Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Hatuna tatizo na "upambanaji dhidi ya ufisadi" Bali "mpambanaji dhidi ya ufisadi". Tunasema Kwamba zitto has lost integrity and political maturity, mapambano dhidi ya ufisadi, mapambano kutafuta mabadiliko, yote haya zitto hatoshi Tena, that's the bottom line.

Mkuu

Members wote wanaomsifu kwa makusudi, wana agenda ya issue hii isifanikiwe hata kusomwa bungeni.

Kumsifu Zitto, ambaye katuhumiwa kuvuta M6 IPTL, kwa ushahidi dhahiri, ili kutuliza soo. Na mpaka sasa hajakana. Zaidi ya kuweka mikwara. "Vyombo vya dola"

Tunamwambia ameshapwaya, ajitathimini na kisha kumuachia Kafulila ambaye amelianzisha na mpaka sasa hana "harufu" wala kashifa ya kuvuta hata sent moja.

Kafulila kaonekana kakimbilia kwa umma. Tumemuona akiwa na midahalo na wasomi Mwanza na sehemu mbalimbali.

Zitto "mpiga dili" kqma kawaida yake kazi ni kukimbilia mitaandaoni na kwenye vyombo vya habari Mwananch, the citizen na Jambo Leo. Ndio magazeti yake, hata akikohoa tu wanamweka front page na kumwagia sifa za marehemu.

Ni kwanini hutumia nguvu kubwa kujitangaza kwenye media? Why only Zitto?

Hata kama sakata hili likifanikiwa ushindi na wa Kafilila ambaye yupo nasi UMMA siyo ZK wa Media.
 
Hujui hata unachokitaka

IPTL BRING BACK OUR MONEY


Sawa wewe unajua unachokitaka, go get it. Mimi nisiejua niache ila jambo moja sitaki kutumiwa.n wanasiasa uchwara kama Zitto afu aje anisaliti na kuniacha solemba. Ya mabilioni ya Uswizi lilimshinda mchana kweupe, hili ndio ataliweza?

shtuka mkuu, acha kutumiwa na wanasiasa cheaply kama msukule
 
Last edited by a moderator:
Hujui hata unachokitaka

IPTL BRING BACK OUR MONEY

We unajua ulichokiandika?
Acha kukalili.

IPTL ndio wanazo hizo hela? Nani anatakiwa kuzirudisha?

Majina yatatoka kwa wanaotakiwa kuzirudisha akiwemo na Zitto arudishe.
 
Sawa wewe unajua unachokitaka, go get it. Mimi nisiejua niache ila jambo moja sitaki kutumiwa.n wanasiasa uchwara kama Zitto afu aje anisaliti na kuniacha solemba. Ya mabilioni ya Uswizi lilimshinda mchana kweupe, hili ndio ataliweza?

shtuka mkuu, acha kutumiwa na wanasiasa cheaply kama msukule

Mkuu lane
Issue ya uswiss kajamaa kalipiga dili sasa kanataka na hapa kaendelee kupiga dili.

Mpaka sasa kameshafuta M6. Ndio maana tunataka atoke asiendelee kulishupalia.

Zitto anatafuta fursa ya kupiga dili. Amekwama na ACT yake.
 
Last edited by a moderator:
Sawa wewe unajua unachokitaka, go get it. Mimi nisiejua niache ila jambo moja sitaki kutumiwa.n wanasiasa uchwara kama Zitto afu aje anisaliti na kuniacha solemba. Ya mabilioni ya Uswizi lilimshinda mchana kweupe, hili ndio ataliweza?

shtuka mkuu, acha kutumiwa na wanasiasa cheaply kama msukule

Mkuu lane
Issue ya uswiss kajamaa kalipiga dili sasa kanataka na hapa kaendelee kupiga dili.

Mpaka sasa kameshavuta M6. Ndio maana tunataka atoke asiendelee kulishupalia.

Zitto anatafuta fursa ya kupiga dili. Amekwama na ACT yake.
 
Last edited by a moderator:
We unajua ulichokiandika?
Acha kukalili.

IPTL ndio wanazo hizo hela? Nani anatakiwa kuzirudisha?

Majina yatatoka kwa wanaotakiwa kuzirudisha akiwemo na Zitto arudishe.

Ni kweli kabisa kama Zitto yupo ni lazima arudishe na kushtakiwa...

Tunachotaka ni hela zetu zirudi hatuangalii mwizi usoni
 
Mkuu lane
Issue ya uswiss kajamaa kalipiga dili sasa kanataka na hapa kaendelee kupiga dili.

Mpaka sasa kameshavuta M6. Ndio maana tunataka atoke asiendelee kulishupalia.

Zitto anatafuta fursa ya kupiga dili. Amekwama na ACT yake.

Mkuu, punguza wivu na chuki, unazungumzia Zitto kupiga dili kwenye MABILLION YA USWISI, at the same time mnatuambia kuwa alikopa Mil.6 ili akamtibie mama yake...

Yaani mtu apige dili la mabilion then akose Mil.6 ya kumtibia mama yake, La haula ukombozi uko mbali kwelikweli
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu mnashika hapa..mnaachia...mnashika kule mnaachia....basi hata hatuwaelewi kama kweli mmedhamiria 'kututoa utumwani' au mnatafuta mkate wenu.

Yaani ulifanikiwa kweli kunisogeza karibu yako ulipochimba mkwara wa yale madubwesha ya Uswisi....ulivyotokomea sasa....kwani nikakuona tena? Kwa hili...mmh, wala hujanishawishi...angalau ningekuwa na feedback ya mafanikio yako kule, ningesema...go...go..go. Kwa sasa nasema tu, vuta kiti nawe ukae ushushe pumzi kama nami ninavyofanya.
 
Kuna mambo 3 watu wanachanganya. Ni muhimu tuyaweke sawa

  1. Ufisadimkubwa wa fedha za umma kupitia Escrow
  2. Tuhumadhidi ya wanaohusika na wizi huo
  3. Majibu yatuhuma yanayotolewa na Zitto.

Jambo la 3 ndilo tunaliongelea hapa katika muktadha ufuatao

  1. Majibu yatuhuma za ZZK hayajitoshelezi. Mfano, ZZK amemtaja bw Mkandege katika sakata. Hakutueleza kama mhuri uliotumika ni feki au ni halali. Ikizingatiwa kuwa kulikuwa na tuhuma zinazohusiana na kikaratasi hicho chenye mhuri kuhusu pesa za matibabu, Zitto ana wajibu wa kutueleza, mhuri huo ni feki au ni halali nakwamba, tuhuma za milioni 6 ni kweli au si kweli.
  2. Kuna sualala bw Ongangi. Tuhuma za kuanzisha kampuni ya pamoja yenye kuhusishwa na gesi na mafuta, je ni kweli wana ushirika au hapana. Hapa hatutafuti wanafanya nini,tunataka tujue ukweli kuhusu kuanzishwa kwa kampuni tajwa kama tuhuma zinavyosema. ZZK hajaeleza.
  3. Kampuni yaGombe na ile ya Laketugike zinazofanya kazi za ushauri ambazo yeye ni mshirika zinafanyaje kazi katika utaratibu huo. Hapa tunataka kufahamu Ongagi anayetuhumiwa ni mshirika mwanzilishi wa kampuni gani na ushirika wake upoje naZZK. Hatuhitaji kujua anafamilia kubwa kiasi gani.
  4. Hivi wanaotoa tuhuma za passport ya Ongagi wanawezaje kutoa ushahidi wa kuonyesha passport anayomiliki Ongag
  5. Tuhuma zaZZK na Ongagi kumtafutia nyumba CEO wa Shell mbona hajakanusha kama ni kweli ausi kweli. Kwanini anaongelea familia ya Ongagi
    na amesoma wapi bila kutuelezakwa kituo kama kweli laishiriki kumatafutia nyumba au la.


    Orodha inaendelea na ni ndefu.

    Msingi wa hofu upo wapi?
    Hofu ya maelezo yasiyojitosheleza inajengwa nakile alichokisema Mchambuzi ''integrity''

    Uaminifu ni jambo la muhimu sana katika maishaya mwanadamu.


    1.Tuliaminishwakuna majina ya Uswiss. Leo hakuna anayeeleza wapi majina yalipo na kwanini hayakutajwa.

    Tulikuwa nyuma ya ZZK, akatuacha njia panda hadi asubuhi hii

    2.Tukaaminishwa kuwa kamati yake ilishauri vyama vya siasa vikaguliwe.

    Tukashangilia tukijua mkombozi anataka pesa za umma zitumike vema. Baadaye ‘Waraka'' ukatuonyeshakumbe hayakuwa masilahi ya umma bali personal political ambitions ndani yachama chake. Tukabaki tumeduwaa

    3.ZZK akatuaminisha anataka kuacha siasa na kuwa mwalimu. Rekodi zipo tukimsihi asituahe maana ukombozi unamtegemea sana uwepo wake.
    Waraka ukatuonyesha kumbe alikuwa anadanganya wapinzani wake wa kisiasa ndani ya chama chake. Tukachezapata potea.


    Tunachojadili hapa si ukweli au uongo wa tuhuma zake. Ni kupata ukweli kuhusiana na tuhuma na sakata la Escrow.
    Hapo ndipo tutaweza kuwa na vitakamili ya ufisadi. Unaweza kuwa na sifa zote za askari, bado jeshi litahitajikujua historia yako


    Maana yake ni kuwa huwezi ukawa na jeshi tu, likiwa halina askari wenye nidhamu, waaminifu na wa kweli.

    Tunatafuta ukweli ili tusijejikuta tupo njia panda kama ilivyotokea sikuza nyuma.
    Ukweli huo unaanza na kauli alizotoa ambazo hazitolewi majibu bali matusi.


    Matusi yanajenga hofu Zaidi, na kutia shaka kuliko kuondoa hofu.
 
Sawa wewe unajua unachokitaka, go get it. Mimi nisiejua niache ila jambo moja sitaki kutumiwa.n wanasiasa uchwara kama Zitto afu aje anisaliti na kuniacha solemba. Ya mabilioni ya Uswizi lilimshinda mchana kweupe, hili ndio ataliweza?

shtuka mkuu, acha kutumiwa na wanasiasa cheaply kama msukule

Tunachotaka ni Pesa zetu zirudi hatutaangalia nani kachukua au nani anaongoza mashambulizi, ilihali nyie mko na kujadili mtu acheni wengine tudai pesa Zetu zirudi
 
Last edited by a moderator:
Si CCM si CHADEMA nyote ni walewale tu ila mmetofautiana majukumu kwa watanzania.

Tupo chocho tunawachora ki aina. Nyote wezi tu.
 

Kuna mambo 3 watu wanachanganya.Ni muhimu tuyaweke saw


  1. Ufisadimkubwa wa fedha za umma kupitia Escrow
  2. Tuhuma dhidiya wanaohusika na wizi huo
  3. Majibu yatuhuma yanayotolewa na Zitto.
Jambo hilo la 3 ndilotunaliongelea hapa katika muktadha ufuatao




  1. Majibu yatuhuma za ZZK hayajitoshelezi. Mfano, ZZK amemtaja bw Mkandege katika sakata.Hakutueleza kama mhuri uliotumika ni feki au ni halali. Ikizngatiwa kuwakulikuwa na tuhuma zinazohusiana na kikaratasi hicho chenye mhuri kuhusu pesaza matibabu, Zitto ana wajibu wa kutueleza, mhuri huo ni feki au ni halali nakwamba, tuhuma za milioni 6 ni kweli au si kweli.

  2. Kuna sualala bw Ongangi. Tuhuma za kuanzisha kampuni ya pamoja yenye kuhsusishwa na gesina mafuta, je ni kweli wana ushirika au hapana. Hapa hatutafuti wanafanya nini,tunataka tujue ukweli kuhusu kuanzishwa kwa kampuni tajwa kama tuhumazinavyosema. ZZK hajaeleza.

  3. Kampuni yaGombe na ile ya Laketugike zinazofanya kazi za ushauri ambazo yeye ni mshirikazinafanyaje kazi katika utaratibu huo. Hapa tunataka kufahamu Ongagianayetuhumiwa ni mshirika mwanzilishi wa kampuni gani na ushirika wake upoje naZZK. Hatuhiataji kujua anafamilia kubwa kiasi gani.

  4. Hiviwanaotoa tuhuma za passport ya Ongagi wanawezaje kutoa ushahidi wa kuonyeshapassport anayomiliki Ongagi?

  5. Tuhuma zaZZK na Ongagi kumtafutia nyumba CEO wa Shell mbona hajakanusha kama ni kweli ausi kweli. Kwanini anaongelea familia ya Ongagi na amesoma wapi bila kutuelezakwa kituo kama kweli laishiriki kumatafutia nyumba au la.

    Orodhainaendelea na ni ndefu.

    Msingi wahofu upo wapi?
    Hofu yamaelezo yasiyojitosheleza inajengwa na kile alichokisema Mchambuzi ‘'integrity’’

    Uaminifu nijambo la muhimu sana katika maisha ya mwanadamu.



  1. Tuliaminishwakuna majina ya Uswiss. Leo hakuna anayeeleza wapi majina yalipo na kwaninihayakutajwa. Tulikuwa nyuma ya ZZK, akatuacha njia panda hadi asubuhi hii
  2. Tukaaminishwakuwa kamati yake ilishauri vyama vya siasa vikaguliwe. Tukashangilia tukijuamkombozi anataka pesa za umma zitumike vema. Baadaye ‘Waraka’’ ukatuonyeshakumbe hayakuwa masilahi ya umma bali personal political ambitions ndani yachama chake. Tukabaki tumeduwaa
  3. ZZKakatuaminisha anataka kuacha siasa na kuwa mwalimu. Rekodi zipo tukismishiasituache maana ukombozi unamtegemea sana uwepo wake. Waraka ukatuonyesha kumbealikuwa anadanganya wapinzani wake wa kisiasa ndani ya chama chake. Tukachezapata potea.


Tunachojadili hapa si ukweli auuongo wa tuhuma zake. Ni kupata ukweli Zaidi kuhusiana na tuhuma na sakata laEscrow. Hapo ndipo tutaweza kuwa na vita kamili ya ufisadi. Unaweza kuwa nasifa zote za askari, bado jeshi litahitaji kujua historia yako.


Maana yake ni kuwa huwezi ukawana jeshi tu, likiwa halina askari wenye nidhamu, waaminifu na wa kweli.


Tunatafuta ukweli ilitusijejikuta tupo njia panda kama ilivyotokea siku za nyuma. Ukweli huo unaanzana kauli alizotoa ambazo hazitolewi majibu bali matusi.


Matusi yanajenga hofu Zaidi, nakutia shaka kuliko kuondoa hofu.

Mkuu, unachoshindwa kujiuliza ni kwann Zitto anatuhumiwa WAKATI HUU...?

Jibu ni kwamba ni style ya kumkatisha tamaa asiendelee kulifuatilia suala hili, na hii ndio hoja...

Kuendelea kumshambulia Zitto ni kuwasaidia wale wenye kumtuhumu kwa ajili ya kumrudisha nyuma na kumkatisha tamaa kwenye hii ishu
 
Last edited by a moderator:
Nguruvi3 Mchambuzi hawa ndo walinifanya nijiunge JUKWAA LA GREAT THINKER sababu ya Mijadala yao MIKALI,uzalendo kwa nchi,kipindi hiko walikua hawana upande,ila tokea wamekua na MAHABA baadhi ya wanasiasa wamepoteza integrity kwa sisi vijana,sijui na wao ------------,au sababu Zitto aliteleza kidogo(kuteleza si kuanguka),wao wameamua Kuanguka kabisa,sisi vijana(mfano mimi nina miaka 30) tunawaomba mludi katika mstali,tupo chini ya miguu yenu
Adharusi , nimecheka sana na mabandiko yako. Hayandugu yangu nimekusikia
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, unachoshindwa kujiuliza ni kwann Zitto anatuhumiwa WAKATI HUU...?

Jibu ni kwamba ni style ya kumkatisha tamaa asiendelee kulifuatilia suala hili, na hii ndio hoja...

Kuendelea kumshambulia Zitto ni kuwasaidia wale wenye kumtuhumu kwa ajili ya kumrudisha nyuma na kumkatisha tamaa kwenye hii ishu
Ndio maana katika bandiko ulilonukuu nimeweka hoja 3
Mbili sikujadili kwasababu Escrow ipo, wizi upo.
Hii ya 3 ninaijadili kwasababu ya uadilifu ulio na shaka na majibualiyotoa ZZK. Si mtu mwingine. Majibu yake hayajitoshelezi, na hapo ndipotulipo ya kuwa kuna kitu anaficha.
Nisome tena vizuri. Wizi kama upo haujalishi nani kakamatwa na ngozi.
Yoyoteyule hata aliyekula nyama kwa jirani ni sehemu yake.

Ndio maana tunatakaukweli. Upande mmoja tunajua, je huu wa pili unaotuhumiwa na kutoa majibu rejareja, tuuche tu kwasababu tuna upande tunaoujua?


 
Yaan unaleta mambo madogo madogo sana kwenye suala kubwa na zito, hawa wanaopambana nao kwenye huo wizi sio watu wadogo, ni wazito kwelikweli.Mtu mmoja hataweza.Ebu tushirikiane pamoja kuwakamata wezi hawa, kama walimpa Zitto pesa sio ndio safi Zitto anaenda kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe??sijui kama unakiona ninachokiona.

Ila hayo yanakuja leo ili kupoteza direction, na wanajua Watanzia tuna akili za kitoto wakati tunafukuza mwizi wanarusha nyama pembeni ili tuachane ja mwizi tunyanganyane nyama, you should know that.

Sasa watu wazima na sie tuchezewe shere kama watoto Nguruvi?ebu tuwachie watoto wadogo hayo ya kunyanganyana hizo nyama.

Kama nilivyosema, kama mna chuki hivyo na Zitto na kama Zitto kachukua hiyo pesa, huu ndio wakati sasa wa kummaliza Zitto na kumuua kisiasa moja kwa moja.

Chadema wakomae sasa bungeni report ya wizi huu iwe wazi na wote waliokula mlungula huo wawe wazi na wachukuliwe hatua kali, kama tunamchukia sana Zitto na tunajua nae kala hiyo pesa..hii ndio njia ya kummaliza.

Ata kama sio kwa ajili ya Taifa, basi hili likutie nguvu basi ya kupaza sauti wezi wetu wachukuliwe hatua, na kwa kuwa unaamini Zitto nae kala basi hapa ndipo tutakapommaliza.

Ila inatia majonzi unapoona wapinzani wapo kimya utadhani hawataki tuwakamate hao wezi,unabaki unajiuliza kwani nao wana maslahi na wizi huo??sasa kwanin mwizi ndio ahangaike na wezi alafu wasafi wamekaa kimya??hili jambo linafikirisha sana.

mkuu ahsante sana!
 
Anti zitto wameungana kutetea wezi kwa chuki zao binafsi na zitto. Jambo la hatari sana hili.
 
Hatuna tatizo na "upambanaji dhidi ya ufisadi" Bali "mpambanaji dhidi ya ufisadi". Tunasema Kwamba zitto has lost integrity and political maturity, mapambano dhidi ya ufisadi, mapambano kutafuta mabadiliko, yote haya zitto hatoshi Tena, that's the bottom line.

In politics there is no a permenent enemy, but permanent Interests: Do you know your Interests?
Sasa Tuambie kama Zitto hatoshi katika haya ni nani anayetosha?, Mbona hao unaodhani wanaotosha Wako kimya?
Cha ajabu yule alyeitwa SISIMIZI, Na yule aliyeitwa MSALITI ndiyo wako front kutetea maslahi ya nchi. HAWA KWA SASA NDIO MASHUJAA WETU SIYO NYINYI MNAOENDEKEZA CYNICISM NA PETTY POLITICS, ADHOMINEM ATTACKS NA NAME CALLING.
Katika Mjadala huu hamna hoja mmebaki na Character assasination, Hamna way forward, Hamna Pragmatism ya kudeal na issues. Kiufupi hamna Intellectual eye ya kudeal na ufisadi. AU MMEAMUA KUJIFANYA VIPOFU KWA AJILI YA MASLAHI MADOGO YA KISIASA.

Nyinyi mnawapa ammunition Mafisadi wa IPTL, na huenda mpo katika mtandao wao na mnajaribu kudilute public Opinion katika suala nyeti katika hili. Nyinyi mna Intellectual dishonesty ya hali ya Juu, Utamgeuziaje bunduki Kamanda ambaye yuko bussy kumtwanga adui risasi, kama wewe mwenyewe siyo Sympathetic na adui?.

Mna haki ya kuzungumza na kuchangia mada, lakini mada hii nadhani haiwatoshi, ushauri wangu ni bora mkarudi kule kule mnapojipa Mathanks ya Kijuha huku mkijaribu kuwa katika mitizamo inayofananafanana.
SISI TUNAJUA MHESHIMIWA ZITTO SIYO MALAIKA, NA MIMI SIKUBALIANI NAYE KATIKA KILA JAMBO, LAKINI INAPOKUJA KATIKA SUALA LA MASLAHI MAPANA YA TAIFA NIKO NAYE BEGA KWA BEGA.

Wewe unayequestion Motive ya ZITTO Umelifanyia nini Taifa tangu Umezaliwa mpaka Umri wako uliofikia leo hii?
 
Back
Top Bottom