zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,039
- 28,690
Mkuu hakukuwa na usaliti wowote ila inatakiwa ufahamu kwenye Vita yoyote unapopambana na mtu mwenye nguvu basi unatumia maadui zake wote.Umenikumbusha namna 2015 ulivyokuwa mwaka wangu mgumu kisiasa. Chama nilichokiamini kilisaliti harakati kimiujiza ujiza. Naona zile tikitaka zinajirudia. Acha waendelee kujivuruga.
Nakumbuka Savimbi alipigana na Kagame mwaka 1996 ila alipotaka kumuangusha kabila 1998 aliungana na Savimbi. Same to siasa za Kenya utaona alliance zinabadilika, pia hata Uganda na DRC. Kwahiyo hakuna usaliti wowote bali kama umefuatilia siasa za dunia nzima zipo hivyo kila chaguzi lazima ukusanye allies wakutosha whether una bifu nao au lah otherwise kura zitagawanyika mnakosa wote.
Ndio maana Hata hao CCM licha ya kusema Chadema wanatumika na wazungu ila wote wakijiunga CCM wanapewa ofisi za serikali! Sasa hujiulizi pandikizi akipewa ofisi si ndio atauza nchi?
Ni political strategy tu