Zitto na Halima wamwita January Makamba mnafiki

Status
Not open for further replies.
January Makamba is nothing, hawezi kuwekwa kundi la wale waliotafuta njia yao wenyewe bila kupitia migongo ya majina ya baba zao.
Hana cha kutisha ni mnafiki wa akili na fikra.
Yeye hasumbuliwi kwa namna yoyote na maisha magumu wanayokabili watanzania walio wengi.
Sio mfano mzuri kwa vijana wa kizazi hiki. Hatufai.
 
J. Makamba ameonesha uCCM wake. Katika hali ya kawaida, yeye January angesubiri mpaka Jumatatu apate taarifa rasmi. Na si kuomba muuongozo kwa spika kwa mambo ambayo bado hayajawasilishwa bungeni. Alisema anasikia huko nje watu wnakusanya sahihi. Si angesubiri
 
He epitomizes hypocricy.....Hakuna kitu ninachochukia kutoka kwa mwanasiasa kama unafiki na Woga.
 
Sitashangaa akija nyingine kuwa anaomba muongozo kwani jimbo anaowakilisha watu wamenza kuonyesha nia ya kugombea 2015. Mambo mengine bora mtu akae kimya . Itakuwa ajabu na aibu katikahIireformationyaCCM kama
hakuna tofauti ya "UCCM" wa wassira na UCCM wa J makamaba
 
He epitomizes hypocricy.....Hakuna kitu ninachochukia kutoka kwa mwanasiasa kama unafiki na Woga.

pacha wangu ben! We ni mmoja wa vijana wapambanaji humu Jf ambaye huwa una hoja nzito tena zenye mantiki but tatizo ni hizo lugha huwa unazitumia yani english kama kireno vile ndo huwa zinafinya sana maana za hoja zako bkoz kumbuka kwamba humu Jf tupo watu wengi ambao o-level tulipata F za language so tumia hekima mda mwingine ili tuweze kufikia ukombozi wa tz kwani ukiendelea na vocabularies zako hizo utasababisha watu wasiojua lugha in deeply kutofikia ukombozi wa kweli.
Solidarity forever.
 
However I do not blame him, many people are extremely myopic and cannot see beyond their noses, even with the glaring monumental failures and head-breaking incompetence from these folks.

The basic reason I can see is that most of us Tanzanian youths have evolved into commentators not participants, talking from afar and not participating in much.

This case will prove my point
NI kweli Ben... they have been living a lie since they were born

Growing up with a CCM hard core dad, i find it even today, after my education exposre and everything to convince my father to look outside the box. Ingawaje unaona kabisa mzee amechoka kutokana na sera za CCM

Labda kuna kitu wanalishwa ambacho hakiko sawa...........

January kuna wakati anaonyesha glimpses za potential ya kuwa independent mind, but in general ni mtu wa kuogopa kuwa muwazi na mkweli
 
Similar to other CCM's members, Makamba is an oppurtunistic who is self-obssessed with himself. This guy understands that the only way he will able to achieve his dream is through CCM. Outside CCM, this guy can not be elected to be a class monitor let alone member of parliament. This is the reason he has to defend the status quo, and he is scared that Zitto's move will put sand on kitumbua chake.
 
Siku chache zilizopita uliipenda quatation yake moja mpaka ukaiyanzishia thread.

Hapana @EMT Sina tatizo na huyo Makamba bali huyu bwana anaitwa JohnGwalu. Kipindi naleta hiyo quote ya Makamba alinishushua bila sababu za msingi kuwa naleta mada toka twitter, tena za watu wengine.
 
Similar to other CCM's members, Makamba is an oppurtunistic who is self-obssessed with himself. This guy understands that the only way he will able to achieve his dream is through CCM. Outside CCM, this guy can not be elected to be a class monitor let alone member of parliament. This is the reason he has to defend the status quo, and he is scared that Zitto's move will put sand on kitumbua chake.

mkuu hebu acheni hizo language code mix zenu ambazo zi narudisha ukombozi wa taifa letu nyuma.
 
Mkuu nashukuru kwa kunikumbuka hahahahahahahahaha nmecheka sana ndugu yangu RF!
Msimamo wangu upo pale pale huu ni umbea wa sisi wana-JF na ni matokeo ya JF kushuka hadhi ndio maana kuna mijadala myepesi kama hii....
Huo umbea labda mtu angetumia kujenga hoja zake lakini sio kuletewa kama thread kabisa hapa.
Ipo siku utaiona point yangu RF.
Zitto haitendei haki JF na wengine tunatafsiri kama anaidharau sijui kwanini tunapenda kuhangai na taarifa anazoandika huko wakati hapa ni mwanajamvi....
JF Marketer alituambia anamualika Halima Mdee, sijui akaishia wapi ila sijawahi kumuona hapa jamvini vilevile Makamba huyu sijawahi sikia akialikwa ila wenzake Mwigulu, Nape na Kigwangalla tunao hapa hivyo anaielewa vizuri JF!
Kitendo cha hawa kuwa na mijadala nje ya JF kinapaswa kuheshimiwa kwa kiasi flani,
ndio maana huwezi kuta Robot Invisible akitupa habari makini za nchi kutokea tweeter, Fb au Blog binafsi za wanasiasa!
JF makini haiitaji vyanzo vya namna hyo ni umbea kama magazati ya shigongo kwenda kunusanusa vyumbani mwa watu.

Alafu mkuu wangu RF mi naitwa jouneGwalu aisee

Ndugu @jouneGwalu, kila jambo lina umuhimu wake ndugu yangu. Nikwambie tu kuwa do not confine your mind to a certain tunnel. Walk in an open air so you can grasp something extra. Mjadala unaweza ukawa unahusu unafiki wa JM lakini zikaja hoja za kujenga ndani ya huo mjadala. Take it from me
 
Ni wabunge wachache sana wa CCM wanye guts za kutoka kwenye comfort zone!!

Inawezekana wale wanaotoka kwenye comfort zone ni wale waliochaguliwa kihalali na wananchi hivyo wanaelewa wazi wanawajibika kwa nani lakini wengine (ambao ni wengi) ni wale wakuchakachua hivyo wanawajibika kwa huyo aliyewafikisha hapo.
 
Makamba amerithi kila kitu kutoka kwa daddy wake hivyo msishangae, kuomba muuongozo si anga cease kama vipi mpaka jumatatu ili mradi tu mafisadi wawajibishwe, hivi ni lipi bora kati ya haya, kuvunja sheria kwa ajili ya kulinda maslahi ya taifa letu? au kuvunja sheria kunakofanywa na hawa mabepari wa bongo, mbona makamba hajaomba muongozo juu ya hawa mafisadi?. naye ni ndumila kuwili tu hana lolote. mtoto wa nyoka ni nyoka tu si samaki wala nini
 
pacha wangu ben! We ni mmoja wa vijana wapambanaji humu Jf ambaye huwa una hoja nzito tena zenye mantiki but tatizo ni hizo lugha huwa unazitumia yani english kama kireno vile ndo huwa zinafinya sana maana za hoja zako bkoz kumbuka kwamba humu Jf tupo watu wengi ambao o-level tulipata F za language so tumia hekima mda mwingine ili tuweze kufikia ukombozi wa tz kwani ukiendelea na vocabularies zako hizo utasababisha watu wasiojua lugha in deeply kutofikia ukombozi wa kweli.
Solidarity forever.

sasa great thinker gani unakua unapitwa na lugha ambayo ni muhimu katika hata hayo mageuzi unayoyafikiria?. kiingereza ni lugha ambayo haikwepeki hata wabunge pale lazima waweke kaneno hata kamoja ka kiingereza kwa hiyo hata wenyewe huwaelewi? huu uzandiki wa kijana kujidai hataki au kuona kiingereza kuwa ni lugha isiyo na tija inayobagua watu ni ujinga mkubwa. kiingereza ni lugha ya kimataifa na tanzania haishi peke yake kwenye kisiwa cha kuongea kiswahili, wazee au watu wa vijijini wangesema hivyo sawa, lakini siyo wewe kijana, unayetegemewa kuja kuongoza jamii, na famili yako.. kiingereza ni lugha ya kigeni, lakini kusiwe na ile taswira ya kwamba ni lugha pandikizi ya watu wachache inayogawa jamii, ongea na kuandika kiswahili lakini vile vile kua na ufahamu wa kiingereza ni muhimu
 
Ndugu @jouneGwalu, kila jambo lina umuhimu wake ndugu yangu. Nikwambie tu kuwa do not confine your mind to a certain tunnel. Walk in an open air so you can grasp something extra. Mjadala unaweza ukawa unahusu unafiki wa JM lakini zikaja hoja za kujenga ndani ya huo mjadala. Take it from me

Ndio maana natembelea mitandao mingine ya jamii Mkuu,
ni muhimu kutembelea mitandao mbalimbali ya jamii na sana sana kusoma VITABU!

Ila sio sawa kuifanya JF kituo cha kulazimishia mijadala hata kwa kunususa vitu visivyoeleweka eti hata kwenda kunusa kwenye kurasa ambazo wenyewe hawakutaka iwe hapa.
Mi naamini JF inaogopeka na hao watu ndio maana hawajaleta hayo malumbano yao huku sababu wanaelewa ambacho wangekutana nacho, sasa hii kulazimisha kwa kutoa vitu huko (tena visivyo na maana) na kuvileta hapa ni kushusha hadhi ya jukwaa ambalo wenyenyewe wanaliogopa!

Ila mkuu wangu RF take it easy bro !
 
Hivi kwani ni lazima vijana wote wa Tanzania waunge mkono matakwa ya vijana wa CHADEMA? Wapo vijana hawafaidiki chochote kutokana na serikali iliyopo madarakani lakini nao wanayaona yanayotokea kama ni makosa ya kiutendaji na wala si uhalifu. Hawa wasichukuliwe kama ni mambumbu bali ni vijana wenzetu wenye mitizamo tofauti na sisi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom