Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

Status
Not open for further replies.
Mbona Zitto watu wengi tumeshaanza kumsahau?

Siku hizi ukiweka habari yoyote Positive ya Zitto kwenye gaZeti lako hupati wanunuzi. Mfano Gazeti la Mwananchi, toka walipoanza kumpamba Zitto kwenye Gazeti lao mapato yalipungua zaidi ya nusu.

Yan wewe boya kweli.! Utakuwa umemsahau wewe na ukoo wako na sio Tundu Lissu,DJ, na Mzee wa Gongo 'MDS'
 
zito ni kijitu cha ajabu kwel,,, kama kuna kitu nilimtharau alipo sema sitoki chadema, wakati watu hawamtaki, pumbavuu kbc huyu kijana
 
Kuonesha kuwa Mbowe alikuwa anapiga mikwala na Hawezi kwenda Mahakamani Zitto kamwambia Mbowe ajaribu kwenda huko ili ukweli upatikane.

Source Gazeti Mtanzania

Naomba hawa wawili wasikivuruge Chama wapumzike tu. Wapo akina Lema, Mnyika, Slaa au Vicent nyerere wanaweza tu Kuwa wenyeviti.
 
Hujui lolote kuhusu sheria na kuizungumzia hapa ni kujipa tu wewe aibu!

Kabla ya kuanza "Nolo contendere"hakuna upande wa Baraza la Udhamini ulioshtakiwa ULISHINDA kesi ya kusimamishwa ubunge na Mbunge husika!

Kafulilah aliwashinda NCCR;Hamad Rashid akawashinda CUF na Zitto kaishinda CHADEMA hata Mansoor angeenda Court angeshinda tu!Mbona hamjawahi kuwasifia mawakili wa akina Kafulilah?

Hamna jipya alilolifanya Wakili Msando maana hata akina Hamad walishinda kesi zao za kupinga kufukuzwa!
Ingekuwa maamuzi yameifeva CHADEMA si ungekesha hapa ukimsifia Tundu Lissu wewe?
 
Zito waroge tu hao kama Lema ana kiherehere kweli maana wamekukomaliaaa kweli hawajui hata wewe umekifanyia mambo mazuriiiii
 
Mwana CCM yeyote mwenye kushadadia issue ya Zitto na CHADEMA ni malaya wa Kisiasa.
By Cyril Chami.
 
zito ni kijitu cha ajabu kwel,,, kama kuna kitu nilimtharau alipo sema sitoki chadema, wakati watu hawamtaki, pumbavuu kbc huyu kijana

Wasiomtaka Zitto CHADEMA hawazidi hata kumi, Mbowe, Slaa, Lema, Mrema, Komu, etc
Mamilioni ya watanzania na maelfu ya wafuasi wa CHADEMA bado wana Imani na Mh.Zitto.
 
Kakijana kanaumwa na bila shaka katakuwa kanaumwa stress. kanaumwa unafiki na usaliti.

ile zomea zomea ya pale mahakamani nilijua tu kuwa lazima kataumwa.
 
Mwana CCM yeyote mwenye kushadadia issue ya ZITTO na CHADEMA ni malaya wa Kisiasa.
By Cyril Chami
 
Wasiomtaka Zitto CHADEMA hawazidi hata kumi, Mbowe, Slaa, Lema, Mrema, Komu, etc
Mamilioni ya watanzania na maelfu ya wafuasi wa CHADEMA bado wana Imani na Mh.Zitto.

Hata wale walio mpa kichapo Dr Alex aliyetumwa na MM nao ni haohao uliowataja?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom