Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,425
In politics there is no a permenent enemy, but permanent Interests: Do you know your Interests?
Sasa Tuambie kama Zitto hatoshi katika haya ni nani anayetosha?, Mbona hao unaodhani wanaotosha Wako kimya?
Cha ajabu yule alyeitwa SISIMIZI, Na yule aliyeitwa MSALITI ndiyo wako front kutetea maslahi ya nchi. HAWA KWA SASA NDIO MASHUJAA WETU SIYO NYINYI MNAOENDEKEZA CYNICISM NA PETTY POLITICS, ADHOMINEM ATTACKS NA NAME CALLING.
Katika Mjadala huu hamna hoja mmebaki na Character assasination, Hamna way forward, Hamna Pragmatism ya kudeal na issues. Kiufupi hamna Intellectual eye ya kudeal na ufisadi. AU MMEAMUA KUJIFANYA VIPOFU KWA AJILI YA MASLAHI MADOGO YA KISIASA.
Nyinyi mnawapa ammunition Mafisadi wa IPTL, na huenda mpo katika mtandao wao na mnajaribu kudilute public Opinion katika suala nyeti katika hili. Nyinyi mna Intellectual dishonesty ya hali ya Juu, Utamgeuziaje bunduki Kamanda ambaye yuko bussy kumtwanga adui risasi, kama wewe mwenyewe siyo Sympathetic na adui?.
Mna haki ya kuzungumza na kuchangia mada, lakini mada hii nadhani haiwatoshi, ushauri wangu ni bora mkarudi kule kule mnapojipa Mathanks ya Kijuha huku mkijaribu kuwa katika mitizamo inayofananafanana.
SISI TUNAJUA MHESHIMIWA ZITTO SIYO MALAIKA, NA MIMI SIKUBALIANI NAYE KATIKA KILA JAMBO, LAKINI INAPOKUJA KATIKA SUALA LA MASLAHI MAPANA YA TAIFA NIKO NAYE BEGA KWA BEGA.
Wewe unayequestion Motive ya ZITTO Umelifanyia nini Taifa tangu Umezaliwa mpaka Umri wako uliofikia leo hii?
Wasipoelewa na hapa hawataelewa tena