Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Mwana CCM yeyote mwenye kushadadia issue ya ZITTO na CHADEMA ni malaya wa Kisiasa.
By Cyril Chami
Wapi Ben Saa 8Mbunge wa kigoma kaskazini zitto Kabwe (Chadema), amesema anamsubiri mwenyekiti wa chama hicho, Freema mbowe mahakamani.
Zitto ametoa kauli hiyo baada mbowe kutangaza kumburuza mahakamani kutokana na kile kinachodaiwa kumzushia tuhuma za uongo
Nasema sitaki malumbano na kiongozi yoyote, nachotambua masuala ya mahakama yanajibiwa mahakamani na si vinginevyo" alisema zitto.
Zitto alitoa kauli hiyo, baada ya MTANZANIA kutaka kujua msimamo wake kutokana na kauli ya Mbowe kukududia kumshitaki, kutokana na madai ya kusema uongo dhidi yake. Zitto ambaye yupo nchini Nigeria anakohudhuria vikao vya kamati za Bunge za serikali kwa nchi za Afrika, alisema pamoja na Hali hiyo mahakama ndio njia pekee ambayo haki ya mtu inaweza kupatikana.
Alisema kwa msingi huo, hivi sasa hayuko tayari kuruhusu malumbano ambayo Hayana tija kwa Taifa.
" nipo Nigeria na bahati mbaya ninaumwa sana, ila hivi Leo ninamshukuru Mungu nimepata nafuu kidogo. Kama nilivyosema mwanzo sitaki Malumbano na mtu. Pamoja na kusema anaumwa, hakuwa tayari kufafanua ni ugonjwa gani unaomsumbua.
" huu muda nahitaji kutafakari maisha yangu kisiasa na kwa vyovyote vile masuala ya mahakamani yatajibiwa mahakamani", alisisitiza zitto
Mbunge wa kigoma kaskazini zitto Kabwe (Chadema), amesema anamsubiri mwenyekiti wa chama hicho, Freema mbowe mahakamani.
Zitto ametoa kauli hiyo baada mbowe kutangaza kumburuza mahakamani kutokana na kile kinachodaiwa kumzushia tuhuma za uongo
Nasema sitaki malumbano na kiongozi yoyote, nachotambua masuala ya mahakama yanajibiwa mahakamani na si vinginevyo" alisema zitto.
Zitto alitoa kauli hiyo, baada ya MTANZANIA kutaka kujua msimamo wake kutokana na kauli ya Mbowe kukududia kumshitaki, kutokana na madai ya kusema uongo dhidi yake. Zitto ambaye yupo nchini Nigeria anakohudhuria vikao vya kamati za Bunge za serikali kwa nchi za Afrika, alisema pamoja na Hali hiyo mahakama ndio njia pekee ambayo haki ya mtu inaweza kupatikana.
Alisema kwa msingi huo, hivi sasa hayuko tayari kuruhusu malumbano ambayo Hayana tija kwa Taifa.
" nipo Nigeria na bahati mbaya ninaumwa sana, ila hivi Leo ninamshukuru Mungu nimepata nafuu kidogo. Kama nilivyosema mwanzo sitaki Malumbano na mtu. Pamoja na kusema anaumwa, hakuwa tayari kufafanua ni ugonjwa gani unaomsumbua.
" huu muda nahitaji kutafakari maisha yangu kisiasa na kwa vyovyote vile masuala ya mahakamani yatajibiwa mahakamani", alisisitiza zitto
.
Uwezo wa zitto ni zaidi ya viongozi wote wa makao makuu wa chadema hutaki unaacha ila huo ndiyo ukweli.
Ukiwa na stress huwa malaria inapanda...
Watu wa kigoma kwa kupenda kujitutumua!!Yaani hapo anataka amwonyeshe mwenyekiti wa chama nani mbabe Kati ya mwanachama na mwenyekiti au!?
Mie najiuliza hivi Zitto hizi jeuri za kubishana na mwenyekiti wa chama kazitoa wapi?
Hivi Mwigulu Nchemba au Nape Nnauye anaweza akabishana na J.K kweli?Hata kama ni kupigania demokrasia?Demokrasia gani inatafutwa kwa kutukana viongozi wako wa chama kwenye mitandao ya kijamii huku ukihubiri kuwa unakipenda chama hichohicho wanachokiongoza?
Zitto hafai hata kwa Limao!
Hili gazeti mhariri wake ni Absalom Kibanda aliyekuwa mhariri wa Tanzania Daima zamani.
Absalom Kibanda huwa anajinasibu kwamba yeye na Zitto ni marafiki sana.
Gazeti la Mtanzania mmiliki wake ni Rostitamu ambaye ametajwa mara kadhaa kuwa na mawasiliano ya karibu na Zitto. Pia katajwa na Zitto eti alimuhonga Mbowe kipindi cha uchaguzi.
Kwa sababu hizo hapo juu zageti hili haliaminikina kamwe haliwezi kuaminiwa kwa habari inayowahusisha watajwa hapo juu.
Kwa vyovyote litaandika udaku tu