Zitto na Halima wamwita January Makamba mnafiki

Status
Not open for further replies.

nice 2

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
747
520
Katika pita pita zangu uko twitter nimekutana na ujumbe huu toka kwa Zitto Kabwe na Halima mdee kwenda kwa January Makamba...

Tweet from Zittokabwe

------------------------


Ni rahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @JMakamba anaogopa chama chake. Hajui wajumbe kadhaa wa chama chake wamesaini

Tweet from Zittokabwe

------------------------

Zittokabwe: dinahicious this is not #publicitystunt , this is #Accountability wenye nia ya dhati ya kupambana na ubadhirifu watasaini. #Tusiyumbishwe

Tweet from Zittokabwe

------------------------

Zittokabwe: Kanuni zinataka kukusanya sahihi. #sahihi70 tunazipeleka j3 kwa Spika. Uongozi ni utayari na ujasiri. Unafiki ni hatari sana @JMakamba

Tweet from Zittokabwe

------------------------

Zittokabwe: Ni rahisi sana kujua waliotayari kuwa nje ya comfort zone. @JMakamba anaogopa chama chake. Hajui wajumbe kadhaa wa chama chake wamesaini

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: huna hizo guts.. whether usign now or later it does not make any difference! Cause kanuni wala katiba haisemi usign lini..

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: Zittokabwe @JMakamba sema lugha nyepesi.... ni mnafiki kwani hayuko humu? Hajui wenzake wamesign? Hili suala sio la chama!

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: @JMakamba kwa hiyo kusema analeta jumatatu ndio kuinvalidate hoja hata kama jumatatu haijafika? Behave kama kijana!

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: JohanesEdson dinahicious Zittokabwe January... ni mnafiki. Najua ananisoma now...

Tweet from halimamdee

------------------------

halimamdee: Eti anahoji uhalali wa kukusanya sahihi! I used to respect this guy.. anaanza nitia mashaka! Nahisi hajui kanuni!
 
Amekutana na vijana wasomi wanaopambana wenyewe...

Muosha kucha...

Vijana wanafiki wataogeuka wachawi soon..
 
Huyu januari ni mnafiki wa kiwango kikubwa, ila kama alivyosema filikunjombe ccm wanakosea kudhani wana hati miliki ya tanzania, tuna macho, masikio na midomo, tanzania ya sasa siyo ile iliiyo kwenye fikra zao mgando
 
To whoever it may concern.............
Youthness haiwezi kuwa kiunganishi cha vijana wote hapa nchini tuna itikadi tofauti na tumelelewa tofauti as well.

Remember hoja ya urais na ujana????????; Interests are the best friends but not their containers (human beings) na hili litatuumiza vijana in a near future coz we think wote tuko pamoja......we tend to forget our backgrounds na self ambitions

Hayo majibizano yanaweka taswira nzuri sana ya Taifa letu siku zijazo na especially kwenye serikali za mseto............kama nakumbuka vizuri muheshimiwa Zitto watu wamewahi kuhoji ukaribu wake na baadhi ya watu akasema ni personal social relations......ni haki kuwa na marafiki but I real got a shock na ile hali but ukweli ni kwamba siasa ni maisha na maisha ndo matokeo ya siasa yenyewe

Nawashauri sana na kuwasihi vijana wenzangu..........tusiwachukulie viongozi wetu vijana kama malaika.....hawa ni watu na wana utashi wao pia.......wao wako kwenye siasa na sisi tumo kwenye fields nyingine.....same way unavyoamua na kufanya maisha yako na wao pia wana yao except that wako priviledged than us, wanapata coverage ya media and ol that BUT nao ni VIjana kama sisi wana wanamaisha yao kama sisi na sio lazima wote waweze ku represent our feelings and expectations


LETS GET UP AND FACE THE REALITY........NO ONE IS RESPONSIBLE FOR YOUR LIFE EXCEPT YOURSELF
 
Amekutana na vijana wasomi wanaopambana wenyewe...

Muosha kucha...

Vijana wanafiki wataogeuka wachawi soon..

tatizo la JMakamba hazijui kanuni vizuri, i appreciate this guy, na wakati mwingine hua anauliza maswali ambayo hayana msingi na hii hua inamsaidia kumwelemisha na kumfunza mambo mengine
 
kuna watu kama kina johngwalu wanataka vyanzo kama hivi vibaki huko twitter na fb eti. I used to respect this guy until he stumbled on my path
 
Last edited by a moderator:
Tangu lini nyoka akawa chura? January Makamba ni walewale hawafai hatakidogo ni porojo tu! hana jema na nchi yetu kwani si umeona babayake alivyoua chama?
 
Huyu januari ni mnafiki wa kiwango kikubwa, ila kama alivyosema filikunjombe ccm wanakosea kudhani wana hati miliki ya tanzania, tuna macho, masikio na midomo, tanzania ya sasa siyo ile iliiyo kwenye fikra zao mgando

Hapo mkuu umeonge SAFI,

Nadhani vijana wa CCM ndani ya bunge wajaribu kuangalia upepo na alama za nyakati kama huwezi takima neno piga kimya tuu. Nchi hii sasa isha badilika ila kuna baadhi ya Wabunge wanataka kwenda kwa nguvu ya dola na wengine wafuate mkumbo jamani chonde chonde angalieni nguvu ya UMMA inasema nini.


 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom