama mimi Waberoya, utasubiri sana ni ku approve kwenye brain yangu

strictly speaking wewe una IQ ndogo, na nina kupima tu kwa hoja zako ambazo huwa hazina mvuto wala wa kuzisoma zaidi ya mchambuzi

For God's sake, kwa maada hii kaa kimya basi, ushasema na umati huu unaona kabisa uko wrong

ukiambiwa zipu hujafunga , umesahau unafunga, tena wengine wanafunga kwa kugeuka na kupiga jicho asije akawa shemeji au mama mkwe kaona! kwako wote wanakuangalia...wakiwemo hao niliowataja, katika hili kuna vizazi vyako vijavyo, hata wale waliokuwa na wasiwasi na IQ yako wanapata confirmation kuwa iko chini

kwa nini? penye chuki akili za kawaida uondoka!

by the way unaenda msikitini au kanisani? anza leo na soma

1 corint 13!

au Surat Ar-Rum 30:21
Punguza chuki utaona na kuwaza vizuri

Kwa hili endelea kuwa upande huo wa mafisadi wa Escrow, kesho njoo na habari kuwa CCM wabaya!!!!

uko radhi 200bn zipotee ila zitto asisieme kitu kabisa

badilika, nimekujibu kwa kukuheshimu siaendeleza hii maada, ila unaruhusiwa kujibu

ila kwa mtu mzima, unapokosea kaa kimya na tutajua umeelewa

did I call you stupid? Yes for now, no if you will stop these nonsense
Waberoya, duu hizi hasira zinaonyesha nimegusa pasipotakiwa. Nilitakiwa nibebe majani nishangilie. Hilo sitaomba samahani kwasababu huwa nahangaika kuweka mkate mezani kwa nguvu zangu, simtegemei mwanaume mwingine anionee huruma.

Masikini ya mungu ungejua, sina hata binamu fisadi yaani mkate wangu unategemea naamka vipi nalala vipi.
Usiwe na hofu sina ufisadi hata mwenyezi mungu anajua.

Kuhusu filosofi, mimi nasimamie ukweli na kutumia akili na fikra. Si mtu wa kupewa masazo nimeze bila kutafuna.

Kuhusu mabandiko yangu, ah hilo lisikupe shida, yanasoma na watu 2 au 30,000 n.k.
Wala huna haja ya kusoma au kujua nani anasoma. Wewe endelea na shughuli ya ulpambe, achana na shughuli za watu.

Kuhusu Escrow, hilo unasema Zitto ni shujaa. Sina sababu za kukataa ushujaa, lakini nina sababu za kuhoji nisichokielewa.
Nimetumia uhuru wangu bila kutukana mtu au kumkashfi.

Nadhani hiyo tu ni dalili ya IQ kubwa, kwasababu unapokuwa na IQ halafu unatumia katika matusi basi unawachanganganya watu.

Sina chuki na ZZK kwasababu hata siku moja simtegemei wala hanitegemei.

Anapoleta bandiko hapa tutahoji, tutalitendea haki kama tunavyofanya.

Mfano, tuhuma zinasema ZZK alianzisha Gombe na Ongangi!
Swali linalotia maudhi ni hili, je, ni kweli Ongangi ni mshiriki wa uanzishaji wa Gombe?
ZZK hakujibu ndio maana tunauliza.

Zaidi ya hapo, matusi ni sehemu ya maisha yangu hivyo endelea tu hadi kiu ikatike.

Kitu kimoja utakachoshindwa kunibadilisha ni kusimamia kile akili yangu inachoamini.

Otherwise, ulisahau kusema ni mimi ni stupid, ahsante umekumbuka.

Mwisho, umetia nyongo mwenyewe pale unaposema tunahoji usafi au uchafu wa ZZK.
Alaa kumbe! sikujua na hilo nalo linaeleza, maana unawezaje kupata nguo safi kutoka katika pamba chafu? Umesema mwenyewe.

Tujadili hoja mkuu, maswali yangu matano yapo pale pale. Nitajiunga na vigele gele msemaji wake au yeye akijibu.

Ahsante kwa bandiko, punguza ghadhabu, tulia chini pata juisi ya ukwaju (@Ritz)

Hebu tujibu hoja, tuacheane na personality. Kinachojadiliwa ni hoja za Zitto
 
Mti wenye matunda ndio utupiwao mawe!!!! Matukano kama haya huwezi kuyakuta yanarushwa kwa Komba na wenginge ambaoni mediocre minds ndani ya CCM.

Songa mbele mkuu!!!
 
Kumbe kwenu mlevi siyo binadamu?

Mlevi anatambutiwa kwa kupitia kwa njia zipi?

Jengeni hoja siyo vihoja.

Paragraph ya mwisho ya Zitto tumeijua.

hajui kuwa walevi nchi hii ndio walipa kodi wa kutegemewa na serekali ya ccm!
 
Back
Top Bottom