Nguruvi ikiwa ongangi ni mshirika wa zitto kwenye kuanzisha kampuni ya gombe kuna tatizo gani.......mimi naona majibu ya zitto automatically yamekiriri kuwa ni mshirika wake
Nguruvi kajivua akili hasikii wala haoni.
Nguruvi ikiwa ongangi ni mshirika wa zitto kwenye kuanzisha kampuni ya gombe kuna tatizo gani.......mimi naona majibu ya zitto automatically yamekiriri kuwa ni mshirika wake
Mkuu zito akiondoa kale kadharau ka kuto taka kushindwa, kuto heshim wakubwa zake coz kapata popularity ni kiongozi mzuri...-ni ushauri tu kwako bwana zito... niliyo sema ni msingi mkuu wa mafanikio popote pale kwa mtu anae jijenga kazini au kwenye siasa... tunakusuport kwenye hili but watch out. .. ukiwagawa watz na kutaka kuua CDM kisa unataka respect tutakutosa na ndo utakuwa mwisho wako kisiasa... big up zito..
Hakuna tatizo kabisa, na hicho ndicho alitakiwa akiweke wazi. Anapokificha inazua maswali mengi kuliko majibu.Nguruvi ikiwa ongangi ni mshirika wa zitto kwenye kuanzisha kampuni ya gombe kuna tatizo gani.......mimi naona majibu ya zitto automatically yamekiriri kuwa ni mshirika wake
Chadema wamejaribu kumtengeneza Mnyika ili awe kama Zitto lakini imeshindikana
wewe mpumbavu anzisha uzi wa hayo maswala yako
nyie ndio vitoto vya mafisadi leo mmekatamatika mchana kweupe
we are on escrow, kama unataka kuhoji usafi wa zitto au uchafu wake anzisha uzi mpya
kwa nini mnakuwa wajinga kiasi hiki? hata wewe?? dhahiri una chuki na zitto kwa sababu kwa akili zako fupi ulijua kabisa hutakuja kumsikia zitto kwenye siasa za Tanzania,haukujua katokea wapi na ana caliber zipi
hayo mawali yako YANARUDISHA FEDHA ZA ESCROW?? acha kujivua akili Nguruvi
hizo tuhuma zenu kila siku zipo tu, na kwa bahati mbaya kibinadamu upendo au chuki ni built in-Mungu kaweka ndani, !!!
ungekuwa na uwezo ungemuumbia kila mtu amchukie zitto kwa kadiri unavyofanya, cha ajabu unaona kabisa watanzania wanaangalia hoja na hata wale ambao haukuwadhania wako pamoja na zitto
narudia, hayo maswali yako matano yanarudisha vipi fedha za Escrow??
assume kuwa zitto ni fisadi namba moja nchi hii...leo hii anawasema wezi wenzake, why dont you rejoice kuwa MWANA MPOTEVU KARUDI KUNDINI?? so unataka aendelee kuwa mchafu??
upande nitakao kaa aidha zitto awe msafi au mchafu katika Escrow anabaki kuwa hero,
samahani, sijawahi kukuamini kuwa ni sehemu ya GT ninachojua ni kuwa unaandika articles ndefu za kueleza matukio na ''nothing food for thought in it''
sijui una simamia nini, una mentality gani, filosofi yako ni nini? haueleweki,
kuna wenzako wanakuita GT na ndio maana mchambuzi umemkamata, ila kwa watu kama mimi Waberoya, utasubiri sana ni ku approve kwenye brain yangu
strictly speaking wewe una IQ ndogo, na nina kupima tu kwa hoja zako ambazo huwa hazina mvuto wala wa kuzisoma zaidi ya mchambuzi
For God's sake, kwa maada hii kaa kimya basi, ushasema na umati huu unaona kabisa uko wrong
ukiambiwa zipu hujafunga , umesahau unafunga, tena wengine wanafunga kwa kugeuka na kupiga jicho asije akawa shemeji au mama mkwe kaona! kwako wote wanakuangalia...wakiwemo hao niliowataja, katika hili kuna vizazi vyako vijavyo, hata wale waliokuwa na wasiwasi na IQ yako wanapata confirmation kuwa iko chini
kwa nini? penye chuki akili za kawaida uondoka!
by the way unaenda msikitini au kanisani? anza leo na soma
1 corint 13!
au Surat Ar-Rum 30:21[h=1][/h]
Punguza chuki utaona na kuwaza vizuri
Kwa hili endelea kuwa upande huo wa mafisadi wa Escrow, kesho njoo na habari kuwa CCM wabaya!!!!
uko radhi 200bn zipotee ila zitto asisieme kitu kabisa
badilika, nimekujibu kwa kukuheshimu siaendeleza hii maada, ila unaruhusiwa kujibu
ila kwa mtu mzima, unapokosea kaa kimya na tutajua umeelewa
did I call you stupid? Yes for now, no if you will stop these nonsense
Nakumbuka Marubeni wamerudisha pesa za EPA. Je, hiyo ni approach nzuri?Kwa maelezo yako hayo tunapataje PESA iliyoibiwa na IPTL
kama maelezo yako hayaleti pesa automatic unapambana na Zitto badala ya kupambana kupata pesa yetu
IPTL BRING BACK OUR MONEY
Kwasababu ninaona usichoona. Ipo siku utanivalisha akili.Nguruvi kajivua akili hasikii wala haoni.
......Nafikiri ifike mahali watanzania na vijana wenzangu tujifunze kusamehe na kusema(Let it go)..Jamani dunia unatucheka...Hata kama kuna mahala Mh:Zitto amewakwaza tusamehe twende mbele kwa masilahi mapana ya nchi yetu Tanzania...Hatuwezi kuwaacha hawa mafisadi/wezi wa rasimali zetu watambee na kutembea vifua mbele...Kuna watu humu Jf mungu kawapa(God gifted) upeo wa kipekee sana kujadili na kujenga hoja kwa hamasa,mashiko na weledi wa hali ya juu kwa mfano:MCHAMBUZI na wengine ila leo hii wamweshindwa kabisa kutuunganisha kwa pamoja kwa hoja zao makini dhidi ya wizi huu wa Tegeta Escrow wamebaki kumjadili Mh:zitto tu na kuacha hoja ya msingi, Kila binadamu ana mapungufu na hakuna binadamu aliyekamilika...Yatosha sasa ya Mh:Zitto yamepita tusonge mbele tuna mengi ya msingi sana ya kujadili...tunavyoongea sasa hakuna dawa mahospitalini Msd(Bohari ya dawa) wanaidai serikali zaidi ya billion 90 na wahisani wamegoma kabisa kuchangia budget yetu mpaka uchunguzi wa sakata hili la Tegeta Escrow utakapokamilika...Mwisho kama Taifa tusipojenga utamaduni wa kusameheana na kuamaniana siku zote adui yetu atakuwa anatumia udhaifu huo....Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Duh sijui akili umezipeleka wapi...hivi mtu mzima yeyote aliyefika walau kidato cha nne ata cha shule ya kata akipewa kichwa cha habari cha hii thread hivi kweli atakuja na insha hiyo?
Sikuhizi hauna tofauti na vijana wa waganga njaa wanaolamba matapishi ya mabwana zao, hii nguvu unayoitumia kujipendekeza kwa akina Mbowe ungeitumia kuwa mwanaharakati huru ungefanikiwa sana, lakini kwa hii style yako ya siasa HUTAFANIKIWA KAMWE KWENYE SIASA, UTAISHIA TU KUSUKUMA MAGARI YA VIONGOZI.
Nakumbuka nilikupa kura yangu kura ya maoni, najuta na kwa kweli unamuaibisha Mzee Mwambulukutu na unaaibisha walimu wako..
Hutupeleki watoto shule ili wawe wapambe, tunawapeleka shule ili mje muwe na mawazo yanayojitegemea yanayoweka mbele taifa na sio maslahi ya makundi madogo madogo yasiyo na faida kwa taif.Shame on You.
Hapana, unachokosea ni kimoja. Wengi wenu mnadhani kuna kupata pass kwa Escrow. In fact nimeongelea sana hili.......Nafikiri ifike mahali watanzania na vijana wenzangu tujifunze kusamehe na kusema(Let it go)..Jamani dunia unatucheka...Hata kama kuna mahala Mh:Zitto amewakwaza tusamehe twende mbele kwa masilahi mapana ya nchi yetu Tanzania...Hatuwezi kuwaacha hawa mafisadi/wezi wa rasimali zetu watambee na kutembea vifua mbele...Kuna watu humu Jf mungu kawapa(God gifted) upeo wa kipekee sana kujadili na kujenga hoja kwa hamasa,mashiko na weledi wa hali ya juu kwa mfano:MCHAMBUZI na wengine ila leo hii wamweshindwa kabisa kutuunganisha kwa pamoja kwa hoja zao makini dhidi ya wizi huu wa Tegeta Escrow wamebaki kumjadili Mh:zitto tu na kuacha hoja ya msingi, Kila binadamu ana mapungufu na hakuna binadamu aliyekamilika...Yatosha sasa ya Mh:Zitto yamepita tusonge mbele tuna mengi ya msingi sana ya kujadili...tunavyoongea sasa hakuna dawa mahospitalini Msd(Bohari ya dawa) wanaidai serikali zaidi ya billion 90 na wahisani wamegoma kabisa kuchangia budget yetu mpaka uchunguzi wa sakata hili la Tegeta Escrow utakapokamilika...Mwisho kama Taifa tusipojenga utamaduni wa kusameheana na kuamaniana siku zote adui yetu atakuwa anatumia udhaifu huo....Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Huna unachofikiri kwenye hili, macho yako na ubongo wako umepofuka kwa chuki iliyokujaa dhidi ya Zitto na ndio maana unabaki kuokoteza ata visivyokoteka.Kwasababu ninaona usichoona. Ipo siku utanivalisha akili.
Tatizo hamtaki kufikiri, mnataka kutupiwa kila jambo na kumeza.
Sasa ndugu yangu kama nimejitoa akili, hebu nijibu hili, je Ongangi alishiriki kuanzisha Gombe kama tuhuma zinavyosema?
Nilijivika akili wakati wa Uswisis, doh sijui imekuwaje maana hadi leo sijaona.
Wazungu wanasema '' fool me once, shame on you, fool me twice shame on me''
Hii kauli yako nimeipenda sana. Kwanini unawalaumu wenye mawazio yanayojitegemea? Kwani mawazo yanayojitegemea ni lazima yakubaliane na kila jambo linaloshabikiwa? Hivi huoni kutofautiana kimawazo ndicho unahimiza hapa. Na hakika nashukuru kama kuna kutofautiana kimawazo, siyo dhambi ni jambo jema.Hutupeleki watoto shule ili wawe wapambe, tunawapeleka shule ili mje muwe na mawazo yanayojitegemea yanayoweka mbele taifa na sio maslahi ya makundi madogo madogo yasiyo na faida kwa taif.Shame on You.
Huna unachofikiri kwenye hili, macho yako na ubongo wako umepofuka kwa chuki iliyokujaa dhidi ya Zitto na ndio maana unabaki kuokoteza ata visivyokoteka.
Nimesema na ninarudia, mtu yeyote aliyefika walau form four ya elimu ya kata hawezi kuleta insha mnazoleta zilizo nje ya mada inayoongelewa, ushauri wa bure...NI BUSARA KUFICHA UPUMBAVU WAKO...MAANA WANASEMA MTU MZIMA HUCHUTAMA.
Na kwa hili leo unazidi kujidharirisha.Ni ujinga kuleta siasa ndogo ndogo kwenye maslahi mapana ya nchi.
Ebu msome kijana Ben Saanane..utaona akili ilivyo, na ile ndio inaitwa ukomavu.Chukia hoja lakini usimchukie mtoa hoja.
Jibu hoja zinazotolewa. Kinachojadili ni hoja za Zitto.Huna unachofikiri kwenye hili, macho yako na ubongo wako umepofuka kwa chuki iliyokujaa dhidi ya Zitto na ndio maana unabaki kuokoteza ata visivyokoteka.
Nimesema na ninarudia, mtu yeyote aliyefika walau form four ya elimu ya kata hawezi kuleta insha mnazoleta zilizo nje ya mada inayoongelewa, ushauri wa bure...NI BUSARA KUFICHA UPUMBAVU WAKO...MAANA WANASEMA MTU MZIMA HUCHUTAMA.
Na kwa hili leo unazidi kujidharirisha.Ni ujinga kuleta siasa ndogo ndogo kwenye maslahi mapana ya nchi.
Ebu msome kijana Ben Saanane..utaona akili ilivyo, na ile ndio inaitwa ukomavu.Chukia hoja lakini usimchukie mtoa hoja.
Looh, mbona igonered ni nzuri, labda weka katika ***t kabisa.Nguluvi3 na Mchambuzi wameingia kwenye ignored list yangu automatically
Hii kauli yako nimeipenda sana. Kwanini unawalaumu wenye mawazio yanayojitegemea? Kwani mawazo yanayojitegemea ni lazima yakubaliane na kila jambo linaloshabikiwa? Hivi huoni kutofautiana kimawazo ndicho unahimiza hapa. Na hakika nashukuru kama kuna kutofautiana kimawazo, siyo dhambi ni jambo jema.
Masilahi ya taifa ni kuhakikisha kuwa wale walisohiriki wizi wa Escrow wote wanawajibishwa kisheria.
Hayo ndiyo masilahi ya taifa.
Sasa walioshiriki ni akina nani, hiyo inahitaji kuchambua na kufikiri. Ndiko kunafanyika.
Kama wapo wasafi, ukweli utawatoa kifua mbele.
Na tuanzie wapi, ni kuhoji na kupata ukweli wa kila upande.
Mathalan, ZZK kapeleka malalamiko katika vyombo vya sheria kuhusu kimemo kilicho na mhuri wa Joseph Mkandege.
Hivi kuna kosa tukiuliza kuwa, je, ZZK amewasiliana na Mkandage kupata ukweli kuwa si mhuri wake?
Vipi ikitihbitika kuwa mkandege ametumika, huoni hilo litamsafisha sana ZZK.
Na vipi ikitihibitika kuwa Mkandege kashiriki na ni kweli, hivi huoni utapata mwanga zaidi wa suala hili.
Hii ni vita ya ufisadi, haihitaji kufunga akili katika furushi, inahitaji kupambana kwa fikra.
Hatuwezi kuwa watu wa kushangilia kama ilivyokuwa Uswiss.
Kuna kosa gani kuhoji na kujibiwa? Nani kasema ZZK kafanya au hakufanya? Tunachojadili ni kile alichotueleza.
Je, ni haki tuamini tu kuwa yupo sahihi ili tuwe na akili. Hapo tutakuwa na akili au tutakuwa tunajitoa akili?
Kwasababu ninaona usichoona. Ipo siku utanivalisha akili.
Tatizo hamtaki kufikiri, mnataka kutupiwa kila jambo na kumeza.
Sasa ndugu yangu kama nimejitoa akili, hebu nijibu hili, je Ongangi alishiriki kuanzisha Gombe kama tuhuma zinavyosema?
Nilijivika akili wakati wa Uswisis, doh sijui imekuwaje maana hadi leo sijaona.
Wazungu wanasema '' fool me once, shame on you, fool me twice shame on me''
Kwasababu ninaona usichoona. Ipo siku utanivalisha akili.
Tatizo hamtaki kufikiri, mnataka kutupiwa kila jambo na kumeza.
Sasa ndugu yangu kama nimejitoa akili, hebu nijibu hili, je Ongangi alishiriki kuanzisha Gombe kama tuhuma zinavyosema?
Nilijivika akili wakati wa Uswisis, doh sijui imekuwaje maana hadi leo sijaona.
Wazungu wanasema '' fool me once, shame on you, fool me twice shame on me''
Mkuu Nguruvi3 sidhani kama kuna watakaokuelewa na huo msemo.
Mtu asiye na moral integrity, mla rushwa na political opportunist eti leo hii bado anakuja na sarakazi zilezile atawezaje leo kupinga na kukataa jambo analoliamini?
Zitto katuuzia chai kwenye sakata la pesa za Uswizi, eti ana list ya majina au mwisho wake akabanwa akasema hakuwa na majina. Sasa hapa wapi integrity na morality kwa umma?
Kabla hatujasau usaliti wa umma aliofanya eti leo kaidaka juu juu hoja ya kafulila kaishadadia na kushikia bango huku akitahadharisha serikali ya CCM isijeanguka kama KANU. Kama serikali ya CCM ndio waliosababisha haya yote si ni vema ikianguka?
Siku mbili tatu kabla ya Zitto kuweka thread yske zilikuwepo sredi za kutosha za kumsafisha, wengine tukaona hapa kuna jambo
wafuasi wa Zitto nawaambia kwamba mtu wao hana moral authority ya kuzungumzia ufisadi kwa sababu na yeye ni fisadi.
Kampuni yake ya Gombe advisors ishatuhumiwq sana tena kwa ushahidi, hajajisafisha hadi kesho afu mnataka nimwamini mtu kama huyo?
Kakurupuka kuwaswenda ndani viongozi wa TPDC huku akijua atavunja sheria yote hayo kumbe ni kujisafishia njia
Nimalizie kwa kusema Wizi wa IPTL-ESCROW ni mzito sana kwa mustakabali wa nchi yetu lakini sipo tayari kuachwa njiapanda kama nilivyoshadidia pesa za Uswizi only to be told later na 'hero' wangu Zitto kwamba hakuna na list ya majina afterall.
Ndio nakubali usemi huu Nguruvi3 kwamba ''fool me once, shame on you; fool me twice, shame on me''