Zitto na Halima wamwita January Makamba mnafiki

Zitto na Halima wamwita January Makamba mnafiki

Status
Not open for further replies.
Once a gamba always a gamba! Ni sawa na kula Nyama ya MTU.....Hata upige Kelele vp:A S-cry:

January ni Mnafiki wa kufa mtu. Ni bora ya sumu ya Mkulo na Ikerege wa TBS inayoonekana wazi kuliko ya January mtoto wa Makamba kaka yake Mwamvita. Anajiona CCM na Ikulu kama ya baba yake vile.

Ni miongoni mwa vijana walioshindwa kusoma alama za nyakati akadhani kuwa na Mheshimiwa "Vasco da Gama" kutalii nchi zote duniani amemaliza maisha. Mpeni pole. i hate unafiki. Bora watu wakujue Jambazi tu.
 
January Mnafiki mkubwa. Ni Kijana but anafanya mambo kama mzee, hana tofauti na Wasira.
 
Huyu januari ni mnafiki wa kiwango kikubwa, ila kama alivyosema filikunjombe ccm wanakosea kudhani wana hati miliki ya tanzania, tuna macho, masikio na midomo, tanzania ya sasa siyo ile iliiyo kwenye fikra zao mgando

CCM ni wamilikiwa Tanzania nzima hata viwanja majumba na ardhi ni mali yao. Gusa kimojawapo uone. Tusubiri zamu yetu, Itafika ya kutawala.
 
Huwa sina imani na mbunge yeyote wa ccm ni juzi tu Filikunjombe kajionyesha tofauti na nilimkubali,otherwise ccm na huyo January hakuna kitu,watu wanapambana ye anasema wanatafuta publicity?ni vile alikuwa mbali nami,,ningempiga!
 
katika pita pita zangu uko twitter nimekutana na ujumbe huu toka kwa zitto kabwe na halima mdee kwenda kwa january makamba...

Tweet from zittokabwe

------------------------

ni rahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @jmakamba anaogopa chama chake. Hajui wajumbe kadhaa wa chama chake wamesaini

tweet from zittokabwe

------------------------

zittokabwe: dinahicious this is not #publicitystunt , this is #accountability wenye nia ya dhati ya kupambana na ubadhirifu watasaini. #tusiyumbishwe

tweet from zittokabwe

------------------------

zittokabwe: Kanuni zinataka kukusanya sahihi. #sahihi70 tunazipeleka j3 kwa spika. Uongozi ni utayari na ujasiri. Unafiki ni hatari sana @jmakamba

tweet from zittokabwe

------------------------

zittokabwe: Ni rahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @jmakamba anaogopa chama chake. Hajui wajumbe kadhaa wa chama chake wamesaini

tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: Huna hizo guts.. Whether usign now or later it does not make any difference! Cause kanuni wala katiba haisemi usign lini..

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: zittokabwe @jmakamba sema lugha nyepesi.... Ni mnafiki kwani hayuko humu? Hajui wenzake wamesign? Hili suala sio la chama!

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: @jmakamba kwa hiyo kusema analeta jumatatu ndio kuinvalidate hoja hata kama jumatatu haijafika? Behave kama kijana!

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: johanesedson dinahicious zittokabwe january... Ni mnafiki. Najua ananisoma now...

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: Eti anahoji uhalali wa kukusanya sahihi! I used to respect this guy.. Anaanza nitia mashaka! Nahisi hajui kanuni!
makamba tofauti na wabunge wengine wa ccm waliosahini wamesoma alama za nyakti za mwanguko wa ccm na baada ya kuanguka kwa ccm sura zao wataziweka wapi?tofauti na makamba ,mafisadi na watoto wa vigogo ambao wameisha jiadalia mazingira baada ya kuanguka kwa ccm.wanakwea pipa na kwenda kutumbua walichotuibia.mungu ibariki tanzania.
 
Huyu January mbona yupo kimaslah yake zaidi na hasa hasa anavizia uwaziri wa nishati na madini, kwani hamkumbuki ile barua ya dada yake kwenda kwa mchumba wake wa barrick? Alishagajitangazia kuwa yeye ni next minister wa nishati na madini kwasababu he is the right hand person to the prezidaa hivyo pale alikuwa anazuga tu kama haungi mkono hoja ya kura but najua hizi siku mbili atakuwa hajalala vizuri akiomba ngereja awe wa kwanza kuresign ili apewe ofisi. Angalau Filkunjombe kajibambanua na kuweka wazi ukweli wake ila huyu ni mnafiki kweli kweli!
 
kuna watu kama kina johngwalu wanataka vyanzo kama hivi vibaki huko twitter na fb eti. I used to respect this guy until he stumbled on my path
Johngwalu is a jackass, i've seen it from the get-go, pole kwa kuchelewa kung'amua. anajaribu kuficha uhalisia wa ID yake lakini nimeshabaini ni nani.
 
January ni mbunge wangu ingawaje sijampigia kura kwa baba yake alihakikisha hakuna wakumshinda,baadae nitasema mengi ila kwa hili watu wataanza kumfahamu,alitumia fedha nyingi kuupata ubunge,muda mwingine si kila kitu lazima u-comment,amejishushia heshima,kwa maana nyingine anatetea wezi.
 
Unafiki ni jambo baya sana.Kwa bahati mbaya katika siasa zetu Tumejaaliwa kuwa na vijana wengi wanafiki wanaotaka kuonekana wapambanaji.Ukiwaambia nyeupe iitwe Nyeupe na Nyeusi iitwe Nyeusi hawakubai.Ni tabia mbaya kisiasa
 
To whoever it may concern.............
Youthness haiwezi kuwa kiunganishi cha vijana wote hapa nchini tuna itikadi tofauti na tumelelewa tofauti as well.

Remember hoja ya urais na ujana????????; Interests are the best friends but not their containers (human beings) na hili litatuumiza vijana in a near future coz we think wote tuko pamoja......we tend to forget our backgrounds na self ambitions

Hayo majibizano yanaweka taswira nzuri sana ya Taifa letu siku zijazo na especially kwenye serikali za mseto............kama nakumbuka vizuri muheshimiwa Zitto watu wamewahi kuhoji ukaribu wake na baadhi ya watu akasema ni personal social relations......ni haki kuwa na marafiki but I real got a shock na ile hali but ukweli ni kwamba siasa ni maisha na maisha ndo matokeo ya siasa yenyewe

Nawashauri sana na kuwasihi vijana wenzangu..........tusiwachukulie viongozi wetu vijana kama malaika.....hawa ni watu na wana utashi wao pia.......wao wako kwenye siasa na sisi tumo kwenye fields nyingine.....same way unavyoamua na kufanya maisha yako na wao pia wana yao except that wako priviledged than us, wanapata coverage ya media and ol that BUT nao ni VIjana kama sisi wana wanamaisha yao kama sisi na sio lazima wote waweze ku represent our feelings and expectations

LETS GET UP AND FACE THE REALITY........NO ONE IS RESPONSIBLE FOR YOUR LIFE EXCEPT YOURSELF

JM is an opportunist, kama hao wenzake akina ZK. Ni suala tu la kuangalia wapi kunalipa zaidi..hamna jipya hapa.
 
Your the clear example of "POVERTY OF INTELECT".
 
kuna watu kama kina johngwalu wanataka vyanzo kama hivi vibaki huko twitter na fb eti. I used to respect this guy until he stumbled on my path

Siku chache zilizopita uliipenda quotation yake moja mpaka ukaiyanzishia thread.
 
January is useful don't make mistake ... is usefully as any other rubbish .. when turned into a fertilizer to grow healthy and strong flowers and vegetables!! ... Halima, zito confront and use him!! ... No time to waste!!
 
Ni wabunge wachache sana wa CCM wanye guts za kutoka kwenye comfort zone!!

However I do not blame him, many people are extremely myopic and cannot see beyond their noses, even with the glaring monumental failures and head-breaking incompetence from these folks.

The basic reason I can see is that most of us Tanzanian youths have evolved into commentators not participants, talking from afar and not participating in much.

This case will prove my point
 
Huyu January mbona yupo kimaslah yake zaidi na hasa hasa anavizia uwaziri wa nishati na madini, kwani hamkumbuki ile barua ya dada yake kwenda kwa mchumba wake wa barrick? Alishagajitangazia kuwa yeye ni next minister wa nishati na madini kwasababu he is the right hand person to the prezidaa hivyo pale alikuwa anazuga tu kama haungi mkono hoja ya kura but najua hizi siku mbili atakuwa hajalala vizuri akiomba ngereja awe wa kwanza kuresign ili apewe ofisi. Angalau Filkunjombe kajibambanua na kuweka wazi ukweli wake ila huyu ni mnafiki kweli kweli!

Agree with you 100%. The guy is a 'power monger'; he is much more strategic that sooner or later when JK dissolves his cabinet he will be considered. Any action against the current JK's cabinet is contamination to his to be a minister. I think JK's next cabinet will be worse when with guy makes part of it. He puts personal ambitions that country first.

If you think you are against a politically popular movement you better shut up. Showing those who distribute government posts that you are with them, is a sign that you won't help them when they ask for your hand. I don't have personal dislike with him but his hypocrisy disgust all who think positively about the country's future.
 
January Makamba kweli ni mnafiki, nawaunga mkono Mdee na Zitto...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom