Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Tatizo lako unafikiri kibavicha na kichadema! Bavicha Zitto siyo size yenu mnalijua hilo!

Acha kuongea sana.

Heading inasema mambo ya PAC,na kamalizia kwa kujitambulisha kama mwenyekiti wa PAC.

Unaweza kunisaidia ni namna gani mambo ya onginga,watoto wa onginga,shell,ceo wa shell na serikali ya kenya vina mahusiano na kutokutetereka kwa PAC?
 
Halafu masikini hawajui kuwa kuna makampuni yasiyotengeneza faida(non profit company) chuki ni kitu kibaya sana sasa naelewa kwanini mahatma Gandhi aliwaonya wahindi kuuondoa ukoloni hakuna maana ya kuwachukia waingereza

Muangalie na huyu!!!
 
Prof
Uliedit hii kazi? Mbona umelipua sana

Teh teh acha kuchekesha wanajamvi, prof ndio nani...? Hili la escrow ni kaa la moto na tayari liko mdomoni, endeleeni kutapatapa tu
 
Umeona enh.

Anajiita mzalendo,huku anaumia kila anapofikiria ccm itaanguka.

Nadhani anajua ccm ikiondoka na yeye ndio basi tena.

Lakini wapo watanzania wanasema eti anapigania taifa.

We endelea kuzama na hilo jahazi, Zitto go go go waTZ kwa mamilioni tuko nyuma yako, makuwadi wasikutishe
 
Kuna watu humu wako radhi kuona kosa kubwa sana kwa Zitto kukopeshwa millioni 6 kuliko kuibiwa millioni 400 kila siku ambazo Mimi na wewe tunalipia luku kila siku kwa kipindi cha miaka 15 ijayo pamoja na zaidi ya bilioni 200 zilizokwapuliwa yote haya siyo muhimu
Muhimu ni Zitto kukopa milioni 6 Zitto asulubiwe na tuwaachie huru wanappiga 400 million @ day plus 200 billions history repeat itself in strange way namkumbuka pilato akiwauliza wayahudi nani aachiwe yesu au baraba wakasema baraba na kosa gani analo huyu yesu...
Pilato akanawa...
Siasa nimenawa hali hii ipo jamiiforums watu wana access ya internet vipi huko vijijini ccm kuitoa mpaka Mungu apende nimenawa..
 
Acha kuongea sana.

Heading inasema mambo ya PAC,na kamalizia kwa kujitambulisha kama mwenyekiti wa PAC.

Unaweza kunisaidia ni namna gani mambo ya onginga,watoto wa onginga,shell,ceo wa shell na serikali ya kenya vina mahusiano na kutokutetereka kwa PAC?

We mbulula soma tena post, ukirudi utuambie kwann mnamtisha mzalendo Zitto
 
Hasira hizi zinatokana na mambo mawili:

Moja ni uamuzi wa kamati yamoja ,PAC kuwasweka ndani baadhi ya watendaji wa TPDC kwa kushindwa kutekeleza maamuzi ya Kamati yanayohusu Mbili,uwazi wa mikataba ya Gesi na Mafuta.

Pili, Tatu ni uamuzi wa PAC kuagiza ukaguzi maalumu wa mchakato mzima wa kuanzishwa na kufungwa kwa akaunti ya Tegeta Escrow ambapo zaidi ya shilingi bilioni 200 ziliporwa na zaidi ya shilingi bilion Nne 12 zinalipwa na TANESCO kila mwezi kwenda kampuni ya PAP inayomilikiwa na Harbinder Singh Seth (50%) na Tano , watu wasiojulikana kupitia kampuni ya Simba Trust iliyosajiliwa na kufichwa nchini Australia (50%).

Sitta,Ieleweke kuwa PAP inalipwa shilingi milioni 400 kila siku kutoka TANESCO izalishe au isizalishe Umeme!
Watanzania, PAP itaendelea kulipwa namna hiyo kwa miaka 20 ijayo. Kwa namna ambayo Seth analindwa na baadhi ya watendaji Serikalini na hasa ndani ya Wizara ya Nishati na Madini. TanoBAidha, kuna fununu kuwa kuna maofisa serikalini wanaomiliki hizo 50% za kampuni ya PAP.Saba Seth pia anamiliki kitalu cha gesi Mnazi bay Kaskazini kupitia kampuni ya HydroTanz.

Hasira hizi walizo nazo wanaonituhumu na Kamati yangu zimewapelekea kugushi nyaraka mbalimbali zinazonituhumu mimi na wenzangu ili kutuogopesha na kutukatisha tamaa katika kutafuta ukweli juu ya suala la uporaji wa fedha kutoka Benki kuu. Lengo lao ni kututoa kwenye mstari. Mimi na wenzangu hatutatoka kwenye mstari, tutashirikiana na wabunge wenzetu kuhakikisha ukweli unajulikana na wezi kuchukuliwa hatua kali.

Harbinder Singh Seth aliiangusha Serikali ya KANU nchini Kenya, sasa anachotaka kukifanya kinaweza kuiangusha Serikali ya CCM wakiendelea kumkumbatia. Watanzania sio mabwege!

Zitto Kabwe
Mwenyekiti PAC

Dodoma, 9 Novemba 2014
Moja
#Zitto Labda tusaidiane mimi nilisoma sayansi sifahamu sana taratibu za kimahakama walejamaa walipelekwa(TPDC) ndani au waliachiwa siku ileile tena pasipo dhamana wewe kama mhusika wa kesi ile unajisikiaje pale mkesi wako anapoachiwa pasipo dhamana,
Ushauri wangu
Udhani katiba ambayo wenzako wanipigania ndio itakuwa suluhisho na mambo haya,
Uoni kuwa CCM wanakutumia wewe pasipo kujua kuwaamisha watanzania kutoka katika suluhisho ya mambo hayo unayopigania #KATIBA #MPYA ,

mbili
#Zitto labda mimi nitofautiane na wewe katiba tuliyo nayo na katiba pendekezwa aina provision ya mikata kusainiwa katika uwazi, katiba inampa raisi mamlaka ya kufanya chochote pasipo kushauriwa na mtu yoyote
Ushauri
Udhani wenzako wanaopigania katiba mpya imbayo itakluwa na provision ya uwazi kwenye mikataba ya gesi, madini na hata maliasili zangine

Tatu
zito kama hayo yalikuwa maaamuzi ya kamati ya PAC kwanini uandamwe wewe zaidi,Please look on this because bado naona ile wekness ya uongozi pale kwa kamati yako all people they should have the same language and other PAC member they are suposse to be rensiponsible kukutetea na sio wewe maana wao ndio wanajua ukweli hilo swala ni la kamati na sio la mtu binafsi
Ushauri
Kama hiyo shutuma hizo ni za kweli unganisha kwanza lugha za wanakamati wako wawe na lugha maja kwanza then ndio muanze mapambao other wise utapata suport njee
Nne
1. TANESCO inawajibika kuilipa IPTL capacity charge, swali la msingi kwa wansiasa kuwaelimisha watanzania Investimate cost ilikuwa shilingi ngapi na CAPITY CHARGES ilitakiwa kuwa shilingi ngapi.
2. Kama malipo yote yanayofanyika is according to the mkataba then who anatakiwa kuwa rensiponsible Je ni setti au viongozi ambao waliosaini mkataba
a: Nani anatakiw akuwajibika
b:Ni shilingi ngapi tulitakiwa tuwe tunalipa,
c:kama mkatba ndio mbovu the taratibu zinasemaje kuhusu kuvunja makataba
c:Lazima tuwajibike kuwaelimisha watanzania kuwa capacity charge lazima tulipe,bali Taitizo lipo kwenye mkataba
Ushauri wangu
#Zitto na wanJf labda kama uelewa wangu ni mdogo katiba ndio suluhisho wa mambo haya yote (mikataba mbovu, Viongozi kuwa na maslai binafi, kufanya biashara na serikali Etc )
uoni CCM wanawaamisha watanzania kwenye msingi wa kudai katiba ambayo ingebalisha Mkataba wa IPTL, maktaba wa BUZWAGi na mingine mingi iliyosaini wa mahotelinni< Kwanini tusiwaunganishe watanzani kwenye kudai katiba mpay ambayo itatabadisha mambo yote

Tano

Zitto inaonekana kama uan data za kutoshaTano , watu wasiojulikana and Aidha, kuna fununu kuwa kuna maofisa serikalini wanaomiliki hizo 50% please naombebi tujipange vizuri kabala ya wakati tunapfanya haya mapambano otherwise tutuakuwa ni watu wa kuwachezea watanzania akili zao
kwa mafano
Mabilioni ya uswizi......iliishia hewania
Buzwagi.....viongozi waliwajibika mkataba je ulibadilika
Richmond.........viongozi waliwajibika lakni mitambo ya richmondi bado inafanaya kazi, Na Tanesco they are suffering

Ushauri wangu
Tuunganenei kutafuta katiba amabyo itakuwa dawa ya viongozi wote waingiao madarakani

Saba
Seth pia anamiliki kitalu cha gesi Mnazi bay Kaskazini kupitia kampuni ya HydroTanz, this is much of person attack nazani tatizo ni la system yetu na sio mwekezji,
 
Nyie CCM si huwa mnasema Zittoni mzalendo number moja? Mkiambiwa ni popo haamsikii. Oneni sasa popo hilo limewaganda

MaCCM yameshikwa makende mara hii yaache yalie kwa uchungu mkubwa
 
Katiba ya chenge
Katiba ya sitta

Kwann hawasemi katiba ya Samia Suluhu
 
Katiba ya chenge
Katiba ya sitta

Kwann hawasemi katiba ya Samia Suluhu

ninayesemaha kwa makusudi kijana katiba ndio itakuwa suluhisho mambo haya na wala sio kelele zetu kwenye head line za magazethi
 
hivi mitaahira kama nyie mnafaida gani ya kuwepo kwenye dunia hii?
Zitto ameelezea kile anachohusishwa nacho halafu kinyesi kama wewe huelewi? unafanya nini Humu?
kuhusu kupewa hela na PAP. mlivyowapubavu na wapuuzi wenzako mara mseme Zitto ni bilionea kutokana na pesa za ufisadi, leo hii mlivyo wa....ge mnakuja tena na single kuwa jamaa hana hata mil 6 ya kumtibia mama yake na amelazimika kwenda kukopa.
nyie ni wapumbavu tu asilani.

Haujajibu tuhuma hata moja hspo,unapiga kelele tu na unadhihirisha u shalo wako.

Kwanza kwa nini unamjibia huyo ceo wa shell? kwamba sio aliyevujisha mkataba wa statoil balu ni waandishi wa habari?

Na unaizungumzia shell, wewe kana nani shell?

Nilitegemea kama umekuja hapa kujibu tuhuma ujibu tuhuma zako.

Kwa mfano,ungeeleza kwamba matibabu ya marehemu mama yako uliyagharamia kwa pesa zako mwenyewe n.k na haujawahi kuomba pesa directly au in directly kutoka PAP. Na sio kutishia watu na vyombo vya dola.
 
Stup.d and pointless comment!
 
Kumtetea mkenya kwa visingizio vya watoto ndio uzalendo.

Kijana hujitambui, ye kashutumiwa kuhusishwa na mipango miovu ya huyo mkenya, kajitetea...!

Kwann nyie na serikali yenu ya magamba msimshtaki huyo Mkenya
 
hivi mitaahira kama nyie mnafaida gani ya kuwepo kwenye dunia hii?
Zitto ameelezea kile anachohusishwa nacho halafu kinyesi kama wewe huelewi? unafanya nini Humu?
kuhusu kupewa hela na PAP. mlivyowapubavu na wapuuzi wenzako mara mseme Zitto ni bilionea kutokana na pesa za ufisadi, leo hii mlivyo wa....ge mnakuja tena na single kuwa jamaa hana hata mil 6 ya kumtibia mama yake na amelazimika kwenda kukopa.
nyie ni wapumbavu tu asilani.

Mi sio taahira his majesty,na wala hakuna sehemu wala wakati wowote ule nimewahi kusema zitto ni milionea au hana millioni sita.

Hoja yangu hapa ni kwamba maelezo aliyoyatoa hayana uhusuano na PAC wala taifa letu.

Mfano,anasema mkataba wa statoil uliwekwa wazi na waandishi wa habari wa norway na sio ceo wa shell? Maelezo haya yanauhusiano gani na PAC au yanafanyaje PAC au yeye mwenyewe zitto asitetereke?

Umenielewa?
 
.....
Tuhuma #6 (juu ya Uingereza):

Uingereza imekuwa inamfadhili Zitto kwa miaka mingi kwa mambo yake ya kisiasa kwa hiyo sasa hivi Ubalozi wa Uingereza unamlipa Zitto na Kafulila kuhakikisha kwamba Standard Chartered ya Uingereza inalipwa deni lake lisilotambulika kisheria nchini mwetu.

Majibu:

Nimetangulia kusema hapo awali kuwa kuna propaganda ambazo haziangalii hata diplomasia; nyingine ni hii. Pamoja na kukanusha uzushi huu, ni vizuri wanaotoa tuhuma za namna hii kuthibitisha. Mimi binafsi sijawahi kufadhiliwa kisiasa na Taifa lolote lile. Inaelekea kuna wanasiasa wanaofadhiliwa na mataifa mengine ambao kwakuwa kwao ndiyo maisha wanaamini na wengine tupo kama walivyo. Kwangu itikadi yangu ni &#8216;Uzalendo kwa nchi yangu', ni jambo ambalo halina mbadala wake. Siku zote nasema "Right or wrong, my country first". Kurudia kurusha tuhuma kwa Ubalozi wa Uingereza nchini ni kudhihirisha kwa mara nyingine kiburi cha kuwa na mamlaka (arrogance of power) walicho nacho wanaotuma tuhuma hizi.

Aidha, wanatuhumu kuwa "Kafulila na Zitto wamehaidiwa 15% ya USD 150 million kama deni likilipwa"

Mtanzania anayeweza propaganda dhaifu kama hizi basi anatakiwa ajitafakari. Hata hivyo ni vema wanaotoa tuhuma hizi wathibitishe bila chembe ya mashaka.
.....

RED: Hapa umekuwa mkweli kiasi kwa kujitilia mashaka katika hili kwa kuweka '...'.

Vinginevyo ahsante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom