Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,523
- 34,532
Mkuu Waberoya
Naungana nawe katika jitihada za kusafisha 'roho za wenye chuki''.
Jitihada hizo unaweza kusaidia kwa namna moja au nyingine ukiongozwa na ukweli
Swali,
1. Ongangi ni mshiriki wa Gombe company hata kama haifanyi biashara ya gesi na mafuta?
2. Kwavile zitto anasema kuna 'vimemo vya kughushi''je ni kweli au si kweli kuwa alichukua pesa za matibabu?
3. Je, wakili Joseph Mknadege amesemaje kuhusu mhuri, je amekanusha? Kumbuka katajwa hivyo ni fair kupata maelezo yake
4. Je, uhusiano wa Zitto na Mkono kuhusu magari, nini kauli ya Zitto kuhusu hilo?
5. Kuna tatizo gani endapo Harbinder Singh ataangusha serikali ya CCM unayosema ni ya kifisadi?
Kwani Zitto ana hofu ipi?
Tusaidiena mkuu kusafisha roho za ''chuki'' ili tuwavute watu waje na akina mama kwa ajili ya vigelegele.