Mwenye hoja ni wewe mpumbavu unayewatambua wenzi wako...maana huwezi kumtambua mpumbavu kama nawe sio mpumbavu...hoja ndiyo hiyo nimeitoa wewe jenga hoja yenye mashiko na siyo kuongea kama vile uko maliwato
hivi nyie watu huo upumbavu wenu utaishia lini? hivi kwa akili yako unafikiri zzk ni mtu wa kukaa nakuandaa kitu ili awe maarufu!? kajipange huna hoja mkuu!