Abuu- Amin
Member
- Aug 5, 2012
- 88
- 21
Kijana yupo na majukumu ya ujenzi wa taifa! Hebu tuache uchochezi!
Tusome alama za nyakati
Kijana yupo na majukumu ya ujenzi wa taifa! Hebu tuache uchochezi!
kwa mtoa hoja hii .ukileta habari kamilisha .kama Zito hajahudhuria cc .je yupo wapi ??? .alafu ndio tiririka ,maana kidogo unatupa wasiwasi .usikute unafanya inside job kwa niaba ya .unajua mwenyewe
Unajua chuki, majungu na unafiki vimekujaa hadi hueleweki unachokisema. Tulia wewe.
9 Sep Zitto Zuberi Kabwe ‏@zittokabwe
@MohamediMtoi hapana. Sitaki kusema chochote. Ninachosema ni kuwa 1) those who risked 2) those free riders (in public finance)....
Tujadili hoja, hapa nilisema Zitto anakwepa kwenye matatizo na kuwe mwepesi kuhudhuria akisoma kama hakutatokea matatizo, ndipo nikahitimisha kwamba Zitto si kiongozi shupavu kutosha kwa vile anachagu mteremko kuliko kupanda mlima, kwani kiongozi bora anatakiwa awe tayari kwa yote na kwa lolote.
Hapa naleta moja ya nukuru yake aliyoijibu huko Twitter
Tamko hilo la Zitto unalielewaje? Nilishasema ni mwepesi sana kukwepa penye matatizo, na hapa amehitimisha kwa kauli hiyo, ina maana gani?
Zitto unafiki wake haufikichiki na kila kiongozi chamani anamjua. yuko tofauti na viongozi wote hapo pichani. Ni kama chagulani wa mwanza, kiama chake kinakaribia
Zitto Kabwe msubirini 2015 atakapokuja kuchukua form ya kugombea urais nyie pigen kazi kwanza.
Unamuuliza nani sasa? Unataka nani akusaidie kufikiri? Endelea kufikiri kwa umakini utamuelewa tu. Hakuna mteremko wowote ambao ZZK anaupenda, wewe tu na uvivu wako wa kufikiri.
Kifupi sikuelewi shida yako ni nini na sioni chochote ambacho ZZK anakikwepa hapo.
Acha kutumika mkuu, au ndio wale wenye payrole Bills?.

yuuuh huuuh......JF kuna wakwepaji wengi eeh.Candid Scope una shida kama yangu .huwa pua zangu zinanusa sana watu hao..Halafu napata kichefuchefu sana kama ndio watu ambao naweza kuja fikiria jinsi ya kuwapa kura zangu au hata kupotosha.Nakupa pole Chilli, hujavutiwa na hoja niliyoanzisha, hakuna sababu ya kukuumiza kichwa hadi kutoa lugha ambayo ni ya hisia kwa mtu usiye mjua. Educated people wanajua kuwa kukosoana ndio kuelimishana na kujengana, ndicho tunachokifanya. Pamoja na kuvutiwa na mtu fulani, mapenzi ya kweli yawe ya kumsaidia kuliko kushabikia kama timu ya mpira hata lifungwe goli la mkono na kukataliwa na refa tunaona kama tumeonewa.
Wengine tuna hulka ya kuwajenga viongozi, uwajibikaji wa kukosoana ndio kujengana, lakini kasoro tunapoamua kuzifunikafunika, matokeo ndio haya leo tunalaumiana na kila mmoja kujiona kama angekuwa magogoni angekuwa bora, kumbe......
Tunahitaji vijana na watanzania ambao wako makini katika kuijenga nchi yetu kwa njia mbalimbali pamoja na kuwaandaa viongozi kuwa watendaji wazuri. Hatupendi kama ikitokea chama cha upinzani kinashika dola halafu yatokee ya kutimuana kama yanavyojilia kule Mwanza wiki hii na Arusha miezi michache iliyopita, hii ni kwa sababu ya kutokuwa makini na kusahihishana kabla ya mambo kuharibika na mwishoni kushusha tuhuma za kunyosheana vidole na kufukuzana.
Zitto anabahati sana kuwa na wengi wanaompa moyo wa kufanya mazuri na kuonyesha madhaifu yake ili ajengeke vizuri,utaratibu huo ndio tunaoutegemea hata vyombo vya habari vijenge dhamira ya kushauri, kukosoa na kupongeza inapowezakana ili kuwajenga watawala badala ya kuwapamba tu au kuegemea upande kwa kuonyehsa upande mmoja wa sarafu.
Kwangu ninachokifanya nina uzoefu nacho kutosha, ndio maana napenda kushirikisha. Nimeshafanya hayo kwa wengi hata Dr. Slaa nimeshawahi kupambana naye hapa JF, na wengineo. Nikishaona dalili ya udhaifu niko very open kukosoa kwa lengo la kujenga, ndilo tunalotaka wengi tuungane kuwajenga viongozi wetu.
Chadema wamepiga hatua kubwa sana tangu kipindi cha Uchaguzi uliopita, kwa sasa hata wakishika nchi kuna ukomavu wa kiwango katika masuala ya uongozi kuliko kipindi kile cha Uchaguzi. Hata hivyo kuna bado kazi ya kuwaandaa viongozi kuwa tayari kukosolewa na itokeapo wachukue hatua kujisahihisha kwa manufaa ya kuwa viongozi bora tunaowatazamia. Kuongoza nchi si lelemama, rahisi kumnyoshea kidole mwaingine, lakini ukishashika usukani huchukua muda kuwa kwenye mstari kama ilivyotokea kwa nchi kadhaa mfano ikiwa Kenya. Tuna mengi ya kujifunza toka kwao.
Unamuuliza nani sasa? Unataka nani akusaidie kufikiri? Endelea kufikiri kwa umakini utamuelewa tu. Hakuna mteremko wowote ambao ZZK anaupenda, wewe tu na uvivu wako wa kufikiri.
Kifupi sikuelewi shida yako ni nini na sioni chochote ambacho ZZK anakikwepa hapo.
Acha kutumika mkuu, au ndio wale wenye payrole Bills?.
yuuuh huuuh......JF kuna wakwepaji wengi eeh.Candid Scope una shida kama yangu .huwa pua zangu zinanusa sana watu hao..Halafu napata kichefuchefu sana kama ndio watu ambao naweza kuja fikiria jinsi ya kuwapa kura zangu au hata wakiwa na nia ya kupotosha.Halfu wote ni wakali,haalu wote ....Nakupa pole Chilli, hujavutiwa na hoja niliyoanzisha, hakuna sababu ya kukuumiza kichwa hadi kutoa lugha ambayo ni ya hisia kwa mtu usiye mjua. Educated people wanajua kuwa kukosoana ndio kuelimishana na kujengana, ndicho tunachokifanya. Pamoja na kuvutiwa na mtu fulani, mapenzi ya kweli yawe ya kumsaidia kuliko kushabikia kama timu ya mpira hata lifungwe goli la mkono na kukataliwa na refa tunaona kama tumeonewa.
Wengine tuna hulka ya kuwajenga viongozi, uwajibikaji wa kukosoana ndio kujengana, lakini kasoro tunapoamua kuzifunikafunika, matokeo ndio haya leo tunalaumiana na kila mmoja kujiona kama angekuwa magogoni angekuwa bora, kumbe......
Tunahitaji vijana na watanzania ambao wako makini katika kuijenga nchi yetu kwa njia mbalimbali pamoja na kuwaandaa viongozi kuwa watendaji wazuri. Hatupendi kama ikitokea chama cha upinzani kinashika dola halafu yatokee ya kutimuana kama yanavyojilia kule Mwanza wiki hii na Arusha miezi michache iliyopita, hii ni kwa sababu ya kutokuwa makini na kusahihishana kabla ya mambo kuharibika na mwishoni kushusha tuhuma za kunyosheana vidole na kufukuzana.
Zitto anabahati sana kuwa na wengi wanaompa moyo wa kufanya mazuri na kuonyesha madhaifu yake ili ajengeke vizuri,utaratibu huo ndio tunaoutegemea hata vyombo vya habari vijenge dhamira ya kushauri, kukosoa na kupongeza inapowezakana ili kuwajenga watawala badala ya kuwapamba tu au kuegemea upande kwa kuonyehsa upande mmoja wa sarafu.
Kwangu ninachokifanya nina uzoefu nacho kutosha, ndio maana napenda kushirikisha. Nimeshafanya hayo kwa wengi hata Dr. Slaa nimeshawahi kupambana naye hapa JF, na wengineo. Nikishaona dalili ya udhaifu niko very open kukosoa kwa lengo la kujenga, ndilo tunalotaka wengi tuungane kuwajenga viongozi wetu.
Chadema wamepiga hatua kubwa sana tangu kipindi cha Uchaguzi uliopita, kwa sasa hata wakishika nchi kuna ukomavu wa kiwango katika masuala ya uongozi kuliko kipindi kile cha Uchaguzi. Hata hivyo kuna bado kazi ya kuwaandaa viongozi kuwa tayari kukosolewa na itokeapo wachukue hatua kujisahihisha kwa manufaa ya kuwa viongozi bora tunaowatazamia. Kuongoza nchi si lelemama, rahisi kumnyoshea kidole mwaingine, lakini ukishashika usukani huchukua muda kuwa kwenye mstari kama ilivyotokea kwa nchi kadhaa mfano ikiwa Kenya. Tuna mengi ya kujifunza toka kwao.
hivi yale ya mwigulu ni kweli kwenye familia yenu?Zitto Zuberi Kabwe.
another Vascoda Gama in the offing...Jamani Zitto yuko nje ya nchi kama mwakilishi wa bunge la Tanzania CPA.
Kwa hiyo mkaona busara mumualike muhindi kuchukua nafasi ya Zitto?Kama mmoja wa wahusika katika meza kuu hayupo, kiti hakiwezi kubaki kitupu, kuna mmoja ataitwa kuja kiti kutokana na heshima yake aliyojijengea katika chama.
Wakumbuka maneno haya katika misahafu kwa lugha ya kilatini: "amice ascente superio" tafsiri yake (unapoalikwa usikae kiti cha mbele arusini hadi mwenye kukaribisha wageni atakapokuambia, rafiki yangu njo huku mbele zaidi, ndipo utakapokuwa na heshima mbele ya watu).