Ile milioni sita ulliyotuhumiwa kuchukua kwa ajili ya kutibia mama naona hujaiongelea
Ona huyu,yeye kaja kusafisha maswahiba wake wewe.unasifia kazi zake.Zitto Hongera sana kazi unayo Fanya ni kubwa Sana na usitegemee watu wote kuipenda! Mimi huwa nakuombea kila Leo Mungu aendelee kukulinda!
Wewe ni mtu makini sana na tunu kwa taifa kupitia wewe huwa naamini vijana wana uwezo wa kuongoza taifa!
MkuuHaujajibu tuhuma hata moja hspo,unapiga kelele tu na unadhihirisha u shalo wako.
Kwanza kwa nini unamjibia huyo ceo wa shell? kwamba sio aliyevujisha mkataba wa statoil balu ni waandishi wa habari?
Na unaizungumzia shell, wewe kana nani shell?
Nilitegemea kama umekuja hapa kujibu tuhuma ujibu tuhuma zako.
Kwa mfano,ungeeleza kwamba matibabu ya marehemu mama yako uliyagharamia kwa pesa zako mwenyewe n.k na haujawahi kuomba pesa directly au in directly kutoka PAP. Na sio kutishia watu na vyombo vya dola.
Ona huyu,yeye kaja kusafisha maswahiba wake wewe.unasifia kazi zake.
Huyu jamaa ni kilaza sana ujanja wake ni kurukia hoja kwa mbele,na kutaka kukwapua credits zote kwa maslahi yake binafsi.
Kwa mfano tuachane na huu utetezi wake.
Ameingiza hapa issue za escrow account.
PAC imefanya nini kwenye hii issue.
Kama ndio iliiagiza pccb au cag kufanya uchunguzi si ingepewa taarifa yenyewe?
Taarifa inapelekwa kwa rais sababu maelekezo ya kufanya uchunguzi yalitolewa na serikali.
Na kitakachofanyika,kama kuna watu wamebakia huko serikalini wanaofikiria ni kwamba,Rais atachukua hatua immedietly wala hataipeleka bungeni sababu huko bungeni kitakachofanyika ni kuishauri serikali kuchukua hatua.
Na hapo ndio mlango wa kudandia hoja utakuwa umefungwa rasmi.
Umenielewa?
Jifunze kujadili hoja iliyomezani na sio kuwapotosha watu kwa kujadili mambo meeeengi at par?
Eti oginga ana mtoto,ndio mambo ya kuja kutueleza sisi hayo kwa mgongo wa PAC.
Hahahaha mi nilikuwa ma hasira zangu huku sina hela lakini nimecheka sana jamaa kuleta habari za watoto wa oginga.Mkuu
Jama kwa kila tuhuma hajajibu ni kweli ushalo
Eti anazijua propaganda ..mara uvivu wa kikra
Anajigonga ginga tu. Huyo Mkwenya wala hajamkanya so hizo tuhuma dhidi yake ni za KWELI.
Kila akikanusha anaomba vielelezo yeye mbona hatoe kielelezo?
Ahaulizwa huyo mkenye.
Yeye anajibu eti ameoa na anawatoto
Watanzania siyo wajinga.
Na hapo utakuta kitila ka edit hii,tena anaweza akawa amemuhimiza kujibia hapa ili ku come out clean.Mkuu nashani Zitto uwezo wake wa kufikiria unazidi kushuka kwa kasi ya ajabu.
Kitila amemponza hadi kujenga hoja hawezi.
Kila kitu kimekuwa PAC hana lolote.
Kawa mwepesi kama karatasi ya A4
Hasira hizi walizo nazo wanaonituhumu na Kamati yangu zimewapelekea kugushi nyaraka mbalimbali zinazonituhumu mimi na wenzangu ili kutuogopesha na kutukatisha tamaa katika kutafuta ukweli juu ya suala la uporaji wa fedha kutoka Benki..
Angalau umejitokeza kujibu tuhuma maana ulikuwa kimya sana na watu walishaanza kuamini kwamba labda kuna ukweli ndani yake.
Hilo la kughushi nyaraka naona ni kesi ya polisi sasa na unapaswa kulipeleka huko. Usifuate mkumbo wa akina Membe, Kinana et la kulalamika hovyo kwamba wanachafuliwa lakini hawasogei kufungua mashtaka popote kwa sababu zilizo wazi kabisa - wanaogopa vivuli vyao.
Aende wapi?Kwa hili,tofauti zingine tuweke pembeni mwizi akamatwe kwanza.Go Zitto gooo
TUONYESHE RAFIKI ZAKO,TUTAKWAMBIA WEWE NI MTU WA AINA GANI-Hahaha-Soon true Colour za wanafiki zitajulikana-Prof.Muhongo Kafunga Maduka ya majambazi na wahujumu wa Wizara ya nishati na madini,VIBARAKA WANATAPATAPA !!!
Nimeona hiyo sh. milioni 400 kila siku, nikafadhaika sana moyoni, nikawakumbuka watu fulani humu nilibishanano sana kuhusu huyu PAP kuwa ata shusha bei ya umeme, hawa jamaa kweli ni wezi wa mchana na hawana huruma kabisa na hali ngumu za WATZ, very sadPAP wanalipwa milioni 400 kila siku, wazalishe umeme wasizalishe.
Hivi mtaalamu Zitto maana ya Company Limited by guarantee ni kampuni isiyofanya faida kama ulivyosema?
Au unamaanisha toke Gombe advisors ianzishwe imekuwa ikitengeneza hasara?
Hahahaaaaaa zittooooo,eti consultant.
Unasema ulichambua mkataba wa statoil,na maana ya limited by guarantee haujui.
Wewe ndio kunakipindi nilikuamini na kukusufia mpaka koo linanikauka eti ni mtaalamu.
Naomba,nisamehewe madhambi yangu yote kwa kweli.