balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,797
- 15,586
Lengo la kuzomea ni kupinga uwepo wa dr.shain mtu mmoja wao wako mia, walishindwa nini kumfurumusha nje ya bunge na wakaendelea na mambo yao? kinga ya bunge iko wapi sasa? Mie nilitegemea badala ya kuzomea wangeomba mwongozo wa spika kwanza juu ya uhalali wa kuwepo kwake.
jitambue ndugu,watu mia wanaweza kuishinda dola? Dola ni state kwa kidhungu.