Zitto muangukie Diamond akupromoti

sikutetegemea thread kama hii ipate
wachangiaji japo najua aliyeanzisha ana account kama 7 hivi.
Lakini sishangai sana manake siku hizi Jukwaa la siasa limegeuka kuwa Instagram, watu wanasutana,wanchambana ndio imekuwa sehemu kuleta na kusema Umbea

Wakati ukiendelea kushangaa kwa nini tunaiunga mkono hoja hii ambayo kwa muono wako ni hoja dhaifu,sisi tumemuelewa mleta hoja alikuwa unamaanisha nini,ili kukwepa mkono wa sheria,jukwaa hili sasa hivi limetawaliwa na "lugha za kifasihi" zaidi,badala ya kumshambulia mlengwa moja kwa moja tunajaribu kumtumia "mtu wa kati" ili kufikisha ujumbe wetu kwa muhusika bila kupewa kesi ya uchochezi.ZZK anayetajwa katika hoja hii kuwa "aombe ushauri" toka kwa Diamondi ili arudi kwenye fomu,yawezekana asiwe Mh.ZZK bali ametumika kama kiwakilishi cha mlengwa ambaye sote tunaona jinsi anavyozidi kutoweka mioyoni mwa Watanzania mapema zaidi kuliko wenzake waliomtangulia.
 
Mimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA
Dah! Imefikia hapo
 
Wakati ukiendelea kushangaa kwa nini tunaiunga mkono hoja hii ambayo kwa muono wako ni hoja dhaifu,sisi tumemuelewa mleta hoja alikuwa unamaanisha nini,ili kukwepa mkono wa sheria,jukwaa hili sasa hivi limetawaliwa na "lugha za kifasihi" zaidi,badala ya kumshambulia mlengwa moja kwa moja tunajaribu kumtumia "mtu wa kati" ili kufikisha ujumbe wetu kwa muhusika bila kupewa kesi ya uchochezi.ZZK anayetajwa katika hoja hii kuwa "aombe ushauri" toka kwa Diamondi ili arudi kwenye fomu,yawezekana asiwe Mh.ZZK bali ametumika kama kiwakilishi cha mlengwa ambaye sote tunaona jinsi anavyozidi kutoweka mioyoni mwa Watanzania mapema zaidi kuliko wenzake waliomtangulia.
Siongezi neno tena hapo mkuu ubarikiwe
 
sikutetegemea thread kama hii ipate
wachangiaji japo najua aliyeanzisha ana account kama 7 hivi.
Lakini sishangai sana manake siku hizi Jukwaa la siasa limegeuka kuwa Instagram, watu wanasutana,wanchambana ndio imekuwa sehemu kuleta na kusema Umbea
Anazo I'd 20.
 
Kweli JF tumeishia aisee!! Huu uzi wakujadiliwa kweli tusipokuwa makini JF itakuwa sawa na magazeti ya Shigongo.
 
Anazo I'd 20.

Kama mleta hoja anamiliki ID 20 na zote zipo hewani kuisapoti hoja yake iliyoletwa kwa moja ya ID zake anazomiliki,basi mleta hoja si mtu wa mchezo,si mganga njaa kama wewe unayetegemea posho ya LB7 ikutunze mjini.Kuweka bando(vifurushi) kwenye ID 20 si jambo dogo,hongera mleta hoja.

Kwa upande mwingine hoja yako imethibitisha jinsi huko Lumumba mlivyo hodari kwa kuwa na multiple id's,ni huko kwenu tu ndiko kwenye "makorokoro" yaitwayo lb46b7 na lb7 pamoja wale waliotangazwa juzi na msemaji wenu maarufu kwa jina la Lviwavijeshi.
 
Mkuu kwakeli leo umesimama imara kabisaaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom