Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Nakukubali sana zito,
Mara nyingi huwa ukisimamia hoja unashinda...hii inaonesha dhahiri kuwa haukurupuki ktk kuchanganua na kuhoji mambo.
Binafsi natamani sana nipate hata nafasi ya kushauriwa nawewe japo dk.10 namna ya kupambana na hawa maharamia ili nikaanze kuwaumbua watumishi mafisadi wilaya ya morogoro vijijini.
 
Bramo asante sana kwa maswali uliyokaukiza haka kajanja janja haka.

Kanataka kutumia matatizo ya kitaifa kujinufaisha kiuchumi na kisiasa.

Kamweka heading kuhusu PAC alafu kanakuja na mambo ambayo ni zaidi ya PAC.

Ceo wa shell

Shell yenyewe

Oginga

Serikali ya kenya.

Hawa wanauhusiano gani na PAC,sababu uharo wote kalioweka hapa ni kuwatetea wao chini ya kivuli cha PAC,au kanadhani PAC ni mali yake.

We gamba tulia dawa ikuingie
 
Last edited by a moderator:
Hii gear aliyokuja nayo ZZK imekamata, kasoro ni kuwapiga wapambanaji wa CDM!!
Unajua kabisa ukizamisha CDM wezi wataendelea kupeta hakuna wa kuwawajibisha!!
Sina hakika kama kweli ZZK ana dhamila safi ya kupambana na mfumo wa wezi na mafisadi waliokuwa wanamfadhiri huko nyuma!!
Ni maandalizi ya siku rasmi ya kuondoka CDM tarehe inajulikana na mwezi no huu mara tu baada ya Bunge. Kafulila pia anamfuata Zitto. Bora we we umeuliza
 
Zitto unataka kurudisha umaarufu na mara hii ukichemka umekwisha!
_uliteuliwa kamati ya kuchunguza mikataba ya madini ukavuta zako ukapiga kimya
_fedha za uswis oooh una majina ukavuta zako ukapiga kimya !
~sasa hili la escow ukishakula zako utakaa kimya!
~~~kila la heri

We lipi umemalizia
 
Last edited by a moderator:
Usimwamini mwanasiasa yeyote at a kama ni upinzani hayo ni maneno yako sasa tatizo Lako ni kutomaliza unachokifanya ungemaliza at a LA uswiss na mengine ulioanzisha ungekuwa umeisaidia nchi Kwa kiasi kikubwa sana kupambana na ufisadi Kwa hili la iptl pambaneni mpka mwisho hofu ni kuishia njiani kama kawaida yako

Wewe au mwanasiasa unayempenda ni lipi umelimaliza...?
 
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.

ulitaka ajibu vp
 
IV hata kwa akili ndogo uliyonayo wewe na wale viongozi wa vyama sita wachumia tumbo inakuingia akilini kuwa ZITTO alikosa pesa ya kumtibu mama yake, wakati mwingine kabla ya kuandika fikiria japo kidogo unataka kuandika nini.

nitaleta uzi hapa kwa MODS wenye ombi la angalau kwa miezi 2 watu watumie IDs zao halisi ili angalau tutambuane yani angalau kwa miezi 2 tu baadae lirejee kama zamani

Humu ndani kuna watu wana akili ndogo sana aisee, kila wanachoambiwa wanalichukua tu....Hata mi nimeshangaa ni Mbunge gani atakosa Milioni sita ya kumtibu mama ake au mtu yeyote yule...!
 
Binafsi nitafurahi kama jambo hili la Escrow litashughulikiwa kwa mujibu wa taratibu na sheria za nchi.

Kinachokera hivi sasa ni kutafuta umaarufu wa kisiasa. Kwamba baada ya Zitto kugaragazwa vibaya kisiasa na Chadema kiasi cha kuishi ubungeni kwa msaada wa mahakama na kupoteza mashabiki wengi aliokuwa nao, sasa anataka kuwa-retain waliobaki na kupata popularity upya kupitia matukio.

Wakati Zitto ana deni letu la majina ya walioficha fedha uswisi, anakuja na mbwembwe za kutishiwa maisha bila ushahidi.

Fedha za uswis sisi hatukumtuma aziseme. Ni yeye mwenyewe aliyesema anajua majina ya watu walioficha hizo fedha huko. Akafanya safari mbili tatu akapotea kimyaa lakini ilikuwa ni baada ya mbwembwe kama hizi. Maana ilikuwa kila siku ni Zitto na fedha za uswisi. Ikaja tena hekaya kama ya leo kuwa kutokana na fedha ya uswis kubumbuliwa na yeye eti wanataka kumuua. Fedha za uswis hazijaja na majina hatujayapata na kwenye tume ya Werema Zitto kakanusha kuyajua majina.

Hili la Escrow ni dana dana nyingine ya 'nitoke vipi' Ni mwendelezo ule ule wa Zitto kutaka kujiinua tena kwa visibgizio na mbinu za kizamani tena bila ushahidi.
Asubihi leo, zimepandishwa threads tatu za kumsifia Zitto toka kwa mtu mmoja. Thread zenyewe ukiziona ni kama takataka tu lakini kwakuwa ni mkakati maalum zikaanzishwa. Mara eti Zitto ni Mbunge bora wa November. Wapi walianza kutoa hizo tuzo? Kama Zitto ni mbunge bora wa November, wa February ni nani? Mbunge bora kwa Parameters zipi? Zimekubaliwa na nani hizo parameters hadi tukubali Zitto ni mbunge bora wa November? Wenye akili tulipoona thread zinazomsifia Zitto zimeanzishwa tukajua tu kuna kitu kitaibuliwa.

Sasa Zitto amekuja na hadithi njoo utamu kolea. Sisi hatutaki kujua nani katishiwa nani hajatishiwa. Tunataka fedha za Escrow zirudi kwa watanzania wanaokosa dawa, wanaochangishwa michango ya kishenzi ilhali fedha ipo mifukoni mwa wajanja. Hii move pamoja na Kafulila Mnyika aliwahi kuishikia bango. Sasa PAC mnayo, fanyeni kazi zenu mje na matokeo acheni longolongo kama za fedha za uswis. Na mkome kutaka kupata umaarufu binafsi kwenye ishu yenye national interest.

Ulitamani hii issue awe ameianzisha mnyika or mbowe. Kweli watanzania elimu hata haitusaidii,watu tunalilia utaifa kwanza na kutoa support kwa mtu anaetutetea wanyonge..wewe ndo kwanza unaanza kuongelea habari ya chama. Taifa kwanza
 
TUONYESHE RAFIKI ZAKO,TUTAKWAMBIA WEWE NI MTU WA AINA GANI-Hahaha-Soon true Colour za wanafiki zitajulikana-Prof.Muhongo Kafunga Maduka ya majambazi na wahujumu wa Wizara ya nishati na madini,VIBARAKA WANATAPATAPA !!!

mmmmh! kama amekumegea za ubunge kule musoma v zitunze sana make baada ya hii ripot hata kuwa na kitu tena CHEZA KWA STEP
 
Pumba kabisa, eti seth aliangusha serikali ya kenys,kwa hiyo unachokifanya ni kuzuia serikali ya ccm isuanguke?

Hapa ndo aliponichekesha huyu jamaa. Anajiita mpinzani huku akiionya CCM itaanguka. Sasa yeye anataka ibaki ili iweje?
 
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.

Hivi wewe pamoja na yooote kwa mshahara wa Mbunge na marupurupu bado unafikiria anaweza kukopa milioni sita?usimezeshwe uwe unatumia akili yako hiyohiyo ndogo.
 
Zitto kabwe,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.
Hebu tumia akili yako ndogo ya ki CCM na kifisadi kufikiri kwanza kabla ku-comment, Hivi hako kaubongo kako kanashindwa kubaini kwamba, kama ni kweli huyo wakili wake anachukua pesa, haijafika milioni 6 ya kiasi yeye kwenda kukopa tena kwa kumtibu mama yake?
AU huyo unayedai anamtumia Zitto,Nimrod Mkono ,angeshindwa kweli kumkopesha milioni 6 Zitto?
AU Zitto mwenyewe ameshindwa kutenga fungu kutoka kwenye mshahara wake wa kibunge kwa ajili ya kwenda kumtibu mama yake au kuliweka bond hili gari unalodai amepewa na mkono?
AU hivi hana marafiki wenye uwezo huo wa milioni Sita?
Its nonsense!!
 
Mkuu umeongea jambo jema zitto ni msanii anachofanya hapa ni siasa kumisafisha baada ya kuchuja kisiasa anatafuta jambo la kutoka nalo ameshindwa kumibu hela aliyopewa kwenda kumtibu mama yake alipewa kwa misingi gani halafu anasema eti kamupini ile haifanyi biashara tangu lini kampuni inaanzishwa isifanye biashara halafu kawa msemaji wa shell jamni zitto kaharibika siyo yule wa kipindi kile amekuwa mla rushwa tu.

Mkiambiwa zitto ni mnafiki si nyie team lumumba mnasema ni mzalendo number moja onen sasa anavyojichafua mwenyewe. Leo anasema Seti aliiangusha KANU so anaionya ccm so na yeye hataki CCM Ianguke
 
Zitto kabwe,
kwanza umefanya vema kujitokeza kujibu tuhuma zinazokukabili lakini unaonekana kutumia akili pana sana kujibu tuhuma zako hasa kwa kutumia maneno ya kulaghai badala ya kumibu hoja asilia,ninashaka na maneno yako hasa kwenye maeneo haya,

kwanza,umesema kampuni ya shell haifanyi biashara hivi kunakampuni ambayo inaweza kuanzishwa siyo kufanya biashara? Kama haifanyi biashara inafanya kazi gani sasa.

Pili utakumbuka kwenye tuhuma zako unatuhumiwa kuazimwa au kukopeshwa kiasi cha milioni sita na kampuni moja wapo hapa nchini pesa hiyo ilitumika kwenda kumtibia mama yako kwanini hujasema hiyo pesa ulipewa kwa makubaliano gani au ulipewa kama msaada au kama mikopo mingine ili urudishe.

suala lako la kupewa hela na ubarozi wa uingeleza siyo jipya hata wakili wako ambaye sote tunamjua anayetokea mkoa wa kaskazini unamtumia sana kwenda kuchukua pesa zako za madili kutoka kwenye makampuni kadhaa unachofanya pesa nyingi huchukui wewe unatuma watu kwaniaba yako.

zipo sehemu mbili ambazo wakili wako amechukua pesa kwa maelekezo yako na amesainishwa siku moja hiyo document utawekewa hapa ila mnamuaibisha sana wakili wako japo hapendi unavyofanya lakini wewe unasema huwezi kuacha kuwasaidia waingeleza umetoka nao mbali.

jambo lingine ni wewe kutumiwa na nimrod mkono kiukweli hili unavyokataa binafsi mimi nakuona kituko mkono hajaanza leo kukutumia mpaka anakununulia ile gari ambayo kwasasa umeikodisha ni katika makubaliano yenu ya baadhi ya kazi unazomfanyia za kutumika kiukweli zitto nilikuwa shabiki wako sana tangu nijue kuwa wewe mla rushwa nakuweka kundi moja na wachumia tumbo wengine na hii tabia ya rushwa na wizi sasa umemfundisha hata deo filikunjombe.

ushauri wangu kwako fanyeni yote mnayofanya watanzania wasije kuwajua lakini siku moja wakijua mtachomwa moto mchana kweupe.

Chuki yako imekupofua macho yako soma vizuri alichoandika
 
Hapa ndo aliponichekesha huyu jamaa. Anajiita mpinzani huku akiionya CCM itaanguka. Sasa yeye anataka ibaki ili iweje?
Umeona enh.

Anajiita mzalendo,huku anaumia kila anapofikiria ccm itaanguka.

Nadhani anajua ccm ikiondoka na yeye ndio basi tena.

Lakini wapo watanzania wanasema eti anapigania taifa.
 
Hii gear aliyokuja nayo ZZK imekamata, kasoro ni kuwapiga wapambanaji wa CDM!!
Unajua kabisa ukizamisha CDM wezi wataendelea kupeta hakuna wa kuwawajibisha!!
Sina hakika kama kweli ZZK ana dhamila safi ya kupambana na mfumo wa wezi na mafisadi waliokuwa wanamfadhiri huko nyuma!!

Tatizo lako unafikiri kibavicha na kichadema! Bavicha Zitto siyo size yenu mnalijua hilo!
 
Hajaweka ushahidi wowote unaonesha anachikisema zitto zaidi ya ulaghai wa maneno ya kisiasa.

Nyie CCM si huwa mnasema Zittoni mzalendo number moja? Mkiambiwa ni popo haamsikii. Oneni sasa popo hilo limewaganda
 
Hebu tumia akili yako ndogo ya ki CCM na kifisadi kufikiri kwanza kabla ku-comment, Hivi hako kaubongo kako kanashindwa kubaini kwamba, kama ni kweli huyo wakili wake anachukua pesa, haijafika milioni 6 ya kiasi yeye kwenda kukopa tena kwa kumtibu mama yake?
AU huyo unayedai anamtumia Zitto,Nimrod Mkono ,angeshindwa kweli kumkopesha milioni 6 Zitto?
AU Zitto mwenyewe ameshindwa kutenga fungu kutoka kwenye mshahara wake wa kibunge kwa ajili ya kwenda kumtibu mama yake au kuliweka bond hili gari unalodai amepewa na mkono?
AU hivi hana marafiki wenye uwezo huo wa milioni Sita?
Its nonsense!!

Halafu masikini hawajui kuwa kuna makampuni yasiyotengeneza faida(non profit company) chuki ni kitu kibaya sana sasa naelewa kwanini mahatma Gandhi aliwaonya wahindi kuuondoa ukoloni hakuna maana ya kuwachukia waingereza
 
Back
Top Bottom