Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

mkuu uwe unongea vitu unavyovijua atakuwaje kiongozi wakati chama chake kinambunge mmja tu hapo cdm ndo wataongoza kambi hiyo
 
Jamani Zitto ahurumiwe! Tatizo kubwa linalomkabili ni compatibility na wenzake. Ana shindwa kuendana na wenzake.

Anawaza ki-CCM zaidi lkn mantiki inakataa yeye kukubaliana kila kitu na ccm, wakati ni wa chama 'pinzani'. Lkn mbaya zaidi huko kwa upinzani yuko out of touch. Hawazi kama wanavyowaza, hana hisia kama walizonazo. Kwa hiyo kubaki ukumbini au kuondoka kwake ni sawa. Kwa hiyo chochote anachofanya kwake ni sawa, ili mradi lkn mwisho wake utajulikana tu.
 
Ngongo umekuwa low kiasi hiki?

kuwa genuine mkuu

zitto siyo ukawa , na wakati ukawa wanapanga hayo zitto hakuwepo

zitto ana approach nyingine, labda kwa akili yako useme approach ya ukawa ndiyo the only approach dunia hii

kafulila na wenje mikobayao imechukuliwa na nani?

acheni unafiki, kuweni genuine

siyo kila ukisema kumponda zitto ndio unaonekana wa maana au una akili timamu

kuwa mjinga na mpumbavu ni pamoja na kushindwa kuchukulia vitu kwa uhalisia

zitto angetoka nje, akina mbowe wangemfukuza uko na kusema wewe hatukujui!!!!

zitto ata shine sana, bunge kama hili ambalo akili tu inafanya kazi

baki kumchukia tu mkuu, maana hata wewe huna la maana unalojadili imebaki kusema watu!

sioni hoja zako za maana ni chuki tu na mipasho

grow up!!
CCM wajanja sana wanamvimbisha kichwa kama walivyomvimbisha Mrema and soon watam fix wait n see.

Unafikiri walifurahi aliposhauri Seif atafute jaji amwapishe, do you think that is the best approach?
 
Kuna mtu kasema eti sikuhizi anaitwa Zitto Lyatonga Cheyo
 
mkuu uwe unongea vitu unavyovijua atakuwaje kiongozi wakati chama chake kinambunge mmja tu hapo cdm ndo wataongoza kambi hiyo

ndio maana nikasema aungwe mkono nkimaanisha hata hao chadema, cuf, ccm nk wampe support kubwa katika mchakato huo, na PIA tuna historia nzuri za Kazi zake za hapo bungeni
 
zito ni one man army ... amegoma kuwa nyumbu....

safi sana....
 
Asalaam wana jukwaa,

Napenda kuwaomba tumuunge mkono ndg Zitto Kabwe aweze kuimiliki hii kambi ya upinzani bungeni kwa kuwa ni mtu mwenye focus ya kiutu uzima na hana ushabiki wa kivyama, anasimamia maslahi ya nchi na watu wake, na pia ana siasa na kistaarabu.
Fikiri kabla ya ku post jambo

Ovaaa
 
amani iwe kwenu wakuu,wakati jana rais akiwa anahutubia kiongozi mkuu wa chama cha act Zitto alibaki bungeni hali ya kuwa wabunge wengi wa upinzani walikuwa nje baada ya spika kuwatimua kwa kutotii kiti,wabunge hao walikuwa wanahimiza maalim seif apewe ushindi wake,baadhi ya wanachama wa act wamehuzunishwa kwa kitendo cha kiongoz wao kubaki ndani hali ya kuwa ni mpinzani wanachama hao wanasema kitendo alichofanya zitto ni sawasawa na yale aliyokuwa anafanya mrema na cheyo,hali iliyopelekea baadhi ya wanachama kuchoma kadi zao

Chanzo cha habari pls.

Mm nikiwa mwanachama hai wa ACT naungana na kiongozi wangu kwa kitendo chake cha kubaki bungeni, kwani tumemtuma pale kututumikia sio kupiga kelele.
 
ndio maana nikasema aungwe mkono nkimaanisha hata hao chadema, cuf, ccm nk wampe support kubwa katika mchakato huo, na PIA tuna historia nzuri za Kazi zake za hapo bungeni
Watamuungaje mkono wakati yeye hawaungi, wakati mwingine uwe unaiuliza akili yako kabla ya kuandika.
 
amani iwe kwenu wakuu,wakati jana rais akiwa anahutubia kiongozi mkuu wa chama cha act Zitto alibaki bungeni hali ya kuwa wabunge wengi wa upinzani walikuwa nje baada ya spika kuwatimua kwa kutotii kiti,wabunge hao walikuwa wanahimiza maalim seif apewe ushindi wake,baadhi ya wanachama wa act wamehuzunishwa kwa kitendo cha kiongoz wao kubaki ndani hali ya kuwa ni mpinzani wanachama hao wanasema kitendo alichofanya zitto ni sawasawa na yale aliyokuwa anafanya mrema na cheyo,hali iliyopelekea baadhi ya wanachama kuchoma kadi zao
Nadhani kamanda unaumwa. Unatunga issue unaileta mjengoni. Ingekuwa kuchoma kadi si ingekuwa wakati Anna Mgwira alipohudhuria halfa ya kupewa cheti cha ushindi kwa Magufuli pale Diamond jubilee. Mama yule alimpa mpaka ilani ya ACT. Njoo kivingine hapa umekwama. Tusiwe wanafiki tuwe wakweli.
 
Mimi nilidhani baada ya uchaguzi, yule aliewashikia akili zenu atawarudishia.poleni UKAWA, hongera ACT@ZITTO
 
Una uhakika Zitto alikuwa anazomea? uliangalia bunge?
acha kupost kujifurahisha. Leta hoja yenye maana.

MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI: KABWE Z.R ZUBERI
Wengi we were live yesterday Mh.Kabwe Z.Zuberi ali-join opposition parties transparently kupinga uwepo wa serikali ya mapinduzi Zanzibar bungeni ambayo Kwa mujibu wa sheria doesn't exist.

Alizomea Na pia alikuwa akigonga meza Na ilipobidi kusimama alisimama.Na jambo hili amelipinga wazi wazi kwenye media kwenye runinga( Habari ) Na kwenye social media.

Mwenye ule ushahidi auweke humu mimi ninao lakini sijui kuweka.Alichowaza Kabwe kwakuwa Ukawa hawakukubali yeye kujiunga Na umoja huo Kwa baadhi ya mapungufu ambayo ukawa waliyaoa Na Kuwa Na mashaka naye ambayo mengi yalihusishwa Na general election ulioisha.

Sasa Je kule nje Kabwe angekwenda kukaa nanani? Ukawa walikuwa nakikao cha pamoja kujadili mambo kadha wa kadha juu ya nini kinachoweza kufanyika Kwa ajili ya linalo-onekana ombwe la uongozi Zanzibar.

Kikurajembe
 
Huyo anapokuwa peke yake anajidai ku-critisize publically (bungeni) anakuwa na msimamo tofauti!!!huo ni unafiki
 
Hivi wapinzani kupinga kila kitu na hicho mlichokifanya jana hakieleweki ktk akili za watanzania.Na majibu yake ni yale aliyoyasema Mh. Raisi jana ktk hotuba yake wajipime na wajione kama wananchi wanawaelewa
 
Kanuni zinasema KUB lazima atokane na wabunge wa upinzani.
 
Back
Top Bottom