Zitto Naibu katibu Mkuu hata vikao vya chama anaadimika?

Wewe una mgogoro na Zito kisa udini na ukabila MBONA kutoonekana Halima Mdee haupigi kelele???
 
Hivi Zitto kawafanya nini? FJM anatuhabarisha kwamba Zitto yupo Ughaibuni akiwakilisha Bunge la Tanzania lakini sisi tunamtafuta kwenye mikutano ya CC ya CDM.

Hivi kumbe CDM ina warangi rangi hadi kwenye CC? Au ni mwakilishi wa Chama Rafiki?

Mie mwenyewe nimemuona nikawa najiuliza!! ila Banyai huwa ni watu wa kupenetrate sana!!! Huyo jamaa atakua anawakilisha kundi kubwa sana na la ma Business Tycoons wa rangi yake if at all CDM gets in power!!!
 
zito ni msomi mwenye akili timamu. Hawezi kuhudhuria vikao vya kinafiki. Chama makini hakiwezi kutafuta picha za kwenye mitandao na kupoteza muda kuziangalia halafu na kutoa machozi kwa glaa uilty consiousness maana wao ndo wanawatuma watu, wakidhurika na polisi wanabaki kupiga usanii. Sasa wanalia nini?? Kama wangetii amri ya kusubiri sensa huyu mwandishi angekufa?? Ni kipi walichokiona ambacho walikuwa hawajakiona?? Mungu ataihukumu CHADEMA kwa unafiki na uzandiki. Huwezi kupoteza muda wa watu unawadanganya eti unataka kuwakomboa wakati unatafuta kula na njaa zako tu. Mshahara wa Slaa ni Mamilioni. Kwa nini asijilipe angalau hata milioni mbili tu?. Tusubiri uchunguzi wa Polisi habari itapatikana. Zitto wa watu mnamuonea bure mnamchinganisha, na hata kwenye hii jamii forum eti mnampambanisha na Slaa. Jamani acheni kuwagawa wa Tanzania. Ukwelo utawambua tu siku si nyingi. Mkamia maji hayanywi
RED: hii ni akili ya matope tu hakuna kitu hapo
huwezi sema vikao vya kinafi ili hali naye ni kiongozi na mwanachama mtiifu

zingatia hoja iliyoko mezani tu kwama Zitto hahudhurii vikao vya CC na sababu imetolewa kuwa yuko nje ya nchi maana hawezi kutohudhuria bila sababu maalumu

issue ya mshahara wa Dr Slaa ililetwa hapa tuliijadili sana na tukafikia muafaka
 
kwakweli hivi wnaCDM hatuna mambo mengine ya kujadili kuhusu chama zaid ya ZItto? tunajua kaenda nje kwenye mkutano sijui ni wa CPA vile sasa atawezaje kuwepo huku na huko? pia kama anaonekana ni msaliti basi mwambien kwenye vikao vya nidham vya chama na ikiweekana apewe karipio ama kufukuzwa kama akina shibuda walivyofukuzwa CCM. hivi kati ya shubuda na huyu zitto yupi huku CDM anautendaji wenye focus?
 
Ukitaka kujua kua huyu bwana Zitto hakubariki kwa sasa kwa sababu tuu ya undumilakuwili njoo jimboni kwake upate maoni ya wananchi maana sisi wengine tunafanyia kazi jimboni mwake kwa kweli hali yake siyo nzuri huku kwani malalamiko ni mengi sana kwa wapiga kura wake,mimi nilishaga achana tokea Jk amteue kwenye kamati sababu tokea pale haeleweki ni Upinzani auni mtu wa aina gani
 
Hapa Chillitunashindana kwa hoja, toa hoja za kumjenga Zitto kuzizidi nguvu hoja zangu, huo ndio utandawazi wa watu makini hapa JF, kama zinaniridhisha nitazikubali.

Nasubiri hoja zako za utetezi badala ya kuongea dhana ya chuki, majungu na unafiki. Lets be wise, nchi ni yetu sote, tukifanya makosa tutakaotaabika ni sisi. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kuhusu nani anafaa kuwa kiongozi kwa sababu zipi na nani hafai kuwa kiongozi kwa sababi anazoweza kuziainisha.

Ubaya ni kwamba wewe hata mtu akuelezeaje huezi elewa kwani kuna kitu kinachokukereketa rohoni. Ushaambiwa ZZK (the prezidaa) yuko nje ya nchi akifanya majukumu ya kitaifa lakini bado unajidai huelewi. Sasa sijui unataka nini tena.
JKN aliwahi kusema "Maswali ya kipuuzi yanajibiwa kipuuzi".
 
Zitto Zuberi Kabwe.
Kaka zomba umejawa na udini ambao hautakufikisha popote acha hizo tabia ndugu yangu hapa jamvini wewe hufai kila hoja lazima ukimbilie huko nini kinakusumbua ndugu yangu huwa nikisoma comment zako nasikitika sana halafu nafikiri hata Mods humu jamvin wanakulea sana
 
Naona Mh. Freeman Aikael Mbowe ameketi kwa mamlaka ati kisha aishie Uenyekiti tu asipate Mamlaka ya juu? Hilo alilikubali Nyerere na kumachia Kawawa sijui wanasiasa wetu wa sasa wanaweza kufanya hivyo.

Mkuu nafikiri hata kama una itikadi zako lakini kwa heshima uliyo nayo hapa kwa michango yako mingi mizuri hufanani na mtindo wako huu wa siku hizi kupaka matope viongozi wa CDM kwa hisia hisia zako tu kama hizo hapo juu!!! kila kukicha nazidi kushangaa comments zako zinavyokwenda!

Hebu tusaidie hekima zako nyingi kwa comments zitazojenga nchi (kama nilivyokusoma muda mrefu) na huu ushabiki wa Simba na Yanga tuachie akina siyee au njoo kwa ID nyingine tuzogoane!
 
Zitto akikurupuka utamsikia akisema nimeshiriki sana kukijenga chama mpaka hapa kilipo! najiuliza toka tuanze kumtuhumu kuwa hashiriki vyema kujenga chama imepita miaka mingapi? toka alipoanza kusuasua mpaka leo chama kimekua?

Nafikiri Zitto tunapaswa kumheshimu kama mtu aliyewahi kushiriki kujenga chama lakini akina Mnyika ambao mpaka leo wanajenga chama kwa nguvu zote ndio wamekifikisha chama hapa kilipo LEO si Zitto anayejijenga binafsi!!!!!

Hivyo Zitto ni just a old story wakati tunazungumzia mambo kama M4C!!!
 
Mie mwenyewe nimemuona nikawa najiuliza!! ila Banyai huwa ni watu wa kupenetrate sana!!! Huyo jamaa atakua anawakilisha kundi kubwa sana na la ma Business Tycoons wa rangi yake if at all CDM gets in power!!!
Misaada ya Sabodo wanapokea mtu mzuri kwenye kujishuisha kwenye kwenye chama hapana!Baniyani mmbaya kiatu chake dawa!!
 
zito ni msomi mwenye akili timamu. Hawezi kuhudhuria vikao vya kinafiki. Chama makini hakiwezi kutafuta picha za kwenye mitandao na kupoteza muda kuziangalia halafu na kutoa machozi kwa glaa uilty consiousness maana wao ndo wanawatuma watu, wakidhurika na polisi wanabaki kupiga usanii. Sasa wanalia nini?? Kama wangetii amri ya kusubiri sensa huyu mwandishi angekufa?? Ni kipi walichokiona ambacho walikuwa hawajakiona?? Mungu ataihukumu CHADEMA kwa unafiki na uzandiki. Huwezi kupoteza muda wa watu unawadanganya eti unataka kuwakomboa wakati unatafuta kula na njaa zako tu. Mshahara wa Slaa ni Mamilioni. Kwa nini asijilipe angalau hata milioni mbili tu?. Tusubiri uchunguzi wa Polisi habari itapatikana. Zitto wa watu mnamuonea bure mnamchinganisha, na hata kwenye hii jamii forum eti mnampambanisha na Slaa. Jamani acheni kuwagawa wa Tanzania. Ukwelo utawambua tu siku si nyingi. Mkamia maji hayanywi


mwanafunzi yeyote wa shule ya msingi kanumba anayeudhuria darasani vizuri akisoma coment yako atajua kwamba wewe si binadamu wa kawaida. nikuulize Mwangosi alitumwa na chadema kupata habari za mkutano? Je mbona polisi hawakuwaua watu waliokataa kuhesabiwa kwenye sensa?

nijuavyo mimi mnafiki na mzandiki ni yule anayejua nyeupe na nyeusi ni ipi lakini yuko tayari kusema nyeusi ni nyekundi bila uoga kama wewe.
 
Jamani Zitto yuko nje ya nchi kama mwakilishi wa bunge la Tanzania CPA.

Mbona simuoni hapa kwenye entourage yetu Colombo, Sri Lanka mkutano unakofanyika?

1f023-3-20-05-34.JPG
 
attachment.php


katika operation ya vuvuvuvu la mabadiliko, zitto kabwe haonekani kuandamana na makamanda wenzake, wakati akiwa kaimu katibu mkuu ambaye ndiye kijana wa kuwa mstari wa mbele katika mapambano.

Isitoshe hata kikao hiki kilichofanyika jijini dar alitazamiwa kuwa katika picha, labda imekatwa alikaa pembeni, tukumbuke yeye ni kiongozi mwandamizi, lakini naona yuko makini kutokea katika picha za misafara ya kumsindikiza kikwete kutalii. Hii imekaaje?

Tunahitaji zitto aje kujibu haya, ndio uwajibikaji tunaohitaji sasa hivi. Tunahitaji viongozi wa chama wanaowajibika kwa chama na wananchi chama tunachotegemea kuchukua dola, na hivi kujihakikishia viongozi watakaowajibika kwa wananchi na wananchi wawe na haki ya kuwajibisha wasipowajibika kiutendaji.

Kiongozi anayefanya kazi kwa ujanjaujanja na kukwepakwepa magumu ni hatari kwamba siku yakitokea magumu anaweza kuwatelekeza wenzake na hata kukitelekeza chama chake.



...zito yuko nje ya nchi kwa majukumu ya kitaifa,acha upuuzi wewe zitto yuko makini kukuzidi asilimia zote na chadema ni kiungo kiasi kwanba hawa unaowaona wanamuogopa mbaya
 
Back
Top Bottom