Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

Status
Not open for further replies.
Ukiwa mkubwa lazima uandamwe.kaza buti nzito kwani mitihan mingi ndio mwazo wa mafanikio.
 
Wachaga wamesoma wa mwandiga wanakesha ngomani na kuvua dagaa na vibarazani. Nani ampende kubwa zitto
 
Pole Zitto ugua pole misukosuko ya hawa majamaa wa CCM si midogo ndugu yangu jenga nguvu halafu uje uzunguke mikoani tunakusubiri na viroba vya mawe huwezi piga speed governor mageuzi kwa vipande thelathini vya fedha
 
Mbowe na kifaranga wake Tumain Makene waache siasa sasa waende mahakamani
acheni porojo njooni huku Bunda muwaokoe magamba wenzenu wanataabika na CDM.wanatamani wajitoe kwa hofu ya kupigwa kipigo cha mbwa koko! Chezea CDM weye!!!???
 
Dj kaongoza madgaskar we wapi akili za kitoto na ushabiki wa lumumba fc
 
Bei ya MBOWE DJ anaijua mkono na rostam
Hivi Zitto kesi ya kupokea fedha za TISS kupitia Andrea ujerumani ameshaiwakilisha mahakamani yaani kijana anaugulia fedha za TISS watazirudishaje
 
Mbunge wa kigoma kaskazini zitto Kabwe (Chadema), amesema anamsubiri mwenyekiti wa chama hicho, Freema mbowe mahakamani.
Zitto ametoa kauli hiyo baada mbowe kutangaza kumburuza mahakamani kutokana na kile kinachodaiwa kumzushia tuhuma za uongo
Nasema sitaki malumbano na kiongozi yoyote, nachotambua masuala ya mahakama yanajibiwa mahakamani na si vinginevyo" alisema zitto.

Zitto alitoa kauli hiyo, baada ya MTANZANIA kutaka kujua msimamo wake kutokana na kauli ya Mbowe kukududia kumshitaki, kutokana na madai ya kusema uongo dhidi yake. Zitto ambaye yupo nchini Nigeria anakohudhuria vikao vya kamati za Bunge za serikali kwa nchi za Afrika, alisema pamoja na Hali hiyo mahakama ndio njia pekee ambayo haki ya mtu inaweza kupatikana.
Alisema kwa msingi huo, hivi sasa hayuko tayari kuruhusu malumbano ambayo Hayana tija kwa Taifa.

" nipo Nigeria na bahati mbaya ninaumwa sana, ila hivi Leo ninamshukuru Mungu nimepata nafuu kidogo. Kama nilivyosema mwanzo sitaki Malumbano na mtu. Pamoja na kusema anaumwa, hakuwa tayari kufafanua ni ugonjwa gani unaomsumbua.

" huu muda nahitaji kutafakari maisha yangu kisiasa na kwa vyovyote vile masuala ya mahakamani yatajibiwa mahakamani", alisisitiza zitto

We kweli mbulula..mwambie basi atoke akaanzishe chama chake kama yeye ni jembe...hujiulizi kwa nn alikimbilia mahakamani km ana uhakika anazo nguvu
 
Gefu ngoja nitumie fursa hii kusema hivi hiyo Zitto anasubiri chadema waanze kufanya uchaguzi aende mahakamani kuweka pingamizi la uchaguzi yaani uchaguzi usifanyike mpaka suala lake liishe maana atachukua form ya uenyekiti, sasa naishauri chadema wamalize suala la zitto maana wasipofanya hivyo litaibuka tena tena ltakuwa imekaribu sana na uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa, jamani malizeni suala hili maana lina athiri kwa chama tena sana, mwisho yataibuka mambo siku chache kabla ya uchaguzi halafu iwe mbaya zaidi, mbowe hebu kikopeshe chama kiitishe kikao cha halimashauri kuu....
 
Last edited by a moderator:
Tangu huyu kijana alidanganye taifa na bunge kuhusu wezi wa fedha zilifichwa uswisi, ahadi na maneno yake tunayawekea walakini mkuu. Anaweza kwenda mahakamani akaanza kulialia tu kuwa hakusema chochote.
 
Zitto endelea na mambo yako mengine, achana na hawa chadema majungu akina saanane, watakuua bure! Mkuu maisha ya siasa siyo lazima ndani ya cdm tu, you can do politics anywhere! bado umri wako ni mdogo, una room ya kujifunza kutoka ulipoangukia kujirekebisha na kusonga mbele. But pls waachie chadema hawa wanaosema cdm ina wenyewe, WENGINE ULIWAPOKEA MWENYEWE LEO WANAKUTUKANA
 
Zito ni kama alitakiwa awe mwanamke kwani anapenda sana mipasho! Huyu ndie alitaka awe raisi? aazishe bendi ya taarabu ataweza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom