Copy: Nguruvi,MchambuziHebu tuambie basi, ni nani Unayedhani ana Integrity ya Kupambana na ishu hii ya Ufisadi wa Escrow ili Watanzania tuwe nyuma yake na Tuachane na Zitto. Hebu tupe alternative Mkuu.
Copy: Nguruvi,MchambuziHebu tuambie basi, ni nani Unayedhani ana Integrity ya Kupambana na ishu hii ya Ufisadi wa Escrow ili Watanzania tuwe nyuma yake na Tuachane na Zitto. Hebu tupe alternative Mkuu.
Hebu tuambie basi, ni nani Unayedhani ana Integrity ya Kupambana na ishu hii ya Ufisadi wa Escrow ili Watanzania tuwe nyuma yake na Tuachane na Zitto. Hebu tupe alternative Mkuu.
Hapa tunauwa ndege wawili kwa jiwe,wakifanikiwa kumdondosha tembo,itakuja zamu ya Prof.Muhongo kulipua mabomt ya Zitto,tuzidi kuchochea kuni
Hebu tuambie basi, ni nani Unayedhani ana Integrity ya Kupambana na ishu hii ya Ufisadi wa Escrow ili Watanzania tuwe nyuma yake na Tuachane na Zitto. Hebu tupe alternative Mkuu.
Kwanza unaonyesha kuelewa umuhimu wa suala la integrity Katika suala husika.
Pili, umeegemea zaidi kwenye upande wa kukubali Kwamba ni kweli zitto Hana integrity.
Tatu, haudhani Kwamba wapo viongozi wenye integrity katika taifa letu, kwahiyo hauoni Kwamba ni sawa kutumia kigezo cha integrity Katika kujadili uzalendo na uchungu wa zitto kwa taifa lake, badala yake unajaribu kunishawishi vitumike vigezo Vingine. Hii ni kwa sababu again, haudhani Kama wapo viongozi wenye integrity Katika taifa letu.
Nne, unajaribu kuhamishia hoja kwenye suala lingine Kabisa, hasa kuanzisha mjadala ambao utafanya "a comparative analysis" baina ya zitto na wengine in terms of integrity. Kwa maana nyingine, unajaribu kumjadili zitto and integrity in "relative" terms and not in "absolute terms".
Je hadi Hapa Nipo sawa? Ni muhimu nikafahamu Kabla hatujaingia ndani zaidi. Tafadhali Toa ufafanuzi au majibu point by point hapo juu ili nijue najadiliana na wewe nini hasa na ukiwa unasimamia wapi Katika suala Zima la integrity na viongozi wetu.
Yeah! Namuamini kuliko huyo mpiga dili.
Tunaimani na Kafulila.
Kwa nini Zitto kajiingiza kwenye hili, kama siyo kutaka kupiga dili?
Ampishe Kafulila amalizie hii ngwe.
Zitto hana hati miliki ya hoja hii na hakuna sheria inayomzuia mbunge mwingine yeyote kuendesha mapambana ya wizi huu, lakini cha ajabu eti "wasafi" wamekaa kimya na kumuacha "mwizi" ahangaike kuhakikisha "wezi wenzake waliomhonga" wanakamatwa na "wasafi" wanasema hapana usiwakamatishe maana wakikamatwa na wewe utakamatwa!!!...haihitaji akili ya darasa la saba kujua kuna walakini hapa, yamkini tumdhaniaye ndiye-siye na tumdhaniaye siye-ndiye.
Kumbuka ata Kafulila tuliambiwa ni kijana mpuuzi ambaye tunapaswa tumpuuze...Wana Kigoma Kusini wangeamini maneno yale na kumkataa kwenye sanduku la kura hakika tungepata hasara kama taifa maana mchango wake bungeni unaonekana na kila mwenye maslahi na nchi anauona.
Na leo hii ata waliomsema kuwa ni sisimizi hawawezi ongea hivyo tena, kageuka kuwa tembo na shujaa. Siasa haina adui wala rafiki wa kudumu.
Ni heri Nguruvi hajulikani ni nani,aibu yake inaishia kwenye keyboard tu, na wabunge wengi wapo humu kwa majina bandia wakileta maneno ya chuki sio kwa kuhamasisha tunyamazie wizi huu kwa sababu ya political gains, wamejificha majina yao, kwa sasa aibu yao inaishia kwenye keyboard.
Lakini wewe aibu yako ni dhahiri shairi na inakudharirisha kabisa ata nje ya JF, geuka kabla haijawa too late.
Na msichojua, kwa kumsakama Zitto kwenye jambo wazi lenye maslahi ya umma kama hili mnaonyesha kumbe yawezekani tatizo lenu ya Zitto sio la maslahi ya umma bali ni maslahi binafsi yasiyi na maslahi kwa umma.
Umekulia kwenye familia ta siasa, ulipaswa ulijue hili mapema sana "USIRITHI MAADUI WA MARAFIKI ZAKO, UADUI WAO WAACHIE WENYEWE BALI WEWE SIKUZOTE TENGENEZA MARAFIKI ZAKO NA SIO MAADUI"UNACHODANYA WEWE NI KURIDHI MAADUI NA ADUI MWENYEWE YAWEZEKANI ATA HUMJUI VIZURI, UMESIKIA TU..Utakufa kisiasa ata kabla haujaanza.
Ujiko wa kufanikisha suala hili atapata nani hakuwezi kumpa chakula mezani mwananchi maskini wa Tanzania na wala hakuwezi kupeleka madawa hospitali.
Na wanasiasa muflisi pekee ambao badala ya kuangalia umma utanufaika vipi wao wanaangalia "hivi nani atakuwa hero", shame on you.
Sio Kafulila tu, ata Mbowe alibebe hili na tutamuunga mkono, au wao hawaoni wizi?tumeambiwa na viongozi wa upinzani wamepiga hizi pesa, kwanini tusiwe na hofu kuwa ukimya wao huu una sura ya hofu ya kuumbuliwa na kashfa hii?time will tell.
Nirudie hivi Kama nilivyosema kwenye Bandiko #532 :
Hatuna tatizo na "upambanaji dhidi ya ufisadi" Bali "mpambanaji dhidi ya ufisadi". Tunasema Kwamba zitto has lost integrity and political maturity, mapambano dhidi ya ufisadi, mapambano kutafuta mabadiliko, yote haya zitto hatoshi Tena, that's the bottom line.
Mkuu, baada ya kutujulisha kuwa Zitto hana integrity wala political maturity, sasa tupe way forward kwa mtazamo wako ni nani anafit kwenye hiyo nafasi aliyojikalisha Zitto ambaye hatoshi
Tuambie huyu na huyu na huyu wanafaa kwahiyo Zitto awaachie
so tumuache kafulila apambane peke yake?
Hata Lissu na Lema wasiingilie?
Ama kweli mafisadi watatawala miliele
Kabla sijajibu swali lako, naomba kwanza uende kwenye Bandiko langu #582 nililo elekeza kwa mwenzenu Gamba la Nyoka, nipe mtazamo wako kwanza, hoja kwa hoja Katika zile hoja nne, halafu turudi mezani.
Mkuu zito akiondoa kale kadharau ka kuto taka kushindwa, kuto heshim wakubwa zake coz kapata popularity ni kiongozi mzuri...-ni ushauri tu kwako bwana zito... niliyo sema ni msingi mkuu wa mafanikio popote pale kwa mtu anae jijenga kazini au kwenye siasa... tunakusuport kwenye hili but watch out. .. ukiwagawa watz na kutaka kuua CDM kisa unataka respect tutakutosa na ndo utakuwa mwisho wako kisiasa... big up zito..
Je na wewe umeelewa nilichoandika hapo juu?
Mkuu
Ukirukia jibu la mtu mwingine hutonielewa.
Kafulila yupo na UMMA
Zitto yupo na MEDIA ( Mwananchi, The Citizen, Jambo Leo & mitandao)
Kafulila ndio alionza kulipua ufisadi huu wa IPTL na sasa unaelekea mwisho ndio tunamuona Zitto kutwa kwenye media kana kwamba ni hoja yake.
Hoja yake ya majina ya Uswis imeishia wapi? Mbona aliwasilisha hoja binafsi, kafikia wapi kama siyo kula Mrungula na kukaa kimia?
Zitto ( paragraph yake ya mwisho) soma bandiko hapo juu.Anaionea huruma ccm kuanguka. Hii ndio conclusion yake katika andiko hii.
Mkuu,Mwisho utafika,ukweli utajulikana maana siku zote ukweli hujitenga na uongo!
Mkuu
Ukirukia jibu la mtu mwingine hutonielewa.
Kafulila yupo na UMMA
Zitto yupo na MEDIA ( Mwananchi, The Citizen, Jambo Leo & mitandao)
Kafulila ndio alionza kulipua ufisadi huu wa IPTL na sasa unaelekea mwisho ndio tunamuona Zitto kutwa kwenye media kana kwamba ni hoja yake.
Hoja yake ya majina ya Uswis imeishia wapi? Mbona aliwasilisha hoja binafsi, kafikia wapi kama siyo kula Mrungula na kukaa kimia?
Zitto ( paragraph yake ya mwisho) soma bandiko hapo juu.Anaionea huruma ccm kuanguka. Hii ndio conclusion yake katika andiko hii.