Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

Status
Not open for further replies.
yupo nigeria anatafuta jimbo la kugombea kwakua kigoma hawampendi.roho ya usaliti inamsumbua mkoloni huyu
 
Masiasa ya bongo yamekaliwa na mijitu ya ovyo kweli, kichwani yanawaza kuchukua sifa kwa wananchi ati nani mbabe, nje siasa wanashindana kwa kufanya kazi inayoonekana, ka ni jengo linawekwa, ka ni hospital zinajengwa, huo ndio ushindani.. Haya ya bongo yanafuatiliana hadi magonjwa, afu wakiitwa sokwe wa kwanza kulalamika, akili za binadamu hizo kweli?
 
Mbowe kamuombe radhi zzk atakuumbua zaidi ya hapo,zzk anajua slaa na mbowe wameingia mkataba hadi na Lowassa kuhusu Urais,wanaoufanya ni usanii tu
Tutasikia mengi mwaka huu
 
mboe alisema tuu, ili ajisafishe, nasikia alitoa hela kwa gazeti la mwanachi liweke ile taharifa mbele na kwenye gazeti lake aliamuru kuwa taharifa hiyo iwe ukurasa wa mbele, . Gazeti la tanzania daima leo linamambo mengine tofauti ili kupotezea ya zzt kumjibu mboe
 
Mbona Zitto watu wengi tumeshaanza kumsahau?

Siku hizi ukiweka habari yoyote Positive ya Zitto kwenye gaZeti lako hupati wanunuzi. Mfano Gazeti la Mwananchi, toka walipoanza kumpamba Zitto kwenye Gazeti lao mapato yalipungua zaidi ya nusu.

Kakudanganya nani?
Post hii imewekwa sas 2 asubuhi angalia wachangiaji mpaka sasa.
 
Zitto kweli amechanganyikiwa totally. Ameamua kupambana na viongozi wake mahakamani but ninachokiona it's a good move ktk to test mahakama jinsi itakavyoshughulikia suala la Zitto vs viongozi wake compare to cases nyingine.
 
Last edited by a moderator:
Mwana CCM yeyote mwenye kushadadia issue ya ZITTO na CHADEMA ni malaya wa Kisiasa.
By Cyril Chami

Kwa mujibu Chami mbunge wa CCM aliyekuwa waziri wa viwanda na biashara wa ccm. MSALANI, mkigoma, Ritz et al ni malaya wa kisiasa.

Thanks Chami.
 
Last edited by a moderator:
hizi bangi mnazovuta alafu mnakuja humu ni hatari, uyo ni kijana mdogo sana si kiumri ila ki akili kama unamuona ana uwezo mkubwa inawezekana huko kwenu mmezaliwa matararira. Angekuwa na akili asingefika hapo alipofikia kwenye migogoro na chama chake.

Uwezo wa zitto ni zaidi ya viongozi wote wa makao makuu wa chadema hutaki unaacha ila huo ndiyo ukweli.
 
Kakijana kanaumwa na bila shaka katakuwa kanaumwa stress. kanaumwa unafiki na usaliti.

ile zomea zomea ya pale mahakamani nilijua tu kuwa lazima kataumwa.

Huyu kijana MM atakuwa ameenda kwa TB Joshua akamlike aone mafanikii yake yapo chama kipi iliahamie!
 
Source Gazeti la Mtanzania.

Hili gazeti mhariri wake ni Absalom Kibanda aliyekuwa mhariri wa Tanzania Daima zamani.

Absalom Kibanda huwa anajinasibu kwamba yeye na Zitto ni marafiki sana.

Gazeti la Mtanzania mmiliki wake ni Rostitamu ambaye ametajwa mara kadhaa kuwa na mawasiliano ya karibu na Zitto. Pia katajwa na Zitto eti alimuhonga Mbowe kipindi cha uchaguzi.

Kwa sababu hizo hapo juu zageti hili haliaminikina kamwe haliwezi kuaminiwa kwa habari inayowahusisha watajwa hapo juu.

Kwa vyovyote litaandika udaku tu
 
Mbona Zitto watu wengi tumeshaanza kumsahau?

Siku hizi ukiweka habari yoyote Positive ya Zitto kwenye gaZeti lako hupati wanunuzi. Mfano Gazeti la Mwananchi, toka walipoanza kumpamba Zitto kwenye Gazeti lao mapato yalipungua zaidi ya nusu.

Ni vigumu kueleza jambo likaeleweka vizuri bila kutaja tarakimu!

Hebu tupia figures hapa;
1.Watu wengi =?
2.Zaidi ya nusu =?
 
mboe alisema tuu, ili ajisafishe, nasikia alitoa hela kwa gazeti la mwanachi liweke ile taharifa mbele na kwenye gazeti lake aliamuru kuwa taharifa hiyo iwe ukurasa wa mbele, . Gazeti la tanzania daima leo linamambo mengine tofauti ili kupotezea ya zzt kumjibu mboe

Unatisha intelejensia yako inamulika wanasiasa tu, nadhani tukutumie wewe ili uwamulikr wale majangiri wanqpua tembo
 
hili gazeti mhariri wake ni absalom kibanda aliyekuwa mhariri wa tanzania daima zamani.

Absalom kibanda huwa anajinasibu kwamba yeye na zitto ni marafiki sana.

Gazeti la mtanzania mmiliki wake ni rostitamu ambaye ametajwa mara kadhaa kuwa na mawasiliano ya karibu na zitto. Pia katajwa na zitto eti alimuhonga mbowe kipindi cha uchaguzi.

Kwa sababu hizo hapo juu zageti hili haliaminikina kamwe haliwezi kuaminiwa kwa habari inayowahusisha watajwa hapo juu.

Kwa vyovyote litaandika udaku tu

wewe unaongelea gazeti, nani kakuuliza hayo yote??? Taharifa iliyoko mezani ni zito kumjibu mboe, tumia akili
 
Watu wa kigoma kwa kupenda kujitutumua!!Yaani hapo anataka amwonyeshe mwenyekiti wa chama nani mbabe Kati ya mwanachama na mwenyekiti au!?

Mie najiuliza hivi Zitto hizi jeuri za kubishana na mwenyekiti wa chama kazitoa wapi?

Hivi Mwigulu Nchemba au Nape Nnauye anaweza akabishana na J.K kweli?Hata kama ni kupigania demokrasia?Demokrasia gani inatafutwa kwa kutukana viongozi wako wa chama kwenye mitandao ya kijamii huku ukihubiri kuwa unakipenda chama hichohicho wanachokiongoza?

Zitto hafai hata kwa Limao!
 
Last edited by a moderator:
Lazima aumwe. Chezea kufukuzwa wewe!?

Kajamaa hakaumwi kufukuzwa bali kanaumwa usaliti na jinsi kalivyozomewa pale mahakamani. Hakaja wahi kuzoea kuzomewa kama wenzake wa ccm ndio maana kanapata tabu! na bado katazomewa sana!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom