Zitto kachukua mikoba ya Mrema.
Ngongo umekuwa low kiasi hiki?
kuwa genuine mkuu
zitto siyo ukawa , na wakati ukawa wanapanga hayo zitto hakuwepo
zitto ana approach nyingine, labda kwa akili yako useme approach ya ukawa ndiyo the only approach dunia hii
kafulila na wenje mikobayao imechukuliwa na nani?
acheni unafiki, kuweni genuine
siyo kila ukisema kumponda zitto ndio unaonekana wa maana au una akili timamu
kuwa mjinga na mpumbavu ni pamoja na kushindwa kuchukulia vitu kwa uhalisia
zitto angetoka nje, akina mbowe wangemfukuza uko na kusema wewe hatukujui!!!!
zitto ata shine sana, bunge kama hili ambalo akili tu inafanya kazi
baki kumchukia tu mkuu, maana hata wewe huna la maana unalojadili imebaki kusema watu!
sioni hoja zako za maana ni chuki tu na mipasho
grow up!!