Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Chizi wewe.
Kwahyo mtu akikosoa sirikali yako,haitakii mema silikali
 
Naona Hon Zitto Kabwe ameamua kujitoa muhanga na liwalo liwe!
 
Jamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..

Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
Mazwazwa nchi hii ni 4/5. Kama unabisha angalia ni viongozi wangapi walienda kunywa kikombe cha babu loliondo? Ni wangapi wameshiriki kuua au kukata Zeruzeru ili washinde uchaguzi au watajirike??????

Nchi hii ya mazwazwa mpaka wanaenda na waganga kwenye mipira ili washinde???
 
Hawa watu kuwaelewa huwa napata tabu..
Unakuta mtu anamwaga unga uanjani mchana kweupe halafu anaishia kudroo mechi..
Uchawi ungekua real zitto si angekuwa president miaka mingi tu
 
Wasiojulikana wakitaka kujua kama ni kweli au la, wajaribu tu kumteka waone itakuwaje.
Hahaha kuna jamaa tulikuwa tunasoma nae ni mtu wakigoma aliniambia mama ake zitto alikuwa mchawi hatari sa sijui alikua anamaanisha au story za kijiweni
 
Haa haa haa mzee wa mzebazeba kasulu,mkimfuata tuu anageuka kuwa bwawa la ruba haa haa nimecheka munoo
 
Hata kama ni chuki si kwa kiwango hiki. Zitto hana mafanikio kama mbunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…