Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Hivi wapinzani kupinga kila kitu na hicho mlichokifanya jana hakieleweki ktk akili za watanzania.Na majibu yake ni yale aliyoyasema Mh. Raisi jana ktk hotuba yake wajipime na wajione kama wananchi wanawaelewa

ukawa wameshapoteza dira kwa sasa, wabebaki kurukaruka Tu kama popo
 
Asalaam wana jukwaa,

Napenda kuwaomba tumuunge mkono ndg Zitto Kabwe aweze kuimiliki hii kambi ya upinzani bungeni kwa kuwa ni mtu mwenye focus ya kiutu uzima na hana ushabiki wa kivyama, anasimamia maslahi ya nchi na watu wake, na pia ana siasa na kistaarabu.

acha hizo, Zitto. jifunze yalikusibu Chadema kwanza!
 
We kilaza.. Waberoya, zito ni msaliti ana asili ya usafiri na zito ni msaliti tangia alipokuwa chuo zito hana tofauti na mwanamke ma....
Kwanza afadhali zito alitimuliwa cdm, kama.ni fadhila chama kimempa sama chama kimemlea chama cha cdm ndy kimemfanya mpaka akajulikana na kupata u maarufu hii kumpa nafasi za kupata hela ndani ya chama, chama pia kilimpa nyazifa ta juu the late mama yake zito pia....tatizo la zito ni us ali ti, unafiki, mpenda hela tu hana lolote
Zito tangia anunuliwe na maficcm amekuwa babu tu kwa ccm zito ni sawa na kumuita yeyw na chama chake ccm-b
 
Last edited by a moderator:
Zitto anajua wajibu wake kama mbunge, sio wale mbulu kenge wa upande wa pili.
 
Huyu nae nahic ni miongoni mwa wale wanaoamini kuwa busara na hekima zapaswa kuwa juu ya sheria na kanuni, kwan kanuni zinatamka nini juu ya uongozi wa KUB?, hilo wazo lafaa kuongozea familia ila si taasisi yenye kanuni zake
 
Nadhani kamanda unaumwa. Unatunga issue unaileta mjengoni. Ingekuwa kuchoma kadi si ingekuwa wakati Anna Mgwira alipohudhuria halfa ya kupewa cheti cha ushindi kwa Magufuli pale Diamond jubilee. Mama yule alimpa mpaka ilani ya ACT. Njoo kivingine hapa umekwama. Tusiwe wanafiki tuwe wakweli.
Hakuna mtu aliye ona ajabu kwa huyo mama wa act kupewa cheti na masolex, kwani hicho chama cha act si ccm-b
 
We kilaza.. Waberoya, zito ni msaliti ana asili ya usafiri na zito ni msaliti tangia alipokuwa chuo zito hana tofauti na mwanamke ma....
Kwanza afadhali zito alitimuliwa cdm, kama.ni fadhila chama kimempa sama chama kimemlea chama cha cdm ndy kimemfanya mpaka akajulikana na kupata u maarufu hii kumpa nafasi za kupata hela ndani ya chama, chama pia kilimpa nyazifa ta juu the late mama yake zito pia....tatizo la zito ni us ali ti, unafiki, mpenda hela tu hana lolote
Zito tangia anunuliwe na maficcm amekuwa babu tu kwa ccm zito ni sawa na kumuita yeyw na chama chake ccm-b

Mkuu umaarufu hautafutwi hivyo.

Tafuta kazi ya kufanya, Zitto ni mpango mungu tu mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
walikuwepo akina mzee cheyo mrema nk ambao wao waliamua kufanya kazi za ccm na kusahau majukumu yao kama wabunge wa upinzani. matokeo yake wameyaona wao wenyewe na hawakutegemea kama itakuwa hivyo.

ni suala la muda tu lakini ipo siku ZITO utalitizama kupitia tv.

zitto na chama chakevsio member wa ukawa na hawezi kutoka mana yeye haudhulii vikao vya ukawa na ajennda za ukawa hazijui.....nimemkubali sio bendera fuata upepo.
 
Hongera zake ZZK Jana ameonesha ukomavu wake kisiasa Hekima na Busara Nidhamu aliyokuwa nayo Na kuonyesha kuwa yeye kwake ni Tanzania kwanza na Watanzania.Hotuba ya Raisi ameisha itoa na kutoa Dira ya serikali yake Na watanzania tunampa SUPPORT
 
Wabunge wa upinzani walianzisha zomea kwa lengo la kumzuia dr.shain chakushangaza badala ya kumshika tanganyika jeck na kumsokomezea nje ya bunge wakaishia kutimuliwa wao.

Katika timua hiyo kidume zitto aligoma kutoka na kubaki ndani cha ajabu ndugai alikuwa mpole wakati nayeye zitto alikuwa anazomea hii inaonyesha zitto ni mbunge pekee mbabe.

kama wewe ni mwalimu!! basi mungu awasaidie watoto unaowafundisha!
 
Nimekutana na habari kwamba Zito alishauriana na uongozi wa wilaya kumhujumu Kafulila.Yaani mtu wa namna hii hafai hata kuwa kiongozi wa kambi ya wamama wa viti maalumu.
 
We kilaza.. Waberoya, zito ni msaliti ana asili ya usafiri na zito ni msaliti tangia alipokuwa chuo zito hana tofauti na mwanamke ma....
Kwanza afadhali zito alitimuliwa cdm, kama.ni fadhila chama kimempa sama chama kimemlea chama cha cdm ndy kimemfanya mpaka akajulikana na kupata u maarufu hii kumpa nafasi za kupata hela ndani ya chama, chama pia kilimpa nyazifa ta juu the late mama yake zito pia....tatizo la zito ni us ali ti, unafiki, mpenda hela tu hana lolote
Zito tangia anunuliwe na maficcm amekuwa babu tu kwa ccm zito ni sawa na kumuita yeyw na chama chake ccm-b

kamuulize walidi kaborou
 
kamuulize walidi kaborou
Huyo walid yuko wapi nyie mlimwingiza mkenge akawaskia where is he rght knw!kapotelea mbali sjui analima michikichi hko kigoma au
Zito naye atafuata njia kama hyo!
 
Mtu mwenye fikra finyu mpe neno la majungu atasimamia hilohilo hata km linamuacha uchi, sipendi kumtetea mr. Zitto lkn baadhi yetu tumelishwa ndimu tukiaminishwa ni tamu ilihali ni chachu, anza kutumia akili yako kufikiri, usiwe kasuku kwa kitu usichokuwa na ushahidi, acha porojo na story za vijiweni km tuko kijiwen. unapodhubutu kutuhumu mtu angalau uwe na ushahidi, c kusema kuwa fulani alisema!!!. Mr Lowasa alitufunza kitu cha msingi sana, KAMA HUNA USHAHIDI, NYAMAZA KIMYA.
 
Zitto ni mpinzani?

zitto anajielewa siyo mbumbu kama hao wengine, kuwa mpinzani haimanishi ndio uwe mjinga kama hao ndugu zako na bunge hili sijui watafanyaje maana hata kile walichokisimamia yaani kupinga ufisadi wameshindwa,wamefunikwa kila angle,bulembo alipowambia mkamulize mwenyekiti wenu kwann alikiuza chama mkamtukana haya mtukananeni tena sasa
 
Good Zitto ndo maana nlikupigia kura nilitambua wewe ndie mtetezi wa wanyonge. nakuomba usiyumbishwe na wanamaslahi kutoka CDM coz itikadi za ACT ni tofauti na zao na uskubali mtego wa kujoin nao, unaweza chezewa rafu mbaya ambayo hutaweza kuisahau maishani. ni ushauri tu kwako kama mzalendo wa kweli.
 
ndio maana nikasema aungwe mkono nkimaanisha hata hao chadema, cuf, ccm nk wampe support kubwa katika mchakato huo, na PIA tuna historia nzuri za Kazi zake za hapo bungeni

Kwa mawazo yako ningekushauri ungependekeza kipindi kile angegombea nafasi ya spika wa bunge.
 
ndio maana nikasema aungwe mkono nkimaanisha hata hao chadema, cuf, ccm nk wampe support kubwa katika mchakato huo, na PIA tuna historia nzuri za Kazi zake za hapo bungeni

Kwanza kasome kanuni za kupata kambi rasmi ya upinzani bungeni then ndio uje kuleta mada.

Eti CCM wampe support unafikiri wanachagua mwenyekiti wa PAC!!!

Ndio maana JPM jana alimwambia anaamini kapewa kura na watu wa CCM kigoma sijui kama ulielewa maana yake.
 
Wabunge wa upinzani walianzisha zomea kwa lengo la kumzuia dr.shain chakushangaza badala ya kumshika tanganyika jeck na kumsokomezea nje ya bunge wakaishia kutimuliwa wao.

Katika timua hiyo kidume zitto aligoma kutoka na kubaki ndani cha ajabu ndugai alikuwa mpole wakati nayeye zitto alikuwa anazomea hii inaonyesha zitto ni mbunge pekee mbabe.
Nafikiri wewe hujui Zitto msikilize mwenyewe halafu linganisha na kitendo chake cha jana.

Namnukuu,

"Mpaka leo tunapozungumza kikatiba Zanzibar hakuna serikali, na yeyote anayeitwa rais wa Zanzibar leo kikatiba amepindua na katika hali ya kawaida anapaswa kushitakiwa kwa uhaini, na kosa la uhaini adhabu yake ni kifo". Mwisho wa kunukuu.

Msikilize mwenyewe,

[video]https://www.facebook.com/saimon.frank/videos/1060007034052140/[/video]
 
Back
Top Bottom