Hahahaha you wish....imechukua miaka,20,chadema kuwa chama kilichokomaa kama kilivyo...usitarajie,chama kilichoundwa,na wasaliti kwa ufadhili wa ccm kukishinda chadema kinachosimamia kanuni zakeKifupi Zitto ana moyo mkubwa sana kubakia Chadema hadi leo hii na sielewi kwa nini maana Dr.Slaa aliondoka CCM na akapata Umaarufu zaidi Chadema, historia imetufundisha mengi sana. Kama ningekuwa mimi nisingesubiri hata siku moja maana chama hiki kimekuwa club ya Mpira na sii chama cha Siasa tena. Ujinga mkubwa unaendelea na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu atakubali kupelekeshwa kiasi hiki..Najaribu kumwelewa Zitto, lakini sasa imefika mahala nadhani aijitoe mwenyewe na kujiunga rasmi ACT halafu mchezo uanze, sisi watazamaji tukanunue soda na Popcorn.
Zitto Zuberi Kabwe aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini CHADEMA(sasa Mbunge wa Mahakama) nampa grace period ya wiki moja ya kufungaisha chochote alichobakisha katika ofisi yeyote ya CHADEMA(sijui kama vipo) na kuondoka. Upo CHADEMA ili iweje,hatukutaki!
Ulivyovimba kichwa ulidhani bila CHADEMA ungekuwa mwenyekiti wa PAC, ungekuwa mbunge wa Bunge la Katiba, ungejulikana kimataifa.
Tunazo sababu za kukulazimisha kuondoka CHADEMA kinguvu. Mbali na mikakati unayoifanya vichakani, lakini yapo haya ya wazi:-
1.Umehusishwa na njama za kutungua helkopta iliyotumiwa na katibu kipenzi chetu Dr.Slaa. Madiwani wa Shinyanga wamekuumbua. Hujakanusha Silence means YES
2.Umehusishwa na mipango ya kubambikiza wanachama ugaidi. Kwa macho na masikio yangu nimekushuhudia Star TV ukiwa na Mwigulu Nchemba mkitangaza kuwa mna mkanda wa video ukionyesha vigogo wa CHADEMA wakipanga ugaidi. Nasema mkitangaza kwa kuwa yalipotamkwa haya na Mwigulu wewe ulikuwa pembeni yake, ukiwa kama Naibu Katibu Mkuu hukukanusha wala kuonyesha kukerwa na propaganda hizo zilizovuka mipaka. Silence means YES
3.Katika mwendelezo wa kubambikiza kesi za Ugaidi ukaendeleza unafiki wako wakati Kamanda Lwakatare Lwax akiwa sero wewe ulikiandikia barua chama kwamba kijiweke mbali na kesi ya Lwakatare, bishaaa. Nikuulize wewe Msaliti Mkuu yupo wapi Lwakatare?
Kama hutaki kufungaisha virago tupe sababu za msingi kwa nini unaona ubaki kuwa mwana CHADEMA. Imebidi nifikishie ujumbe wangu kwa MM na ACT nzima
My Take:-Makamanda na wapenda mabadiliko wote niungeni mkono katika hili. Mods msifute, kama inawauma muiteni aje ajibu kwa nini tusimfurumushe
Kifupi Zitto ana moyo mkubwa sana kubakia Chadema hadi leo hii na sielewi kwa nini maana Dr.Slaa aliondoka CCM na akapata Umaarufu zaidi Chadema, historia imetufundisha mengi sana. Kama ningekuwa mimi nisingesubiri hata siku moja maana chama hiki kimekuwa club ya Mpira na sii chama cha Siasa tena. Ujinga mkubwa unaendelea na sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu atakubali kupelekeshwa kiasi hiki..Najaribu kumwelewa Zitto, lakini sasa imefika mahala nadhani aijitoe mwenyewe na kujiunga rasmi ACT halafu mchezo uanze, sisi watazamaji tukanunue soda na Popcorn.
Zitto hayuko CHADEMA yuko mahakamani kusubiria kiinua mgongo cha ubunge.
Mkuu kwanza nikupe pole kwa kujaa upepo juu ya zitto ukitaka kujua ukomavu wa mtu ni pamoja na kumeza mambo kama anavyofanya zitto mmemchokoza mkashindwa kila mnalofanya yupo kimya nadhani mnawaza sana juu yake huyu ndiyo zitto bwana poleni sana.mkuu Mkandara unaweza kunikumba how long umeanza kuiombea cdm mabaya?kitambo sana,unasogeza tarehe tu
Zitto anapanga mikakati ya siasa za kivita ngoja mwaka kesho shughuli pevu.
Hata kama hana uwezo mmezidi sana mdomo kiasi kwamba sasa mnachosha. Ni sawa na mtu alolewa pombe anaongea hovyo usiku kucha.Haya mambo kama huyajui ni bora ukajikalia kimya tu , zitto hana uwezo wa kushindana na cdm ,kama unabisha muulize wasira au zoka .
Zitto tupu kichwani,kweli hayawani,
Akili zipo kwapani,Zito punguani,
Sura kama nyani,haso na aibu usoni,
Zito toka chamani,cdm mfukuzeni
Zito cdm hatufai,kama mavi chooni,
Sasa chadema bai,we kwako jalalani,
Sura kama kalai,afadhali hata nyani,
chadema hutufai,msaliti ewe mfitini,
Fuata akina stela,binti mwampumbu,
Mwezio Yule taila,cdm sio mbumbu,
Zito tena ----,cdm usitujazie mbu,
Zito hufai kanisani,hufai ata msikitini
Na malenga wenu. MANGUNGO
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums