Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Issue si kutoka na kukusanyika bali kupinga Dr Shein. Je anaunga mkono kinachofanyika Zanzbar?

Nakwambia ukweli ( ninavyofahamu mimi ) demekrasia ya kutoka nje ya bunge jamii ya kitanzania haijaifahamu vizuri, watu wengi wanajua ni fujo na vurugu. Ssem wanautumia mwanya huo kuiambia jamii kuwa wapinzani wanafanya fujo, bahati mbaya wengi tunaamini hivyo. Ni swala la vyama vya upinzani kufanya siasa kulingana na uelewa wa watanzania. Swala la maandamano na kutoka nje ya bunge haueleweki vuzuri kwa watu walio wengi. Nashauri tu waache hiyo "formula" maana inaafsiriwa vibaya miongoni mwa watu.

Tulitegemea UKAWA wakae bungeni na siku mijadala ikianza wapinge wakiwa ndani ili wote tujue kinachoendelea. Kumbuka mambo ya mageuzi na vyama vingi bado ni mageni kwetu, tuanahitaji speed ya kati na elimu kwa wingi ili watu wafunguke na kutambua mambo ya nchi yao
 
Kazae watoto

Mkuu mbona unajibu tofauti au kuna nilichogusa kwenye mwili wako baada ya hilo swali?
NARUDIA
Watu waliotuaminisha kuwa fulani ni mwizi na fisadi na ushahidi wanao wakapelekea mpaka akajiuzuru leo hii wanatuambia awe rais je
1:AMEWASHINDA?
2:WANAMUOGOPA?
3:FISADI MWENZAO?
4:WALIKUA WANAROPOKA OVYO?
 
Hao wanaohaha huko sasa hiv ni watu gani! Lumumba yote iko hoi kwa ufisadi!
Mlimlea huko huko magogoni!
Kajitambua kasepa!
Kawa tofauti na nyie that's all we need!
 
Wabongo ni watu wa ajabu sana, hapo ni hotuba na hakuna kilicho tekelezwa, hizo hotuba sio za kwanza kutolewa katika Taifa hili, zisha tolewa hotuba nyingi sana,

- Je Magaufuri amisha badili mindset za Wataznaia kuhusu Tanzania kuwa ya viwanda?
- Je mfumo wetu wa elimu unaruhusu hilo? kwa hizi shule za kata? kwa vyuo vetu ambavyo wanafunzi wanapigwa lecture wakiwa wamesimama make ukumbu hautoshi?

- Kwa miundombinu ipi hasa? barabara hizi?

Kuna watu wanaamini kwamba ndani ya miaka mitano Tanznia itaanza kushuhudia mabomba yakitoa maziwa badala ya maji,

Ila time will tell
 
Huyu ndiye RAis wa kweli mtu tuliyemsubiri mda mrefu sn.
Naamin wote waliopigia chuo wataisoma namba.Naamini ujuma za waliohodhi mailinikenye Mabank wana umwa maumbo yakuendesha
pa pesa za Uswisbdohajaongel name zitaudirudishwa haraka sana

Tulia uandike taratibu.....yawezekana una hoja ila papara inakufanya uonekane kituko
 
Wabongo ni watu wa ajabu sana, hapo ni hotuba na hakuna kilicho tekelezwa, hizo hotuba sio za kwanza kutolewa katika Taifa hili, zisha tolewa hotuba nyingi sana,

- Je Magaufuri amisha badili mindset za Wataznaia kuhusu Tanzania kuwa ya viwanda?
- Je mfumo wetu wa elimu unaruhusu hilo? kwa hizi shule za kata? kwa vyuo vetu ambavyo wanafunzi wanapigwa lecture wakiwa wamesimama make ukumbu hautoshi?

- Kwa miundombinu ipi hasa? barabara hizi?

Kuna watu wanaamini kwamba ndani ya miaka mitano Tanznia itaanza kushuhudia mabomba yakitoa maziwa badala ya maji,

Ila time will tell

Pumba tupu
 
Wagombea ubunge toka upinzani wa mkoa wa Kigoma walikamiwa sana na ccm isipokua kwa zz tu, nakumbuka hata zzk aliwahi kumwandikia Kafulila kwamba hata shinda UBUNGE na kweli imekua hivyo; ninapomwona Membe, Magufuli na mashabiki wa ccm waliopi humu wakimsigia zzk hakika sishangai hata kidogo.
 
Zitto ndiye mpinzani pekee katika bunge la 11 anayejitambua wengine wote bendera fuata upepo wanaendeshwa kwa remoti kutoka monduli
 
Mkuu mbona unajibu tofauti au kuna nilichogusa kwenye mwili wako baada ya hilo swali?
NARUDIA
Watu waliotuaminisha kuwa fulani ni mwizi na fisadi na ushahidi wanao wakapelekea mpaka akajiuzuru leo hii wanatuambia awe rais je
1:AMEWASHINDA?
2:WANAMUOGOPA?
3:FISADI MWENZAO?
4:WALIKUA WANAROPOKA OVYO?

Nadhani kidogo umechanganya madesa, aliyesababisha huyo mtu kujiuzuru sio wapinzani usitudanganye. Riport ya Harrison Mwakyembe (mwana ccm) ndio iliyosema, ilikia 07February, 2008 na ni Mwakyembe huyo huyo alikuja na mpya bunge la mwezi October, 2008 kwamba kuna baadhi ya mambo waliyaficha ili kuilinda serikali yote isianguke. Swali katiba inasema PM akijiuzuru baraza zima la mawaziri linavunjika (na ndicho kilichotokea) sasa huyo serikali aliyekua analindwa alikua ni nani?
 
Hayo maneno kama yamekopiwa kuna jamaa mmoja jana hongera baa alikuwa bwii kaunta akawa anayaongea.....
 
Nadhani kidogo umechanganya madesa, aliyesababisha huyo mtu kujiuzuru sio wapinzani usitudanganye. Riport ya Harrison Mwakyembe (mwana ccm) ndio iliyosema, ilikia 07February, 2008 na ni Mwakyembe huyo huyo alikuja na mpya bunge la mwezi October, 2008 kwamba kuna baadhi ya mambo waliyaficha ili kuilinda serikali yote isianguke. Swali katiba inasema PM akijiuzuru baraza zima la mawaziri linavunjika (na ndicho kilichotokea) sasa huyo serikali aliyekua analindwa alikua ni nani?

Kwa hiyo wapinzani hawakushiriki kabisa katika hoja ya Richmond?
 
Hao wanaohaha huko sasa hiv ni watu gani! Lumumba yote iko hoi kwa ufisadi!
Mlimlea huko huko magogoni!
Kajitambua kasepa!
Kawa tofauti na nyie that's all we need!

Kwa nini asepe baada ya kukatwa? Je asingekatwa ingekuaje?
 
ukawa nikikundi kinachoendeshwa na wababe hata hawafiki 10,na kwa sasa ni janga la Taifa
 
Membe :former Minister...hongera zako zinatafsiri nyingi mimi ningependa sana kama baada ya Mh.Rais kumpongeza Zitto wengine ingekuwa basi kwani Rais ndiyo top wetu na atakuwa amempongeza kwa niaba yetu.
 
Mhe Zitto Kabwe Hongera kwa kuwaonyesha Watanzania tofauti kati ya ACT Wazalendo na UKAWA kuanzia tarehe 5/11/15 siku ambayo mgombea Urais wa ACT alikwenda Diamond Jubilee Hall na kuonyesha ukomavu na uzalendo tofauti na UKAWA na jana wewe mwenyewe ulipoamua kubaki ndani ya Bunge kuungana na wabunge wa CCM kusikiliza hotuba ya Mhe Rais. Hukufanya vile kupingana na UKAWA la hasha! Ulifanya vile kuonyesha kuwa ACT Wazalendo ni mpinzani mshiriki na siyo mpinzani mkosefu! Aidha kuacha wenzako wanatoka na ukabaki peke yako ni kitendo cha ukomavu na ujasiri. "Better him from within than Him from without" (Shakespeare) Wengi tunakupongeza! Membe.

Tunampa sifa zitto bila kufahamu historia yake. Huyu atakuja ishia kuifanya ACT kuwa kama TLP ya Mrema. Ni mtu ambaye hafanyi siasa. Ni mtu kwenye ajira tu na yuko tayari kuuza wenzake ili abaki kwenye ubunge.

Nimekuwa nikimfananisha na kijana wa shule ya msingi anayeshangiliwa uwanjani. Kwa kushindwa kuhimili furaha, anaanza kujitupa tu na mwishowe ni maumivu. Alidhani ana sifa hata bila CDM, yako wapi?

Sasa eti anasifiwa kwa kubaki na kusikiliza hotuba. Hajiulizi ni kwa manufaa ya nani yeye anachekelea. Mpeni muda atakamatika tu! Enzi za ufisadi alisifika kwa kutengeneza dili na kupata pesa za kumpoza, sasa asubiri kama hiyo itampa tena kipato.
 
Huyu Membe aliekwenda kuwambia mabalozi ati Maalim Seif alikua na masanduku ya kura na mabalozi wakamshushua na kumwambia wanajua kila kitu kuhusu znz acha uwongo huyu ni uchwara kabisa
 
Ukiona upinzani unasifiwa na watawala uje upinzani umeng'olewa meno....

Kabisa, adui akusifie nawe ukenue meno!, utakuwa taahira au umeamua ku surender kwake. Mimi naamini Zito anatafuta huruma ya ccm apate tena uongozi wa PAC ili aendelee kutanua na videge/helokopta za mashirika ya umma hasa TANAPA.
 
Back
Top Bottom