Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

sio kweli kma viongoz wa ukawa wanam beza zzto ila wanachama wa ukawa ndo wana m beza zzto wakijua kaungana na ccm kumuunga mkono shein ieleweke zzto haungi mkon kilicho tokea zanziber ndomana akushangilia wala kuzomea
 
Mhe Zitto yupo ACT-Wazalendo Chama chake hakijajiunga na UKAWA kutokutoka Kwenye ukumbi wa Bunge kwa sababu ya kuingia Bungeni Mhe Dr Shein,Mhe Zitto alikwisha weka wazi kuwa ZNZ aliyepo madarakani sasa anavunja katiba.
 
yan kuna watu wanamchukia ZZK eti kwa sababu fulani anamchukia., lakini ukiwauliza wao kama wao sababu za kumchukia n zip hawana.
 
Wanaomchukia wana wivu pia elimu hawana ni hawa dv five
 
Inawezekana nishajichunguza nikaona sifai kuongoza watu
Zitto now hayuko CHADEMA ....ana uhuru wa kufanya analoona sahihi mradi chama chake kimeridhia
CHADEMA kumlilia Zitto...ni ukosefu wa upeo

mkuu wengi wanaoleta maneno huku ya Zitto na chadema mbona wengi ni ccm na kwani ni leo Zitto anapendwa na ccm, si wamempa mpaka ubunge tena wa jimbo lingine Zitto/Act wanamahesabu yao na CDM yao,hayumkini hata Zitto naye anaukosefu wa upeo hii tatizo kubwa wala sio com,chadema sijui Zitto ni sisi wananchi baadhi ya wa hii nchi tukotuko tu na ndio maana leo watu wanashangilia Rais mpya kufuta safari za nje lakini ni mwezi wa sita hao wabunge walipitisha bajeti ya safari kubwakuliko wizara ya Afya.Tatizo laUpeo ni la kitaifa.mkuu
 
leo umekuwa ACT tena karibu halafu mgombee maana naona kuna watu hutu ni wajuzi wa kukosoa ila ukiwapa wasimamie hata wanyama watashindwa

Hii si excuse hata kidogo ....maana mtawamaliza wote kuwaita wasaliti hadi mtabaki na Mbowe tu .....tujibu hoja badala ya kushambulia watoa hoja ....kama mna nia njema na taifa msibague upande wa kukosoa ....anayekosea akosolewe regardless chama chake ....sisi wenyewe ndio tunafuga wanasiasa walaghai ....
 
Hii si excuse hata kidogo ....maana mtawamaliza wote kuwaita wasaliti hadi mtabaki na Mbowe tu .....tujibu hoja badala ya kushambulia watoa hoja ....kama mna nia njema na taifa msibague upande wa kukosoa ....anayekosea akosolewe regardless chama chake ....sisi wenyewe ndio tunafuga wanasiasa walaghai ....

Well said mkuu,mimi ni chadema ila niiiikosoa kwenye eneo langu naitwa msaliti
 
Una uwezo wa kuona na kusikia. Ila utakuwa huoni vizuri na husikii vizuri. Kikubwa zaidi umethibitisha kuwa kuona na kusikia haimaanishi ni kuelewa.

Ni nini sasa??????????????????????
 
Wanaomchukia Zitto wanafanya hivyo kwakuzifurahisha nafs zao tu
 
Kweli mlitegemea awafate waliotaka kummaliza kisiasa sababu ya matumbo yao?
 
Zito si kiongozi ila ni msaka tonge siku zote kiongozi achukii kuona wenzake wanafanikiwa zaidi yake rejea maswahiba wa zito toka CHADEMA Gwakisa Mtela wako wapi?rejea wabunge wa Chadema walio hama naje wako wapi?zito kafeli sehemu hiyo tu anataka uenyekiti wa PAC kwa manufaa yake rejea hotuba ya Escrow alificha baadhi ya vitu kumlinda Jk zito anapwaya sana kuwa kiongozi maana anajipenda yeye tu
 
ACt hakuna uzalendo Dr Kitila alishanukuliwa akisema awezi shangilia timu ya mpira wa miguu Kisa kufungwa uzalendo ni matendo sio porojo
 
Kuna Jamaa kanifurahisha sana eti Zitto siku hizi anaitwa Zitto Lyatonga Cheyo nimecheka mpaka basi ,hivi hamjui Zitto ni mnafiki wa hali ya juu ndio maana alifukuzwa CDM.
Zitto si mpinzani bali ni kibaraka wa CCM.
 
Nimekutana na habari kwamba Zito alishauriana na uongozi wa wilaya kumhujumu Kafulila.Yaani mtu wa namna hii hafai hata kuwa kiongozi wa kambi ya wamama wa viti maalumu.

Acha kupotosha wananchi na hizo chuki binafsi wewe Mbojo
 
Back
Top Bottom