Unaweza kufanya kamchezo akapewa hela tena na mkono akahonge majaji ili kumkandamiza zitto.
mbowe ni mzee wa madili anajua hawezi kumshinda zito.lazima akapige dili lingine na nimrod mkono wachakachue maamuzi ya mahakama
Unaweza kufanya kamchezo akapewa hela tena na mkono akahonge majaji ili kumkandamiza zitto.
Mbunge wa kigoma kaskazini zitto Kabwe (Chadema), amesema anamsubiri mwenyekiti wa chama hicho, Freema mbowe mahakamani.
Zitto ametoa kauli hiyo baada mbowe kutangaza kumburuza mahakamani kutokana na kile kinachodaiwa kumzushia tuhuma za uongo
Nasema sitaki malumbano na kiongozi yoyote, nachotambua masuala ya mahakama yanajibiwa mahakamani na si vinginevyo" alisema zitto.
Zitto alitoa kauli hiyo, baada ya MTANZANIA kutaka kujua msimamo wake kutokana na kauli ya Mbowe kukududia kumshitaki, kutokana na madai ya kusema uongo dhidi yake. Zitto ambaye yupo nchini Nigeria anakohudhuria vikao vya kamati za Bunge za serikali kwa nchi za Afrika, alisema pamoja na Hali hiyo mahakama ndio njia pekee ambayo haki ya mtu inaweza kupatikana.
Alisema kwa msingi huo, hivi sasa hayuko tayari kuruhusu malumbano ambayo Hayana tija kwa Taifa.
" nipo Nigeria na bahati mbaya ninaumwa sana, ila hivi Leo ninamshukuru Mungu nimepata nafuu kidogo. Kama nilivyosema mwanzo sitaki Malumbano na mtu. Pamoja na kusema anaumwa, hakuwa tayari kufafanua ni ugonjwa gani unaomsumbua.
" huu muda nahitaji kutafakari maisha yangu kisiasa na kwa vyovyote vile masuala ya mahakamani yatajibiwa mahakamani", alisisitiza zitto
Haliozi mkuu,msimu ukifika utalitafuta tu,ukitaka kuchimba shimo utalipigia magoti,kukwetua majani......mwe,jembe acha kabisa!
mimi hawa jamaa siwaelewi hata kidogo
Jembe Hilo!
sasa wakili wa mbowe atakuwa nani?tundu lisu kashabwagwa na kijana msomi albert msando. au mbowe ataimgia dili lingine na nimrod mkono awe wakili wake
mbowe aachane na marehemu wa kisiasa zitto,anakataa posho bungeni anachukua kubwa zaidi za kwenda NIGERIA KWYE
kati yao mmoja anabusara uvumilivu uelewa mkubwa,
Latiwa mpini,au latiwa kwenye mpini!weye si mkulima yakhe?Alaah! kumbe linatiwa mpini!!
Uwezo wa zitto ni zaidi ya viongozi wote wa makao makuu wa chadema hutaki unaacha ila huo ndiyo ukweli.
nani huyo?
nimekuelewabusara,uvumilivu,ukweli,
Maswali ya kibavicha haya.