Zitto muangukie Diamond akupromoti

Mimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mmawia bwana!sawa mzee
 
Mimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA
Sahihisha kwanza diamond sio muha ni mmanyema
 
Mimi nikiwa mwana Kigoma namshauri zzk amuombe Muha mwenzetu Diamond amfanyie promo ili arudi kwenye umaarufu alio kuwa nao hapo kabla maana sasa kina mcubic na MOTOCHINI wamempotezea mbali OMWAMI RUYAGWA

Diamond ndo nani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…